Amina Mtumishi,nishai kataliwa kwenye office flani hivi,nilifukuzwa nikaambiwa nitoke sitaku kazi,nilitoka nikumlilia Mungu,na keshoye Mungu alifungu njia ikaitiwa kazi mahali ambapo sikutarajia wa kutegemea,japo mshahara ulikuwa mdogo lakini kwa yote nilimshukuru Mungu kwanza Kwa kuipata ile kazi Amina
Nasema kila alama zote tulizo pandikizwa kupitia roho za kimapepo,majini,nguvu za Giza,tukapandikizwa magonjwa,umaskini,shida za kila aina yoyote ile tusivuke kimaisha kila eneo LA maisha yetu, Mimi na nyumba yangu,twafuta Kwa damu ya yesu kristo katika jina la yesu Ameeen ameeen
Nguvu ya roho ya maombi yaniongoze na kunifungulia milango yangu yote nisibebwe na madhabahu ya shetani wapotelee mbali kutoka kwangu nifanikiwe kila Jambo maishani
Alama zote za kimapepo Uchawi Mskini Magonjwa Ndoto za kimapepi Alama za kurudishwa nyuma kiroho Alama zote ninazo zijua ba zile nisizo zijua nazifut kwa damu ya YESU 😊
Niukweli mtumishi nishai enda kwenye office za kazi mahali sisi wadada utaftiwa kazi za ndani,wakanijaribu na kazi moja ambayo sikuipenda,nilipoikatataa nikitata angalau wanibadilishie kazi nyingine badala ya wao kufanya ivo nulifukuzwa wakaniambia nitoke naoneka sitaki kazi kabisaa,nilidhalilika sana na kuondoka huku nalilia Mungu manake shida zilizokuwa zimeniandama siku hio Mwenyezi Mungu ndie ajuae,nilitoka nakwenda nyumbani,na nikiwa pale nilipigiwa simu na rafiki tu,akaniambia uko wapi weh njoo Kuna kazi nataka kukuachia Mimi nimepata pahali pengine, imagine hio kesho nilikwenda nakujoin il e kazi japo ilikuwa na mshahara kidogo lakini Kwa yote nilimshukuru Mungu kwanza Kwa kuipata ile kazi kwanza Amina
Ni kweli pastor mimi nimeamua kufungwa duka na nimerejesha nyumbani,nimekaa tu kiasi kwamba naogopa hata kushika kitu cha kunipa faida naona nitakipoteza tu
Ooooooo,Mwenyezi Mungu nakuomba unitakase,damu yako iwe vazi langu uni ondolee kila alama mbaya yote maadui zangu wameweka kwa maisha yangu,nakuomba Baba Mungu unisaidie unikombowe,univushe bila sina alama yeyote kwamaisha yangu,amen.
Sylvia eeee baba wa mbinguni asante kwa neema yako kubwa baba naomba unitakase unioshe kwa damu ya yesu uniondolee kila alama za adui ndani ya yangu kwa maisha yangu 🙌 pia baba kumbuka wanangu kule waliko uwaondolee yote mabaya ya adui kwa jina la yesu❤
Pastor wanizungumzia Mimi kabisa,, yaani yangu Mwanzo wa ndoa nimekataliwa naonyeshwa dharau Ile mbaya, 22 yrs sasa .Am processing a divorce now, Niko na watoto wanne, Ila Naogopa hata kuanzisha mahusiano mengine. Hio alama naomba ifutike kwangu na dada zangu pia. Tumechoka pastor.
Amina Mtumishi,nishai kataliwa kwenye office flani hivi,nilifukuzwa nikaambiwa nitoke sitaku kazi,nilitoka nikumlilia Mungu,na keshoye Mungu alifungu njia ikaitiwa kazi mahali ambapo sikutarajia wa kutegemea,japo mshahara ulikuwa mdogo lakini kwa yote nilimshukuru Mungu kwanza Kwa kuipata ile kazi Amina
Nasema kila alama zote tulizo pandikizwa kupitia roho za kimapepo,majini,nguvu za Giza,tukapandikizwa magonjwa,umaskini,shida za kila aina yoyote ile tusivuke kimaisha kila eneo LA maisha yetu, Mimi na nyumba yangu,twafuta Kwa damu ya yesu kristo katika jina la yesu Ameeen ameeen
Amina litukuzwe na lihimidiwe Jina la Bwana yesu Kwa hàya Maombi Alleluia
Ninafuta alama zote za kipepo kwenye maisha yangu amina
Alama ya nangonjwa ya kimapepo inafutwa kwa jina la Yesu
Nafuta kila alama mbayaa katika maisha yanguu
Amen amen mtumishi barikiwa saana kwa maombi mungu
Alama za kimapepo zi afutwa sasa Kwa jina jina la Yesu
Naitaji kujua njia kulipa sadaka ya madhabahu
Alama ya umasikini inaondolewa Kwa jina la Yesu
Anza nami bwana Niko hapa
Ameeeen Asante sana Mungu kwa kufuta alama zote za kimapepo kwangu na hazitanifata tena
Asante yesu
Nguvu ya roho ya maombi yaniongoze na kunifungulia milango yangu yote nisibebwe na madhabahu ya shetani wapotelee mbali kutoka kwangu nifanikiwe kila Jambo maishani
Anza nami Yesu
ee bwana naomba utuondolee alama zote zilizowekwa na adui kwenye maisha yetu roho ya umaskin kwa kaka zangu na ndugu zangu
Amen asante Yesu
Niondolee alama za kichawi ktk uso wangu alama za maadui wabaya kwa watt wangu mme wangu bwana nisaidie
Ameeeeeeeeen
Alama zote za kimapepo
Uchawi
Mskini
Magonjwa
Ndoto za kimapepi
Alama za kurudishwa nyuma kiroho
Alama zote ninazo zijua ba zile nisizo zijua nazifut kwa damu ya YESU 😊
Amen 😊
Niukweli mtumishi nishai enda kwenye office za kazi mahali sisi wadada utaftiwa kazi za ndani,wakanijaribu na kazi moja ambayo sikuipenda,nilipoikatataa nikitata angalau wanibadilishie kazi nyingine badala ya wao kufanya ivo nulifukuzwa wakaniambia nitoke naoneka sitaki kazi kabisaa,nilidhalilika sana na kuondoka huku nalilia Mungu manake shida zilizokuwa zimeniandama siku hio Mwenyezi Mungu ndie ajuae,nilitoka nakwenda nyumbani,na nikiwa pale nilipigiwa simu na rafiki tu,akaniambia uko wapi weh njoo Kuna kazi nataka kukuachia Mimi nimepata pahali pengine, imagine hio kesho nilikwenda nakujoin il e kazi japo ilikuwa na mshahara kidogo lakini Kwa yote nilimshukuru Mungu kwanza Kwa kuipata ile kazi kwanza Amina
Sadaka naweza tuma vipi
Ni kweli pastor mimi nimeamua kufungwa duka na nimerejesha nyumbani,nimekaa tu kiasi kwamba naogopa hata kushika kitu cha kunipa faida naona nitakipoteza tu
AMEN 🙏🏿
Hanza nami bwana
Mwenyezi Mungu niondolee roho ya umasikini kwenye maisha yaku na kwenye familia yangu.
Amen
Ooooooo,Mwenyezi Mungu nakuomba unitakase,damu yako iwe vazi langu uni ondolee kila alama mbaya yote maadui zangu wameweka kwa maisha yangu,nakuomba Baba Mungu unisaidie unikombowe,univushe bila sina alama yeyote kwamaisha yangu,amen.
Mafuta kila alama mbaya za kiroho
Roho ya kipepo
Ifutwe kwa damu ya YESU
Sylvia eeee baba wa mbinguni asante kwa neema yako kubwa baba naomba unitakase unioshe kwa damu ya yesu uniondolee kila alama za adui ndani ya yangu kwa maisha yangu 🙌 pia baba kumbuka wanangu kule waliko uwaondolee yote mabaya ya adui kwa jina la yesu❤
Pastor wanizungumzia Mimi kabisa,, yaani yangu Mwanzo wa ndoa nimekataliwa naonyeshwa dharau Ile mbaya, 22 yrs sasa .Am processing a divorce now, Niko na watoto wanne, Ila Naogopa hata kuanzisha mahusiano mengine. Hio alama naomba ifutike kwangu na dada zangu pia. Tumechoka pastor.
Achana na talaka uombe Mungu awakutanishe tena na mume wako😢
Mungu nisaidie mimi ni huyo unasema
Ooh God niondo kwa alama mbaya z kiroho n kunichapisha alama zako🙏🙏🙏😭😭
Hili neno ni langu mm ninaalama zakukataliwa, na alama za kufanyia vitu ambavyo sijakusidia kufanya mungu azifute Ili niwe na chapa Cha kristo
Naikataa Roho ya kukataliwa Kwa jina la Yesu 🙏🙏
Unaweza yesu nifinyange yesu❤ natamani kutumiwa na wewe bwana 🙌🙏♥️
Anza na mimi baba
Anza n'a Mimi
Mungu wangu nikumbuke nnuondoe kila alama zote za adui maishani mwangu 😢
🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏🙏🙏💖💖❤️❤️❤️
Ee yesu anza nami😢😢🙏🙏
Mtumishi wa Mungu! Mimi na familia yangu tunapitia hali ya kukataliwa, magomjwa na umasikini. Naanini ktk uponyaji
ROHO NIONGOZE.
Amen mtumishi kwaimani na Amin Nita pokea
Nashukuru Mungu kwa neema yake. Naomba okuvu ya mume wangu. Watoto yangu wakomayee na katika neno la Mungu.
Anza nami bwana akili yangu imefika mwisho
😢
Thank you lord 🙏🏿
Anza nami babaaa😢
Anza na mimi Bwana
Anza na Mimi bwana
Anza Nami kwenye ibada hiii bwana, tupatiye nguvu, roho mtakatifu ikishuka kwetuu
Nikumbuke yesu❤
Asante bwana
ee baba yetu wa mbingun naomba kwa damu yako uniondolee kila alama mbaya za kiroho za nina maden kukataliwa umaskini ee bwana naomba uniponye
Anza nasi kwa asubuyi ya Léo, bila wewe atuta weza
Amen 🙏
Eee baba mungu ,nisaidiye kila ndagusa kama kazi ya mikono yangu,ibarikiwe.bila wewe sita weza ee mungu wangu.
Copy Moja ya kitabu yamaelelzo ya maombi
Anza nami Yesu