Toyota KLUGER vs HARRIER ( MFANANO na UTOFAUTI ) - Mr SABYY

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 35

  • @MrSABYY
    @MrSABYY  2 года назад +2

    Kwa unayehitaji KUAGIZIWA GARI nje ya nchi au unayetaka KUNUNUA GARI YA MKONONI ( Iliyotumika hapa hapa Tz ) please tumia no hii Call/Text/WhatsApp +255653953900
    Pia usiache ku subscribe na kutuFollow
    Instagram@mr_sabyy
    Twitter@mr_sabyy
    Asante

  • @gelisonmpogozi4881
    @gelisonmpogozi4881 2 года назад +1

    Thanks for lesson bro

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  2 года назад

      Asante, usiache ku subscribe

  • @user-ru9sh9ob4j
    @user-ru9sh9ob4j 2 года назад +2

    Naongezea tofauti nyengine Harrier ina vent ya A/C nyuma Kluger haina,safi sana kaka kwa kutuelimisha

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  2 года назад +1

      Asante sana kwa comment yako, usiache ku subscribe na unapokua wewe au wenzako mnahitaji kuagiza gari au kununua ya mkononi basi tutafute.

    • @meandyouproductsltdkampala1321
      @meandyouproductsltdkampala1321 2 года назад

      Also kluger has

  • @abdallasalum7702
    @abdallasalum7702 Год назад +2

    Mkuu iyo kluger viti vya nyuma vipo apo nazani hujapaona vinapokaa , unatakiwa kuinua icho kama kitasa Apo nyuma Kwa chini

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  Год назад

      Yes boss vilikuwepo ila hatukuchunguza mda wa shooting. Thanks for your comment, ukihitaji kuagiza/kununua gari karibu kwenye whatsapp yetu 0653953900 . Bless 🎉🎉

  • @sembasitianayinzaki1253
    @sembasitianayinzaki1253 2 года назад +1

    Kazi nziri

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  2 года назад

      Asante, usiache ku subscribe

  • @meandyouproductsltdkampala1321
    @meandyouproductsltdkampala1321 2 года назад +3

    Kluger is better for bussiness man ,harrier is better for show bizz

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  2 года назад +1

      Thanks boss kwa comment yako

    • @alphonceedfoce
      @alphonceedfoce Год назад

      Samahani bei inalingana

  • @vituscharles9029
    @vituscharles9029 2 года назад +2

    Mbona unaipendelea sana harrier

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  2 года назад

      Hapana boss ni mawazo yangu tu, unaweza toa na yako pia.

  • @jeromemwenda2702
    @jeromemwenda2702 2 года назад +1

    Asante kwa maelezo mazuri, ila umesahau kitu,
    Hiyo Kluger ina siti 7. Siti 2 za nyuma ni za kukunja na kukunjua, hapo zimekunjwa ndo maana inaonekana mikanda mi2 ya abiria.

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  2 года назад +1

      Asante sana unayosema ni kweli, mda tunafanya kipindi nilisahau . Ubarikiwe sana na usiache kuShare episode hizi kwa wengine 🙏🏻

  • @vicentcharles7736
    @vicentcharles7736 9 месяцев назад

    Bei nishingapi

  • @jassofurgence5199
    @jassofurgence5199 Год назад

    Ongera kwa maelezo mazuri sema apo kwenye Toyota kluger umekosea kidogo kwenye seat za nyuma mbili sio kwamba hazipo kaka, zipo unavuta zinaamka pengine haukujua ilo ukasema hazipo

    • @kassimmsemo5205
      @kassimmsemo5205 Год назад

      Ni kweli yuko sahihi, sio kluger ina siti ya nyuma...nyingine hazina

  • @LeokadiaShio-nm1ky
    @LeokadiaShio-nm1ky 11 месяцев назад

    Habar nitumie namba zenu tuwa siliane nataka gari

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  11 месяцев назад

      0653953900 Call/Text/Whatsapp

  • @joelsamwel2580
    @joelsamwel2580 2 года назад +1

    Umetudanganya broo kwenye iyo kluger siti ipo ila ushamba hujaifungua ipo imewekwa loki

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  2 года назад +2

      😃😄 Si unajua ata mimi hua nakosea, Asante kwa kutulekebisha, usiache ku subscribe na Mungu akubariki.

    • @joelsamwel2580
      @joelsamwel2580 2 года назад

      @@MrSABYY poa poa kaka

  • @beatuskulwa2912
    @beatuskulwa2912 2 года назад +2

    Cc pamoja na bei iko sawa?

  • @charleskoba2906
    @charleskoba2906 2 года назад +2

    Somo zuri lkn vp katika utulivu barabarani ni ipi ni bora hasa katika mwendo mkali?

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  2 года назад

      Zote ziko sawa kabisa katika mwendo mkali na wa kawaida.... Kwa maswali zaidi klb WhatsApp 0653953900

    • @beatuskulwa2912
      @beatuskulwa2912 2 года назад +1

      @@MrSABYY ulaji wa mafuta na bei unalingana au

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  2 года назад

      @@beatuskulwa2912 Toyota Kluger ina range 24M - 27M na Harrier 27M - 33M... ukaji wa mafuta uko sawa. Kwa maswali zaidi karibu WhatsApp 0653953900 . Ubarikiwe, pia usiache kushare link na wenzio. 🙏🏻

    • @victorsanga2229
      @victorsanga2229 5 месяцев назад

      Kluger