MashaAllah Sh.Bopar ujumbe mzito, kweli wewe ni unaujuwa uislamu, Daima ukimtakia kher mwenzako ujue kher zile zinarudi kwako na faida zaidi. Alhamdulillah Mungu akuzidishie na akuhifadhi. MashaAllah hongera sana mfano mzuri wa kuigwa.
I met this person with good manners on the plane from Muscat to Jakarta and he was always talking about helping people and his great love for Zanzibar Island. In summary, he is a smart trader and a person with a big heart who helps everyone, even with simple information, and I benefited from him during this meeting by knowing him personally.
Mashaallah mashaallah mashaallah mwenyezi mungu atazidi kukufanyia wepesi katika maisha yako yawe mazuri pamoja na family yarabbi tunakuomba utuongoze katika kutenda mema na utuepushe na kila yalio mabaya
Ya Rabi mjaaliye mfanya biashara huyu bwana said bopar umpe umri na afya nje azidi kuutumikiya uisilamu mzidishiye kipato katika mali yake nautiye baraka
Ni mfano mwema wallah wa kuigwa kwa wale matajir wenzakee, Hii ni njia moja wapo ya kuitafuta akhera, na ni Alama moja kat ya Alama ya Muumin wa kweli, Hutoa katika walivyoruzukiwaa..

Masha Allah...Mola akujaalie kila la heri hapa dunian na kesho akhera Bobar
Mashaallah tabaraka Allah mwenyezi mungu akuhifadhi insha'Allah
Shukran sana Mr. Bopar Allah ndie mlipaji bora
Maashalla, Mr said Bopar Mungu akuzidishie ishaalla.
Allah awafanyie wepesi na huku mfike amin
Allah ampe umri mrefu bopar mashallah
Allah akuhifadhi na maradhi akupe umr mref wenye kher na barka zaid na akujaalie husnulkhatima
Maa Shaa Allah na Jazak Allahu Khairaan Kathiraan.
Nashauri Misaada hiyo iendelee hata baada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Allah awazidishie wote wale walio husika kwa njia moja au myingine na wote wale wenye nia ya kushiri awewezeshe
Maashalah maashalah maashalah mwenzetu kashaingia peponi walahi anatomy malizake ma tajiri wengi hua Hawaii Mali zao Allah akujaalie peponi firdausi
Allah akuzidishie kheri kwa kuwakumbuka wahitaji.
Masha allah jakallahu khaira
Mwenyezi mungu akulipe ziyada unachotowa inshaallah na al Fatah nanyiye mungu awalipe kwakutukumbusha ktk heri
Allah akupe wingi wa Mali, afya njema , nguvu na hatma njema inshaallah. Akulinde na husda za waja waovu.
Allah akupe zaidi unachotoa dunian na kheir,huu ni mfano wa kuigwa kw matajir waliopo Tz
Allahuma Amiin
ruclips.net/video/CAsuLvp32n4/видео.html
Amin
I met this person with good manners on the plane from Muscat to Jakarta and he was always talking about helping people and his great love for Zanzibar Island. In summary, he is a smart trader and a person with a big heart who helps everyone, even with simple information, and I benefited from him during this meeting by knowing him personally.
Masha Allah Allah akujaalie akuzidishie afia umri na mwisho mwema Insha Allah
ruclips.net/video/CAsuLvp32n4/видео.html
Mashallah Allah akupe zaidi pale ulipotoa akuzidishie mara elf
Mashaallah mashaallah allah akuzidishie
Mashallah Allah barik Kaka ang Kka Said na alfattah mnafanya kazi kubwa sana sana mola ibarik alfattah tv online
MashaAllah, Allah amdumishe katika kheri
Awape wepesi na matajiri wengine inshaAllah
Mashaallah im crying
Maashaallah
Allah akulipe kila la kher na akulinde na husda
Maashaallah Allah amzidishie Bopar kwani anamoyo wa kipekee saana.
Mashaallah mashaallah mashaallah mwenyezi mungu atazidi kukufanyia wepesi katika maisha yako yawe mazuri pamoja na family yarabbi tunakuomba utuongoze katika kutenda mema na utuepushe na kila yalio mabaya
Ameen
Allah akufanyie wepesi
Mashaallah tabarakaallah
allah akupe zaid na zaid duniani na akhera na akujaalie ukawe nao watoaji bora kina abuu bakar na omari na abdurahman
Allah akujaalie kila la kheri Sheikh Said bopar
ruclips.net/video/CAsuLvp32n4/видео.html
Allah akulipe dunian na Akhera
Ya Rabi mjaaliye mfanya biashara huyu bwana said bopar umpe umri na afya nje azidi kuutumikiya uisilamu mzidishiye kipato katika mali yake nautiye baraka
Allah Kareem atakup biidhnllh
Masha Allah.
Hongera sn
Allah akup mwsh mema
Mashallah
Shekh na sisi huku kwetu tunaomba iyo miswaada ifike hpa katika mji wa konde kijiji cha mibran sote ni maskini watupu ila hatupati misaada Ata kidogo
MashaAllah
Vp sheikh othman maalim hyupo marahii
baii safi sana
daa Mung atakupa kila la kher faida utayaona kwa mung wako
ALLAHIM saxlasin cemi muselmanlari
Ni mfano mwema wallah wa kuigwa kwa wale matajir wenzakee, Hii ni njia moja wapo ya kuitafuta akhera, na ni Alama moja kat ya Alama ya Muumin wa kweli, Hutoa katika walivyoruzukiwaa..
Hongera Kaka bopar jiekee Kaka a kiba.hukounakokwenda.ukitowa unakuwanafura wallah.
Allah amekuchaguwa kukupa riski usifanyehiyana uwasaidiemaskini
Wanafunzi fanyeni vizur masomo yenu,ili kumpa moyo sheikh said bopar
Ipo ciku nami
Allah akuwezeshe Aamiin
Kumbe nawe upo namawazo kama ya kwangu,Allah atukubalie nasi ahadi zetu zitimie
Matajiri wengine wajiulize kwanini bopar hafilisiki?jibu unalo
Kamsaidieni na bi Sharifa wa tumbe
Good
Allah akubariki palipo pungua apajaze
Mashallah