PAKA WANGU episode 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025

Комментарии • 380

  • @ZainabujumaVyoni
    @ZainabujumaVyoni 6 месяцев назад +54

    M nkimuona mwakatobe tu nakumbuka msemo wake wake " umehangaika na uno la sogojooo umeneng'enekaaa😂😂😂😂😂😂😂😂mpka umepata mimba"😂😂😂😂😂

    • @Fatumabeuty-bx1qo
      @Fatumabeuty-bx1qo 6 месяцев назад +2

      😂😂😂𝙪𝙮𝙪 𝙢𝙯𝙚𝙚 𝙣𝙖𝙢𝙥𝙚𝙣𝙙𝙖𝙜𝙖 𝙢𝙞𝙚,

    • @ZaylinahNindae
      @ZaylinahNindae 6 месяцев назад +2

      😂😂❤❤

    • @ZainabujumaVyoni
      @ZainabujumaVyoni 6 месяцев назад

      @@ZaylinahNindae 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @bayuukujua4075
      @bayuukujua4075 6 месяцев назад +1

      😂😂😂

    • @NaifinMohamed
      @NaifinMohamed 5 месяцев назад

      Naona kuanza kaanza na Hilo uno😅😅😅

  • @MasauShida
    @MasauShida 6 месяцев назад +26

    Kazi nzuri sana Mr. Mwakatobe🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AsmaEdgar
    @AsmaEdgar 6 месяцев назад +6

    Napenda sana kazi zako bro mwakatobe mungu awaongoze

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 6 месяцев назад +14

    Mwakatobe Huyo pashambe sijui kama si mchawi kweli duuuu❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😢😢

  • @MathiasSankala-gh1jh
    @MathiasSankala-gh1jh 6 месяцев назад +9

    Mwakatobe na pashambe nawapenda sana ham,boi data zangu hazipoi mnanitekenya sana jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @VeronicaMkasa
    @VeronicaMkasa 6 месяцев назад +6

    Kazi nzuri sana Mr. Mwakatobe💞

  • @abuubaya1872
    @abuubaya1872 6 месяцев назад +5

    Mwakatobe ako levo za juuu 😂😂more fire ❤❤❤❤❤

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 6 месяцев назад +7

    Paka ninae na ninatamba nae😂😂😂😂😂😂❤

  • @moonmoonrick1308
    @moonmoonrick1308 6 месяцев назад +9

    1st one from canada

  • @HanifaSalum-u7f
    @HanifaSalum-u7f 5 месяцев назад +11

    tunapenda sanaaa unavyoigiza mwakatobe lkn tumia tafsida
    nzur coz watt ni weng sanaa wanaokufatilia na wanaiga maneno yako kwahy punguza baadh ya maneno ya ovyo

  • @ChozyWilson
    @ChozyWilson 6 месяцев назад +3

    Kazi nzuri sana hamna show mbovu haya siku moja hongereni sana

  • @AsumaniJuma-u2r
    @AsumaniJuma-u2r 6 месяцев назад +10

    Wakwanza Leo 🎉🎉🎉🎉big up sana mwakatobe✌️✌️✌️

  • @Hamisi8465
    @Hamisi8465 6 месяцев назад +9

    We mwakatobe haujui... 😅😅😅Noma sana... Wa kwanza kutoka kenya🎉🎉🎉🎉

  • @Nkeshimana-p1z
    @Nkeshimana-p1z 6 месяцев назад +6

    Ubaya ubwela, Asante Simba kwakutuletea msemo mpya

  • @ShukraniSadock
    @ShukraniSadock 5 месяцев назад +7

    ama kweli #CLAM VEVO hazalishi kizazi kby mpo fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @KikohBoy
    @KikohBoy 6 месяцев назад +11

    Nina mashaka na pashambe huyu baba atakua mchawi kweli maana kakaa ki wizard sanaa huy baba

  • @Mosetieunice
    @Mosetieunice 6 месяцев назад +6

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Much love from Kenya 🇰🇪

  • @saidiabdalahshabani941
    @saidiabdalahshabani941 6 месяцев назад +4

    Ila mwaka tobe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂huu kwer niubaya ubwela

  • @QueenJaydee-qv1uv
    @QueenJaydee-qv1uv 6 месяцев назад +3

    Nakupenda bure mwakatobe

  • @PhinarBotea-ed3xm
    @PhinarBotea-ed3xm 6 месяцев назад +6

    Pashambee unapendezaa sana kuigizaa uchawiii

  • @munirajackson2695
    @munirajackson2695 6 месяцев назад +5

    Mwakatobe unajua unajua paka unajua Tena🌹🌹🌹mauwa yk

  • @FaidhaYusuphu
    @FaidhaYusuphu 6 месяцев назад +8

    me movie zote pashambe simuelewi😂😂😂😂😂😂ka bimwenda na chendu khaaa😂😂😂😂😂

  • @PaisibleKasamukulu
    @PaisibleKasamukulu 5 месяцев назад

    Kazi nzuri sana .mwakatobe .f.d.congo

  • @MomadeAbdala-x5k
    @MomadeAbdala-x5k 6 месяцев назад +6

    Mwakatobe unajua sana💖

  • @StephenMarwa-m6d
    @StephenMarwa-m6d 5 месяцев назад +1

    Safi Sana plazamen kazi nzuri ❤❤

  • @josephwaroshi2550
    @josephwaroshi2550 6 месяцев назад +2

    ❤cool mwakatobe

  • @5starkiriatv440
    @5starkiriatv440 6 месяцев назад +3

    Mwaka tobe kimboka bonge lá papã kula kumaliza dadeki 😅😅😅😅😅😅

  • @canalmasoud9561
    @canalmasoud9561 6 месяцев назад +4

    napenda sana kazi za mwakatob ila unaneng'ekaaaaa paka wangu mnaigandisha sana mbona

  • @DjsimpleAlitchoki67
    @DjsimpleAlitchoki67 6 месяцев назад +4

    Mwakatobe ni danser mzuri😀😀😀😀

  • @LievinNyandwi-qk8ys
    @LievinNyandwi-qk8ys 6 месяцев назад +2

    Kazi nzuri mungu awapatiye nguvu

  • @NadiaIbrahim-fn4rh
    @NadiaIbrahim-fn4rh 5 месяцев назад +2

    Jamani na mzee mchawi mtutolee muendelezo

  • @BarakaYahya-p8q
    @BarakaYahya-p8q 6 месяцев назад +8

    Wakwanza mm mkuuu 😊

  • @Omarionkichege
    @Omarionkichege 6 месяцев назад +5

    Mwakatombe😂😂😂 UBAYA UBAYA

  • @fridacharles4173
    @fridacharles4173 6 месяцев назад +8

    Pashambe 🔥🔥🔥😂😂😂

  • @mechne803
    @mechne803 5 месяцев назад +1

    Kazi nzuri sana hongereni 🎉🎉

  • @angelanna4427
    @angelanna4427 6 месяцев назад +5

    Good job mwakatobe 🎉🎉🎉🎉

  • @Shaddy255
    @Shaddy255 5 месяцев назад +1

    😂😂mwakatobe my favourite ❤

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 6 месяцев назад +9

    Namba 1

  • @MartinhoAnselmo
    @MartinhoAnselmo 6 месяцев назад +2

    Mimi kama shabiki wa paka,naomba wimbo huuo...

  • @JejemingaMinga
    @JejemingaMinga 6 месяцев назад +7

    Mzee mchawi😅😅pashambe anamtaka paka wake sio ela zenu😢😢

  • @MbwanaPindo
    @MbwanaPindo 5 месяцев назад +1

    Unikiwa na mawazo dawa yangu ni kuangalia muvi za mwakatobe ..respect bro mungu akuwekee miaka 1000000..

  • @djbigchance-z1q
    @djbigchance-z1q 6 месяцев назад +2

    Mwakatobe❤❤❤❤ paka wangu

  • @BetoRamadhani
    @BetoRamadhani 5 месяцев назад +3

    Akaka mwakatobe unatisha malizia mzemchawi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🦁🦁🦁🦁ubaya ubwela

  • @alitante4279
    @alitante4279 6 месяцев назад +3

    Mwakatobe ,Ubaya ubwela😂😂

  • @MwanduKombe-wp8dm
    @MwanduKombe-wp8dm 6 месяцев назад +3

    You are definitely a champion mwakatobe

  • @SideBway-j6o
    @SideBway-j6o 5 месяцев назад +1

    Msami Jojo or Henry kazi nzuri sana

  • @MikajoseNankola
    @MikajoseNankola 6 месяцев назад

    Mwakatobe tena anavyopenda sifa tutaona Mambo mengi sana humu

  • @SabrinaLilian-z4j
    @SabrinaLilian-z4j 5 месяцев назад +1

    Kazi nzuri sana

  • @SelemanWacheni-zr6ck
    @SelemanWacheni-zr6ck 5 месяцев назад +2

    Mwakatobe mwanang san

  • @diebrock6494
    @diebrock6494 6 месяцев назад +2

    Wakwanza from Burundi♥♥♥

  • @SalmaMakilika
    @SalmaMakilika 6 месяцев назад +1

    Pashambe anawezea kuigiza roho mbayaa.Big up

  • @PhinarBotea-ed3xm
    @PhinarBotea-ed3xm 6 месяцев назад +5

    Iyo miuno mwakatobee😂😂😂

  • @petrongimbudzi
    @petrongimbudzi 6 месяцев назад +3

    Ubaya ubwela 😂😂😂😂

  • @MosiMohhamed
    @MosiMohhamed 5 месяцев назад +1

    Mwakatobe movie zakozotenzuri ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂

  • @ratifaiddyabdala8932
    @ratifaiddyabdala8932 6 месяцев назад +1

    Kaz nzuli ,,, mr mwakatobe 🎉🎉

  • @GlasfoldJackson
    @GlasfoldJackson 6 месяцев назад +4

    Ww mwakatobe ni noma nitakupa 🙆

  • @officialChamboy
    @officialChamboy 5 месяцев назад +2

    Mmemlipa uyo paka au anaambulia mifupa bwana mwakatobe😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @djaahdjaah3658
    @djaahdjaah3658 6 месяцев назад +4

    Pashambe ni noma😅 🙌

  • @dicksonbenard1741
    @dicksonbenard1741 6 месяцев назад +4

    Ubaya ubwela hatimaye umefika kwa mwakatobe 😂😂😂😂

  • @MahmoudMussa-n8p
    @MahmoudMussa-n8p 5 месяцев назад +1

    Mwakatobe unajichua sana ukera

  • @RedmiA3-g8w
    @RedmiA3-g8w 6 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤❤❤ Haina baya kazi nzur

  • @hansbertmkonji8677
    @hansbertmkonji8677 5 месяцев назад +1

    Pashambe huwa namuigopa sana jindi anavofanya kwenye movie unaweza kuhisi ni mchawi kweli 😂😂😂😂😂😂

  • @SlayQueen-gf3ck
    @SlayQueen-gf3ck 6 месяцев назад

    Kazi nzuri Mwakatobe🎉 nipo zangu 🇲🇿

  • @HamisAlly-gj3wv
    @HamisAlly-gj3wv 5 месяцев назад +1

    Anakuambiaje paka anasamani kubwa kuliko pesa❤❤❤❤❤

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 6 месяцев назад +7

    ❤❤❤

  • @SelemaniIddy-nc1n
    @SelemaniIddy-nc1n 6 месяцев назад +8

    Ngoja nicheke kwanza 😂😂😂😂😂😂😂 mwakatobe mm nikikosana na dm wangu naaangalia move zako kwanza unaaza kucheka na move ninzuri nakubali mwakatobe 😂😂😂😂😂

  • @shivobs4485
    @shivobs4485 6 месяцев назад +28

    Pashambe amekaa ki wizard sana 😂😂😂 like zake jaman

    • @ARONPaul-bz3ws
      @ARONPaul-bz3ws 6 месяцев назад +1

      Pashambii chawiii sana😅

    • @shivobs4485
      @shivobs4485 6 месяцев назад +1

      @@ARONPaul-bz3ws sanaaa

    • @ZaylinahNindae
      @ZaylinahNindae 6 месяцев назад +1

      Had mwakatobe nae😂😂

    • @shivobs4485
      @shivobs4485 6 месяцев назад

      @@ZaylinahNindae mwakatobe mchawi mzoefu

    • @josephgerald5540
      @josephgerald5540 5 месяцев назад +1

      😅😅 kama chawii😂

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n 6 месяцев назад

    Kazi nzuri bro mwakatobe big up sana

  • @ImraniKodi
    @ImraniKodi 6 месяцев назад

    Nakubali xana kazi zako Tena ukiwa napaxhambe movie lazma iwe mzur xana xana

  • @ReemaM-i5t
    @ReemaM-i5t 6 месяцев назад

    Congratulations 👏🎉❤ mwakatobe kwa kazi nzuri

  • @Ibrahimlundenga
    @Ibrahimlundenga 5 месяцев назад +1

    dar pashambe wa moto Sana kweny uchawi

  • @NobreDacapim-g3x
    @NobreDacapim-g3x 5 месяцев назад

    Atakavyo kuja Ndo Nitakavyo mpokea hivyo Hivyo, smart Saná

  • @EmanuelMtafya-zw1xm
    @EmanuelMtafya-zw1xm 6 месяцев назад +1

    Mwakatobe geanus🎉

  • @fashyahmed4135
    @fashyahmed4135 6 месяцев назад +3

    Shida humaliz movie em maliza moj Moja kwnz bana we vp

    • @EliaJohn-jj1qj
      @EliaJohn-jj1qj 6 месяцев назад

      Kweli yeye hatulii huyu mzee wa kichawi😇

  • @VictorEzekiel-go2um
    @VictorEzekiel-go2um 5 месяцев назад +1

    Never give up mwakatobe

  • @HASSANILUSESE
    @HASSANILUSESE 5 месяцев назад +2

    awa jamaa wanatisha

  • @ChristineAsifiwe
    @ChristineAsifiwe 6 месяцев назад +1

    Zumba siyo kwakunengeneka uko yani kiuno unakiachiya kama ivo 😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @SwaumJuma-i7q
    @SwaumJuma-i7q 5 месяцев назад

    wana cimb tunatamb ubaya ubwelaaa paka tunao na tunaixh nao weweeeeeeeeee❤

  • @AshuraaHamis
    @AshuraaHamis 3 месяца назад

    Ndoman nakupenda mwakatobe 😅😅❤🎉

  • @bakarihamisprajabu9053
    @bakarihamisprajabu9053 6 месяцев назад +2

    Mwakatobe we zuchu tu😂😂😂

  • @patriciachangawa1754
    @patriciachangawa1754 6 месяцев назад

    Pashambe nakukbali sana kwa sala lakuingiza uchawi hubahatish uko vizuri

  • @JumaaKombo-fm1fz
    @JumaaKombo-fm1fz 6 месяцев назад +1

    Ubaya ubwela😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @RazakKitambulio
    @RazakKitambulio 5 месяцев назад +1

    jamaa uk poa sana nikimuona 2 najua kanzii imeishaa mwakatobe unajua

  • @MariamMariam-h8h
    @MariamMariam-h8h 5 месяцев назад +1

    Uyo kakaake mwakatobe kafanana na clam vevo kweli

  • @KASSIMWAZILIWAZILI
    @KASSIMWAZILIWAZILI 6 месяцев назад +1

    Ubaya ubwela Kula paka wangu😅😅

  • @DesireGahungu-m9w
    @DesireGahungu-m9w 6 месяцев назад +6

    Mwakatobe tunaomba usiwe unachelewesha mzigo sbb hatutaki mbambamba ao sio

  • @moses-movie
    @moses-movie 6 месяцев назад +1

    hongera sana

  • @JonathanNelson-l8h
    @JonathanNelson-l8h 6 месяцев назад +17

    Mwakatobe ana madini na maneno mengi ya ajabu na hayaishi😂😂 kwa kifupi ni kijana wa hovyo🎉🎉🎉🎉

  • @Ravascohuncho
    @Ravascohuncho 6 месяцев назад +5

    SANAAA😂

  • @PATIBOY05
    @PATIBOY05 6 месяцев назад

    Wow Leo mimi wakwanza kutoka Canadian naomba like zangu

  • @MzeeRaca
    @MzeeRaca 6 месяцев назад +5

    One love ❤❤❤💯💯

  • @JustinMusukuma-s1w
    @JustinMusukuma-s1w 5 месяцев назад +1

    Mwakatobe weninoma nawapenda nye

  • @AHIMTYKIJANGWANIPEMBA-bc2wj
    @AHIMTYKIJANGWANIPEMBA-bc2wj 5 месяцев назад +1

    Kabla kuku hajanya kabla jogoo hajawika duuuuh

  • @AllyTitta-ww2jj
    @AllyTitta-ww2jj 5 месяцев назад +1

    🎉🎉maua yako

  • @PendoJoseph-vm1oc
    @PendoJoseph-vm1oc 6 месяцев назад +1

    Mzee wa mmmm nakukubali pashambe

  • @ChamaChamapinduzi-z6t
    @ChamaChamapinduzi-z6t 4 месяца назад

    Good job my brother mwakatobe 💪💪👊

  • @GraceChege-gy5sk
    @GraceChege-gy5sk 6 месяцев назад +1

    Nyama ya mwanangu iko wap

  • @Ekerenga045
    @Ekerenga045 6 месяцев назад

    Mwakatobe,,,,,,kazi safi

  • @mercymwendo2990
    @mercymwendo2990 6 месяцев назад +1

    😂😂 mwakatobe bhn😅😅

  • @CharityMutheu-s2q
    @CharityMutheu-s2q 5 месяцев назад

    Oyo miuno ya mwakatobe yaaani humu tu 😂😂😂😂😂