Aggy we amua moja uwe mkaza mganga acha mapenzi na wenyewe wanao pendana wewe ni mtoto wa 2000 tulia dada aggy uache wenyewe wa miaka ya kukomaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@Benti-f3o 😀😀😀😀😀😀 umeongea na hayo mstibabu sasa kumbe yanaenda na siku maana siku moja ni mara moja siku mbili ni mara mbili na hiyo ya mwisho sasa ndo mimba maana ni maratatu we huogopi 😀😀😀😀humu tu patamu hapo
Baby aggy hebu nambie amfanya nn huyo mganga hpo chini shosti kinkuramba kwel ila sio shida yngu udugu wangu,wow ndewa kwel ama watupaka mafuta n mgongo wa chupa
Akuna siku umenifurahisha kama leo ndewa
Ndewa nakupend bure una msimamo san kaz nzuri San mungu awafanyie weps w na sada jamn ❤❤❤❤
Ndewa umejua kunifurahisha
Ndewa kama ndewa kwa sasa jmn 🎉🎉🎉🎉🎉 chukua umekuwa na msimamo ila agi utavuna mimba kwa mganga ka sania 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Gwambuto ww sio mganga ,ww tapeli tiba gani y kuvuana machupi looooh😂😂😂😂😂
Ila ndewaaaa basi umebadilika du hongera
Ndewa wetu jamn❤❤❤❤❤mauwa yako kaka
Ndewa kama ndewa umekuwa baba Sasa hongera sana Sada umeshinda umepambania penzi lako ❤😂😂
Braza braza unakera wewe msomalia😂😂😂
Sending wee noma
😂😂😂
Yan kwenye hii moves sipend huyo kijana anaejiita msomali chefu Yan episode za mbele tutoleen huo uchafu
Kbsaa
Kwel kabisa
Umeonaeee yani chefuu
Kwani kai anajikuta nani eti lazima sada aende kwa shuguli yake😮😮😮🇰🇪
Mapenz ya tamua aggi
Msomali na kizungu aki 😂😂😂😂😂listen me
Huyo msomali ananiboa na hicho kingereza chake cha english course mimi😏😏😏 si aongee kiswahili chefuuu
Ndewa wazingua
😂😂Yani uyo gwambuto kama mganga wa sania na kendi aasaante
Baby aggy umbea umeachia nani🎉
English ya msomali its englishing
Kai tuliza hasira zako 😂😂 ila dogo amejua kukupanga😂😂😂
Ndewa saiz nakupenda Bure una misimamo chukua mauwa yako🎉🎉🎉🎉
Aggy yamekukuta😅😅🇰🇪🇰🇪
Amakweli ushirikina nimbaya niheri kumtegemea mungu manamashariti unayopewa niya kishetani ilamungu hutupa baraka bila hata masharti 😢😢😢
Amina umenena
😂😂😂😂 ndewa skuhiz ana jua kuwachamba
Msomali na hicho kizungu chako😅😅😅
❤❤❤❤❤ Wakawaka
Congratulation kaka ndewa kwa msimamo wako yani nimeamini mapenzi hayana cha uchawi
Mama maila unajidai unajidai unyash unamzid sada mapenz sio nyash ndgu
Aggy we amua moja uwe mkaza mganga acha mapenzi na wenyewe wanao pendana wewe ni mtoto wa 2000 tulia dada aggy uache wenyewe wa miaka ya kukomaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu ataekw mimba kama sania😂😂😂
@@Benti-f3o 😀😀😀😀😀😀 umeongea na hayo mstibabu sasa kumbe yanaenda na siku maana siku moja ni mara moja siku mbili ni mara mbili na hiyo ya mwisho sasa ndo mimba maana ni maratatu we huogopi 😀😀😀😀humu tu patamu hapo
Nagupenda Sanaa ndewa❤❤❤️❤️🎉
Mashallah ❤❤❤❤❤
Wewe kandele acha kuingilia mapenzi ya kaka Yako muache na maamuzi yake na wewe tafuta wako sio unampangia kaka yako❤❤❤❤
Baby agy ukitoka hiz sik3 wewe ni mama kichajoooo😂😂😂😂😂😂 wapi ndewa sukar ya warembe ss hatak ten kashakinahiii 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ndewa 🫂 💋...kweli shetani hubadilika akawa malaika
Nakupenda ndewa kazi yko nzuri sana ❤❤
🎉🎉 Félicitations Dewa kuwa kwenye mu simamo ❤❤❤ mwanaume ni mu simamo naku pingiya ongera sana🎉🎉
Waka Waka ni moto
❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂 hii tiba ya aggy nayo ni deadly
Yu mabilich nae pia yuwataka ndewa mtu mzima ovyo😂
ʙʙʏ ᴀɢɢʏ ᴀᴍᴜᴀ ᴋᴜᴡᴀ ᴍɢᴀɴɢᴀ 😅😅😅 ᴀsʜᴀɴᴏɢᴇᴡᴀ🎉
Nimewahi leo😂😂😂 timu hamamu 😂
Baby aggy anapata mimba ya mganga 😅
Kma ya sania aky baby agy
Mauwa kwa ndewa please ndewa us8badilike tena uwe hivyo hivyo🎉🎉🎉
Nachukia uyu kijana anajiita msomali
Huyu musomalia ninoma sana kaziyake kuombaomba anajifany anaenda bandalin😂😂😂😂
Baby aggy hebu nambie amfanya nn huyo mganga hpo chini shosti kinkuramba kwel ila sio shida yngu udugu wangu,wow ndewa kwel ama watupaka mafuta n mgongo wa chupa
ᴊᴍɴ ᴀɢɢʏ😂😂😂ᴍsᴋɴ 😅😅😅 ᴀɴᴘᴛᴀ ᴛᴀʙᴜ ᴋᴡʟ😅😅
Jmn majina mengine yanazinguwa iti ni nani vile. Kandere 😂😂😂
Hii kizungu yako achana nayo tu
Mizimu haijui kingereza
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂
Mmmh kandele umetisha ❤❤❤❤❤❤
Yaan waganga waongo jamani kaaa
Agi subilia mimba tu hapo hakuna mganga anaeomba laundry 1/2/3😂😂😂😂 Kwakweli pole sana 🏃🏃🏃🙌🙌🙌🙌🙌
❤❤❤❤🎉🎉
Alafu huyu anajiita msomali nimuha msomali wa kigoma😂😂😂😂
Jmn ndewa kwasasa umekua
Ziko wapi likes za ndewa kwa kukuwa na msimamo wake kwa sasa ❤❤🎉🎉
🙏🙏🙏❤️❤️🇧🇮🇧🇮
😂😂😂