mungu naomba muujiza wa kubadilishiwa kazi, nko dubai last year mungu alinitendea muujiza nkapata driving license ya uae,sasa nataka muujiza wa kazi ya driver, muujiza wa kulejeshewa doa ju ya kwanza iliisha, muujiza wa kibali na ninaima mungu wa pastor mwai atatimiza,na ninaombanga mungu nikirudi Kenya nisimame mbele ya madhabahu na washirika wa Jesus winner niwaambie kuna mungu binguni nitafurahia sana amen amen dubai nko tuned
Amen Amen jehover mungu wa rahema nikubuke jehover my Lord my father see me through Remember my prayers hii mwaka jehover fanya miracle kwa maisha yangu jehover
Thank you Jesus, ni mwaka wa Ukamilifu wa Mungu Asantii Sana Mungu, naomba Tu Mungu unikumbuke nibadilishiye maisha na piya uniponye badilisha aibu na baraka za kudumu 🙏🙏
Mungu naoba biashara mzuri ña financial breakthrough mwaka huu ndio niweze kujenga na kusomesha watoto wangu wote,nisaidie na unilinde na watoto wangu wahitimu hàdi kwa masomo Yao na pia utusamehee makosa yetu yote ndio tuweze kuishi na ww baba na Mungu wa Bishop Mwai naoba🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
AMINA. Wakristo mwaka uliopita kulikuwa kubaya lakini kuna mtu atafinywa mwaka huu mpaka aachilie baraka zako na miujiza yako. Kuna mtu atakosa usingizi kwa sababu yako wewe. Kuna watu wamekalia miujiza yetu lakini mwaka wa Perfection Mungu Atainua wengine, Atawaweka kando ndio tukalie baraka zetu. Wale walileta chuki kwetu Mungu Anaiondoa na Anaweka kibali juu yetu. Mwaka wa 2025 hatutakufa tutashuhudia matendo ya Mungu. Ile ujumbe tuliletewa na kile waliandika kwa maisha yetu Mungu Anaibadilisha. Siri yetu sio kung'ang'ana na watu. Wakati ujumbe ulipofika mfalme Hezekia alikimbia kwa Madhabahu. Wale watakimbia kwa Madhabahu mwaka huu miujiza inatendeka. Kutoka leo zile shida zitatusumbua, tuandike karatasi tuweke kwa Madhabahu twende nyumbani na Jehova Atasoma.
AMINA. Wakristo kile tumeahidiwa miaka yote mwaka ambao tumeingia mwaka wa "Perfection" Mungu Atatumizia. Mwaka huu hatutaki muujiza moja tu, tumeandika makaratasi miujiza mitatu. Chochote tumeandika Mungu Atatenda sasa katika Jina La Yesu. Mwaka huu hata kama maadui wametupiga miaka yote hawatazuia tupokee baraka zetu. Maadui wetu wameapa kwa midomo na pesa zao lakini sisi tunajua siri yetu. Miaka ingine yote wameapa kama vile mfalme Senekaribu aliapia mfalme Hezekia lakini hawatatuweza. Kufika mwaka huu it's by the Grace of God na hatutakufa. Mwaka huu ni mwaka wa Utimilifu wa Kiungu. Mungu Anaenda Kutimilisha kwa Uwezo na Nguvu Zake. Maadui, wachawi, waganga, majini yametupiga lakini mwaka wa Utimilifu hakuna mtu atatupiga.
Amen.Mungu umwaninifu hutimiza kila Ahadi,mazuri yatimike mabaya aodoe,mujiza 3
mungu naomba muujiza wa kubadilishiwa kazi, nko dubai last year mungu alinitendea muujiza nkapata driving license ya uae,sasa nataka muujiza wa kazi ya driver, muujiza wa kulejeshewa doa ju ya kwanza iliisha, muujiza wa kibali na ninaima mungu wa pastor mwai atatimiza,na ninaombanga mungu nikirudi Kenya nisimame mbele ya madhabahu na washirika wa Jesus winner niwaambie kuna mungu binguni nitafurahia sana amen amen dubai nko tuned
Walai
GOD will do it for you just have faith,He is a faithful GOD 🙏
Uniconnect Aki plz
God will see you through, He's Faithful God...drop your UAE no nikiskia job nitakustua
Amen Amen jehover mungu wa rahema nikubuke jehover my Lord my father see me through Remember my prayers hii mwaka jehover fanya miracle kwa maisha yangu jehover
Amen.hii mwaka tuta park mangari Kwa kanisa mpya.mingu azidi kulinda watoto wa Jesus winners.
Amen amen mungu timisa huduma yangu nami nitimise yako
Amen 2:53:02
God bless you Dad thank you for always praying for me. God bless you 🙏. Thank you Jesus 🙏
Mapenzi ya Mungu mwaka hui ifanyike
Always come here to confirm the voice of God. Every prohecy is true. God bless his servant.
Thank you Jesus, ni mwaka wa Ukamilifu wa Mungu Asantii Sana Mungu, naomba Tu Mungu unikumbuke nibadilishiye maisha na piya uniponye badilisha aibu na baraka za kudumu 🙏🙏
The crossover was so great ...God above all
This prophecy resemble Harrison Nganga cff glory to God turn around for kenya
We thank GOD for His sufficient Grace for Kenya
The year of PERFECTION, Mungu atanifanya., it was great crossover
The word was very powerful,u believe God will change the situation this year,may God keep you going Daddy 🙏
Hawa ndio true watchman wa Nation sio kupeana prophecy ya mabaya yakitendeka wanafurahia hawa n wale huka taa mabaya
Mungu naoba biashara mzuri ña financial breakthrough mwaka huu ndio niweze kujenga na kusomesha watoto wangu wote,nisaidie na unilinde na watoto wangu wahitimu hàdi kwa masomo Yao na pia utusamehee makosa yetu yote ndio tuweze kuishi na ww baba na Mungu wa Bishop Mwai naoba🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mwaka huu watu watajua Mungu wangu
PROPHET ALSO CONDEMN THE WICKED THINGS HAPPENING IN KENYA, WE THANK GOD FOR THE GOOD TOO
Amen and amen mungu akitembea Leo asinivite
Dad l love asanti kwa lkutuombea ❤ masomo Gari nyumba.
Amen the crossover was🔥🔥 the worship team were amaizing together with the guy worshipping with the keyboard 🔥🔥
It's was amazing
AMINA. Wakristo mwaka uliopita kulikuwa kubaya lakini kuna mtu atafinywa mwaka huu mpaka aachilie baraka zako na miujiza yako. Kuna mtu atakosa usingizi kwa sababu yako wewe. Kuna watu wamekalia miujiza yetu lakini mwaka wa Perfection Mungu Atainua wengine, Atawaweka kando ndio tukalie baraka zetu. Wale walileta chuki kwetu Mungu Anaiondoa na Anaweka kibali juu yetu. Mwaka wa 2025 hatutakufa tutashuhudia matendo ya Mungu. Ile ujumbe tuliletewa na kile waliandika kwa maisha yetu Mungu Anaibadilisha. Siri yetu sio kung'ang'ana na watu. Wakati ujumbe ulipofika mfalme Hezekia alikimbia kwa Madhabahu. Wale watakimbia kwa Madhabahu mwaka huu miujiza inatendeka. Kutoka leo zile shida zitatusumbua, tuandike karatasi tuweke kwa Madhabahu twende nyumbani na Jehova Atasoma.
Mungu anaye nena na kutenda
Mungu nataka kumujengea kanisa anipe pesa
Thank you lord for blessing. Miujiza tatu ndiyo naomba hii mwaka
Mungu naomba fovour and grace nikiwa gulf
The worship team was 🔥🔥🔥 All those ladies wanatumiwa na Mungu sana. It was so so amazing!!!
I have witnessed the God of Jesus winner
Mungu nisaindie nipate passport niende ng'ambo
Daddy ulisema tuandike mambo matatu ....niko na imani sana na mungu wako na hii mwaka ni lazima tubarikiwe by fire by force
Amen hallelujah 🙏🙌🙏🙌🙏🙌
Amen Amen..God is going to perfect all things
𝒎𝒘𝒂𝒌𝒂 𝒉𝒖𝒖 2025🎉 𝒉𝒂𝒘𝒂𝒏𝒊𝒘𝒆𝒛𝒊𝒊𝒊𝒊 💪𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒏𝒂𝒕𝒂𝒌𝒂 𝒎𝒊𝒖𝒋𝒊𝒛𝒂 𝒚𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒏𝒊𝒅𝒉𝒂𝒓𝒂𝒖 𝒘𝒂𝒏𝒊𝒉𝒆𝒔𝒉𝒊𝒎𝒖, 𝒘𝒂𝒋𝒖𝒆 𝒘𝒘 𝒏𝒊 𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒖𝒍𝒊𝒖𝒎𝒃𝒂 𝒏𝒂 𝒉𝒖𝒌𝒖𝒖𝒎𝒃𝒘𝒂 ..... 𝒘𝒂𝒌𝒖𝒋𝒖𝒆 𝒘𝒘 𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖🙌🙏
Mambo matatu
Ndoa mungu ani heshimishe
Financial breakthrough ni weze kujengea munungu
Health to I and my family
Glory to Our almighty God
I trust God for international travel financial breakthroughs and a home
Mungu naomba huu mwaka nirogorwe na nipate kibali
So happy to have been there. Glory to The Almighty Living God. Happy New year 2025 the year of perfection.
Bishop you are a wonderful man of God may you live long
The year of God's perfection 🎉
Mungu anikubuke mwaka huu
Mungu aponye mamangu cancer na anifungulie milango
Thank you God for 2025...let your will be done...(you open doors which no man can close).
Mungu wangu nikubuke mwaka Huku 😢
Amen amen,, perfection
Mungu Naomba uniponye kabisa ,unipe kazi na kibali Cha ajabu,ujulikane wewe ni Mungu uliyehai.
Amen Amen Amen Amen Amen 🙏🏾🙏🏾
Alleluyah
Mungu.naomba.kipali.na.neema.ya.kufanya.kazi.yako.uniondolee.aibu.na.kicheko
Glory be to God🙏🏾🙏🏾 nimemuona mungu wa Jesus winner.
Jesus Winner Ministries, my second home ♥️
Christmas ya 2025 nitakuwa kwangu nitaita watu wakuje waone miujiza ya Mungu 🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏
Mungu naomba muujiza mmoja tu huu mwaka
Mungu naakutende 🙏
Hallelujah
The year of perfection indeed
Amen it my year God
Happy new year
The year of perfection ✨️
Mungu nataka miujiza yangu tatu kazi neema na kibali
❤❤❤❤Have ur way ooh God Everyday a prophesy at a time Gatekeepers Tusipoomba??? Liked the tongue 🌹🌹🌹🌹Great Gods work God bless.
God bless His people
Mungu naomba huu mwaka nirogorwe nipate ndoa
Napeda huku sana
Mungu wa Baba yangu wa kiroho naomba fadhili na rehema zako na utimilifu wako 2025
AMINA. Wakristo kile tumeahidiwa miaka yote mwaka ambao tumeingia mwaka wa "Perfection" Mungu Atatumizia. Mwaka huu hatutaki muujiza moja tu, tumeandika makaratasi miujiza mitatu. Chochote tumeandika Mungu Atatenda sasa katika Jina La Yesu. Mwaka huu hata kama maadui wametupiga miaka yote hawatazuia tupokee baraka zetu. Maadui wetu wameapa kwa midomo na pesa zao lakini sisi tunajua siri yetu. Miaka ingine yote wameapa kama vile mfalme Senekaribu aliapia mfalme Hezekia lakini hawatatuweza. Kufika mwaka huu it's by the Grace of God na hatutakufa. Mwaka huu ni mwaka wa Utimilifu wa Kiungu. Mungu Anaenda Kutimilisha kwa Uwezo na Nguvu Zake. Maadui, wachawi, waganga, majini yametupiga lakini mwaka wa Utimilifu hakuna mtu atatupiga.
Ruth giikwa marigiti mungu muujiza tatu anitimizie kwa mapenzi ya mungu
AMEN
Glory be to GOD 🙏
Amen Amen
Amen 🙏
Plot,kujenga na gari
Ashate yesu
Ukamilifu
Kũrũria nĩ mwega no nĩetaga mũndũ ũngĩ nũgũ na ngui
3 thing...my kids school fee nipate job nataka kujengea mungu kanisa la Jesus winner ministry..........
Let the year 2025 be my year of perfection
Still listening
Wallisema hatutabalikiwa
Me i need a job any one anaweza ni connect ntashukuru,happy new year imejawa na baraka t all watasoma
Mkora ya Kasongo
Tuheshimiane Mwanaume it's 2025 remember, Makasiriko niya nini 😳 just tell God Thank you that u are alive 🤔 kumbuka wengine they didn't make it 😢
Unakasirika na must go ni pilau tu ana kula na nyama choma 🤭 na ma drinks 😳
3:50:37 3:50:43
Wachawi wa kwetu waondoke
Mungu nisaidie nipate kazi Amen
Why can't we download?
Ati ulipaka mafuta mwizi kasongo na sakaja
Na wewe Ezekiel kwani ulikuwa kipofu kumchagua 😳,si uliamka mapema ndio best kumchagua 🙆 Tafadhali usiniharibie holiday yangu 🙄 Mwanaume,watu wana tafuta God,naona niku shiba ume shiba sana,subiri it's just 2yrs uchague mwingine wacha siasa please.
𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒖𝒏𝒂𝒚𝒆𝒕𝒂𝒘𝒂𝒍𝒂 𝒇𝒂𝒍𝒎𝒆 𝒛𝒐𝒐𝒐𝒐𝒕𝒆..... 𝒇𝒖𝒏𝒈𝒖𝒂 𝒎𝒂𝒄𝒉𝒐 𝒚𝒂𝒌𝒐 𝒖𝒐𝒏𝒆 𝒗𝒊𝒍𝒆 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒌𝒖𝒕𝒖𝒌𝒂𝒏𝒂....... 😭😭𝒕𝒆𝒕𝒂 𝒏𝒂𝒐 𝑱𝒆𝒉𝒐𝒗𝒂𝒉 🙏
Hallelujah
Amen AMEN
Amen Amen Amen
Amen Amen 🙏🙌
amen amen
Glory be to GOD 🙏
Amen
amen
AMEN
Amen 🙏🙏🙏
AMEN
Amen 🙏
Amen 🙏🏿