Sis shenna nakufatilia muda ila nilikua sijui vipi si subscribe wala kucoment ila nimejifunza vingi sanaaa kiukweli ubarikiwe karibu Tanzania ukija zanzibar ndipo napambana nitafute tu nitakua tour guide wako ❤
Yaani kwenye swala la maji,umeme na miundombinu kwakweli ukikumbuka TZ unaanza kuwaza hivi nikirudi nyumbani itakuaje😂😂😂,maana yale mambo ya Huooooo Umerudiiii tushasahau😂😂😂
Mimi huwa nashangaa, mara nyingi wanaopata Bahati ya kuwa na mahusiano ya karibu sana na watu wa Mataifa mengine, huwa wanasema walikuwa hawajawahi kupanda ndege wala kutoka nje ya mipaka yetu!
Unachoshangaa haswa ni kipi? Sasa Kama huna safari yakupanda ndege ufanyeje unataka kusema kwamba watu wote tuna hali sawa kimaisha 😳😳acha kushangaa utapotea 😏😏😏
Shena kunaswali umesahau kumuuliza kipindi amefunga ndoa anasubili visa ya kwenda ujerumani je alikuwa tayari amesoma lugha levo ya A1? Au kwa sasa huo mfumo haupo ukioa au kuolewa cheti cha lugha sio kigezo? Maana sijaona akizungumzia kama ilimlazimu kusoma lugha kwanza kabla ya ndoa au kuomba visa Naomba kufahamu
Please subscribe kwa youtube channel yake: ruclips.net/video/mM-QLfjo7sU/видео.htmlsi=puDQl7NRWS-TQw01
The guy is very humble and Im impressed. Keep that calm mind my brother, na usimsahau Mungu.
He is amazing 🎉
Nice story
Shena namie naomba unihoji nipo Ujerumani 😋🙈am serious
Karibu sana, tuwasiliane whatsapp +4367764790884
Msijinyamazishe kijana wetu pia ni Mr handsome lazima mwali wetu angemkwamilia tu😅😅
Ila kina Ben wengi uwa wako seriously, 😊😊😊 wanapenda sana familia zao
Hi hope will learn a lot
Kazi kazi kazi kazi.
dadaangu shikamoo, nakupenda kwa story zako momy ❤
Shukran, ahsante kwa suppprt 🙏
Sis shenna nakufatilia muda ila nilikua sijui vipi si subscribe wala kucoment ila nimejifunza vingi sanaaa kiukweli ubarikiwe karibu Tanzania ukija zanzibar ndipo napambana nitafute tu nitakua tour guide wako ❤
🎉
Yaani kwenye swala la maji,umeme na miundombinu kwakweli ukikumbuka TZ unaanza kuwaza hivi nikirudi nyumbani itakuaje😂😂😂,maana yale mambo ya Huooooo Umerudiiii tushasahau😂😂😂
Nimerudi kutoka Tanzania wiki mbili zilopita kwa siku moja umeme ulikatwa mara 5 yaani mwisho nikabaki kucheka tu badala ya kukasirika 😢
Its very sad aiseee
Karibu sana kwenye kipindi
Huyu kaka anampenda mke wake yani unaona tu macho yake akimzungumzia mkewe 🥰wachache sana
Kweli Kabisa
So lovely 🥰
Sana nimempen da sana, mkweli, na anampenda na kumuheshimu mke wake, na anaheshima sana anavyoongea unaona alivyo na heshima
Story mzuri❤
Mschana wa kibongo akwambie pesa sio kila kitu, muuuh
Kuhusu kwenda Kanisani, kumbuka kwamba iliandikwa.... "Wa kwanza watakuwa wa mwisho!" Kwa kuwa wao walitangulia kusali.... ndiyo hivyo!
uninganishe kwenye grup rako
Mimi namtafuta kazi hata za ndani
Mahusiano ya jinsia moja hayawezi kuwa kawaida kamwe,
Jamaa anajieleza sana
Very interested story
Glad you liked it
dada hujambo
Jambo, jamboo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimewahi.kumuona some where ben
Bss bongo star serch
Mimi huwa nashangaa, mara nyingi wanaopata Bahati ya kuwa na mahusiano ya karibu sana na watu wa Mataifa mengine, huwa wanasema walikuwa hawajawahi kupanda ndege wala kutoka nje ya mipaka yetu!
Unachoshangaa haswa ni kipi? Sasa Kama huna safari yakupanda ndege ufanyeje unataka kusema kwamba watu wote tuna hali sawa kimaisha 😳😳acha kushangaa utapotea 😏😏😏
Eeeh chakushangaza nini sasa kama mtu kweli ajapanda ndege.
Sasa kinacho kushangaza ni nini? Ulitaka waongope? Mtu anasema ukweli wake wewe unashangaa.
Washazoe kudanganywa kwetu matajiri uongo mtupu
Is this live
Ben interview yote utasimama😅
😅 ila kajitahidi
Shena kunaswali umesahau kumuuliza kipindi amefunga ndoa anasubili visa ya kwenda ujerumani je alikuwa tayari amesoma lugha levo ya A1? Au kwa sasa huo mfumo haupo ukioa au kuolewa cheti cha lugha sio kigezo? Maana sijaona akizungumzia kama ilimlazimu kusoma lugha kwanza kabla ya ndoa au kuomba visa Naomba kufahamu
Lazima A1 ni sheria ya ujerumani ili mtu apate uwezo wa kuijitambulisha
Dada shena habari yako?