Alichosema Rais Samia baada ya kutua kutoka Ulaya | Kuanza na mikoa hii

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 фев 2022
  • Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Комментарии • 58

  • @machaggechacha3422
    @machaggechacha3422 2 года назад +7

    Amekaribisha wezi. Yangu macho. !!!!!

  • @mzeesuliman3158
    @mzeesuliman3158 2 года назад +3

    Anatuona Kama watoto wadogo atujui kitu Muhongo Matilioni yote ya JPM wamegawana,

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 2 года назад +3

    Kwani mama hawezi kutumia pesa za ndani ad uende kuomba kwa nanii

  • @tariqmaduga8051
    @tariqmaduga8051 2 года назад +5

    Mikopo hatupewi bure hilo tuliwekeni akilini

  • @mzeesuliman3158
    @mzeesuliman3158 2 года назад +2

    Watanzania msimsikilize uyu bibi Uongo Mtupu akunaata mmoja la ukweli

  • @ramadhanmgaya1775
    @ramadhanmgaya1775 2 года назад +1

    No comment.

  • @saramss7262
    @saramss7262 2 года назад +3

    Hivi tanzanian insfadhiliwaa imekosa Nini kama sio kutafuta Shida amaaa

  • @kilmanwasher374
    @kilmanwasher374 2 года назад +1

    Unafiki na roho mbaya ....
    Mbowe is not a terrorist

  • @kubingwalusendeka4295
    @kubingwalusendeka4295 2 года назад +2

    Umeongea nao nn ulienda kuomba pesa tu we huna jipy

  • @bonifacerugabera7635
    @bonifacerugabera7635 2 года назад +2

    Unafiki isiwepo ktk hutuba zako mama tunakupenda tena Mbowe sio GAIDI#

  • @mzeesuliman3158
    @mzeesuliman3158 2 года назад +2

    Umechoka wewe achiangazi jiuzuru unatualibia nchi

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 2 года назад +2

    NANI ALIMCHOKOZA MWENZAKE,!

  • @evancymassawekenya7521
    @evancymassawekenya7521 2 года назад +1

    Tz mnaelekea kubaya nyamazeni tu hivyo mutauzwa Na huyu mama walaah iko siku mtakumbuka mlio ambiwa mtakumbuka,yetu macho 🇰🇪

  • @mzeesuliman3158
    @mzeesuliman3158 2 года назад +1

    Rais gani uyu

  • @cosmaswilliam3805
    @cosmaswilliam3805 2 года назад

    MUNGU ibariki Tanzania

  • @mzeesuliman3158
    @mzeesuliman3158 2 года назад +1

    HOMBA HOMBA HOMBA unatutia haibu

  • @ismailysadic-9863
    @ismailysadic-9863 2 года назад +1

    Mwendo wa kumega safi sana

  • @emanuelshayayi54
    @emanuelshayayi54 2 года назад

    Hakuna mwana Adam hajazaliwa na Mama. Mama pambana kwa taifa letu.Mungu atakulipa.Kila hatua unayopiga unaacha alama.Nakuombea kwa Mungu akulinde kwa kila kitu.

  • @mashirimathias6006
    @mashirimathias6006 2 года назад +1

    Mbona watu kimya washajua nn?

  • @ChidBoy-fz8qs
    @ChidBoy-fz8qs 11 месяцев назад

    Sawa rais wetu naomba kuuliza kwa nn Barbara ya mwendo kas isiwepo arusha pia kwan ajali n nying msongomano n mkubwa

  • @abdali5035
    @abdali5035 2 года назад +1

    kwahio suala la SGR halipo kabisa katika mipango yenu naona mnataka kutengeneza TRAM sasa zitumie mafuta waendelee kuuza ila SGR itakayotumia umeme clean energy hamtak ata kuliongelea 🇹🇿🤦🏽‍♂️

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa 2 года назад +1

      Bosi huyu raisi ni utoporo full yaani. Yaani SGR itafanya vigogo wengi wenye malori wasile pesa kama sasa.

  • @saidmuasajamuhuri4641
    @saidmuasajamuhuri4641 2 года назад +1

    Tunakupenda mama munqu akupe maisha marefu

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 года назад +4

    MAMA UNAPENDA WATU WAKO,HONGERA KWA BIDII YAKO,YA KUJIKWAMIUA KIFEDHA,BILA YA KUTUMIA NJIA YA UNYANG'ANYI KWA WAFANYABIASHARA.
    UADILIFU WAKO KWA RAIA NI MATUIANI KWA TAIFA.

  • @gastonealinda7494
    @gastonealinda7494 2 года назад +1

    Hakika mama unaweza! Mungu akutie nguvu! Wanaokupinga Wana lao jambo

  • @rajaburajab4559
    @rajaburajab4559 2 года назад

    Kinacho endelea ulusi na ukren

  • @ezekielmatondane714
    @ezekielmatondane714 2 года назад

    Umetufanya tusiwe tunaagaliatalifa unajali wezungu na matajili masikini unaturudikia ma tozo mengi hufai kabisa

  • @hatari9591
    @hatari9591 2 года назад

    Ngoja nikakoje Mimi nikalale

  • @jamyally761
    @jamyally761 2 года назад

    Piga kaz mama

  • @spitfiremusicproducer9623
    @spitfiremusicproducer9623 2 года назад

    Wamewasaidia kumuuwa Magu sasa walipeni fadhila zenu ma devil ship wakubwa

  • @spitfiremusicproducer9623
    @spitfiremusicproducer9623 2 года назад

    Sasa hizo bendela wanazopeperusha ndo za nchi zenu?

  • @juliusbura4550
    @juliusbura4550 2 года назад

    Pole na safari. Ombi langu kwa mh ,rais mwachie mbowe kwani mbowe sio gaidi Bali Ni kuchafua taswira ya nchi yetu kimataifa

  • @majaliwaharuna4064
    @majaliwaharuna4064 2 года назад +2

    Ni jambo jema kwa taifa kutengeneza mahusiano na nchi wafadhili kwa nia ya kuchochea maendeleo

  • @saramss7262
    @saramss7262 2 года назад +1

    Hata uki like ninachokoment ukwelii ndio huo anatafuta kutuuzia Inchi yetu ndio maana kashirikiana na hao wamemuwaa maghu ipo siku yatamkuta ety nimeiacha inajadiliwa kumbee Samia Uchungu wako nikuuza tanzanian Ipo siku Tozo vituu vimepanda Bei unawanyanyasa wamachinga kisa Wazungu ipo siku ipo siku ipo siku na saa utaenda kuyajjbu mbeleee za haki

    • @saramss7262
      @saramss7262 2 года назад

      Endeleeni tuu Mungu yupo anakuona madini zetu zinabebwa Wanyama wanaondoka Nazo yaani wameshafanya tanzanian kama shamba la BIBI Yao kwani bila Ulayaa uwezi kujiongoza ndio maana unawatowa wakina kabudi hili ubaki salama ipo siku siye niwa pita NJIA tuu hapa Dunianii Samia Samia Samia badilika nilionyeshwa Ndoto juu ya hao watu unaowaona wanakupenda hakuna Kupendwaa hapo Jiazarii SANA

    • @saramss7262
      @saramss7262 2 года назад

      Tueni na hofuu ya mungu heeee HATA Kama

  • @kilmanwasher374
    @kilmanwasher374 2 года назад

    Hakuna maendeleo kwa kukopa tu kila siku

  • @jamyally761
    @jamyally761 2 года назад

    Na mungu akutangulie

  • @mzeesuliman3158
    @mzeesuliman3158 2 года назад +2

    Umekutana na tundu lissu Umemsifia Kazi nzuri ya KUMUUA JPM

  • @sijalikifunyo912
    @sijalikifunyo912 2 года назад

    Tumevuna.

  • @rogoyassin8039
    @rogoyassin8039 2 года назад

    MAMA CHAPA KAZI

  • @stanleymathias7877
    @stanleymathias7877 2 года назад +1

    Mungu nisamehe hakuna salaam inanikwaza kama hiyo kwanini mama usimtaje Mungu aliye hai ok maandalizi ya mpinga kristo.

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 года назад +1

    Uko Vizuri Sana Rais wetu wa Tanzania Samia Suluhu Hassan....Songa mbele Usiogope chochote Mungu ameruhusu Uongozi huu utuongoze Wewe.

  • @kilmanwasher374
    @kilmanwasher374 2 года назад

    Tuelezeee mnafanya Nini kuhakikisha rasilimali zetu zinasaidiaje nchi??????

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 2 года назад

    Kazi indelee. Pole na uchovu mama

  • @kubingwalusendeka4295
    @kubingwalusendeka4295 2 года назад

    Tanzania ubong wen hauna akir mbona kati anaend hakutuaga na wala hatukumxindikza xi angerud kimy kimy lazma tumpokee

  • @babalao910
    @babalao910 2 года назад

    Ombaomba

  • @ramangogomi2742
    @ramangogomi2742 2 года назад +1

    Naona mama anaenda kutafuta pesa njee inaonekana ziko nyingii uko maana tukiomba tunapewa

  • @kilmanwasher374
    @kilmanwasher374 2 года назад

    Mbowe siyo gaidi

  • @jacksongidion5170
    @jacksongidion5170 2 года назад

    U

  • @Jonasmemruti
    @Jonasmemruti 2 года назад

    Kazi iendelee MAMA

  • @cosmaswilliam3805
    @cosmaswilliam3805 2 года назад

    MUNGU ibariki Tanzania