Amen, Bwana Yesu Kristo uliye hai , unayetenda kazi usiku na mchana kupitia kinywa Cha mtumishi wako mwaminifu nikumbuke namimi kwenye familia yangu, sauti Yako Mungu iniponye nimetambua Mimi ni mwenye dhambi🙏
Happy new year mtumishi WA MUNGU elibari sumbe uliyepakwa mafuta na BWANA ili kutuhubiria habari njema ..Yesu aikuze uduma yako na akutunze na familia yako...🙏💯✝️🙏❤️
Aksanti sana baba askofu kwa mafundisho haya. Kweli mara nyingi tunaanguka katika mitego tusiyo yatambua . Mungu aendelee kukutumia na akukinge sababu myoyo ni nyingi zenyi kutangatanga sababu yaukosefu ya mwalimu mzuri na mwenyi Mungu kama na wewe.
Nakushukuru MUNGU wa BWANA YESU KRISTO , katika ibada hii ya mwanzo wa mwaka nimekuona . Hakika nimejua yakua Wewe ni BABA , mwingi waupendo. Mimi na family ninayo tokandani tumekua miongoni mwalile kundi dhaifu alilo licukulia uzaifu walo Yakobo . Haki Wewe ni BABA. Nakataa kurudinyuma Tena , Nisaidie.
Najiunganisha na ibada hiyi ya vuka yordani yakuanza mwaka mpya namuunganisha mwenzi wangu Mungu Wangu utuonekaniye tunagonja hadi zako ulizo nene kwanza nienda kumupokeya kwa mwaka huyo wa 2025
Najiungani na mazabahu hii Mimi na familia yangu MUNGU atufunike kwa uwepo wake tuanze na mwaka mpya Wa baraka na mafanyikio ,kwa jina laYESU KRISTO AMEN 🙏.
Amen Asante baba ubarikiwe
Mungu akubari baba Mungu anisamee
Mungu nanyenyekea mbere zako, niongezwe nguvu zakugutumkia, kwa loho na kweli, 😭😭😭🤲naomba kwa jina la Yesu Kristo Amen 🙏🙏
Amen amen amen Mtumishi wa Mungu Bishop Elibariki Sumbe ubarikiwe sana tuna ingia mwaka mpya kwa neema ya Mungu.
🎉🎉🎉🎉Amen asante BWANA nimesikiza tena kwa mara ya pili nashukuru MUNGU kwa kuwa kuna kitu MUNGU amekusudia maishani mwangu
We bless the Lord for this blessed teaching
Nirehemu unibariki tena urudishe Baraka wamafanikiyokwangu nafamiya yangu
Baba askofu ubarikiwe Mungu akubariki zaidi akuongezeyenguvu namafuta akuinuwezaidi
Amen Mungu nimwaminifu sana 🙏🙏
Amen, Bwana Yesu Kristo uliye hai , unayetenda kazi usiku na mchana kupitia kinywa Cha mtumishi wako mwaminifu nikumbuke namimi kwenye familia yangu, sauti Yako Mungu iniponye nimetambua Mimi ni mwenye dhambi🙏
Asante yesu kristo bwana mungu wetu Amina urikiwe mutumishi
Happy new year mutumishi wa mungu ,God bless and your family 🙏🏼🙏🏼
Asante yesu mwaka huyu niwangu wakubarikiwa kiroho namafanikiyo
Shalome shalome baba najiunga namazabau iyi myaka yangu yote na familia yangu mungu atulinde nakila aina yamagojwa yote kuanzia Léo
Baba yesu nirehemu uwondowe laana kwangu nakwa watoto wangu
Najiungamanisha na ibada na uponyaji ktk madhabahu ya Vuka na Yordan
Namimi nipenda levo Fulani katika hali yakiroho
Asante yesu kwakuniponya
Najitakasa kwako Bwana Yesu Kristo Mimi na kizazi changu turehemu Mungu
Na omba mungu ani piganie na ani inue katika mwaka mupya, nili lia naku teseka sana kwa mwaka 2024 baba na omba musalaha na baraka zako
Asante
Mungu nanyenyekea mbele zako...Amina Amina Amina
Amina tuko pamoja
AMEN. NIMEBARIKIWA SANA PIA NIMEJIFUNZA MENGI MUNGU AKIBARIKI MTUMISHI WA MUNGU.
Amen napokea Kwa jina la YESUU 🙏❤️
Asante Yesu .nimejufunzaa kuti Yesu niwezesha Mungu😢
❤❤❤❤❤❤
Asante YESU nimelisikia neno lako
Mungu asante kwamafundisho yaleo nimejifunza mambo yakulaani watu toka sasa sitarudi
Amen Amen asante yesu Christo uyumwaka uwe wakujibiwa itaji zangu kwajina la yesu Christo
Happy new year mtumishi WA MUNGU elibari sumbe uliyepakwa mafuta na BWANA ili kutuhubiria habari njema ..Yesu aikuze uduma yako na akutunze na familia yako...🙏💯✝️🙏❤️
Asante Yesu naamini umenisamehe na hakika nitapokea baraka zangu mwaka huu
Happy new year true servant of God 🙏
Naombatoba kwako kristu unirehemu
Mungu akubariki askofu.. yesuu nakuita siku ya leo.niokoe na roho ya chuki kwa jina la yesuu
Najiunganisha na MADHABAHU hii ya Vuka Yordan masaa haya in mighty name of Jesus Christ
Mungu.gusu.maman.pia.
Najiunganisha na ibanda ya Leo Mungu aniundumiye
Namimi nimefunguliwa
Barikiwa baba bichope sumbe
Asante yesu kuniponya nakufunguliwz
Asante Mungu wangu unihurumiye unipe roho na moyo wa kusamehe
MUNGU nifungulie njia ya kuingia kwako Bwana yesuuuuu
Aksanti sana baba askofu kwa mafundisho haya. Kweli mara nyingi tunaanguka katika mitego tusiyo yatambua . Mungu aendelee kukutumia na akukinge sababu myoyo ni nyingi zenyi kutangatanga sababu yaukosefu ya mwalimu mzuri na mwenyi Mungu kama na wewe.
Amina na iwe hivyo.🙏🙏🙏🙏🙏
Amen amen Mungu nihongoze katika mwaka huu
Aemen Aemen
Thanks Jesus for everything you did to me and my Family’s 🙏🙏🙏
Amen Amen papa happy new year God bless you 🙏🙏🙏🙏👏 👏👏
AMEN AMEN asante Yesu 💪🙏🙏👏👏
Mungu atupe neema ya kuyaishi
Amee nikweli kabisa baba, ubalikiwe kwa mafundisho mazuri Mungu nisaidie kuyaweka moyoni na kuishi maisha matakatifu.
Kupitia mazabau hii , Mungu amenionesha ni mempiga adui yangu
Eeee Mungu nishindie
Amina 💪🙏🙌🔥
Mungu atusikiliye huruma
Ameen🙏🙏🙏👏👏👏💪💪💪
Zab 24:1,3-6
Mithali 6:16-19
Zab 119:21
Baba Mungu wako ASI nipite Niko Congo bukavu Mungu wako anîpe uzima n'a n'guvu ya kumtumikiya na ani pe kibali mpya baba yangu
Nioeroho yakusame maaduwizangu nisamehe Mungu naomba toba ilimwaka huyu niwesalama
Asante yesu cristo
Najiungani namazababu hii mimi na family yangu mungu atufunike kwa uwepo wake
Nakushukuru MUNGU wa BWANA YESU KRISTO , katika ibada hii ya mwanzo wa mwaka nimekuona . Hakika nimejua yakua Wewe ni BABA , mwingi waupendo. Mimi na family ninayo tokandani tumekua miongoni mwalile kundi dhaifu alilo licukulia uzaifu walo Yakobo . Haki Wewe ni BABA. Nakataa kurudinyuma Tena , Nisaidie.
Najiunganisha na ibada hiyi ya vuka yordani yakuanza mwaka mpya namuunganisha mwenzi wangu Mungu Wangu utuonekaniye tunagonja hadi zako ulizo nene kwanza nienda kumupokeya kwa mwaka huyo wa 2025
Ameni Ameni
Baba nirehemunikizazicangu
Ameni
Najiunganisha na mazabao yako usinioite bwana 😢❤❤
Najiungani na mazabahu hii Mimi na familia yangu MUNGU atufunike kwa uwepo wake tuanze na mwaka mpya Wa baraka na mafanyikio ,kwa jina laYESU KRISTO AMEN 🙏.
Bwana Yesu asifiwe Mtumishi, naomba namba ya tv ili nitaftu
Najiunganisha namazabai kwakoombeya walewameniumiza nimemaombeya mabaya naomba yesu anisamee natubu izozambi
Amen 🙏🙏🙏🙏
Tuanze mwaka kwa aman n'a uponyaji marazi zote baba naomba musaada wa maombi Mungu wako Niko n'a muomba Siku moja n'a mimi nyije ku huko
Naomba musama
Amen pappa amen
Amen
Mngu nimejiunganisha nabadha ya leo mngu udupiganie
🎉🎉
Aneeen
Aman
Naungana namaaabawu aya ilinifunguliwe nanisamehewe kwakulaani maaduwi
❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏❤️🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🎆🎆🎆🇨🇩
ruclips.net/video/ND0aXCgowOo/видео.htmlsi=zRUtVrvzJKar2KJ1
Asante yesu
Amen
Ameeeen
AMEN 👏🙏🙏
Amenaa
Amen pappa amen
Aneeen
Aman
Ameen 👏👏👏👏
Amina ❤
Ameen 👏👏💪🙌🙏
Amen
Amen🙌🙌
Amen 🙌🙌🙌
Amen Amen 🙏
Amenaà
Amen🙏🙏🔥🔥
Amen
Amen 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼👏👏