WEWE MWANDISHI WACHA KUFURU KIFO TUNATEMBEA NACHO MASUALA YA KWAMBA ATI WATU HAWAKUTEGEMEA /HATA MIMI NA WEWE SASA HIVI TUPO SAFARINI KUFA NI SAFARI YA WAKATI WOWOTE . NA HAKUNA REST IN PEACE KABURINI HAKUNA MAPUMZIKO NI MANENO YA KIKAFIRI /MUHIMU DUAAA
Tunaposema pumzika kwa amani hatumaan huwo mwili uliopo kaburin bali nafs yke hko ilipo hku ikisubiri hkumu tatizo ndgu zetu waislam hutafsiri mambo ya kiroho katka hali ya kimwili

Ni kweli RIP hakuna Amali zako ndizo zitakazo kusaidiya na swala zako
Waandishi wanakera kinomaa
Nifafanurie hayo maneno ya kingereza urimanisha nini
Mama mashuhuri pumzika kwa amani urikuwa mpore nirikuwa nafatiria intaviu zako majibu yako arikuwa mema sana, fundi wakuigiza🙏🙏🏻🙏
Itoshe kusema huba mmepoteza 😭nenda mama nenda
Kwaiyo HUBA imekwisha 😢😢Malizeni hiyo HUBA nasisi watazamaji tutakunja kufa nahatunja ona mwicho wake😢
Kwani Nani amekwambia kuwa huna imeisha
@khadjamhozya hunja ona mutu wa maana kafa utamu wa hiyo HUBA utanja kupotea kidogo kidogo
Yaan roo ya niumq kweli tesaa rest in piece tesa😭😭😭
mimi napenda uyu tessa apenda kucheka sanaa
R.I.P tesaa
Jaman na mm ndo ilikuwa siku ya mwisho kumuona ktk tamthiliya ya huba hapo aliposalimiana na Nicole jaman Tesa 😭😭
Hakuna kifo chaghafra aacheni upuuzihuo kama hujui sikua walasaaa unasemaje chghafra
rest in peace tesa pengo lako kamwe halitazibika pumnzika kwa aman mama yetu😭😭
Heshimu Imani za watu...nyie wenzetu sijui uwa mna matatizo gani yaani mnaonaga dini yenu ndo ya haki..acheni hizo
Nafsi siyo mwili!!!!
Nampenda sana
Wewe Dio ulifanya uyu mama afe😭😭
Mh?
😂😂
Hakuna mwanadamu huwa anakufa.Tunaondoka na kuvaa mwili mpya.
Rpi tesa 😢😢😢😢
Pumzika kwa amani
Nahisi apa ndo moyo wake ulishtuka akazidiwa
Tumesha ambiwa maut yatatujiya hafla tu popote tulipo.... Kubwa tujiandae na safar tuondoke mwisho mwema
R. I. P😭😭😭
Pumzika kwaaman tesa
Tesa kisasi chetuu kwny huba nan ss atakilipiza mbn umeenda mapema ivoo jmn umeumaliza mwendo tesa pumzika kwa aman
HII KAULI YA PUMZIKA KWA AMANI NI MANENO YA KISHOGA YA KIKAFIRI CHINI YA ARDHI NDANI YA KABURI TENA KUWE NA MAPUMZIKO TENA TUSIDANGANYANE
Jamn😂😂😂😂😂😂 nmecheka mbona nmejikojolea
Mbona unamakasiriko ......umekunya lakini
@@IreneSingoi 😂😂sio kw kojo ilo kaoge 😭😭😭😭
Ukiwa mtu mzuri mbn unapumzika tu mungu hasemi uongo kimbembe kinakuja ukiwa mtu mbaya
Tunaposema pumzika kwa amani hatumaan huwo mwili uliopo kaburin bali nafs yke hko ilipo hku ikisubiri hkumu tatizo ndgu zetu waislam hutafsiri mambo ya kiroho katka hali ya kimwili
Puumzika kwa amn
Rest in peace
Rip tessa
😭😭😭😭😭
😢😢😢
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘😱😱😱😱😱😱😱😱😱💔💔💘💘💘💘💘💘💘💘💔💔💔💔💔💔💔💔💔