Hakuna muziki kama huu tena ,hawa walikuwa wanabii wa wakitambo , waliona mbele kabla ifike.hivi leo hii tunaishi kuwasikiliza nyimbo zao. Endelea kulala salama Mzee Remmy Ongala.
Moja kati nyimbo bora kabisa za Marehemu Remmy Ongala ambazo nilikuwa nazipenda sana na bado nazipenda. Nakumbuka wakati hii nyimbo inaimbwa nilikuwa mdogo sana. Nimekumbuka mbali sana enzi hizo tukiishi Tukuyu, nilikuwa nasoma Bulyaga Primary School! Duh! siku nyingi sana, RIP Remmy Ongala.
Remmy Ongala is one of my favorite artists from Africa where the best music on the planet is crafted. Long live Remmy and his message - I wish I could understand his lyrics but his wonderful guitar playing speaks to me more than any words can. An African friend of mine recently lamented the death of so many artists from his continent from the horrors of AIDS and I do not know if this was Remmy's fate. However it makes me sad because we have lost, way too early, some of the greatest artists who have ever walked the earth.
A frustrated true African soul whose cry-songs are for the poor man. He died poor but that cry echoes in the wilderness and slums of Africa. His conscience is pure and incomparable to those of the morally bankrupt political and social system that entrenches the white man's supremacy and the banishment of African soul. Aluta continua, and RIP.
Remmy and his Matimila jazz played all these songs for us at the Toronto Harbourfront in 1989 when we invited them for a cultural festival. After that the gang came with us for Nyama Choma and their "green leaves" that they loved so much. I will always miss remmy Sura Mbaya.
remmy huna mpinzani nikweli mpaka waleo tajiri namali yake maskini nafungu lawatoto msemo huu nijumbe mzito sana ila ndio mipango yakila mja hulariziki yake aliopangiwa namuumba
jama ee huyu jamaa ni mkali always katu hauwezi kulinganisha muzuiki huu na muziki wa sasa ambao nyimbo zinapigwa wiki na kupotea kabisa (hakuna radha ndani yake katika nyimbo za sasa)
This song Siku ya Kufa was not done by Orchestra Matimila as said in the title. It was done by Orchestre Makassy when Remmy just arrived in Tanzania and sang with Orch. Makassy, other songs included Athumani, Molema, Moses ect. when FanFan was also with Makassy. Then he did another number called Kifo Hakina Huruma with,,, now with Matimila.
@@ericernest929A story goes that Remmy left Makassy due to disagreement between Remmy and Mzee Makassy( Kitenzogu), the principal leader of Orch. Makassy, on whom to be named the rightful composer of the song ...Siku ya Kufa.
Daa nakumbuka kipindi icho nasoma darasa lakwanza shule ya msingi yombo dovya nilikuwa nikiludi baba yangu razima haweke izi nyimbo mwenyezi mungu hampunguzie adhabu ya kabri amina mimi kwasasa naishi Emirates Dubai
Wimbo nzuri ya Rami (bwana mufumu) jina lake kwetu Congo, Bukavu-Kivu, alipokuwa mwimbaji wa orchestre Grand-Mike Jazz. Siku ya Kufa. Aliimba nyimbo hii Bukavu mu Bar ya Musole Maharaza mwaka 1978. Nakumbuka. Rami alikuwa populaire sana. Mupenda sifa
ooh! no! Dr. Remmy mungu iweke roho yako mahali pema. Tutakumiss sana ila umetuachia vitu vizuri hapa duniani tutakukumbuka daima. Kwetu sisi watanzania wewe ni kama Michael Jackson japokuwa miziki yenu ni tofauti kabisa. Tutakukumbuka daima Dr.........
I have never failed to enjoy Remmy Ongala's music even as early as when he was still with Moshe Fan Fan Makassy. His music is so really and philosophical too
Namufahamu Remmy Ongala tokeya yupo na bedi la Grand Mike Jazz du Kivu Kwetu Congo, Bukavu.
Hakuna muziki kama huu tena ,hawa walikuwa wanabii wa wakitambo , waliona mbele kabla ifike.hivi leo hii tunaishi kuwasikiliza nyimbo zao. Endelea kulala salama Mzee Remmy Ongala.
Moja kati nyimbo bora kabisa za Marehemu Remmy Ongala ambazo nilikuwa nazipenda sana na bado nazipenda. Nakumbuka wakati hii nyimbo inaimbwa nilikuwa mdogo sana. Nimekumbuka mbali sana enzi hizo tukiishi Tukuyu, nilikuwa nasoma Bulyaga Primary School! Duh! siku nyingi sana, RIP Remmy Ongala.
Kwa ukweli kabisa..DUNIA NI YA MUNGU..Kila aliyezaliwa atarudi UDONGONI...kwa hiyo hakuna haja ya MAJIVUNO..PUMZIKA DR.REMMY...
Remmy Ongala is one of my favorite artists from Africa where the best music on the planet is crafted. Long live Remmy and his message - I wish I could understand his lyrics but his wonderful guitar playing speaks to me more than any words can. An African friend of mine recently lamented the death of so many artists from his continent from the horrors of AIDS and I do not know if this was Remmy's fate. However it makes me sad because we have lost, way too early, some of the greatest artists who have ever walked the earth.
Mzee Makassy ndiye alimleta Remmy Tanzania. Makassy ni mjomba wake. RIP Remmy Ongalla....
Dr Remmy will always remain in my heart for his educative music. He was like a prophet to me. I will remember him in my life
he was a legend
GOD PUT HIS SOUL IN INTERNAL PEACE
ujumbe mzuri na nyimbo zenye maana na zenye mahudhui nzuri Remy R.I.P
*yaani hizi nyimbo huwa sichoki kuzisikiliza masikioni mwangu.*
Siku ya kufa nyama ya udogo duu wale tunasikiza 2022 tujuane
2020 Nov.1st,cant stop listening to this great talented man.His guitar skills are on top
A frustrated true African soul whose cry-songs are for the poor man. He died poor but that cry echoes in the wilderness and slums of Africa. His conscience is pure and incomparable to those of the morally bankrupt political and social system that entrenches the white man's supremacy and the banishment of African soul. Aluta continua, and RIP.
Very true
Tumeumbwa kwa udongo na udondon tutarejea 😭😭😭
Remmy and his Matimila jazz played all these songs for us at the Toronto Harbourfront in 1989 when we invited them for a cultural festival. After that the gang came with us for Nyama Choma and their "green leaves" that they loved so much. I will always miss remmy Sura Mbaya.
Kama bado unanangalia hii 2018. Tuko pamoja ☄️
Dr. Remmy, your Music is still a medicine for all who love 2 Respect Others
Tajiri na mali yake maskini na watoto...This guy was indeed a great musician.
remmy huna mpinzani nikweli mpaka waleo tajiri namali yake maskini nafungu lawatoto msemo huu nijumbe mzito sana ila ndio mipango yakila mja hulariziki yake aliopangiwa namuumba
Born the same year as Ray Chikapa Phiri. Two great God sent African Prophets of all times. R.I.P.
Pumzika kwa amani baba mbele yako nyuma yetu amina
Kweli nimeamin mziki mzuri unaishi miaka yote
Nakumbuka Mtoni Kwa Azizi Ally .
Miziki ilikuwa inatoa mafunzo
Na salamu za adhuri na Sai Ali Matano.Truly radio has come from far.
Remmy R I P tajir na gar yake masikin na mkokoteni dah happy 2019 wote mnaoisikilza
Nasikiliza 2019....RIP legendary Remmy
kweli dr remmy maiti haina rafiki ulikuwa unaona mbali sana na tungo zangu tutakumbuka daima
hii nyimbo inshauli sana ndugu zangu don't spay my life.
Maiti haina Rafiki,,marafiki zangu wataniogopa,,,,looh my everyday song.....siku ya kufa nyama ya Udongo.......
The way it is!!! Maiti haina rafiki!!!!!
Siku ya kufa nalala naoza daaah ujumbe mzito sanaaa
This man was a prophet.
MUZIKI WOTE SIFA ZOTE ALIZO ILETEA NCHI YETU DR REMIY ONGARA SEREKALI ILSHINDWA KUMPATIA VYOMBO VIWE VYAKWAKE ALIBAKI KUWA MUAJIRIWA
jama ee huyu jamaa ni mkali always
katu hauwezi kulinganisha muzuiki huu na muziki wa sasa ambao nyimbo zinapigwa wiki na kupotea kabisa (hakuna radha ndani yake katika nyimbo za sasa)
Remmy Alituaga mapema kupitia huu wimbo na ile Kifo
This song Siku ya Kufa was not done by Orchestra Matimila as said in the title. It was done by Orchestre Makassy when Remmy just arrived in Tanzania and sang with Orch. Makassy, other songs included Athumani, Molema, Moses ect. when FanFan was also with Makassy. Then he did another number called Kifo Hakina Huruma with,,, now with Matimila.
You are right bro
@@ericernest929A story goes that Remmy left Makassy due to disagreement between Remmy and Mzee Makassy( Kitenzogu), the principal leader of Orch. Makassy, on whom to be named the rightful composer of the song ...Siku ya Kufa.
Daa nakumbuka kipindi icho nasoma darasa lakwanza shule ya msingi yombo dovya nilikuwa nikiludi baba yangu razima haweke izi nyimbo mwenyezi mungu hampunguzie adhabu ya kabri amina mimi kwasasa naishi Emirates Dubai
Wimbo nzuri ya Rami (bwana mufumu) jina lake kwetu Congo, Bukavu-Kivu, alipokuwa mwimbaji wa orchestre Grand-Mike Jazz. Siku ya Kufa. Aliimba nyimbo hii Bukavu mu Bar ya Musole Maharaza mwaka 1978. Nakumbuka. Rami alikuwa populaire sana. Mupenda sifa
Nyimbo imenikumbusha mbali sana marehemu mama yangu alikuwa anaupenda sana
For sure this Remmy Ogala was the great musician known everywhere.
Mwenyezi mungu ndio alitumba,yeye ndiyo anajua siku ya kifo,na omboleza kifo cha mjomba wangu mourice onyango,mungu am laze pema peponi.
Guinji mwenyewe. Napenda nyimbo zake sana.
Ooooh Lord
The greatest message in the 21st c.
Listening again on Monday 4th October, 2021 in Malava, Kakamega county, Kenya.
A Dr. Indeed. Such hard reality.
ukiusikiliza huu wimbo jeuri yote inaisha jamani mungu awapumzishe uko waliko yaani ni zaidi ya burudani hakuna computer wala mix mziki ulikuwa mzuri
Kando na huu wimbo kuwa ukumbusho, una wosia mwafaka katika karne hii ya 21. Mola akurehemu Remmy Ongala.
ooh! no! Dr. Remmy mungu iweke roho yako mahali pema. Tutakumiss sana ila umetuachia vitu vizuri hapa duniani tutakukumbuka daima. Kwetu sisi watanzania wewe ni kama Michael Jackson japokuwa miziki yenu ni tofauti kabisa. Tutakukumbuka daima Dr.........
Great musician Remmy. R.I.P
Niseme nini tena?Alikuwa ni mwanafalisafa.Aliweza kuimba na kupiga gita kwa wakati moja.Alikuwa muwakilishi wa wanyonge.RIP.
Namkumbuka baba yangu mzazi halikuwa anaipenda sana nyimbo hii ya Remmy ongara
duh enzi nasoma nilikuwa nikimuona ako wangu akisiliza duh dunia kweli tambala bovu
said chaeka, serkali yetu haipo hivyo kila anayeingia madarakani hujiangalia kwanza yeye na familia yake, kisha mtoto wa shangazi, mjomba.
Hamis Chimgege hahaha
kweli wapenda zilizopendwa munsikia kweli Hi kama sio masterpeace then you don't know music
Very educative music full of wisdom for those who can interpret.
Thomas Ochuodho ndiyo kweli!
ukweli mwenyewe kayaona!
Dr Remy u were a regend r.i.p
this song has a magnificent ending
From UAE 2019
Rest Easy mzee Remy ongala
Hero All the time
I have never failed to enjoy Remmy Ongala's music even as early as when he was still with Moshe Fan Fan Makassy. His music is so really and philosophical too
Dr ni pekee hukuna lala mahala pema, nitakumbuka daima
Strong message from remmy ongala
Naomba ule wimbo wa Dr...harusi ilifanyika mwanza
R.i.p Legendary uncle Remmy
It reminds me my late father Mr mwita werema mairo who loved these rhythm in his youthful age 80s
He was a musician of its kind in Africa and the world over. RIP Dr Remmy.
valentine oforo remmy ongala miziki yamaana acha sasa eti kamatiya chini maanake nini
Nakubali Sana hi nyimbo
Zamani nyimbo zilikuapo❤❤❤
Good memories of 1979... Remmy Ongala with Makassy Orchestre. RIP Remmy!
Mawazo mawazo ya mtu mzima kama akikuambia neno usibishe eeh
Neno ya mzee ukabisha mwisho utapata shida kuimba tuna imba ila nina washauri msikie eeh
Me nampenda music remmy forever bcs still at mistil a world shu try evthing
pumzika dr
Bingwa alale pema peponi.what educative message,
all are delicious.
So philosophical.....amazing!
Remy ongala i like all songs
Nyamranga Ramadhan uh h BH b BH q1q
ni kipaji cha kipee!
This song is so sad, when you think about life and death, and All of os, Will taste Death one day.
Maiti haina rafiki, wanakuwa wananiogopa nimekuwa Leo shetani
jongoo mpenda watu na watu hawampendi
Maneno mazito!
Listening to Congo music really brings back some good memories.
Today brand new year 01/01/2020 I’m listening to this masterpiece of music which gives me a loooot of memories
Lala pema peponi,Wale walio sikiza nyimbo zako wanajuwa nini ulikuwa una eeleza hata kama ni kwa mafubo.usasema ,
Ushasema
@edondaki ... ali kufa usiku wa 12.12.2010 ... ni baba yangu
Ni babako?
Nyimbo za kitambo always happy listening
bonsoir ! tadjiri namali yake masikini nawatoto wake merci...
sango nayo ndeko ya mwasi
I love this song so much it gives out the truth
jongoo mpenda watu, lakini watu hawampendi.....
tutakumbuka musiki yako god bless u
Remember ongala alikuwa mambo wa music in parts of the world 2:19
Marafiki zangu wanamikimbia nakuwa leo shetani'dah siku ya kufa unakwenda na nani?
maestro king of afrcan rumba
Legend Remmy RIP
Pumzika dokta😭😭😭
barabara murefu haikosi kona, mwanamuke muzuri hakosi kasoro
ok!!! tadjiri namaliyahe masikini na watoto...
Tajiri na gari yake, masikini na mkokoteni.
Mwanamuke muzuri hakosi kasoro.
Barabara ndefu haikosi kona.
Kuna mameno mengi sana humu
RIP Prof
MAKASSY ORCHESTRA NA REMY ONGALA 1979
Haitatokea tena dunian
this song played by Remmy Ongala with Orchestra Makassy not Super Matimila in late 70s
79
Rest In peace Dr. Remy
REST IN PEACE #REMY_ONGALA 😭😭😭😭😭😭😭😭
wimbo nguvu,,ninafurahi
Daa kipindi nasoma darasa lakwanza mwaka 1988
ameaga wapenz wa muziki puzika kwa aman doctor
“Safari Sound “ “Friend Corner” Dar es Salam 1981.
@Nizee2010 yupo freshi anazeeka tu ...haha
Still listening 2022 rest well our king
RIP Remmy Ongala
RIP BROTHER, WE WILL TRULY MISS YOU.
2021 who listen