baba askofu kristo amekukirimia uimbaji ambao unafanyika baraka sana sana . mimi pia ni moja ya watu wanaoguswa na sauti yako mpangilio wa wapiga vyombo wako na waitikiaji wako unabariki sana moyo wangu
Nimekua nikitafuta sana nyimbo hizi za mtumishi bila mafanikio,ghafla naona hapa youtube.Lusekelo nakukubali sana mtumishi.hawa wadada sijui ni wa wapi maana wana sauti kama vile YESU anashuka leo
Daaah.. Mara ya mwisho usiku nikiwa naelekea Musoma nilipanda private car dereva alikuwa na nyimbo zote za Kanisa la Mzee wa Upako. Nazipenda sana. Anayejua napoweza kununua cd yenye hizi nyimbo anisaidie
Yeye peke yake(Yesu)ndiye anayeweza kutupokea bila ya kinyongo bila ya maswali bila mawaa bila kukutangaza kwa watu akishakupokea.nipokee e Yesu mimi mwenye dhambi na unitakase.🙏🙏🙏
Nakukubali sana mchungaji lusekelo nakupenda na nakupa pole sana najua kazi uliyonayo sio ndogo kazi isiyokuwa na likizo kazi isiyokuwa na penshen wala kustaafu, Mzee wetu moses kulola ameitwa na mungu akiwa ktk kuhudumu hakuwa na likizo wala kustaafu nawe waipitia njia hiyohiyo mungu baba wa mbinguni azidi kukutia nguvu.
Napambana na kuto uza blanket dar mze nipo mbar na mda cjafika Ibadan but ule wimbo tano kwa tano lakn pia mawimbi ni . . ...aaah najikuta kujazwa nguvuuu
Bwana Yesu asifiwe Sana baba yangu wa kiroho. kwa hakika huu ni kama hushuuda Kwangu uwa na barikiwa Sana ninapo sikia sauti hii ya unyenyekevu inayotumika ktk roho na kweli. hakika Mungu wetu akubariki Sana.
Hakuna mkamilifu hata kama tumeokoka! Huu wimbo ni kwa ajili ya kuonyesha unyenyekevu kwa Bwana! Sio muumini wa kanisa hili lakini huu wimbo umenibariki!
baba askofu kristo amekukirimia uimbaji ambao unafanyika baraka sana sana . mimi pia ni moja ya watu wanaoguswa na sauti yako mpangilio wa wapiga vyombo wako na waitikiaji wako unabariki sana moyo wangu
Nimekua nikitafuta sana nyimbo hizi za mtumishi bila mafanikio,ghafla naona hapa youtube.Lusekelo nakukubali sana mtumishi.hawa wadada sijui ni wa wapi maana wana sauti kama vile YESU anashuka leo
george massebu ata mm sijui Wadada walioimba huu wimbo wawapi au wa kanisani kwake itakuwa
Very demure
ata Nina dhambi naomba unipokee maana mm sio mkamilifu.nmebarikiwa San baba🙏
Daaah..
Mara ya mwisho usiku nikiwa naelekea Musoma nilipanda private car dereva alikuwa na nyimbo zote za Kanisa la Mzee wa Upako.
Nazipenda sana.
Anayejua napoweza kununua cd yenye hizi nyimbo anisaidie
Yeye peke yake(Yesu)ndiye anayeweza kutupokea bila ya kinyongo bila ya maswali bila mawaa bila kukutangaza kwa watu akishakupokea.nipokee e Yesu mimi mwenye dhambi na unitakase.🙏🙏🙏
Nakukubali sana mchungaji lusekelo nakupenda na nakupa pole sana najua kazi uliyonayo sio ndogo kazi isiyokuwa na likizo kazi isiyokuwa na penshen wala kustaafu, Mzee wetu moses kulola ameitwa na mungu akiwa ktk kuhudumu hakuwa na likizo wala kustaafu nawe waipitia njia hiyohiyo mungu baba wa mbinguni azidi kukutia nguvu.
Napambana na kuto uza blanket dar mze nipo mbar na mda cjafika Ibadan but ule wimbo tano kwa tano lakn pia mawimbi ni . . ...aaah najikuta kujazwa nguvuuu
MUNGU wa mbinguni akutunze Mzee wa Upako najisikia amani Sana nikisikiliza hizi nyimboo. Ubarikiwe Sana chapa kazi ya Bwanaa
Nabalikiwa sana ninaposikiliza hizi nyimbo
Wimbo mzuri sana huu 🙏🙏🙏
Amina sana nabalikiwa
Hakika wewe nichaguo LA Mungu endelea kutukuza kiroho
Nipokee wimbo umenigusa sana
Nabarikiwa sana ninaposikiliza nyimbo zako na mahubiri yako mchungaji
baba wa iman hakuna mwingine nakupenda sana na mungu aendelee kukubariki
Naomba unipokee
Daima wimbo huu utaishii kizazi hadi kizazi
wimbo nzuri na ujumbe wa kuponya na kuleta tumaini kabla ya sala za mueke mahali pema kana kwamba mwenye kumiliki hajui aweke wapi
Nakupenda sana baba yangu wa kiroho
grace thomas hakika huyu ni baba wa iman na mungu ambariki sana
Bwana Yesu asifiwe Sana baba yangu wa kiroho. kwa hakika huu ni kama hushuuda Kwangu uwa na barikiwa Sana ninapo sikia sauti hii ya unyenyekevu inayotumika ktk roho na kweli. hakika Mungu wetu akubariki Sana.
Ninaiman nitashind na nitaajiliwa
Nimebarikiwa sana
Amen mchungaji nyimbo zako zinabariki sana
Safi nipokee
Naweza pata wapi flash yenye ngimbo za mzee upako? Msaada , Nahitaji hiz nyimbo tafadhali...
Barikiwa sana Baba angu
asante baba yangu wa imani nakukubali miaka mia nane mungu akutie nguvu
Anha Ahsante Sana Baba Mch wangu... Jumapil mapema Sana nipo Ibadan... Nilimis ibada mweeee
basili frank ,Nunua sidii nitumie nyimbo zake pls
Nyamoga family sawa ngoja jumapil nitakupa Jibu pia tuwasaliane hapa +255 767 19 18 96
Bado nipo 2019 Ila Channel 10 imezimwa DSTV
Unawaza kama mm natumia DSTV Mzee Wa upako simpati
Hakika mungu akuongezee miaka ya kuishi naipeda mnomno
Star tv
Barikiwa
My
Dadie
Amen..to God be the glory..
Asante sana baba nabarikiwa sana naomba weka na wimbo naijulikane kama wewe upo
Nakupenda sana BABA Mchungaji
Unanibariki Sana baba yangu waimani
tutapataje HIZI NYIMBO ASEE?
Wale wanaoangalia Star times mzee wa upako Bado anarusha mahubiri
Anarusha channel ten
Amina ni wimbo mzuri sana, pia kuna ule wimbo wa Mungu mwaminifu ikiwezekana uwekwe pia
naomba maubili yako yawekwe mtandaoni nasi tulioko mbali na kanisa takatifu iwe rahisi kuyapata
Mungu anapokea watu walitubu, c wenye dhambi
Hakuna mkamilifu hata kama tumeokoka! Huu wimbo ni kwa ajili ya kuonyesha unyenyekevu kwa Bwana! Sio muumini wa kanisa hili lakini huu wimbo umenibariki!
tunabalikiwa sana
mjombaa pamoja sana.sumbawanga
Amen mzee wa upako
ni-AMANI2
Naomba uweke na ule wimbo wa Mavumbi ni mengi sana yachafua njia zangu
vantunda mwakyoma nabarikiwa sana
vantunda mwakyoma Naupenda sana huu wimbo unafaa kuimbwa wakati mtu anaokoka
Brother usiniombe tumuombe yeye ata kama atueleweki ila tumuombae anaelewa