RECAP: DIAMOND AMEWAFUNIKA WIZKID, DAVIDO NA BURNA BOY HAPA, ATUMIWE KAMA MFANO KWA WASANII TANZANIA

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 154

  • @saidabdulkadirmjahid8255
    @saidabdulkadirmjahid8255 24 дня назад +6

    Diamond Platnumz is a marketing genius same way as Drake and Cristiano.
    You can't escape their effect and influence.
    My big 3 ( Ronaldo, Diamond, Drake)
    🐐

  • @user-jd6vr9xw1o
    @user-jd6vr9xw1o 25 дней назад +15

    Ukweli unauma , umenena ukweli broo fact kabisa , Diamond ni fire

  • @halifakhalid7072
    @halifakhalid7072 25 дней назад +16

    Broo umongea point, ila ukimsifia simba kuna watu watakuchukia. Sema diamond ni king of Africa

  • @john_1trader
    @john_1trader 25 дней назад +19

    Diamondi hana mapungufu yeyote kwenye mziki huu wa bongo fleva....hana yeyote maua kwake ameubadilisha kila kitu

  • @Dewixbadboy10
    @Dewixbadboy10 25 дней назад +8

    Yeah bro that is true true true❤❤ you say true bro diamond is the best Star in Africa

  • @gabrielpatrick4351
    @gabrielpatrick4351 25 дней назад +11

    Yupo sawa kabisa japokuwa kila mwanadamu yupo na mapungufu yake ila Simba amemaliza ata uku kenya tunatambuwa

  • @john_1trader
    @john_1trader 25 дней назад +14

    Afathali diamondi angezaliwa kenya naaamini wanaijer wangeisoma

  • @kalistuschaula
    @kalistuschaula 25 дней назад +6

    Asante br unachambua kwa haki kwa kila msanii be blessed

  • @RamadhanpMwakilasa-di5hc
    @RamadhanpMwakilasa-di5hc 25 дней назад +12

    kaka uko sawa hata kama ukiwaelewesha hawaelewi

  • @MejosTz
    @MejosTz 25 дней назад +8

    Weeeeeh ZOMBIE AUJUWIIIIII 🙌🏿🙌🏿🙌🏿MONDI ASHAVUKAMIPAKA KABISA UPO NEXT LEVEL 🙌🏿💯💯💯💯

  • @AminaAbdullah-ws3wy
    @AminaAbdullah-ws3wy 24 дня назад +2

    Thank you. Hiyo ndio ttz la wabongo. Tunachuki badili tushikane. I love you bro uko fact . Tumekalia majuguu tu instead kazi

  • @NtygaMuaney
    @NtygaMuaney 25 дней назад +8

    Brow 100%🇲🇿

  • @AmosMchiwa-ub8qq
    @AmosMchiwa-ub8qq 25 дней назад +19

    Weweeeeeeee piga kelele kwa rais wa bongo fleva diamond Platnumz

  • @ZawadiRobati
    @ZawadiRobati 25 дней назад +7

    Simbaaaaa anajua

  • @MohamedAhmed-ns5mi
    @MohamedAhmed-ns5mi 25 дней назад +7

    Wambie ukeli wao hata wakikuchukia mpango wao

  • @badeuxGerard
    @badeuxGerard 25 дней назад +16

    Simba akifa tz mziki imekufa kama kanumba.

    • @diamondplutnumz4862
      @diamondplutnumz4862 24 дня назад +1

      Kweli

    • @JbabaMzikimnene
      @JbabaMzikimnene 24 дня назад +1

      Kipindi anatoka tandale hakukua na wasani wew mtoto wa 2000

    • @chrispinmkanda6097
      @chrispinmkanda6097 24 дня назад +1

      ​@@JbabaMzikimnene Walikuepo lakn sio km alivyo yeye sasa, na hawakuupeleka mziki mbele km yeye ulivyoupeleka kama Yuko utuambie kwa facts maana kubisha bila facts sio kazi

    • @Harmontwo255
      @Harmontwo255 20 дней назад +1

      nendeni mukamuambie mondi yeye bila kumshirikisha mtu akuna mziki wajinga nyinyi. ata ukienda kwa mganga kutambika jina langu watakujibu nisha zikwa 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @chrispinmkanda6097
      @chrispinmkanda6097 20 дней назад +1

      @@Harmontwo255 km tatizo kushilikisha mtu wasanii wangap nchin kwetu wameshilikisha wasanii na Bado wakashindwa kuuvusha mziki mbele na kufikia mafakio alionae so hii ni point pumba iliyojaa kawivu hv kwa mwanaume mwenzio

  • @user-yj6vf8dr6f
    @user-yj6vf8dr6f 25 дней назад +7

    Broo waelekeze hao watanzania

  • @user-lp6ex9co3h
    @user-lp6ex9co3h 24 дня назад +3

    Uko vzr sana mshkaj nakukubal sana Simba nomaa Sanaa

  • @VITUSPROTUS-wh4mn
    @VITUSPROTUS-wh4mn 24 дня назад +2

    Facts bro, hawasemagi kwasababu ya unafki na chuki plus jealous..

  • @davidsika5292
    @davidsika5292 24 дня назад +3

    Daaa umeongea ukwelii kabisa

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 25 дней назад +4

    Asante studio!

  • @ChibuMitindo
    @ChibuMitindo 24 дня назад +2

    Big up bro unajuwa sn kutuelewasha🇨🇩

  • @JejemingaMinga
    @JejemingaMinga 25 дней назад +3

    Komasava 🔥🔥🔥ukli ntupu kutoka moz 🇲🇿

  • @chizashungu8364
    @chizashungu8364 22 дня назад

    Bongo5 big respect.Tufike muda tumpe DIAMOND PLATNUMZ HESHIMA.DIAMOND PLATNUMZ NDYE MSANII PEKER HAPA EAST AFRICA MWENYE HADHI YA KIMATAIFA.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 24 дня назад +3

    Yan daimond wanajalibu kumuonea wivu ndomana wanasema ooh amemlipa dancer wa naijeria kucheza nyimbo zake..iyo ni roho mbaya...daimond nihabari nyengine

  • @josephmupole5801
    @josephmupole5801 21 день назад +1

    Yes brother that's true ❤❤❤❤

  • @GuillainLewis
    @GuillainLewis 25 дней назад +4

    Cool bro 😎

  • @user-jz6lm5yv4f
    @user-jz6lm5yv4f 24 дня назад +2

    Kabxa brooo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @emceek.o
    @emceek.o 23 дня назад

    Tutasubiri sana kupata presenter kama wewe brother... really appreciate boss

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz 24 дня назад +2

    Tantee kaka🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 24 дня назад +3

    Wambiye kaka❤❤❤❤

  • @user-wl2be4ym1x
    @user-wl2be4ym1x 25 дней назад +3

    Facts 🙏

  • @margarethkiatu5546
    @margarethkiatu5546 25 дней назад +2

    That's facts 💯

  • @amissishauri-eq7sl
    @amissishauri-eq7sl 24 дня назад +2

    Bro unaco ongeya leo salut sana

  • @SaidMohamed-xx6nm
    @SaidMohamed-xx6nm 25 дней назад +2

    King wa promo ni Mr pimbi

  • @NaymaAli-ro1np
    @NaymaAli-ro1np 24 дня назад +2

    Ni kwel diamond fund 🔥🔥

  • @johnkamira2236
    @johnkamira2236 25 дней назад +3

    Forget about it broh.

  • @KhadjibMussa
    @KhadjibMussa 24 дня назад +1

    kweli kaka allows you speak truth

  • @falialawelole565
    @falialawelole565 20 дней назад

    Simba❤❤❤💐💐💐💐💐

  • @hamisibakari342
    @hamisibakari342 25 дней назад +3

    Wewe Huweleweki Bhana Leo unasemahili Kesho unasema lile

  • @user-hn2gi8dc6g
    @user-hn2gi8dc6g 23 дня назад

    Diamond platnumz is the goat of East Africa ❤👑🐐

  • @AimeTongoto
    @AimeTongoto 25 дней назад +4

    Unasema ukweli comment ça va ni habari ya mujini from nipe liké zangu wa tanzania

  • @caesar7745
    @caesar7745 23 дня назад

    Diamond anajituma sana sijawahikuona. Ndiyo maana anafanikiwa. His work ethics is on point

  • @lucksonrupa3618
    @lucksonrupa3618 23 дня назад

    Ukweli usemwee you are light

  • @rukaiyaramadhani4879
    @rukaiyaramadhani4879 24 дня назад +1

    Ukweli kabisa kaka

  • @byamukamainnocent5473
    @byamukamainnocent5473 25 дней назад +3

    Koma sava

  • @user-if8rf9vd5c
    @user-if8rf9vd5c 24 дня назад +1

    Big 2 mond, vanny

  • @onwabadondolo2914
    @onwabadondolo2914 25 дней назад +3

    Ukwelimtupu.

  • @GetrudeMpinga
    @GetrudeMpinga 25 дней назад +2

    Bro lisp eck umemarinza yanikwaushauriwako unasitahiri mauwayako

  • @Allistar-2024
    @Allistar-2024 24 дня назад +1

    Na kubar Simba mkubwa xn mungu amzidishie

  • @VictorDominick-qg5qq
    @VictorDominick-qg5qq 25 дней назад +4

    We zombieeeeeeeeeeeeee 🇹🇿

  • @gaspergasper9830
    @gaspergasper9830 24 дня назад +2

    🤝komasava NIPO NAWEWE BAMPA 2 BAMPA❤

  • @TarikymbaroukAkida
    @TarikymbaroukAkida 25 дней назад +2

    🔥

  • @WizLybet
    @WizLybet 21 день назад

    ❤❤❤ kaka , ni ukweli mtupu.

  • @mbayahamis3051
    @mbayahamis3051 24 дня назад +2

    Simba Hamlipi mtu ila wanafanya kwa mapenzi na ukifanya clip ukiweka ngama ya simba inaenda tu

  • @PatrickMwamba289
    @PatrickMwamba289 22 дня назад +1

    Chuki la Harmonize kwa Diamond...jameni hadi kuroga accounts za Wasanii wa WCB youtube...Harmonize analaana😭😭😭😭😭😭

  • @Saintplamondon
    @Saintplamondon 23 дня назад +1

    Bro upewe mauwa yako🎉🎉🎉

  • @DiorMabaril-zp1xl
    @DiorMabaril-zp1xl 17 дней назад

    Simba wamasimba dangote 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 19 дней назад

    Kweli kabsa

  • @kilelakayumba
    @kilelakayumba 18 дней назад

    Ukweli uyo

  • @user-gr9kx8hz6t
    @user-gr9kx8hz6t 24 дня назад +1

    Umepewa hongooo

  • @vumbakingvumbaking9571
    @vumbakingvumbaking9571 24 дня назад +1

    🦁🦁🙌🙌⚡

  • @VumiliaPonde-sx8gt
    @VumiliaPonde-sx8gt 16 дней назад

    Simba lamasimba ooeeee

  • @hoseanobocka7140
    @hoseanobocka7140 24 дня назад +1

    Yaaan watanzania ni watu wa ajabu sana sjawahi ona wao badal wajivunie kuwa na msanii mkubwa kama Diamond lkn vyenye wanapoteza mda kumchukia utafikiri kuna kitu wanamdai aisee na sjajua kwann pamoja na kupgwa vitaa Diamond wakijarbu kuwainua wasanii wengne ili wawe top lakn bado wasanii ndo kwanza Diamond hateteleki na jina lake linabaki kua na ukubwa ule ule, yaaan ni hivi hata kama utafanyeje Diamond ni level za kimataifa hyo haitabadilika mpaka anakufa

  • @user-jr9cm3zl8u
    @user-jr9cm3zl8u 25 дней назад +2

    Unaongeya kweli mkubwa

  • @ISSACKRICHARD
    @ISSACKRICHARD 24 дня назад

    Ila diamond ako na management strong sana just imagine fella mkubwa yuko pale, Babutale , sk mendezi izo namba ni atari afu na mondi mwenyewe anajuudi just imagine marioo ashikwe na babu tale na sk atakuwa wapi

  • @aselemiekalist4355
    @aselemiekalist4355 23 дня назад

    Nikweli brother lakini kuwaelewesha watu wenye chuki ningumu mno......@Coment...ca'va.... 🔥🔥🔥🔥

  • @paizinhosaide-cv9pm
    @paizinhosaide-cv9pm 14 дней назад

    Bro 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @davidsika5292
    @davidsika5292 24 дня назад +2

    Facts watatoa wapi bro😂😂😂

  • @saidiharuna-gj9he
    @saidiharuna-gj9he 15 дней назад

    nakbar

  • @martingwanduluko1135
    @martingwanduluko1135 23 дня назад +1

    Unaongea ukweli

  • @user-cy2kb4xf1y
    @user-cy2kb4xf1y 20 дней назад

    simbaaaa

  • @davkoofficial4179
    @davkoofficial4179 22 дня назад

    Bro upo vizur sana inabidi wapunguze kujikuza

  • @user-oe5eg9ji4h
    @user-oe5eg9ji4h 22 дня назад

    Oyá mbona unaoguea ukueli Blaza asiyo kubali masho anna🇲🇿

  • @user-lm5fu5tu5z
    @user-lm5fu5tu5z 23 дня назад

    Diamond ana hela mkuu hawa wasanii wengine choma mbaya

  • @antonykaranja9252
    @antonykaranja9252 20 дней назад

    Streams acha ziongee..komasava na shu combined hazifiki streams ata robo za city boys na unavailable...haijaribii..Mbona we mando ujidanganye live on camera?..weka screenshot za streams tuone tufanye kulinganisha ipi kubwa...shu kafanyiwa remix na nani wa nci gani,tudanganye tuskie....na useme uongezewe maokoto sababu ya uwongo mingi umelipwa uongee

  • @user-lr1wy7de1c
    @user-lr1wy7de1c 22 дня назад

    KWELI

  • @Mcsceo
    @Mcsceo 17 дней назад

    Presenter unaongea fact but zinaonekana zipo kimahaba zaidi sababu hutupatii Details kwa mfano amefanikiwa kwenye promotion Davido,wizkid,Asake kwenye kipi only promotion na unasema ametoboa kimataifa how tuelezee vizuri

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 19 дней назад

    Umemaliza

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 19 дней назад

    Mpaka china ad india nmeshangaa

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 19 дней назад

    Katsha simba

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 25 дней назад +2

    ✓✓✓✓✓✓✓✓❤❤❤❤

  • @antonykaranja9252
    @antonykaranja9252 20 дней назад

    Tshwala bam by streams imepiga koma sava kumi nunge..mbona diamond hakuenda kuifanya remix yy

  • @ISSACKRICHARD
    @ISSACKRICHARD 24 дня назад

    Awataki kutoa ela ya promo wanataka ichezwe kwa mapenzi eti inapendwa

  • @CamweziKarrashnekov
    @CamweziKarrashnekov 20 дней назад

    Huo ujumbe wanaoutaka wakaufate kanisani na misikitini

  • @user-ht6ms5jz3t
    @user-ht6ms5jz3t 25 дней назад +1

    Jipendekeze tyu lakini wcb upati ajila kavu ww

    • @hoseanobocka7140
      @hoseanobocka7140 24 дня назад

      Akili finyu ni mzigo yaaan Diamond mpende missense ni msanii pekee ambae anaiwakilisha Africa mashariki hata uchukie uumie ukweli utabaki huo

  • @annajohn2488
    @annajohn2488 25 дней назад

    Jamaa mjinga sana ww Acha kufananisha wanigeria na huo uchafu wenu

    • @kalistuschaula
      @kalistuschaula 25 дней назад

      Elewa anachoongea mkuu nafkil hujaelewa

    • @michaelfrenkline3429
      @michaelfrenkline3429 24 дня назад

      Ngoja tukunyamazie tu we pimbi

    • @EmmanuelMurula
      @EmmanuelMurula 24 дня назад

      Cha ajabu Sasa haukuna hata alie like hii comment yako mpuuzi wewe. Mondi ndio number one in Africa

  • @martinjosephat4694
    @martinjosephat4694 23 дня назад

    Kwetu. Arusha. Komasava. Had. Inakera kira saa

  • @user-si9oi8uj8s
    @user-si9oi8uj8s 20 дней назад

    Huyu mwamba hatali mpeni mauwa yake

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 25 дней назад

    We chizi kweli we ku

    • @hoseanobocka7140
      @hoseanobocka7140 24 дня назад

      Diamond ndo msanii mkubwa hapa Africa mashariki kama unabisha leta statistics za kueleweka ili tuzichambue tuone ni msanii yupi hapa Africa mashariki atampiku Diamond, halafu watanzania tunapaswa tujifunze kubishana kwa facts na siyo matusi huo ni ushamba

  • @hamisibakari342
    @hamisibakari342 25 дней назад

    Tupena Faida ya Promo,,,maana haowasanii unaowataja hawafikii kimafanikio

  • @achawanunetv1167
    @achawanunetv1167 24 дня назад +1

    Bro iyo bangi uwe unachanganya na maji hao wa Nigeria awana muda na promo tayari wao niwakubwa. wanajaza maukumbi Ulaya na Marekani uyo mwambinho wako awezi akapata watu 2000 kwenye show Ulaya na Marekani hata aweke kiingilio bure hawezi. endelea kumjaza ujinga wako, ila ukweli unaujuwa kuhusu wasanii wa Nigeria 🇳🇬😂😂😂. tena wewe unachangia kuaribu wasanii wa Tz maana unawasifia uongo mwingi

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 23 дня назад

    Haters hawataisha hapa😝

  • @mrenobishoo1118
    @mrenobishoo1118 25 дней назад

    Wee Jama sometimes unazingua Diamond na Davido & wizikd na burn Mungu na Ardhi wale hawatumii nguvu nyingi tena wale hata wasipo promote ngoma zao Zinaenda tu hawa tumiii nguvu nyingi ku promote hata show zao lakini still wanajaza viwanja vikubwa hapa marecan

    • @malianonicass7029
      @malianonicass7029 25 дней назад

      Mbona Hilo tunalijua hata diamond alishawahi kusema kuwa sisi bongo lazima tutumie nguvu

    • @hoseanobocka7140
      @hoseanobocka7140 24 дня назад

      Kwani wewew hujui sababu, mm nakwambia Diamond angezaliwa Nigeria Wala Davido, burnaboy na huyo wizkid hawamzid chochote kwenye mziki na Wala hawana jipya au maajabu yoyote ispokua Hawa wanigeria wana Diaspora wengi mno huko nje ya Africa na idadi Yao n kubwa mno kwa mjibu wa takwimu zao za sensa lakini Hawa watu asilimia 80 wanatumia internet mwisho kabsa Nigeria wako karibu sana Ulaya ukiitizama ramani ya Dunia vzri, sisi tunapaswa kushuru hata hapa alipoufkisha mziki wetu Diamond tumuunge mkono kwa pamoja kijana azidi kupasua mana hata tukimchukia Africa nzima tayari ishatambua kipaji chake hakuna namna huyu mtu atadondoka kimziki na ashasema labada apange Mungu ila mwanadamu hawezi

  • @shwaibukhatibu2838
    @shwaibukhatibu2838 24 дня назад

    Kwani promo nini
    Na promo Inafanya kitu kibaya kionekane kizuri

  • @CamweziKarrashnekov
    @CamweziKarrashnekov 20 дней назад

    Mond akifa sijui kama tz itabebwa na nani ! Labda raisi ila kuhusu wasani watapoteya wote na inchi izimike baada ya pumzi ya mond kukata

  • @MartinManyele
    @MartinManyele 25 дней назад

    Ninacho kupendea kaka unaongeaga ukweli unao uma unaochoma watu wagumu vichwa kuelewa ni vigumu wewe SEMA ukweli ili watu waelewe wabadilike ili tusonge mbele kaka na mungu aendelee kukufungulia upeo ili uendelee kuchambua vizuri

  • @tausikiyabo6302
    @tausikiyabo6302 17 дней назад

    Sasa wasanii wa Nigérian wanajaza harena ulaya tena unasema Diamond kawazidi kwa promo inakuingia akilini? Wasanii wakubwa ushaona wanafanya promo ?? Wanajaza Arena huko Marekani huyo Diamond atajaza mshauri akue akajaza arena sio unamsifia sifa ambazo hazimpeleki mbele mshauri afanye korabo na Rihanna Rick Rose Davido Bana Boy wampandishe huko Marekani hiyo promo wanaitambia Tanzania basi mshauri mtu Ukweli

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 25 дней назад

    acha uchoko ww mziki mzulii unajizaa ww maku ume ona wasanii wamalekani Wana kata kata miuno we nichoko nn kila m2 Naina ya muziki wakee anavyoo upelelekaa makuwee

    • @malianonicass7029
      @malianonicass7029 25 дней назад

      Sasa umesema wamarekani kwahiyo sisi ni wao bata wewe

  • @merckmdamu2942
    @merckmdamu2942 25 дней назад

    Wematako kwer,, wanaija hukowalishavuka mzee wametuliakimy napesa wanayo mingi. Wepigakeleetu maana unatetea ugar