Diamond Platnumz - Live performance at Rwanda/kigali (part 1)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 342

  • @kayibandapatrick8454
    @kayibandapatrick8454 5 лет назад +6

    Rwanda tunakumbenda Diamond, ubarikiwe kaka yangu 🇷🇼🇹🇿

  • @bidobidostar-q1u
    @bidobidostar-q1u 5 лет назад +5

    towa hii goma brother nizuri sana nimeipenda na dance yake please applause you diamond platnumz mungu akujaliye mambo mema

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 4 года назад +5

    Wewe ni mwanamuziki wakimataifa na si msanii. Yaani unafanya kazi ya viwango vya juu SANA. Simbaaa baba Lao!

    • @daimually4865
      @daimually4865 3 года назад

      Yupo km raisi

    • @daimually4865
      @daimually4865 3 года назад

      Staillii kali mara ashike miwani kofia kidevu kinachofata kimyaaaaa

  • @saidimchuchuli8568
    @saidimchuchuli8568 7 лет назад +3

    unajua mafanikio cio kua na pesa ila mafanikio ni kupata watu mn ukidondoka pesa aiwez kukuokota ila watu ndo watakuokota nakubary sana my brother diamond platnumz unavyo peperusha vyema bendera ya Tanzania wcb forever and Tanzania forever

  • @barakamohammed5723
    @barakamohammed5723 7 лет назад +3

    i'll just copy ur swagg my bro diamond platnumz !!!!all the way from dar es salaam-TANZANIA

  • @geniuswebster6278
    @geniuswebster6278 5 лет назад +5

    who see our calm of Rwandans?! our joy have a limit!

    • @CetribeaBurundibwiza-tz5le
      @CetribeaBurundibwiza-tz5le 5 лет назад

      I don't believe you, Rwandans are foolish because they put political issues in everything. I hope next time Mr. Diamond will not wast his money and time to go to Rwanda.

    • @geniuswebster6278
      @geniuswebster6278 5 лет назад +1

      @@CetribeaBurundibwiza-tz5le hhhh...! everything embeded in politics ! copy that?! we have our values as rwandans (ntago dusamara turidagadura ntitwirare kuko dukeneye no kurinda ibyo twagezeho kandi twirinda ibyishimo bibi) i think Burundi miss those values.

    • @herveuzi
      @herveuzi 4 года назад

      @Genius webster ntabyo kurindwa sha ahubwo ngo baba bifunze ngo kukubona wizihiwe cyane baba bagucishijemo ijisho🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️

  • @roseirungo1950
    @roseirungo1950 7 лет назад +4

    Wooo diamond you are blessed ...may God bless you aboundntly

  • @sophiaabdallah9272
    @sophiaabdallah9272 6 лет назад +4

    Aminia sana kaka diamond umetisha sana yaan Bonge la shoo hujawai kosea aiseee hakuna km simbaaaaaaa hawatowezaaaaaa

  • @wilsonndungu9182
    @wilsonndungu9182 7 лет назад +8

    Simba siku zote anajiamini much love from Kenya

  • @marshialmarshah9032
    @marshialmarshah9032 Год назад +3

    Waaaaaasafy💝💝💝💝

  • @mwimarose5799
    @mwimarose5799 5 лет назад +1

    Seriously diamond ur the king of urself. U got a style of urself.

  • @aduchannel3369
    @aduchannel3369 7 лет назад +3

    You deserve to be diamond!

  • @Emilianykondela
    @Emilianykondela 7 лет назад +4

    Nimependa hiyo kwa kuanza na nyimbo ya Taifa.Big up sana

  • @ausoniusdeogratias1670
    @ausoniusdeogratias1670 2 года назад +1

    💪💪💪 I love African artist

  • @alhassanesylla6896
    @alhassanesylla6896 4 года назад +1

    Africa Nomber one

  • @awadhtevez2918
    @awadhtevez2918 7 лет назад +3

    non stoppable diamond platnumz simbaa 🔥🔥🔥

  • @wiliammloselian7157
    @wiliammloselian7157 7 лет назад

    diomond plutnm umetisha sana BROO..ongera hakuna zaidi yako

  • @baraka3388
    @baraka3388 Год назад

    Woow best performance in kigali rwandaaa 🇷🇼

  • @kruverthmasanula9914
    @kruverthmasanula9914 7 лет назад +5

    best performer in africa

  • @zarymassmasuma2538
    @zarymassmasuma2538 7 лет назад

    nakukubali saana kaza buti bro safari ni ndefu shoo ni nzuri umepaform vzr endelea kupeperusha bendera big up

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 года назад +1

    Nipenda mwimbo wataifa ya tazania chibu mungu atakushindiya tuu siku zote tunakupenda

  • @olivamtuya505
    @olivamtuya505 7 лет назад +2

    freaking talented diamond we lov you#+255

  • @ForeveryoungNana2019
    @ForeveryoungNana2019 7 лет назад +6

    entrance just gave me goose pimples, Fire!!!!!! mtu ake zari

  • @chukwudiprecious9012
    @chukwudiprecious9012 7 лет назад +2

    my biggest superstar diamond platnumz respect ma big big congratulations

  • @KelvinBonphase
    @KelvinBonphase 7 лет назад

    Mungu akupe maisha marefu kaka Uendelee kutupa Burudaaan saaaaanaah

  • @apingmanyang1959
    @apingmanyang1959 5 лет назад +4

    Diamond Platnumz oyeee kwa Africa

  • @williammdala2372
    @williammdala2372 2 года назад +2

    Wasafi for life 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @gihpaterne4980
    @gihpaterne4980 7 лет назад +1

    wasafi ever #we luv u #from rwanda

  • @lizmellissa7954
    @lizmellissa7954 7 лет назад +11

    hapo sawa kabisa🐆🐆🐆

  • @abdulwaheedmzury351
    @abdulwaheedmzury351 2 года назад

    Speech less baba😭♨️🙌🙌

  • @margaretmuchiri8649
    @margaretmuchiri8649 7 лет назад +21

    💪hapa nawakilisha +254

  • @mgimbatv8803
    @mgimbatv8803 7 лет назад +9

    Huwiiiiiii!!! mondi you kille the killer's like me

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 7 лет назад +30

    Show la kibabe wapi like za Simba

    • @fredniyoo
      @fredniyoo 7 лет назад

      Hassanova junior kiba nimuimbaji hunae hajuwi kuimba sauti mbaya. Kulukaluka tu kimba nimuimbaji

  • @senetornkwarz5714
    @senetornkwarz5714 5 лет назад +2

    lavalava the best vocalist of diamond platnumz 🙏

  • @mohamedhoussein4021
    @mohamedhoussein4021 7 лет назад +3

    Diamond Platnmz starts loving ndombolo dance or what? :D :D :D

  • @zabibunshimirimana9210
    @zabibunshimirimana9210 5 лет назад +1

    ongera sana kipenzi wew ni Simba wa kweli kila la kheiri lovely brother

  • @kibonyosteven8528
    @kibonyosteven8528 5 лет назад +1

    Nakunze ako kananga ka nkosikelela africa batangiye indirimbo yubwigenge bwa south africa

  • @freddy6685
    @freddy6685 2 года назад

    Like you Simba 2022 we miss you Kigali Rwanda

  • @gottaboy4178
    @gottaboy4178 7 лет назад +52

    sijawahi kuona cloud hii kwa msanii yeyote wa Africa, hivi kina WizKid wanaona hii? watanyooooka!!!!

  • @halimambwego8287
    @halimambwego8287 7 лет назад

    Baba la music diamond platinum mutu wa kazi hapa nimecoment ile anapanda tu jukwaani

  • @snetiengineering_hub
    @snetiengineering_hub 7 лет назад +59

    Kwanza kabisa nikupongeze Pili naomba Wimbo wataifa ukiimbwa asiwepo mtu anazungukazunguka tatu kuhusu Drone Shooting naomba reply kama umekubaliana Na drone shooting zipo drone ili tuinuane waTanzania

  • @veronicaereneus6237
    @veronicaereneus6237 7 лет назад +4

    wooow nice I love it simbaa

  • @altonkanjolonga2380
    @altonkanjolonga2380 7 лет назад

    wewe kweli simba,unaweza huna mpinzani.Keep it up

  • @bongelabwana7523
    @bongelabwana7523 7 лет назад

    show za huyu jini ni za kibabe africa nzima, unbeliavable 3🙏🙏🙏👑👑👑😁😂

  • @veronikaslaa2095
    @veronikaslaa2095 7 лет назад

    Dah kweli hii kali yao!!!! tisha xana brooo.

  • @stanleyshedrack2386
    @stanleyshedrack2386 7 лет назад +12

    Diamond am your dying fan, ila kwa mavazi na suala zima la kupendeza naona unapwaya siku hizi kwenye shoo......hata ile spidi yako na mpangilio Wa nyimbo zako stejini naona unaanza kuzingua, kuna tatizo hapa kaka. Usijiamini sana kaka kiasi vitu vingine unapotezea, sipendi ile unasimama ati unaongea na mashabiki huku background inaendelea...... Keep being the same Diamond

    • @chalesimtundu7633
      @chalesimtundu7633 7 лет назад

      stanley shedrack kweli mavazi yanaishusha shoo...watu wengi sana walitajia msanii awe amelipuka kisanii sasa kavaa kama watoto wa uswahilini bhna

    • @missagatha1756
      @missagatha1756 7 лет назад

      stanley shedrack dah umenena kweli hapo cku cjui anavaaje jmn

    • @ramatansino8252
      @ramatansino8252 7 лет назад +2

      apo ameenda kupiga show c,o mavazi.Mbona wasanii wengine wanavaa suti wengine kawaida2 kama wizkd alivyo kuja bongo alimuona alivyo vaaaa.simbaaaaaaaaa

    • @edmundrutahiwa
      @edmundrutahiwa 7 лет назад +2

      stanley shedrack daaah broh umeongeaaa jambo la msingi sanaa niongezeee kwmb saiz Mond akamii show ka relax sanaa,over confidence na kingnee aimbi sanaa kama zaman anachezaa tyuu ktu ambacho watu hawapend sanaa na inapotezaa maana ya live show coz kama kuchezaa ndio lkn saiz umebase uko tyuu uimbi..unawezaa kuchezaa lkn bado vilevile uimbee sanaa

    • @swahiliuniverse9328
      @swahiliuniverse9328 6 лет назад

      kweli tusapoti filamu za kiswahili kwa kutizama channel yangu yenye filamu zaidi ya 300 za kiswahili, artist toka east africa. subscribe share na wengine. bofya hapa :ruclips.net/channel/UCVITKhk7vowmJxM0GbEzAEg asante

  • @joelnassari105
    @joelnassari105 7 лет назад +1

    Nmependa Instrumental ya wmbo wa Taifa. ..ma advice ustumie mda mwngi kucheza band pga nymbo tulia kdogo pga vyombo dn rud shambulia watu mwanzon lyk waliboreka

  • @zenaali4255
    @zenaali4255 7 лет назад

    huyu jamaa ana baraka za mama ndugu jamaa marafiki kijiji wanomjua na wasomjua loleeeeest kachukua zote.

  • @josephelius8928
    @josephelius8928 7 лет назад

    yaaanii simmmba umetisha sana endelea kutupa raha mashabiki zako

  • @ridgeglorialukusa3597
    @ridgeglorialukusa3597 5 лет назад +3

    These dances comes from Congo drc

  • @CTM.24Updates
    @CTM.24Updates 3 года назад

    Daah! I am here 2021

  • @hassanmohdallyally9552
    @hassanmohdallyally9552 7 лет назад +18

    yaaan huyuu jmaaa hana mpinzani tanzaniaa na East africa eti ana jiita king show zake hata watu 3000 hakuna acheni jelasi dangote ashikiki kataaa kubali

  • @vicentjames5691
    @vicentjames5691 7 лет назад +5

    unajua mbaka bac yaan big up brodah

  • @pureinheart8855
    @pureinheart8855 7 лет назад +6

    This song is real 🔥 fire utamu mpaka mwisho,

  • @Philbert950
    @Philbert950 3 года назад

    🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼 welcome back our simba

  • @kkkkk9275
    @kkkkk9275 5 лет назад +2

    Platnum u wonderful

  • @christinearotso8837
    @christinearotso8837 7 лет назад +5

    waziiii simbaaa🗣🗣🗣🗣🗣💃💃💃💃💃

    • @lizmellissa7954
      @lizmellissa7954 7 лет назад

      ushakimbia mbele yangu😂😂😂😂...yaani ushafika Rwanda kabla niko hamam😅😅

  • @monicorishaba5499
    @monicorishaba5499 5 лет назад +1

    I like that guy Diamond

  • @barakachawe6241
    @barakachawe6241 7 лет назад +26

    Nimependa mwanzo hiyo instrumental y nyimbo y taifa ukipanda staging

  • @myshylysh3554
    @myshylysh3554 7 лет назад +11

    me again 😂😂😂😧from 254

    • @amour0072
      @amour0072 7 лет назад +2

      TEXT ME IN WHATSAPP PLZ +27710712927

    • @myshylysh3554
      @myshylysh3554 7 лет назад +1

      ok

    • @binbarwan7401
      @binbarwan7401 7 лет назад +2

      mysh lysh 😂😂😂😂 ushanishinda ww

    • @myshylysh3554
      @myshylysh3554 7 лет назад +1

      bin barwan kivip 😂😂😂

    • @binbarwan7401
      @binbarwan7401 7 лет назад +2

      mysh lysh kila nnapopekua nkukuta unachungulia pia😂😂😂😂 unafaa zawad ww

  • @hassanihussein4479
    @hassanihussein4479 7 лет назад

    simbaaaaaa simbaaaaaa simbaaaa hayaaa baba piga pesa baba mwaka wako huuuu juzi2 ulikuwa k.Kooo kwenye mambo ya karanga na ukaibukia Kigali

  • @fazeelshomary8743
    @fazeelshomary8743 7 лет назад +36

    bonge la show, ila Diamond inabidi uwe na drone camera kwa sasa, live show zako nyingi unaonekana mgongoni tu

    • @hassanmohdallyally9552
      @hassanmohdallyally9552 7 лет назад +4

      Fazeel Shomary sawasawa kabisa bro

    • @kenbaroofficial
      @kenbaroofficial 7 лет назад +5

      Fazeel Shomary drone haitaki sehem ya msukosuko kama stage.
      haewezi endeshwa vyema kwa precision

  • @EcoEssence_wellness
    @EcoEssence_wellness 7 лет назад +1

    Hiyo wimbo wa Taifa... Big up sana D

  • @jonikwizera987
    @jonikwizera987 4 года назад +1

    yani mond we nibalaaaa

  • @dianadiana2563
    @dianadiana2563 7 лет назад +13

    simbaaaa🐩🐩🐩🐩
    wakenya twakutambua

  • @abdornephotidas3848
    @abdornephotidas3848 7 лет назад +20

    kWANZA WAPIGA DRUMS WAKO VIZURI NA HIYO LIVE IMENOGA VZR SANA DIAMOND UNAWEZAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

  • @carolynebuyas3841
    @carolynebuyas3841 7 лет назад +6

    woow so nice

  • @harifadjaassiaabodokadafy3231
    @harifadjaassiaabodokadafy3231 3 года назад +1

    King simba 🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇲🙏🏻

  • @jeankotongo5660
    @jeankotongo5660 7 лет назад +1

    Powa introducing ya fally ipupa

  • @samwelnyankena9873
    @samwelnyankena9873 7 лет назад

    hili jitu linajua mamae cjui La wapi lione linajua mpk linanikera🚶🚶

  • @filexgallas3562
    @filexgallas3562 7 лет назад +1

    kaka we level nyingine wenye machuki waache wafie uko

  • @bushiridems
    @bushiridems 6 лет назад

    Mpigaji ngoma anaweka vurugo tafuta mkongo akutulizie ngoma bana. Huyo araka araka ahina swagger

  • @titusofficiall2926
    @titusofficiall2926 6 лет назад +3

    2018 🔥🔥🔥🔥✌

  • @suzyjames4968
    @suzyjames4968 7 лет назад

    kila nionapo show zake huwa na fel good hongela sana

  • @michaelmassawe2297
    @michaelmassawe2297 7 лет назад +1

    wcb for life##levels

  • @josephsandu7889
    @josephsandu7889 4 года назад +1

    cheerer!

  • @salmakhan1584
    @salmakhan1584 4 года назад +1

    Kwan nyimbo ya taifa ikiimbwa nan anaruhusiwa kutembea

  • @judithowino782
    @judithowino782 5 лет назад +1

    Fire hapo hapo

  • @liumkidd3539
    @liumkidd3539 7 лет назад +2

    wanyoooshe bwana Simbaaaaaaaaa

  • @godfreysimba1364
    @godfreysimba1364 7 лет назад +2

    diamond we ni chafya huzuiliki mjomba

  • @aladinesmaelalaaladinesmae5755
    @aladinesmaelalaaladinesmae5755 5 лет назад +1

    Am fre fra hbei daimon

  • @lindakapiyo7857
    @lindakapiyo7857 7 лет назад +1

    Great talent! entertaining performance lakini beat 3:55 ni beat flani ya Fally Ipupa! Oriengo tune!

  • @cabdiwahab6338
    @cabdiwahab6338 7 лет назад +11

    Somali hada thy like iisaar xariif

  • @suzanrichard5428
    @suzanrichard5428 7 лет назад

    u kill it bro God bless you

  • @frankeyfkn5321
    @frankeyfkn5321 5 лет назад

    show kaliiii sanaa tu.watapata tabu mahaters

  • @kikukukijoka1452
    @kikukukijoka1452 7 лет назад +5

    good work 3 d

  • @miburochris7802
    @miburochris7802 3 года назад

    Ndakwemeye pe !

  • @eliyaserushago4367
    @eliyaserushago4367 5 лет назад +1

    Unavuka kabsa💝🙏

  • @linusrichy6639
    @linusrichy6639 7 лет назад

    Dah Huyu jamaa ni wa nchi nyingine

  • @emmanuellaizer4548
    @emmanuellaizer4548 7 лет назад +1

    ah hapo moyo wangu jamani nilitaka hata niiyone mwanzo mwisho;;;;;~

  • @pureinheart8855
    @pureinheart8855 7 лет назад +10

    halafu hua najiuliza ikiwa hawa vijana wana mifupa mwilini,ghai¿ that's more than dancing

    • @marimarimu3697
      @marimarimu3697 7 лет назад +2

      Pure Inheart wanachukua mazoez we umezoea kula kulala kama mfalume

    • @Gmalen
      @Gmalen 7 лет назад

      Pure Inheart nomaaaaaaaa

    • @dastanfussy4898
      @dastanfussy4898 5 лет назад

      Mazoez kwa sana

  • @fettyjumbe8332
    @fettyjumbe8332 7 лет назад

    mimi mmoja wapo kwan 7babu namkubal sana huyu jamaa chibu dangote

  • @jamesmalopa5018
    @jamesmalopa5018 5 лет назад +1

    Nimeingia tusaidiane

  • @mossyahmada2188
    @mossyahmada2188 7 лет назад +1

    asante kidume cha bisandra😁😁

  • @carolmamakebritney5266
    @carolmamakebritney5266 7 лет назад

    Mondi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥wa kuotea mbali

  • @m.k9608
    @m.k9608 5 лет назад +1

    Huyo ndo simba mwenyew my brother piga kaz mpka sku yamwisho

  • @aidanhamza5735
    @aidanhamza5735 7 лет назад

    hili jamaa linajuwa mpaka linakera hatariiiii sana simbaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @yezaa_tz
    @yezaa_tz 5 лет назад +2

    Nakukubali kaka

  • @johnsibomana3816
    @johnsibomana3816 5 лет назад +2

    tuko pamoja simba💪

  • @redemptamusyoka9739
    @redemptamusyoka9739 7 лет назад +1

    Beat ya Flavour,,i say