Napenda madarasa yako dada @mziwandabakery....juzi nilipika keki yangu ya Chocolate ikatoka vibaya😪😪...nikasema siachi narudi mziwanda nikaangalie tena video nipike nyingine japo nilishakula hasara😀....nikaipatia kiasi kwamba kama ungekuwa karibu ningekuletea uonje thanks so verrry for inspiration dada angu🙏🙏Allah akuzidishie....ila dada as a sometimes natoa ngumu inaniumiza mpaka nakosa raha😣😣
Ahsanteee dada ubarikiwe Sanaa nimejifunza keki kupitia madarasa yako Tu na sasa nmeanza kuuza na lkn kun vichache vinanisumbua kwenye yought kuna mda nikigandisha yanatoka yamejikata pia machungu wakti mwingine vizuri kbsa sijajua nakosea wapi dada naomba msaada wa namba yako nipate msaada plz 🙏🙏
Hongera na pole changamoto ni sehemu ya mafanikio, hakikisha maziwa yako yapo Katika hali nzuri tokea kukamuliwa usafi pia yasiwe na maji ,joto la maziwa kabla yakuweka Culture pia joto lakugandishia zingatia utulivu wa maziwa yakishasindikwa
Huleeei nimefurahi Sana kukusikia Tena tulikumiss Sana hongera kwa ubusy Asante Sana kwa madarasa
Asntee snaaa
Mashallah shukran umerundi miss you a lot welcome back
Hongera sana dada ila nashida nataka kujifunza biashara ya keki nifayeje
Napenda kujifunza upambaji wa keki, na pia nakushukuru kwa somo la keki, nakuombea dua uwe na wateja wengi na upate kipato zaidi.
Amiin Jazakal Allah kheri
Nakupataje dada
Watching from Nairobi Kenya.Good job👏👏
Mungu akubariki sana dada nimejifunza kupika keki kupitia chanel yako😘😘
Napenda madarasa yako dada @mziwandabakery....juzi nilipika keki yangu ya Chocolate ikatoka vibaya😪😪...nikasema siachi narudi mziwanda nikaangalie tena video nipike nyingine japo nilishakula hasara😀....nikaipatia kiasi kwamba kama ungekuwa karibu ningekuletea uonje thanks so verrry for inspiration dada angu🙏🙏Allah akuzidishie....ila dada as a sometimes natoa ngumu inaniumiza mpaka nakosa raha😣😣
Utaweza in shaa Allah,endelea kufuatilia sheria za upishi,zingatia ukali wa moto
Happy new to you too dear and thank you for sharing🥰🥰
Same there dear
Heri ya Mwaka mpya na kwako pia Mziwanda. Hakika unazidi kutusaidia sisi Wanafunzi wako🥰
Na kwako pia dear
Sioni ceki mpya unazoweka dia sijui kwangu kunashida? my dearest
Asante sana
Hujambo dada.mimi naomba namba zako za simu nijue upo wapi nataka nikufate ndugu.
❤️❤️❤️❤️
Tulikumiss jamani, welcome back
Thank you ❤
Dada mim nataka kujifunza kupka keki
Dada unapatikana wapi Kuna vifaa naitaji kununua?
Ahsanteee dada ubarikiwe Sanaa nimejifunza keki kupitia madarasa yako Tu na sasa nmeanza kuuza na lkn kun vichache vinanisumbua kwenye yought kuna mda nikigandisha yanatoka yamejikata pia machungu wakti mwingine vizuri kbsa sijajua nakosea wapi dada naomba msaada wa namba yako nipate msaada plz 🙏🙏
Hongera na pole changamoto ni sehemu ya mafanikio, hakikisha maziwa yako yapo Katika hali nzuri tokea kukamuliwa usafi pia yasiwe na maji ,joto la maziwa kabla yakuweka Culture pia joto lakugandishia zingatia utulivu wa maziwa yakishasindikwa
Kweli aise, kamati wanafanya udalali mwisho unaonekana hujawatendea kile walitaka.Badiliken jaman
💪
Mnapatikana wapi dada
Iyo mixer ni kg ngap
Kg 8