OYA WAZUA TAHARUKI KUBWA ISEVYA TABORA || WAMPIGA MDAIWA NA KUMNG'OA JINO.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • #Tbr24Media #Tabora

Комментарии • 232

  • @Majebelemathias
    @Majebelemathias 2 месяца назад +1

    Shida ya WA Tanzania mnapenda Sana vya harakaharaka tafuta kidogo kidogo achaneni na mikopo ya kipumbavu itawaumiza

  • @zenaKilakala
    @zenaKilakala 2 месяца назад

    Poleni sana ndugu zetu wa tbr mungu atawalipia

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 2 месяца назад +18

    Mmiliki wa Oya ana nguvu kuliko serikali

  • @mosseskahemela2969
    @mosseskahemela2969 2 месяца назад +2

    Kampuni inayowakopesha haoo bhas ni ngeni mjini huo mtaa ni 👐👐

  • @NamiriNamiri-oz4xs
    @NamiriNamiri-oz4xs 2 месяца назад +2

    Sasa kwa nn msiisusie mikopo ya hivyo?? Achaneni nayo Rizikeni na mnachokipata tamaa mbele mauti nyuma kuna mwengine kauwawa na hao Oya kibaha Acheni hiyo 60 000 kama unaipata kwa wiki kaiweke Bank ukifika huo mwaka utaona kimeingia kiasi gani Acheni.Aaaaaaaaaa.

  • @NassorIssa-e8i
    @NassorIssa-e8i 2 месяца назад +2

    Mlitumwa mkope kwanza riba haramu kilnachowafanya mwende kuchukuwa pesa zao ninini acheni mambo ya mikopo mumche mwenyezi mungu mpate riziki ya halali ndugu

  • @prosperprosper8568
    @prosperprosper8568 2 месяца назад +5

    Hamuogopi? jina lenyewe OYA

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 2 месяца назад +1

    Watu Wana maisha magumu sio kupe da mikopo Hali ngumu mtaani

  • @EliasMwita-q3x
    @EliasMwita-q3x 2 месяца назад

    Duuu!Poleni sana

  • @RehemazuberBundallah
    @RehemazuberBundallah 2 месяца назад +1

    Duuh polen sana ndg zetu mikopo inchangamoto sana

  • @gsninetz5019
    @gsninetz5019 2 месяца назад +1

    Duh Polen Sana Ndugu Zangu

  • @DayanaAugustinne
    @DayanaAugustinne 2 месяца назад

    Daha mama sud pole sana maana naww kingekukuta kitu shoga angu pole sana baat chomba

  • @mundisumka5868
    @mundisumka5868 2 месяца назад

    Ogopa oya huko ifakara wanawasaka wanaowadai mpaka usiku wa saa sita, kampuni hii hatari sana,nendeni taasisi zingine oya noma

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 2 месяца назад +1

    Najiuliza oya ninani, bei ya gali ya IST showroom ni million 13 dar peke yke kuna hizo gari zaid ya 150, mikoa yte Tz tunapishana na hazo gari zimeandikwa OYA achilimbia mbali na huo mtaji alionao anaokopesha watu Tz nzima hongera sana Oya mmejipanga

    • @mainermtabazi2659
      @mainermtabazi2659 2 месяца назад

      Ni mama mmoja asiekuwa na mume lishangaz limoja hv linanoti

  • @Zakia-p2y
    @Zakia-p2y 2 месяца назад

    Hicho kichwa cha habari kimenifanya nicheke😂. Sijui Ni ujinga unanisumbua🤣🤣🤣

  • @mainermtabazi2659
    @mainermtabazi2659 2 месяца назад +1

    Na serikali ya kisenge sana hii kampun italeta mazara makubwaa

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi 2 месяца назад

    Hiii kampuni ya Oya serikali inafikiria nini hii kampuni dhalimu haifai ifutwe na wafunguliwe mashtaka .

  • @MwanaidiTwaha-my6mz
    @MwanaidiTwaha-my6mz 2 месяца назад

    Mungu tusaidie jamii zetu zipate rizk nyingine za kujitegemea bila hii mikopo mtihan watu wanadhalilika maskin polen sn jamani

  • @Zuwenamchuzi
    @Zuwenamchuzi 15 дней назад

    Kumamazenu watu wa oya wote nafamilia zenu

  • @TumainiMbati
    @TumainiMbati 2 месяца назад

    Hahahaha mnajouliza Oyaa ninani 😂😂

  • @MwanaidiSaid-qt2st
    @MwanaidiSaid-qt2st 2 месяца назад

    Duuh kampuni ya oya ipo juu ya sheria kabisa daah

    • @TausiKuyeto
      @TausiKuyeto 2 месяца назад

      Sio juu ya sheria ....kwnn ukope halaf usilipe...mbna wanaolipa hii kadhia hawakutani nayo....oya wamekuja kukomesha tabia za watanzania wanaokopa na hawapendi kulipa...huo muarobaini wa oya ndio tiba yenu.

  • @JacobWaryoba
    @JacobWaryoba 2 месяца назад

    Hiyooo kampuni wafungiwee kabisa mwashitaki

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 2 месяца назад +5

    Nyie chezeni vikoba oya wanaua huku dar waliua acheni jamani ee

  • @VeriuseMnyakiwele
    @VeriuseMnyakiwele 2 месяца назад +1

    Hapo niutaperi dharura wapi muwe mnalipa madeni mbona mnasaidiwa sanaa

  • @Zuwenamchuzi
    @Zuwenamchuzi 15 дней назад

    Walimuuwa mkaka wawatu mbagara hawa watu siwakukopa 😢😢

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 2 месяца назад +6

    Hii mikopo ya oya, kausha damu inawskondesha watu yani ni mkopo mbovu uongozi wao hauna heshima. Wangefungiwa nakumbuka walivyomuua yule kaka.

    • @goromamussatvonline
      @goromamussatvonline 2 месяца назад

      wanaokopa ndio tatzo. kwanini ukope kwao

    • @jeremiahblazio4781
      @jeremiahblazio4781 2 месяца назад

      Kabisa​@@goromamussatvonline

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u 2 месяца назад

      @goromamussatvonline Mikopo naigopa hakuna mfano unaweza kopa ufanye biashara, biashara zenyewe hazitoki mwixho unaambulia kubebewa vitu na kupigwa.

  • @ArtworkArtwork-t8p
    @ArtworkArtwork-t8p 2 месяца назад +7

    YAANI HAWA JAMAA JINSI NINAVYOWACHUKIA NAANDAA MKAKATI NIWAKOPE ALAFU NITIMIZE JAMBO LANGU

  • @MbokaRechadi
    @MbokaRechadi 2 месяца назад

    Wasenge hao madogo

  • @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
    @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 2 месяца назад

    WANGEKUWA NA DHARAU UNGKOPA

  • @thabit5775
    @thabit5775 2 месяца назад

    Hao oya wameua mlandizi.hao

  • @Mc_Itemo
    @Mc_Itemo 2 месяца назад +1

    Umasikini mbaya sana

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f 2 месяца назад +1

    Oyaaa jamani

  • @temuramadhani5134
    @temuramadhani5134 2 месяца назад +2

    Ao oya wanamataizo kibaha wameua

    • @ismailchibonda5005
      @ismailchibonda5005 2 месяца назад

      Hivi ile kesi ya kibaha imeishaje? Serikali yetu sijui ikoje dah! Aise.

  • @williamboniphace5887
    @williamboniphace5887 2 месяца назад +3

    Hii kampun itakuwa ya viongozi wa Serikali ndio maana wajeuri sana😥😥

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 2 месяца назад

    Kung'oa jino

  • @LamekiMichael-pz7rv
    @LamekiMichael-pz7rv 2 месяца назад +1

    Yaani oya balaaa tupu

  • @MaryFidelis-r8h
    @MaryFidelis-r8h 2 месяца назад +1

    Ila na sisi watanzania kama tunajuwa wanavurugu kwa nn twende hko mbona kuna taasisi nyingine awana vurugu matusi twenden hko tuwaachie pesa zao vijana hawana nidhamu hao

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 2 месяца назад

    Oya inamilkiwa na mghanna

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 2 месяца назад

    Duuuu

  • @betitympeleta9697
    @betitympeleta9697 2 месяца назад

    Chezeni vikoba achaneni na Oya wanawake mikopo mingi mnamiliki jamani punguzeni

  • @LukaNyagenda-pb9eo
    @LukaNyagenda-pb9eo 2 месяца назад

    Nanyinyi mnazingua mbona mnapoenda kukopa hamsemi mkiya bananga ndo mnalalamika acheni hizo,unajua kabisa kunashida halafu mnaenda

  • @nenolauzima5281
    @nenolauzima5281 2 месяца назад

    Vishoka wa Oya ni hatari

  • @hezron1856
    @hezron1856 2 месяца назад +1

    Oya Company Naomba kazi

  • @JacobWaryoba
    @JacobWaryoba 2 месяца назад

    Mumliki. Anatumia nguvu gani hivi serikali. Aipooo. Au atuna utetez

  • @AminaMadaraka
    @AminaMadaraka 2 месяца назад +2

    Acheni kukopa hao bangi zina sumbua sana

  • @BARAKAPETER-er2yh
    @BARAKAPETER-er2yh 2 месяца назад

    Mmmmh hiyo kampuni sio ya kukopa jamani

  • @shadrackhelemani346
    @shadrackhelemani346 2 месяца назад +2

    Wanapenda vurugu Sana wananchi kuwen makini san

    • @barutiboniphace4335
      @barutiboniphace4335 2 месяца назад +1

      Usisikilize upande mmoja..sikiliza pande zote ndiyo unaweza jua nani mkorofi. Siku zote mtu akiwa anataka kukopa anakua rafiki yako ila kwenye kulipa wanakua watata sana. So hapo inabidi tusikilize pande zote tujue nani alikua mchokozi

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f 2 месяца назад

    Daa

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 2 месяца назад

    Jamani kumbe bado si waliua kibaha kwann serikalli haijawachukulia hatuq kuna shida gani wanashindina na serikali

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f 2 месяца назад

    Acheni kukopa oyaaa

  • @AlimaJuma-j3o
    @AlimaJuma-j3o 2 месяца назад

    Mikopo yote isioereweka tuiomb serkari iwafungue maana wanatudharirisha jaman

  • @PaschalLucas-m5e
    @PaschalLucas-m5e 2 месяца назад

    Jpm wakeup baba ujionee tanzania uliyoiacha,ukishaiona tutakuruhusu uende zako

  • @rajabumtuga7372
    @rajabumtuga7372 2 месяца назад

    Mmiliki wa hoya anaogopwa na serikali nzima ya Tanzania ndio maana anaheshimiwa na kusujudiw na kila kiongozi. Na wanafanya watakalo ndan ya nchi hii

  • @JosephThomasMaduka
    @JosephThomasMaduka 2 месяца назад +1

    Hao si wafungiwe tu

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 2 месяца назад +1

    kosa lako bibi Nimoja2 wewe Nimaskini ndio mana kituoni hujaskilizwa wameskilizwa maboss kwanza hata kama wewe Ndio uliopigwa lakini unawekwa ndani pole sana

  • @nazarenajoseph2695
    @nazarenajoseph2695 2 месяца назад

    Wafungiwe au ni kampu ya kigogo juzi wamuuwa leo wanapiga watu.

  • @HarsonKisanga
    @HarsonKisanga 2 месяца назад +1

    Hao Oya wafungiwe tu. Mama samia na wenzio sitisheni hii mokopo ya kampun binafsi. Waondoke hasa hao Oya. Jamani jamani.

  • @abdisalim7900
    @abdisalim7900 2 месяца назад +2

    Kwani hawa OYA ni wakubwa kuliko Serikalu?

  • @nazarenajoseph2695
    @nazarenajoseph2695 2 месяца назад

    Iko siku watasema kiluga subirini watu watachoka.

  • @janethcharles1146
    @janethcharles1146 2 месяца назад

    Hawa Oya bado Tu wanasumbua jamani!! Serikali yetu ebu zifuatilieni hizi taasisi za mikopo kiukweli wananyanyasa Sana wananchi. Tulidhani Oya wamejifunza Kwa kile walichokifanya mlandizi bado Tu wanaendeleza ubabe!!!

  • @MiriumWajey-lr1tq
    @MiriumWajey-lr1tq 2 месяца назад +1

    Na wanawake tunapenda mikopo sana mpaka itutoe roho😢

    • @TausiKuyeto
      @TausiKuyeto 2 месяца назад

      Oya hawana shida...shida wanayo wakopaji kama unafnya kama mlivykubaliana hawana shida...tatzo la wamama wengi wanapenda mikopo kulipa shida...ss oya ni namba nyingine sio zile taasisi mlizozoea kukopa halaf hamlipi..

    • @TausiKuyeto
      @TausiKuyeto 2 месяца назад

      Usikope kitu ambacho huwez kulipa....wakina mama Acheni kukopa mlio wengi kulipa hamuwez

    • @Dafetty
      @Dafetty 2 месяца назад +1

      Kabisa nakuunga 🤝💯

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 2 месяца назад +2

    Mngewauwa kabisa Hao mbwa ,walimuua kijana wa watu halafu wao wanalelewa tu , haya bwana acha tuone yajayo

  • @MobetoMmasa-fg1jn
    @MobetoMmasa-fg1jn 2 месяца назад

    Jaman kama inawanyanyasa mnakopa ya nn!? Muache kukopa

  • @geofleyLunyelele
    @geofleyLunyelele 2 месяца назад

    Hawa Kumbe bado wanafanya ujinga kwani bado hawajafungiwa tu? juzi tu wameuwa mkoa wa pwani na washafungwa maisha serikali wafungieni hawa ni shida tu.

  • @KulijeNovart
    @KulijeNovart 2 месяца назад

    Na nyinyi mnazidi kukopa vikundi vya wahuni

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh 2 месяца назад

    Haya makampuni ya mikopo yachunguzwe vizuri yasiyofaa yafungwe na yanayoonekana yaendelee na shughuli zao ila mikataba ifanyiwe utaratibu na serikali iwe shahidi baina ya anaekopesha na mkopaji ili kuondoa manyanyaso yanayotokea

  • @franktibwita228
    @franktibwita228 2 месяца назад

    Kama ujawahi kopesha unaweza kutetea ila Hawa watu ni wasumbudu lipa mkopo

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 2 месяца назад

    Hao oya. Kenya walifanya kufukuzwa hawatakiwi walikuwa wanawapiga watu lakinitz bado viongozi wanawaachia

  • @ifonlyiknew619
    @ifonlyiknew619 2 месяца назад

    Hawa Oya Ni Vipi Mbona Matukio ya Kupiga yamezidi sasa

  • @khadijamohanani6476
    @khadijamohanani6476 2 месяца назад

    Si mungechoma hiyo gari yao

  • @BENEDICTMHINA-pd1kr
    @BENEDICTMHINA-pd1kr 2 месяца назад

    Mwenye oya atakuwa no kigogo matukio yote haya lakini wala hawachukuliwi hatua yoyote

  • @Kinyangulishabani
    @Kinyangulishabani 2 месяца назад

    Oya niwazulumati

  • @JacquelineMacha-y3n
    @JacquelineMacha-y3n 2 месяца назад

    Wanamatatizo gani hawa watu kudai kwa vipigo kwani nilazima wakopeshe

  • @MsomiMasano
    @MsomiMasano 2 месяца назад

    Shida wanalipa cod selikalin ndo maana selikali ipo kimya, hii nchi ukilipa cod2 fanya chochote , magufuli ndo aliwaweza ila uyu mama mtihan

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 2 месяца назад

    Kwani hawa Oya bado wanapumua tu na huu upuuzi wao

  • @allymanyika3502
    @allymanyika3502 2 месяца назад

    Hivi hawa oya si ndio wale waliouwa pale mlandizi

  • @pendongowi3508
    @pendongowi3508 2 месяца назад

    Hivi hii microfinance bado ipo???

  • @mainermtabazi2659
    @mainermtabazi2659 2 месяца назад

    Oya anammiliki ni mamaa mmoja hv tena ukimuona uwez hata mzania ila yeye ndie anaetoa ruhusa ya vijana kufanya chochotee arafu akiulizwa anakana ni msenge sana yule mama hv watu wanavyokufa kweri nafsi ya mtu ni nzito sana tena unazurum nafsi sababu ya ela sometimes wanadai hata elfu50 ila wanatoa roho ya mtuu na wanabaka pia ni washenzii sanaa

  • @marcynhumbi3534
    @marcynhumbi3534 2 месяца назад +1

    Ili kapuni ni majasusi na magaidi,huko dar lilishampiga kijana wa watu hadi kufariki.Nani yupo nyuma yake unamtoa mtu hadi meno bila ngazi khaaaaa

  • @JosephLadisilaus
    @JosephLadisilaus 2 месяца назад

    Achen kukopakopa maden ni laana imeandikwa akopae anakuwa mtumwa wake amkopeshae....

  • @othmanabdallah3146
    @othmanabdallah3146 2 месяца назад

    Hela haina adabu kukopa harus kulipa matanga wabongo wakikopeshwa ndy ilivyo , nashauri kuwe na semina wapatiwe kabla ya kukopeshwa

  • @MaryFidelis-r8h
    @MaryFidelis-r8h 2 месяца назад +1

    Ili hizi kero msizitake msikope oya oya

    • @TausiKuyeto
      @TausiKuyeto 2 месяца назад

      Safi umewashauri vizur oya ni namba tasa ukikopa lazma ulipe kwa njia yeyote ...shda mama zetu wanachukulia poa pesa za watu...wanaishi kwa mazoea...xaxa namba waliyopiga safari hii wameyakanyaga

    • @TausiKuyeto
      @TausiKuyeto 2 месяца назад

      Wataacha 2

    • @TausiKuyeto
      @TausiKuyeto 2 месяца назад

      Tabia za kukopa halaf hawatak kulipa

  • @Farida-vg5ry
    @Farida-vg5ry 2 месяца назад

    Oya sio watu wazuri wame uwa mtu MLA ndizi selikari haija mfungia tu huyo oya wanchi mnatakiwa kuwajua hao watu hiyo kampuni ya oya Ina uwa watu kabisa kwa hiyo mjiepushe na mikopo ya. Oya. Mtakufa wote

  • @elizabethkalando849
    @elizabethkalando849 2 месяца назад

    Wanaende musoma waone

  • @SashaRamadhani-uu1wv
    @SashaRamadhani-uu1wv 2 месяца назад

    Kitu nilichogundua kuwa oya waongo na wababaifu na wanabadilisha maneno jamani khaaa

  • @PaschalLucas-m5e
    @PaschalLucas-m5e 2 месяца назад

    Police hawana mamlaka ya kushughulikia masuala ya madai

  • @JethaDololo
    @JethaDololo 2 месяца назад

    Hi I hawa SI ndio walifanya tukio kibaha la mauaji?

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 2 месяца назад

    Kabla YA huyo mama kufikia kipengele cha kuwekwa rumande nilisema hawapokei cm wanakuwa wanamaslahi Yao.

  • @supermediaog
    @supermediaog 2 месяца назад

    Kwani hawa Oya wana mamlaka gani ktk nchi yetu?

  • @nsajigwalwinga9093
    @nsajigwalwinga9093 2 месяца назад

    Hii company ifungiwe inanyanyasa wananchi

  • @neymishytz9302
    @neymishytz9302 2 месяца назад +1

    Hawa sasa mbona wanazidi kwanini hii kampuni isifungiwe juzi tu wameua mtu sasa hvi tena duh masikini tunateseka jmn

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 2 месяца назад

    Muache kukopo hiyo kampuni ya serikali watawauwa😅😅

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 2 месяца назад +1

    Tunamuomba mh Samia awafungie kabisa hii kampuni walimuuwa yure kijana Dar sasahivi tukiona tugalitwao tunachoma moto

    • @piumagoha
      @piumagoha 2 месяца назад +1

      Hiyo ni kazi ya BOT cyo kazi ya Mh Rais

  • @Zaynabahmed-ey4zu
    @Zaynabahmed-ey4zu 2 месяца назад

    Acheni kuwakopa HAWA watu ni wanyama wametoka kuuwa mlandizi kesi IPO mahakanani

  • @ImeldaIsdory
    @ImeldaIsdory 2 месяца назад

    Kabla mtu hajakopa asome vizuri mikataba ya wakopeshaji. Hii mikopo inasaidia kwa sababu watu wengine hatuna sehemu nyingine ya kupata mikopo! Mikopo huwa haina urafiki wala hawaagalii sura ya mtu.

  • @Hongkong-765ul
    @Hongkong-765ul 2 месяца назад

    Yaan hao m nakopa afu naanz kulala na Banga

  • @JescaMwagama-oc9yt
    @JescaMwagama-oc9yt 2 месяца назад

    hao sasa kaxi

  • @MwinyiJuma-n4i
    @MwinyiJuma-n4i 2 месяца назад

    Hawa oya itakua ndio selikali yenyewe ila wakopaji nao wanawakosea mbwa kama hao unawapa hukumu ya mbwa mla kuku

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 2 месяца назад

    Mbona hawa Oya ni wababe sana hawa si ndo wale waliyomuua yule mume wa mke mkopaji au?

  • @annambele789
    @annambele789 2 месяца назад

    Haya Oya wafungiwe kukopesha watu waleta matatizo kola mahali maeneo mengine wamesababisha vifo.