Wewe ni bady Kweli hata katika dini yako Na bado ubaya wa kuigiza unakuburuza, nani kakuambi kua neno : inaa lilaah...ni kumuombea dua alie fariki !!! Isome dini yako hii ni kuonyesha , ni mweupe kwenye dini yako, halafu haitamkwi inaa lilaahi wainnaa lilaahi rajiuuna , bali ni innaa lilaahi wainnaa ilayhi rasjiuna , we kijana mmbaya kama unavyo jiita mnakera sana mnavyo kua mwajua mambo mengi ya dunia yenu Na kwenye dini yenu hamjui kitu hovyo kabisa nyie
Safi sana kaka,a k a,lukas,Mungu akutunze
Huko huban Kuna misiba huyo azizi apunguze msiba unachuka mwezi eti igizo ..rip tesa
Tunaposema mtu mzima ndo kama ivo, hongera Sana Luka
Fabrizio pole San kweli Tena mcheshi San tesa 😭😭
Mashallah muslim... fabrizo
Kumbe fabrizo ni muislam😊😊masha Allah...nilidhani ni mkristooo na halivyo na sura ya kijambazi ssa😅😅
😂😂😂😂
Safi sana dogo majibu mazur
Fabrizo Pole sana
Jamai
Kumbe
Musilam
Mwandishi unamaswali mbona sn .
Luka amepata tabu hapa daah
Umenifurahisha luka walishaambiwa sababu ya kifo
Waandishi bongo hamna
Fabrizo
Umejua kumjibu mwandishi huyu ndie bunji
Luk umeuwa kimjbu huy muandsh😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwani tesa kafa ama ni maingizo tu😢
😢😢😢😢 kafa kweli
@Maria-l4h3q 😭😭😭
Kumbe Ibrahim Omar, Bad..Fabrizzo wewe ni muislam
Polencn
Wewe ni bady Kweli hata katika dini yako Na bado ubaya wa kuigiza unakuburuza, nani kakuambi kua neno : inaa lilaah...ni kumuombea dua alie fariki !!! Isome dini yako hii ni kuonyesha , ni mweupe kwenye dini yako, halafu haitamkwi inaa lilaahi wainnaa lilaahi rajiuuna , bali ni innaa lilaahi wainnaa ilayhi rasjiuna , we kijana mmbaya kama unavyo jiita mnakera sana mnavyo kua mwajua mambo mengi ya dunia yenu Na kwenye dini yenu hamjui kitu hovyo kabisa nyie
Deputy mtume
Umetumwa
😂😂😂
Kwani unalipwa message yote hiii
Ila watu hujifanya wakamilifu halafu mbona aongea kwa mauchungu hivi aaaaa😂