kwaya ya Mt.Joseph BUNJU ndani ya Parokia ya chamanzi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 31

  • @suzierobin7207
    @suzierobin7207 2 года назад +2

    Mmeupiga mwingiii Sana nabarikiwa nikisikiliza mnavoimbaa Suzie kutokaa nairobii

  • @romwaldswai217
    @romwaldswai217 2 года назад +3

    Kuimba raha hongereni Joseph choir bunju

  • @josephinealoyce3107
    @josephinealoyce3107 2 года назад +2

    St Joseph bunju nawapenda nawapata vizuri ndani ya singida

  • @seciliamaze451
    @seciliamaze451 2 года назад +2

    Haleluyaaaa Sifa na utukufu kwa Mungu. Nabariwa sana ninaposikiliza kwaya hii. Mungu awabariki kwa vipaji vyenu.

  • @DastanNyaki
    @DastanNyaki 6 месяцев назад

    Ticha chua umejua kazi yako baba Big up my teacher 💯🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gilomasawe2832
    @gilomasawe2832 2 года назад +2

    Nipo Uganda nyie Joseph mnajua sana na mungu awabariki sana kwa utume wa uimbaji by cathbeth kato

  • @gilomasawe2832
    @gilomasawe2832 2 года назад

    Aisee mt Joseph mnajua sana nipo mwanza nabarikiwa sana nikisikiliza nyimbo zenu

  • @camillomlengule383
    @camillomlengule383 2 года назад

    Woooow bravo bravo bravo bravo......👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍💪💪💪💪👊👊👊👊✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
    Nimewamiss nimemisss jukwaaa. Mmehesimisha Kwa utukufu wa Mwenyezi

  • @anord5990
    @anord5990 2 года назад

    Waoooo♥️♥️♥️🙏🤜🤛👍 mupo musuri mungu awabariki sana from tanga

  • @happymongi5413
    @happymongi5413 2 года назад +2

    Waooooo sifa na utukufu kwa Mungu

  • @official_benlove2056
    @official_benlove2056 2 года назад +3

    Nzuri Sana nimeipenda🙏

  • @seciliamaze451
    @seciliamaze451 2 года назад +1

    Hongereni sana kwaya ya Mt Joseph Parokia ya BMMK-BUNJU.

  • @venacemahende3686
    @venacemahende3686 Год назад

    Hongereni sanà, mko vizuri mno

  • @godfreyelia8773
    @godfreyelia8773 2 года назад

    Hongereni vijana wa mungu tupo pamoja

  • @kilonzoshayo7848
    @kilonzoshayo7848 2 года назад +2

    Hakika Mungu anatenda kupitia nyinyi nimebarikiwa

  • @gidionmethod6540
    @gidionmethod6540 2 года назад +1

    Nipo shinyanga nawapenda joseph

  • @antoniachuhila4780
    @antoniachuhila4780 2 года назад

    Hongereni sana nawapenda

  • @WandetiKyangwe-ky8bk
    @WandetiKyangwe-ky8bk Год назад

    Hongereni nimeipenda

  • @helenkulaya5120
    @helenkulaya5120 2 года назад

    Oooh good work...

  • @gidionmethod6540
    @gidionmethod6540 2 года назад +1

    Mmependeza

  • @MtJoseph-z4m
    @MtJoseph-z4m 3 месяца назад

    WORTH TO REMEMBER LUZINO MKALI WA KINANDA

  • @ladymayanka26
    @ladymayanka26 2 года назад +2

    Hii ni zaidi ya kwaya nyimbo zinaimbwa kwa utulivu

  • @revinagration5567
    @revinagration5567 2 года назад

    vzr sana wanakwaya

  • @godfreyelia8773
    @godfreyelia8773 2 года назад

    Mbarikiwe mpaka mshangae

  • @shemandiasuphian4309
    @shemandiasuphian4309 2 года назад +1

    Hakika mnatubarik san tunatamani mje na kwetu kigambon

  • @mary-vg2qj
    @mary-vg2qj 2 года назад

    Edina Paul

  • @kilonzoshayo7848
    @kilonzoshayo7848 2 года назад +2

    Hakika Mungu anatenda kupitia nyinyi nimebarikiwa

    • @alphonsinathadey9398
      @alphonsinathadey9398 2 года назад

      My super upcoming choir.Mnanibariki bureeeeeeeeeee.Mnanifanya nisali mara mbili

    • @godfreygeorge1462
      @godfreygeorge1462 2 года назад

      Nice choirs you did it

    • @stelajohn1969
      @stelajohn1969 2 года назад

      Kristu.Nimewaelewa watumishi wamungu mpovizuri mnaimbakitafakarizaidi mmetulia. Mungu aendelee kuwatumia sawasawa na mapenzi yake. Stella from singida siuyu paloti mojaiyoooo.