SULUHISHO LA CHANGAMOTO YA KUKU KULA MAYAI, DEBEAKING

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 ноя 2024
  • Kumekuwa na changamoto ya kuku kula mayai kula Mayai hasa kuku wanaofugwa chini hii inasababiswa na
    -Ikiwa mayai hayajachukuliwa kwenye kiota kwa muda mrefu, kuku anaweza kuanza kuviona kama chakula na kuanza kuyapiga miayo.
    Kuku ambao hawapati virutubisho vya kutosha, kama vile calcium au protini, wanaweza kula mayai ili kujaribu kupata mahitaji yao ya lishe.
    Kuku wanaweza kujifunza kutoka kwa each other, ikiwa kuku mmoja anaanza kula mayai, wengine wanaweza kuiga tabia hiyo.
    tunakuonyesha vifaa unavyoweza kutumia kukata midomo ya kuku kama njia ya kutatua tatizo hili ya kula mayai na kuku kudonoana, hii itakuhakikishia kuokota Mayai wakiwa hayajaliwa na kupunguza vifo vya kuku vinavyosababishwa na kupigana na kudonolewa kwa kuku

Комментарии •