Samsoni Official video by Kwamrombo Sda Church

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 11

  • @shangwelihamza3238
    @shangwelihamza3238 21 день назад +2

    ❤mbarikiwe sana natamani mrekod wimbo wawa geras,maishayetu ni bure
    ..nyie mikwaya kubw ya viwango ndani ya viunga vya jiji la Arusha..mna nyimbo nyingi sana kali za viwango tunoo wajua tunatambua mnaweza hata hudumakambi hata au mkutano wa zaid ya wiki hata tano bila kurudia wimbo mmoja ...mungu azidi kuwatumia kwa kazi yake ....

  • @IsayaSamweli-v4g
    @IsayaSamweli-v4g 21 день назад +2

    Mungu aedeleee kuwapigania nasi tunawaombea mwelendelee kutumika katika Bwana
    KWA MOROMBO SDA CHURCH CHOIR
    BWANA AWABARIKI SANA

  • @tonnymshana861
    @tonnymshana861 18 дней назад

    Kazi safiiiiii mnakujaaa vzr❤❤🎉

  • @cliveoanda8805
    @cliveoanda8805 18 дней назад

    Mbarikiwe sana.
    Wimbo mtamu sana

  • @EmmanuelMbwambo-w2f
    @EmmanuelMbwambo-w2f 21 день назад

    Amina

  • @kwamrombosdachoir1109
    @kwamrombosdachoir1109  21 день назад

    Amen

  • @approniarichard4925
    @approniarichard4925 19 дней назад

    Oh haleluyaa

  • @kalebumashamba5556
    @kalebumashamba5556 21 день назад +1

    Mbarikiwe sana kwaya ya Kwa mrombu Kwa utumishi huu uliotukuka