AMINA. Wakristo 2025 kuna Mungu Anakuja kubadilisha ratiba. Sio vile sisi tumepanga itatendeka bali ni Mapenzi Yake ndiyo yatatimia.Mwaka huu wakristo tutasimama kwa sababu Yesu Ametukujia. Ukisikia Yesu Akisema umfuate Anajua kile Amekuandalia.
AMINA. Wakristo tufuate Yesu Kristo Pekee Yake mwaka huu na tutabarikiwa. Ni wakati wa kutubu kwa sababu Ufalme wa Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho uko karibu nasi. Tukubali mioyo yetu na matendo yetu yawe sawasawa na Mapenzi Ya Baba kwa sababu ikiwa tutamuona Yesu lazima tufanane na Yeye. Leo tukate kauli kutembea na Kristo.
AMINA. Wakristo tuachane na nyavu na mashua tufuate Yesu na Atatufanya. Tukifuata Yesu Atatufanya mambo makubwa vile aliambia Andrea na Petero Atawafanya kuwa wavuvi wa watu. Heri kufanywa na kufinyangwa na Yesu Mwenyewe. 2025 tufuate Yesu Kristo na mioyo yetu yote na Atatufanya
AMINA. Wakristo 2025 kuna Mungu Anakuja kubadilisha ratiba. Sio vile sisi tumepanga itatendeka bali ni Mapenzi Yake ndiyo yatatimia.Mwaka huu wakristo tutasimama kwa sababu Yesu Ametukujia. Ukisikia Yesu Akisema umfuate Anajua kile Amekuandalia. Mahali hapo tulipo ndipo Yesu Anatukujia na Anatutaka vile tulivyo. Ni mimi na wewe tumechaguliwa kati ya wengi. Hii kutembea ni katikati yetu na Yesu. Tutembee na imani na tuwachane na kila kitu kwa sababu ya Kristo na bila shaka kile tuliacha ili tufuate Yesu hapa ulimwenguni tutalipwa mara mia na Atuzidishie na Uzima wa milele wakati utakapofika.Tuamue saa hizi kufuata Yesu. Mwaka huu hakuna jambo lingine tunafuata Yesu Aliye Mbinguni na Aliye hai.
AMINA. Wakristo tufuate Yesu Kristo Pekee Yake mwaka huu na tutabarikiwa. Ni wakati wa kutubu kwa sababu Ufalme wa Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho uko karibu nasi. Tukubali mioyo yetu na matendo yetu yawe sawasawa na Mapenzi Ya Baba kwa sababu ikiwa tutamuona Yesu lazima tufanane na Yeye. Leo tukate kauli kutembea na Kristo. Kwa Mungu lazima tulainike. Yesu Ako hai watu wasikudanganye Amekufa. Alifufuka na Amekalia Mkono wa Kuume wa Mungu Baba. Yesu Anatuhitaji mwaka huu. Anajua biashara zetu lakini ni sisi Anahitaji 2025. Anahitaji mioyo yetu na mawazo yetu na Ako tayari kulipa gharama ili Atukujie. Sio wote ni sisi tunatafutwa, tunahitajika, na tunatakikana 2025. Tuangalie kwa Yesu kwa sababu tumejaribu mambo mengi yakishindikana.
AMINA. Wakristo tuachane na nyavu na mashua tufuate Yesu na Atatufanya. Tukifuata Yesu Atatufanya mambo makubwa vile aliambia Andrea na Petero Atawafanya kuwa wavuvi wa watu. Heri kufanywa na kufinyangwa na Yesu Mwenyewe. 2025 tufuate Yesu Kristo na mioyo yetu yote na Atatufanya kuwa watu hatuwezi fikiria tunaweza kuwa. Tukate kauli papo hapo na ili tuweze kufuata Yesu na kuandamana Naye. Mwaka huu ni kuachilia kile tumeshika mara moja ili tufuate Yesu Kristo. Maneno ni machache na ni kufuata Yesu. 2025 sio kutembea na watu wengine lakini ni kutembea na Yesu Kristo Pekee Yake. 2025 hoja ni kutembea na Yesu Wa Nazareti kwa maana Yeye Ndiye Mwenye uzima. Tuachane na biashara ya familia tumfuate Yeye Pekee Yake.
Amina🙏🙏🙏🙏
Amina
Ni mimi yesu anahitaji

Amen
Tuned in