Ubarikiwe Mchungaji kwa kuhubiri kweli, kwanza hayo mawigi ni kujidharau mwenyewe, unawekaji kichwani nywele za marehemu wa kihindi na kuidharau asili yako!! Mungu awafunulie na Wachungaji wengine neno hili.
Ubarikiwe muchungaji mama ubarikiwe mungu akupe nguvu aendelee na safari naweza nikasema unabahati nzuri umemupokea bwana wakati muzuri Saana yesu yu karibu Yuko njiani anaweza kufika muda wowote .
Watumishi wengi sana wanaogopa kusema ukweli kwasababu wanaamini wataondokewa na washirika,dunia imewameza wameileta kanisani! Ubarikiwe sana hata Mimi ndio Injili ninayoihubiri sana
Mchungaji hapa Kenya hakuna mchungaji wa ukweli, waongo na matapeli tupu. sasa nikitoroka ntapata wapi mafundisho, afathali nikusikize ww hapa na kufata mafundisho jinsi ipasavio, MUNGU wa amani akulinde🙏🙏🇰🇪🇰🇪.
Binafsi, najua Injili ya kweli ni ile ya kufundisha fundisho sahihi: kwamimi naamini mwanamke anapaswa kupambwa na kujipamba kwa ukiasi, kwani hata Sara na Rebeka mke wa Israhimu na Isaka inaonyesha walikuwa wanajipamba kwa Pete na vikuku soma Mwanzo 24:22 na Mwanzo 24:47 Wanawake wanapaswa kuambiwa kuwa yawapasa kujipamba wakiwa na moyo wa ukiasi, na wasipende kuiga kila kitu kilichopo duniani: Ahsante
Kwenye Biblia, maagizo yanayohusu kusuka na kujipamba yalitolewa ku wahimiza wanawake kutilia maakini kujipamba kwa undani. NYAKATI HIZI watu wengi wana hubiri na kufundisha kulingana na hisia zao tena shuhuda nyingi zina leta mtafaruko mwingi kwa kanisa. Tuji hadhari SANA na mafundisho ya kuchangaya imani za watu. Naomba kuwauliza maswali enyi wenye mafundisho yanayo wakemea wanawake. ENDELEA KUSOMA 1. Mwenyezi Mungu ametupa sisi wanadamu maarifa mbali mbali. Amewezesha wanadamu kuvumbua na kutengeneza vitu fulani fulani vya kuwasaidia binadamu kwa matumizi yao ya kimaisha. Kwa mfano: Mtu anapo poteza mguu kupitia ajali au ugonjwa - uvumbuzi wa miguu bandia unawezesha mtu huyo kutumia MGUU bandia. Mtu anapo poteza mkono kupitia ajali au ugonjwa - uvumbuzi wa mikono bandia unamwezesha kutumia MKONO bandia. Mtu anapo poteza MENO kupitia ajali au ugonjwa - uvumbuzi wa meno bandia unamwezesha kutumia MENO bandia. Kwanini basi tuna kemea wanawake wanapo tumia wigi (nywele bandia)? Ina maana kusema hatuelewi kwamba mwanamke anaweza kupoteza nywele kupitia AJALI AU OGONJWA? Kama ni sawa kuruhusu watu wengine kutumia vitu bandia (kama meno, macho, mguu, mkono) mbona inakua dhambi mwanamke anapo tumia nywele bandia? Wanawake wengi wana magonjwa yanayo sababisha kupoteza nywele. Magonjwa kama thyroid disease, diabetes, PCOS, saratani, na mengineo yanaweza kusababisha mtu kupoteza nywele. Sasa mwanamke anapo funika uchi wa kupoteza nywele kwa kutumia wig ama weave hiyo ni dhambi??? 2. SWALI LA PILI Mwenyezi Mungu ndiye amewapa wanadamu vipawa tofauti. Wengine ni madktari, wengine ni engineers, wengine ni hairdresser, stylist, barber, fashion designer, tailor etc. Sasa mtu aliye pewa kipawa cha hairdresser ama beautician na anapata RIZIKI yake kwa kutengeneza wenzake nwyele, huyo mtu anatenda dhambi???? Hiyo riziki yake ama KIPAWA chake kimetoka kwa nani? Ina maana kusema hatutambui au kuheshimu vipawa kama vya ma designer, kinyozi, hairdresser na kadhalika? Kwani vipawa vikubwa pekee ndivyo vipawa kutoka kwa Mwenyezi Mungu?
@jossy acha kitumia akili za kibinadamu kitafsiri mambo ya Mungu,Utakuja kidaiwa kwa kipotosha watu wa Mungu.mapambo na vipodozi ni machukuzo kwa Mungu,inabidi kwanza utubu dhambi na kuziacha yaani uokoke,ndipo utakapofunuliwa Siri hii,
Mchungaji na mimi pia nilibadika kupitia wewe, sikuzote sikujua kama ni thambi sasa nimebadilika kabisa mimi ni mshirika wako tokea 🇰🇪🇰🇪 Kenya,natamani nije nikuone majaliwa🙏🙏.
Daaah _mm nilijaribu kuwahubiria wakina mama kanisani kwetu baadhi wakina mama waliondoa hayo mapambo _lakin mchungaji akambiwa kuwa na wambia wakinamama wasijipambe duu mchungaji alinihubilia kweli lakin naamin Mungu ata tenda
Mchugaji mi mkewagu aliku Ana mimba alijifugua kwa upalesheni kwa sababu alioneka kuwa Ana pulesha na alipo jifungua ala majini yaka muingia lakini aliobeawa yaka toka lakini kichwa kina muama mala kinahcha mchugaji wagu naoba umuombe mkewagu
Swali, Mwanamke no 1.ana mapambo ya mwilini mengi tu. Ila ana matendo/maisha matakatifu, hana wala hashiriki ovu lolote ulijualo chini ya jua, Lkn mwanamke no 2 huyu hana pambo lolote mwilini zaidi ya nguo aliyovaa, lkn maisha yake yamejaa maovu na machukizo kwa Mungu na wanadamu, je kati ya hawa 1 na 2. yupi anampendeza Mungu .?
Wanawake wanapaswa kujipamba na kupendeza, msidanganyike kuwa muwe na muonekano kama wanaume, nyinyi mliumbwa kupendeza, pendezeni: ila mjipambe mkiwa na moyo wa ukiasi mioyoni mwenu mkimtanguliza Mungu kuwa namba moja na mapambo namba 2: Ukisima Mwanzo 24 utaona Rebeka mke wa Isaka alipambwa kwa mapambo kutoka kwa baba mkwe wake Ibrahimu hii inaonyesha hata Sara alikuwa anajipamba kwa mapambo ya dhahabu, mavazi mazuri, na vikuku: Kikubwa Mungu mpe namba moja mambo mengine yafuatie uku ukikumbuka tunda la ukiasi.
Mafundisho mengi ndio yana kimbiza watu kutoka kwa makanisa. Mchawi akija kanisani huku amevaa mavazi marefu na kitambaa kichwani - atakubalika na kukaribishwa kwa sababu amevaa mavazi "yanayo stahili" LAKINI mwanamke ambaye bado hajafahamu utakatifu na ana moyo wa kumjua Bwana na kujifunza Neno, anapokuja kwenye kanisa akiwa na mavazi "ya kidunia" mnakemea huyo mwanakme na kumfanya asipende kanisa. Mbona msifundishe kwa upendo. Hata Bwana anatuambia kwa kitabu cha Mattayo 10: 16 . . . “Tazama, ninawatuma kama kondoo katikati ya mbwa mwitu. Kwa hiyo mwe werevu kama nyoka na wapole kama hua. (be as wise as serpents and yet as harmless as doves). Watumishi wanapaswa kutumia ujasiri wanapo fundisha. Sio kufundisha kwa hisia zao.
Basi wanaume wanafurahia hao hasa wale walochoka kuombwa ombwa hela za saluni na ambao akiacha hela anakuta mboga za hovyo hovyo hela mke anamaliza kwenye losheni, krimu na manywele ya bandia. Ila ukweli hilo neno lifike mbali turudi tuwe asilia na MUNGU atusaidie. Tuwe natural
Watu walivaa hadi vipini rebeka mke wa isaka tutajien limeandikwa wapi hlo neno la kutojipendezesha na lile andiko lililoandikwa mwili ni hekalu la bwana atakae liharibu nae ataharibiwa bc na kunyoa tusinyoa maana tunaliharibu hekalu la bwana
aliyepost Ujumbe huu njoo uwajibu na kuwafundisha watu wanaocomenti hapa na kutoa ushahidi wa maandiko yanayo mruhusu mwanamke aliye olewa kunyoa nywele. mimi najua mwanamke kuwa na nywele ni fahari maana alipewa badala ya mavazi. pia najua kuwa mwanaume ndiye hatakiwi kuwa na nywele NDEFU. maandiko yabayokataza mwanamke kusuka na kumruhusu kunyoa ni yapi hayo mtu wa Mungu ? karibuni
1 petro 3:3, Timothy 2:9. Mwafrika hana asili ya nywele ndefu mpaka asked, so kunyoa nywele zake wakat alikua na nywele za dawa anataka ziote nyingine zakwake, then mbadala wa nywele ndefu ni kiremba. Tofauti na hapo unAariharibu hekalu la Mungu
Na ukikalia kila kichafu maandiko umepotea hata Free mason utataka Andiko.unamhitaji Mungu akufunulie kweli bado uko mbali mpendwa,kikifungwa Duniani na mbinguni kimefungwa
Bwana Yesu asifiwe,,,,tusome pamoja Yeremia 4:30-31...1kings9:30...walawi19:27-28...kumbukumbu22:5...yeremia2:21...1peter3:3...1timothy2:9....1corint3:16....1corint6:15-29.....amina..barikiwa Sana...
kusuka so dhamb jaman,labda mikologo,dawa,na mengne lakn so kusuka na kama ni dhamb naomba andiko jamen.Mchungaj waga nakufatilia sana nakukubal,lakn kwakusema kusuka ni dhamb andiko tafadhal nijue nataman kujifunza
Ni kweli dada yangu hata mimi niacha kusuka nyele. Nikisuka kichwa kinawaka moto sana. Ila mme wangu anaedeleya kunihimiza sana eti ni tumiye tu mafuta. Ila hata nikivaa wigi najisikya uzito sana
1 koritho 11:3-18 soma vizuri....hata maumbile yenyewe hayawafundishi kuwa aibu kwa mwanamke aliyenyolewa?!?? mwanamke inampasa na amepewa nywele ndefu iwe badala ya mavazi.......someni biblia jaman .......sio kukubali tu tufate neno la Mungu sio kumwamini mwanadam nae anakoseaa
1timotheo2:9, 1petro 3:3 ,yeremia 13:23, kuwa na nywele zako za asili siyo kosa ,ila ukiongeza mawigi, dawa za kuua nywele ,lipstiki, kukoboa ngozi ,ni dhambi hakuna mbingu ya watu wa jinsi hiyo epukeni maneno ya faraja ya wachungaji wanaobembeleza sadaka na kushindwa kuisimamia kweli kumbuka hao hawana mbingu.1petro 4:1-5 tukisha okoka hatuwezi kutenda kwa mfano wa mataifa.Biblia nzima mwanamke aliyejipodoa ni YEZEBERI MAMA WA MAKAHABA pekee.
Hongera kwa kuhubiri kweli yote, Mungu alitumia kipekee kuandaa wateule Amina
Barikiwa sana servant of God
Baba wewe Mungu akubariki sana akutie nguvu kabisa kabisa ...Mungu akubariki
Hallelujah hallelujah hallelujah
Ubarikiwe Mchungaji kwa kuhubiri kweli, kwanza hayo mawigi ni kujidharau mwenyewe, unawekaji kichwani nywele za marehemu wa kihindi na kuidharau asili yako!! Mungu awafunulie na Wachungaji wengine neno hili.
Umependeza sana dadaang MUNGU akutunze sana
Ubarikiwe baba yangu,hutadaiwa ktk hili umeisema kweli yote ya MUNGU,Asante YESU kuniponya
Injili ya kweli ndio inayofaa asante sana mchungaji
jiunge na Holiness Revival Movement Worldwide
Ubarikiwe mama
Ubarikiwe muchungaji mama ubarikiwe mungu akupe nguvu aendelee na safari naweza nikasema unabahati nzuri umemupokea bwana wakati muzuri Saana yesu yu karibu Yuko njiani anaweza kufika muda wowote .
Mtumishi apo sawa.
Watumishi wengi sana wanaogopa kusema ukweli kwasababu wanaamini wataondokewa na washirika,dunia imewameza wameileta kanisani! Ubarikiwe sana hata Mimi ndio Injili ninayoihubiri sana
Amen 😔🙌
TRUE MESSAGE.
Mbarikiwe sana ni mkoa gani mpo na sehemu gani je mikoa mingne matawi yenu yapii
Mkoa gani wapo jamani nataka kuja
Mungu akubariki mchungaji 1 timotheo 2:9-10,1 petro 3:3-4
Wachungaji wana hukumu kubwa sana MUNGU awafundishe upya
Amina mchungaji kwa somo zuri hakika yesu yu hapo
Hata sasa MUNGU amejisazia watumishi waaminifu MUNGU akubariki sana
Mungu akubariki saana
Mchungaji hapa Kenya hakuna mchungaji wa ukweli, waongo na matapeli tupu. sasa nikitoroka ntapata wapi mafundisho, afathali nikusikize ww hapa na kufata mafundisho jinsi ipasavio, MUNGU wa amani akulinde🙏🙏🇰🇪🇰🇪.
Amen muana muke wa bien Binti muzuri saaana naturel Beautiful
Binafsi, najua Injili ya kweli ni ile ya kufundisha fundisho sahihi: kwamimi naamini mwanamke anapaswa kupambwa na kujipamba kwa ukiasi, kwani hata Sara na Rebeka mke wa Israhimu na Isaka inaonyesha walikuwa wanajipamba kwa Pete na vikuku soma Mwanzo 24:22 na Mwanzo 24:47
Wanawake wanapaswa kuambiwa kuwa yawapasa kujipamba wakiwa na moyo wa ukiasi, na wasipende kuiga kila kitu kilichopo duniani:
Ahsante
Mungu akuhurumie sana. Sio sahihi kumkosoa Mungu, Mungu anataka tunaki asili yetu, mwafrika abaki kuwa mwafrika. Jehanam inawahusu wote wanaojipamba.
Kwenye Biblia, maagizo yanayohusu kusuka na kujipamba yalitolewa ku wahimiza wanawake kutilia maakini kujipamba kwa undani. NYAKATI HIZI watu wengi wana hubiri na kufundisha kulingana na hisia zao tena shuhuda nyingi zina leta mtafaruko mwingi kwa kanisa. Tuji hadhari SANA na mafundisho ya kuchangaya imani za watu. Naomba kuwauliza maswali enyi wenye mafundisho yanayo wakemea wanawake. ENDELEA KUSOMA
1. Mwenyezi Mungu ametupa sisi wanadamu maarifa mbali mbali. Amewezesha wanadamu kuvumbua na kutengeneza vitu fulani fulani vya kuwasaidia binadamu kwa matumizi yao ya kimaisha. Kwa mfano:
Mtu anapo poteza mguu kupitia ajali au ugonjwa - uvumbuzi wa miguu bandia unawezesha mtu huyo kutumia MGUU bandia. Mtu anapo poteza mkono kupitia ajali au ugonjwa - uvumbuzi wa mikono bandia unamwezesha kutumia MKONO bandia. Mtu anapo poteza MENO kupitia ajali au ugonjwa - uvumbuzi wa meno bandia unamwezesha kutumia MENO bandia. Kwanini basi tuna kemea wanawake wanapo tumia wigi (nywele bandia)?
Ina maana kusema hatuelewi kwamba mwanamke anaweza kupoteza nywele kupitia AJALI AU OGONJWA? Kama ni sawa kuruhusu watu wengine kutumia vitu bandia (kama meno, macho, mguu, mkono) mbona inakua dhambi mwanamke anapo tumia nywele bandia? Wanawake wengi wana magonjwa yanayo sababisha kupoteza nywele.
Magonjwa kama thyroid disease, diabetes, PCOS, saratani, na mengineo yanaweza kusababisha mtu kupoteza nywele. Sasa mwanamke anapo funika uchi wa kupoteza nywele kwa kutumia wig ama weave hiyo ni dhambi???
2. SWALI LA PILI
Mwenyezi Mungu ndiye amewapa wanadamu vipawa tofauti. Wengine ni madktari, wengine ni engineers, wengine ni hairdresser, stylist, barber, fashion designer, tailor etc. Sasa mtu aliye pewa kipawa cha hairdresser ama beautician na anapata RIZIKI yake kwa kutengeneza wenzake nwyele, huyo mtu anatenda dhambi???? Hiyo riziki yake ama KIPAWA chake kimetoka kwa nani?
Ina maana kusema hatutambui au kuheshimu vipawa kama vya ma designer, kinyozi, hairdresser na kadhalika? Kwani vipawa vikubwa pekee ndivyo vipawa kutoka kwa Mwenyezi Mungu?
@jossy acha kitumia akili za kibinadamu kitafsiri mambo ya Mungu,Utakuja kidaiwa kwa kipotosha watu wa Mungu.mapambo na vipodozi ni machukuzo kwa Mungu,inabidi kwanza utubu dhambi na kuziacha yaani uokoke,ndipo utakapofunuliwa Siri hii,
Kabisa Ni kweli mi
Jaman ni kweli kabisa mungu Awabarik san jaman wachungaji weng hawaubir iy kitu jaman MUNGU ATUSAIDIE SANA
Mchungaji na mimi pia nilibadika kupitia wewe, sikuzote sikujua kama ni thambi sasa nimebadilika kabisa mimi ni mshirika wako tokea 🇰🇪🇰🇪 Kenya,natamani nije nikuone majaliwa🙏🙏.
MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI
Mungu akubariki
Ni mimi josephine na toka Texas amen amen mutumishi
Ubalikiwe
ubarikiwe baba
This blesses me big,
Injili ya kweli ndio inayofaa
Mungu akupe maisha maref pastory
Ushuhuda ni moto sana ulivyo nyoa nywele umependeza sana
Asiimwe Anthony safi sa
Amen
Daaah _mm nilijaribu kuwahubiria wakina mama kanisani kwetu baadhi wakina mama waliondoa hayo mapambo _lakin mchungaji akambiwa kuwa na wambia wakinamama wasijipambe duu mchungaji alinihubilia kweli lakin naamin Mungu ata tenda
Huyo mchungaji ni washeta
Ubarikiwe kwa kuwahubiria waache mapambo, vifungu vingi kwenye biblia vinasema ikiwemo warimi 1:26
Mimi pia nina vita na mchungaji mpaka sasa. Ila usiogope simamia kweli ya Mungu
Nikweli
Baba Mchungaji njoo korogwe Tanga tunakuhitaji
Sana
TAFUTA KIWANJA NAKUJA HAPO UTAPIGA NAMBA HII +255757591013
Mchugaji mi mkewagu aliku Ana mimba alijifugua kwa upalesheni kwa sababu alioneka kuwa Ana pulesha na alipo jifungua ala majini yaka muingia lakini aliobeawa yaka toka lakini kichwa kina muama mala kinahcha mchugaji wagu naoba umuombe mkewagu
Wewe mama ni shujaa Mungu akutie nguvu uweze kusimamia kweli
Asiimwe Anthony sio mama ni baba
Kweli baba yangu unasema ukweli hatuambiwi ukweli
Kanisa la ukweli kama lako hakuna lete na Iringa
Swali, Mwanamke no 1.ana mapambo ya mwilini mengi tu. Ila ana matendo/maisha matakatifu, hana wala hashiriki ovu lolote ulijualo chini ya jua, Lkn mwanamke no 2 huyu hana pambo lolote mwilini zaidi ya nguo aliyovaa, lkn maisha yake yamejaa maovu na machukizo kwa Mungu na wanadamu, je kati ya hawa 1 na 2. yupi anampendeza Mungu .?
Wote ni chukizo mbele ya Mungu
Wanawake wanapaswa kujipamba na kupendeza, msidanganyike kuwa muwe na muonekano kama wanaume, nyinyi mliumbwa kupendeza, pendezeni: ila mjipambe mkiwa na moyo wa ukiasi mioyoni mwenu mkimtanguliza Mungu kuwa namba moja na mapambo namba 2:
Ukisima Mwanzo 24 utaona Rebeka mke wa Isaka alipambwa kwa mapambo kutoka kwa baba mkwe wake Ibrahimu hii inaonyesha hata Sara alikuwa anajipamba kwa mapambo ya dhahabu, mavazi mazuri, na vikuku:
Kikubwa Mungu mpe namba moja mambo mengine yafuatie uku ukikumbuka tunda la ukiasi.
Mafundisho mengi ndio yana kimbiza watu kutoka kwa makanisa. Mchawi akija kanisani huku amevaa mavazi marefu na kitambaa kichwani - atakubalika na kukaribishwa kwa sababu amevaa mavazi "yanayo stahili" LAKINI mwanamke ambaye bado hajafahamu utakatifu na ana moyo wa kumjua Bwana na kujifunza Neno, anapokuja kwenye kanisa akiwa na mavazi "ya kidunia" mnakemea huyo mwanakme na kumfanya asipende kanisa. Mbona msifundishe kwa upendo. Hata Bwana anatuambia kwa kitabu cha Mattayo 10: 16 . . . “Tazama, ninawatuma kama kondoo katikati ya mbwa mwitu. Kwa hiyo mwe werevu kama nyoka na wapole kama hua. (be as wise as serpents and yet as harmless as doves). Watumishi wanapaswa kutumia ujasiri wanapo fundisha. Sio kufundisha kwa hisia zao.
makanisa hatufundishwi ukweri kuusu kirimu mawigi ,wachungaji tufundisheni kweri
Ukweri nikuachana mapambo yote nawigi yote hayafai kujiklimu nikumkosoa Mungu
Basi wanaume wanafurahia hao hasa wale walochoka kuombwa ombwa hela za saluni na ambao akiacha hela anakuta mboga za hovyo hovyo hela mke anamaliza kwenye losheni, krimu na manywele ya bandia. Ila ukweli hilo neno lifike mbali turudi tuwe asilia na MUNGU atusaidie. Tuwe natural
Mchungaji Najifunza sana mafundisho yako
Emen nimepona na mambo mengi
Chungaji nadjukuru kwa mafundisho ,ila Nina swali je hatakusuka nywele kawaida bila kuongezea nywele bandia je nayo ni zambi?
Huu ni mda wa uamsho YESU yuko mlangoni anarudi.
Amen
Watu walivaa hadi vipini rebeka mke wa isaka tutajien limeandikwa wapi hlo neno la kutojipendezesha na lile andiko lililoandikwa mwili ni hekalu la bwana atakae liharibu nae ataharibiwa bc na kunyoa tusinyoa maana tunaliharibu hekalu la bwana
Aaaah huyu anaombea kweli wengine wakiombea wanadondoka inakuwa ni nini jamani
Wana higiza
Boldness, confront sin
lakini nywele kwa mwanamke ni fahari nakofia yakifalme .mikorongo nasyo aifai hio nikumkosoa mungu ya kutoridhika
Ninatamani kuona watumishi wote wakielexa injili halisi
aliyepost Ujumbe huu njoo uwajibu na kuwafundisha watu wanaocomenti hapa na kutoa ushahidi wa maandiko yanayo mruhusu mwanamke aliye olewa kunyoa nywele.
mimi najua mwanamke kuwa na nywele ni fahari maana alipewa badala ya mavazi. pia najua kuwa mwanaume ndiye hatakiwi kuwa na nywele NDEFU.
maandiko yabayokataza mwanamke kusuka na kumruhusu kunyoa ni yapi hayo mtu wa Mungu ? karibuni
Hatubishi Mtumishi wa MUNGU TUNATAKA KIJIFUNZA ILIYO KWELI. TUSAIDIE.
1 petro 3:3, Timothy 2:9.
Mwafrika hana asili ya nywele ndefu mpaka asked, so kunyoa nywele zake wakat alikua na nywele za dawa anataka ziote nyingine zakwake, then mbadala wa nywele ndefu ni kiremba. Tofauti na hapo unAariharibu hekalu la Mungu
Naomba hilo andiko kuhusu kunyoa
1timotheo 2:9 makorokoro yote ya mapambo,lakini pia kuhusu kukoboa ngozi soma yeremia 13:23
Na ukikalia kila kichafu maandiko umepotea hata Free mason utataka Andiko.unamhitaji Mungu akufunulie kweli bado uko mbali mpendwa,kikifungwa Duniani na mbinguni kimefungwa
Warumi 1: 26 inasema hata Mungu akaacha wafuate tamaa zao za aibu hata wanawake wakaacha mambo ya asili kwa mambo yasio ya asili.
alinyoa ili zianze upya sababu zilikuwa na dawa
Watajie Andiko linatoka kitabu gani?ili watu wajue.
Bwana Yesu asifiwe,,,,tusome pamoja Yeremia 4:30-31...1kings9:30...walawi19:27-28...kumbukumbu22:5...yeremia2:21...1peter3:3...1timothy2:9....1corint3:16....1corint6:15-29.....amina..barikiwa Sana...
hidaya kasuga kwaya imefanyaje??
Muchungaji robert ubalikiwe kwamafunsisho yamawigi naa mmahereni na mukorogo yani baba wa MBINGUNI AKUBALIKI DUNIYAYOTE ASANTE
kusuka so dhamb jaman,labda mikologo,dawa,na mengne lakn so kusuka na kama ni dhamb naomba andiko jamen.Mchungaj waga nakufatilia sana nakukubal,lakn kwakusema kusuka ni dhamb andiko tafadhal nijue nataman kujifunza
Je kusuka nywele zako za kawaida ambazo Mungu amekupa ni dhambi?
C dhambi
Mbona wazungu hawajipambi?ila sisi weusi ndo kila takataka ni sisi?niko nje ya nchi miaka 8,mzungu aliyeokoka havai hata heleni
ubarikiwe mtumishi kufundisha kweli ya mungu so good!! hata mm mungu alisema na Mimi mwenyewe wanaojipamba wote hakuna mbingu.
Ni Dhambi, bado kusuka ni marembo
@@melissateddybearcossan9506 kweli
Ubarikiwe sana muchungaji kwa kuhubiri wakina mama ukweli naomba number yako please
+255621722974
+255742999636
Robert Tv Tanzania 1.wakorintho 11/13,,,,,,mwanamke fahari yake ni nywele siyo kipala wala kitambaa?
tunaomba andiko LA kunyoa baba
hilo dhehebu linaitwaje watumishi?
Deeper life Bible Churc
+Robert Tv Tanzania mchungaji niombee
Baba nakufuatilua vizuli ila kunamjomba angu ame change nyikuwa naomba umuombee 0655794479 hiyondo namba yangu Mt robati
kweli mawigi si mazuri kama Mimi huko nyuma niliyatumia sana lakini kwa sasa nikivaa nywele bandia kichwa kinaniuma sana
Joyce George0787 918614 kwaya
mchungaji upo vizuri
Ni kweli dada yangu hata mimi niacha kusuka nyele. Nikisuka kichwa kinawaka moto sana. Ila mme wangu anaedeleya kunihimiza sana eti ni tumiye tu mafuta. Ila hata nikivaa wigi najisikya uzito sana
Kama unataka kumuona Mungu acha
1.wakorintho 11/13...... inasema fahari ya mwanamke ni nywele siyo kipala wala kitambaa?yapo madiko mengi ya mwanamke asinyowe nywele zake?
Sasa ndugu uriona balikuruhusu mubakolinto 11 5 nakuendereyz balikuruhusu kubadili nywerryako uweke marangi nabingine ??wewe ukiyaca jisi ulivyo nywerryako na inapaswa ufunge kitambaa iyo ndio sheliya usije ukaongeze kwaneno la biblia hakuna paripo andikwa kusuka awu kwenda kicwa wazi wala kupaka vitu vya ajabuhajabu
1 koritho 11:3-18 soma vizuri....hata maumbile yenyewe hayawafundishi kuwa aibu kwa mwanamke aliyenyolewa?!?? mwanamke inampasa na amepewa nywele ndefu iwe badala ya mavazi.......someni biblia jaman .......sio kukubali tu tufate neno la Mungu sio kumwamini mwanadam nae anakoseaa
1timotheo2:9, 1petro 3:3 ,yeremia 13:23, kuwa na nywele zako za asili siyo kosa ,ila ukiongeza mawigi, dawa za kuua nywele ,lipstiki, kukoboa ngozi ,ni dhambi hakuna mbingu ya watu wa jinsi hiyo epukeni maneno ya faraja ya wachungaji wanaobembeleza sadaka na kushindwa kuisimamia kweli kumbuka hao hawana mbingu.1petro 4:1-5 tukisha okoka hatuwezi kutenda kwa mfano wa mataifa.Biblia nzima mwanamke aliyejipodoa ni YEZEBERI MAMA WA MAKAHABA pekee.
+Robert Tv Tanzania naomba unipe andiko linasema mwanamke kunyoa nywele
Ukiendelea kusoma maandiko yanasema ukishindwa kufunika na unyolewe,na wewe soma Biblia uelewe vizuri
Soma hapo hapo mstari wa 6 ukishindwa kufunika nyoa(katwa) hivyo kizuri zaidi ni kufunika ukiwa na nywele ndefu sawa ila siyo mawigi
Kweli mchungaji hatufundi uje na mapanda
tat si not true ,
Mungu akubariki Sana sana
Amina
Amen
Amen