Oya Mnyama,wajua kakaa👊.yani nawatch show ila nikama nipo uwanjani pumbavu Mimi..much love from 254..wachana nao watoto uliowalea..akina Kenny,ulimtoa kuwa director mkubwa ila wanajisahau.piga kazi kaka mungu sio mjingaa👍
mm napenda sana nyimbo zako zote na ninazo mm iyo ajatoa kila nikisia diamond katoa nyimbo naitafuta araka sana nakutakia maisha mazuri mm ni Alex nipo congo
I really do love the songs of Diamond ,the moto band,God Win and Wizkid. Manze mko juu sana. I see nawapenda sana na mwendelee vivyo hivyo na mbarikiwe.
Ndo mana hat dar freshers mlimncity 2017 hakuja mana viwanfunz vinajfnya avivibrate hv avina vibe kiivo aha aha aha nd mana ulituchnjia baharini cku ilee
Enzi hizo nguvu kubwa xna now nikama ganda la ndizi tu Jamaa anateleza tu kumbukumbu kubwaa xna hii hapa bado niko mkoa mwezi ulifatia hapa na mm nikalijua jiji
nyimbo zako zote nzuriiiiiiii hongera kwa show nzuri na kubwa nice job tunazidi kukuombea mafanikio zaidi katika kazi zako
Good thing about Diamond he loves his work and he never let's his fun's down. ..bless you and live long
esther wakonyo ok
Diamond must come back on this kind of concert with the same band team if not the expiration time comes right now.
Oya Mnyama,wajua kakaa👊.yani nawatch show ila nikama nipo uwanjani pumbavu Mimi..much love from 254..wachana nao watoto uliowalea..akina Kenny,ulimtoa kuwa director mkubwa ila wanajisahau.piga kazi kaka mungu sio mjingaa👍
Diamond platnumz is very humble
May God continue to bless you and protect you and bless us too
mm napenda sana nyimbo zako zote na ninazo mm iyo ajatoa kila nikisia diamond katoa nyimbo naitafuta araka sana nakutakia maisha mazuri mm ni Alex nipo congo
proud Tanzania, proud East Africa, proud Africa....Simbaaaaa
I really do love the songs of Diamond ,the moto band,God Win and Wizkid. Manze mko juu sana. I see nawapenda sana na mwendelee vivyo hivyo na mbarikiwe.
God bless diamond platnumz and he keeps up the good work
Duu hadi chozi limetoka kwa furaha tu mond mungu azidi kukuangazia siku hadi siku daima.. Nice job chibu
hongera kwakazi nzuri kutoka kamwambie mpaka leo ujawahi kuchuja ndo kwanza unapanda hongera sana mungu akulinda na watu wabaya
Plutznum a.k.a Simba wewe uko juuu hatarr sana big up kwakooo 100% #hapana chezea
wow! This is amazing from nothing to something bigups diamond
I regret to have missed this! It was at home.
Big show
Dah!!! Kazi nzur bro napenda sana na mm nije kuwa kama ww mungu aku sogeze mbele zaidi ya hapo ulipo
Doing great bro.
You have passion in what you do and that is why we enjoy your music.
Make money my friend,you deserve it 100%
Loli kabisa..Huyu jamaa since akianza tulijuwa tu ako na nyota
iizaizai,nitarejea ,binaadam wabaya,ukimuona hizo huwa zinanikonga moyo wangu,show wapunguze muili naona wanazidi kunenepa sana
@diamondplatnumz bigups,,ur always on top..foreva in love with ua songs...dope dope
Yaah Yaah Madame Esther He Loves His Works
Yaani napenda nyimbo zako za mwaaaanzoooo....inayonibeba sanaaa ni "kwetu mbaghala" 👌👌👌👌👌👌
Umejaliwa kaka. Hizo nyimbo za kwanza zilikuwa moto.
what like
☺
Noma sana kaka mimi binafsi ninakukubali sana nakusubiri Tarehe 21 may at JEMBEKA FESTIVAL
extremely organized team
You deserve where you are broh🙏🏾
Kazi njema Brother. Ume killed , tumekuomba uje mara zingine tafadhali!
+Wilondja Dino Vangu umekilled mku
Much love to this man
umebarikiwa kijana kwa nyimbo zako nzur congratulation
bongeeee la show, tumekukubali kinoma welcome again bro
Þ
i like the way vijana wanashangilia diamond very nice simba lion simba biyeeeeee
😍😍😍😍😍😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥simbaaaaaaaa keep it up....love yu....
💕💕💕💕💕💕
weeee! shidaaaa! good dangote
yapendezaa big up brother kazi nzuri ,njoo Na Kenya piaa
+Rashid rajab mwezi wa nane yuko lambada mtwapa kosa uchekweeee
simba kweli,karibu Kenya tunakupenda Sana mondi,we we nikama wetu
Diamond uko mkuu...Nataka sana kufanana na wewe
long live to was safi gang🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸
Nani yupo hapa Leo twende nalo likes kwawingi team wcb 4life
Mm naangalia Leo 2020
2022
Never regret being ur fun bro
heheheeee wacha weee !!!!!lakini malipo je ? ishakua tabuu ,wacha nifanye kazi kisawasawa thanks for update
Diamond nyimbo Zako
Zako juju welcome
To Spain Madrid city
Like se tu pais apareces aqul
Kenya, Tanzania,Uganda
Mambo
I think nkamwabie is one of his favourite song
I don't understand a word but I just love his music
Roxanne Jones where are you from dear Roxanne he is from Tanzania in Africa and me also iam from Tanzania
emungu akulinde mond una pendwa kushinda baba rais
Nice 1 my number 1 African singer I love you
Duuuu ama kweli wee Simbaaaaaaa penda wewe
Nice job.keep on doing it
2020 I continue to watch
Nic bro I lov your songs
Mabible wazee wa shuttle pori. Kitambo sana
can u please load up part 3 and four soon
Kamwambieeh! Ilimtoa mond
nice show simbaaa
kuja 254 Diamond. love u kwa sana. selfie pia haikataliwi. #justarequest
Nice show kip the fire Bunning.♨♨♨🐦
+Diamond Platnumz it's just awesome nmejiskia like I was there pia 😍😍😍😍
nakutabua sana diamond
Nice show diamond platinum
boy ww fundi xan nakukubali ile mbaya kiujumla ww ni tanzania one
wueeeh huyo ni Lavalava au macho yangu
Ndo mana hat dar freshers mlimncity 2017 hakuja mana viwanfunz vinajfnya avivibrate hv avina vibe kiivo aha aha aha nd mana ulituchnjia baharini cku ilee
Wasafi for life 🔥 🔥 🔥
umetishaa simbaaaaa
Simbaaaa 🔥🔥🔥🔥
PART 3 JAMANI HII SHOW ILIKUWA KALI NA NZURIIIIIII ULIIPANGALIA KWELI
kweli ni simba pia songs are gud
Gooooodddd
izi nyimbo ni kali sana na nime ziielewa
Oh really 😘💓💯
nice aki ni poa unanifurahisha
when am looking tu UA aiz furaha yang naiona ......c kwa mahaba ayo simba
wawu wa kouheza kouzouri soifi
WCB ni sheeeeeda amna mpinzani
Mkali wao kwa hizi kazi
2020 gonga like
Diamond mkali jamani sio kweli lakini?
nic show hongera sana wasafi
You rock,my star love you bunchess
miss Adika Hi
He needs to advise the politicians to fix those roads. You wont see a star in the West walk through mud. Its shameful
True that ,i was once in Tz they Road a very bad
Namku barimo.ndkchi.z
Namku barimo.ndkchi.z
ivi kweli au macho yangu yanavumbi
kazi nzuri bro penda xanaa😘
Hello
Seen. Nice sana
Simba kama simba
Félicitations
Kipenzi chawatu nakutakia maisha marefu
hio show ilikuwa kali
daaa!!!! balaaaa
BG up sana baba tiffah
fabulous
Part 3 wapi jamani?
What is the name of the first song he did
Enzi hizo nguvu kubwa xna now nikama ganda la ndizi tu Jamaa anateleza tu kumbukumbu kubwaa xna hii hapa bado niko mkoa mwezi ulifatia hapa na mm nikalijua jiji
mlisema diamond anapendwa na galz tu jmn haterz chibu ni zaid ya simba
nice show
Noma sana cmba
👑❤️💘😍❤️
✌
iyo siku nilikua
TRUE
uko juu mtu wangu
Hae guys life is not easy push its must be straggling.