KWANINI TOYOTA HARRIER NI GARI YA OVYO...
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- Kipimo cha ujinga ni pale unapo fanya vitu bila kujua madhara yake. Toyota Harrier ndo ipo ivo.
@Magari TOO Production @Diamond Platnumz @Rollsroyce Fandom @Millard Ayo @Global TV Online @Alikiba @Snashtz @Ndinga za Bongo @CLOUDSMEDIA @Dizzim Online @Wasafi Media @Bongo TV @Bongo5 @COMICS BONGO @SimuliziNaSauti @5gear official @Top Gear @The Grand Tour @Engineering Explained
Harrier my dream car.
Harrier is my favorite
Huyu jamaa pimbi kweli unataka isilemafuta ile ugali harrier ikovizuli mno💪💪
Shida siyo Harrier shida ni umasikini wako..tafuta hela kijana hautakaa uwaze ulaji wa mafuta kwenye gari. Harrier ni gari nzr sana , ukiona mtu anaenda kununua gari kwa kuwaza ulaji wa mafuta ni ishara ya umasikini. Pili hizi biashara za watu kuweni makini si vzr
Kweli kabisa hawa wasio na pesa wanazikandia hizi gari kwa kuwa hawana uwezo wa kuzinunua
Mimi kama engineer namsapoti anachokisema jamaa tukiweka hisia pembeni gearbox ya harrier hawakuitendea haki
Harrier ina muonekano mzuri,Ina comfotability nzuri sanaa kuanzia anae endesha na abiria wake,Haichoshi kuendesha Ipo offload pia ipo vizuri sasa inategemea na harrier yako pia ipoje?
Na kama issue mafuta ndio maana tukapewa kila mtu na uwezo wake nunua paso blaza
Hakuna gari inayokula mafuta sana, ukiona unaonagari inakula mafuta jua umegusa size s Yako uza nunua ya levo Yako! Waweza nunua range kumbe levo Yako n vanguard, au unakunua harrier kumbe levo Yako n raum 😂😂, ukanunua wish kumbe levo Yako n suzuk carry
😂😂😂ni ukweli kbx
Ukiogopa ulaji mafuta hujafikia uwezo wa kununua gari.Gari yoyote huwa ni chaguo la mtu. Huyu jamaa yawezekana ata gari hazijui.
Honest technical review💪🏾.....you should improve on lesser harsh words...
Harrier kwangu n bora
Me dream car yangu ni harier hybrid 2018
For your information harrier especially 2006 iko na manual ukiwa kwa sport mode you can engage the gear from 1-4
Kajamaaa kana fact kichz Sema kanavyowasilisha kwa zarau sasa😂😂😂😂
Ni mkweli ila watu hatupendi ukweli, tunafanya vitu Kwa mkumbo
Ila kanaongea ukweli unaochoma mioyo ya watu
✌️👊👍。
Gari chakula chake mafuta, unataka harrier utumie makaa ya mawe??
mtu ananua gari kwa sababu anaipenda na sio sababu ya mafuta
Bro ivi mitsubish outlander xls ya 2011 gear box ina gear ngap? Second generation 2000cc
In the real sense, you haven't just given a critical view of the Toyota harrier just because it has some faults like every other car does but also because you dislike it. Calling it trash and telling people to get rid of it just clearly showed that in addition to wanting to help people make a good decision and not buy it because it is trending, your experience with it left you feeling cross about it.
It's true to say that Toyota made a bad decision giving just four gear ratios to such a strong engine in a heavy body. I guess they are trying to push people towards the more expensive hybrid but people just buy the normal Harrier🤭
Plus why buy a Hyundai na haijajikita mizizi with spare part availability kama Toyota. Honda CRV iko sawa kapsaaa. Mazda ime-improve sana na CX-5 yao iko sawa. Subaru nayo ni ya wanaotaka specifically Subaru. I don't think those who buy Subaru's usually think of buying other brands. It isn't in the group of the SUVs that most people choose from.
You seem like someone who understand things so take this.. every now and then its allowed to mix your personal interest just to make a point hasa if your trying to make a stand its called destructive criticism. But good point chief point taken
@@eastcars
I actually did enjoy the video. But even though the Harrier consumes a lot fuel, it's the traditional automatic one. The CVT transmission on the hybrid harrier is way better.
Plus, the Harrier has a lot of positives: I like the large leg space in it, it's large windows and it's quiet drive. I don't own one for that fact.
But just know that my comment wasn't to beat you up. I landed on this channel today and I find your discussions to be quite good. You're doing a good job. It's only that it's my first time to hear someone complain about the Harrier's fuel economy because most people don't even notice or care about it.
@@Shalomrutere Hello Shalom!
Honestly, I have read your comments and am really happy to see how knowledgeable you are about cars.
Buying a car it self isn't enough however able one is, knowing what you are going to buy is the best.
Hope we will buy our dream cars siku moja Boss😂👊
Well said
Mmetumwa kuharibu biashara ya watu
Hua namuangaliaga huyu kijana hua nacheka sana kazi yake ni garage but kalivyokua na dharau hahah ila masikini hua tunatabu sana aisee hapo ukimuangalia unajua ni mtu wa namna gani😂
Hapa issue siyo harrier kula mafuta, unalitumia hilo gar kwa shughuli gani,Tatizo bongo wanamiliki magari bila kujua dhumuni ya hilo gari, una gari moja unataka ulitumie kwa kila kitu, kiufupi ni umasikini, nchi zilizoendelea watu wanamiliki gari zaidi ya moja, kuna gari la kazini, kuna gari la kwenda out au kula bata, kuna gari la safari, hayo magari kuanzia muonekano wake,engine,gearbox size tofauti, conditions tofauti, kwa mfano gari la safari haliwezi kuwa na gear 4, so my point here kabla hujanunua gari shirikisha wataalamu wakushauri, wewe unamiliki toyota harrier halafu unasafiri nalo kutoka dar kwenda arusha lazima mfuko utoboke kwa mafuta, kwani toyota harrier ni sawa na lexus RX300 or RX350, but hazina 4 speeds geabox, kama hizi za marekani ni 6 speeds geabox
umemaliza kila kitu kaka. big up sana
Thank you
unamiliki gari lipi?
Waombe radhi wanawakw kwa kuwafananisha na Hurrier
Tabia ya Kimasikini hiyo.. Tunamiliki Harrier tunaona kawaida kabisa, gari ipo vzr na very confortable kuendesha na Harrier inaenda popote brother
Wanaobisha ni madereva kazi yenu ni kuendesha tu au kama ulishabugi ukalinunua hilo gari au ulipewa kama jamaa anavyosema ila sisi mafundi tushamuelewa jamaaa akili nyingi sana safi hamna gari pale
Tako la nyani ni ya mauzo n kuonesha una hela
Uchambuzi wa hovyo kabisaa hakuna gari la hovyo sema nyie ndiyo wa hovyo
Kuna jamaa alichukua mkewe akiwa na Harrier ndo maana,Watu wanatumia mwaka wa SITA sasa na wala hazina matatizo hayo
Kama utaki gari inayokula mafuta tafuta inaykula mtori, tafita gar kwa mujibu wa uwezo wako,
Tueleze kuhusu harrier ya mwaka 1998
Kama unawaza ulaji wa mafuta tembelea pikipiki bado haujafika kununua magari tafuta hela brother alie kwambia harrier siyo gari nani acha kupotosha watu harrier ni gari nzuri sana kuwa makini utakuja uchekwe ukiongerea kwa watu
Hapo umezingua..nimegundua huijui harrier, japo ulishaichambua ukaikubali saiv unaikataa 😂😂😂😂😂.....
Hapo big no...hujui harrier wewe kalale 😅😅😅
Saut zenu ziko chini utadhani mnanongozana
Moja ya sifa ya MNAFIKI ni kukosoa wengine na kujifanya yeye ni mjuzi sana wakati hajafanya lolote katika jamii kutambulisha uwepo na umuhimu wake!
Opinions are opinions tu, harriers will always be among the best cars toyota has ever made 😃
But nimependa sana hilo gumzo lenu. Ni vyema sana kusikia maoni tofauti kuhusu mada tofauti 🙂
True, harrier itabaki kuwa the best
Tuambie ubest wake upo wapi?jamaa kaipondea sana
Best for what bro jamaa kasema sio best na kaeleza sababu
Listen to this guy attentively, do your research if you have to and conclude. Otherwise Great video...... Keep it up✊🏾✊🏾
Bro,rav 4 na harrier ni tofauti
Ni tofauti mno...rav4 ni ngumu sana
Ukitaka kumdis jamaa uwe na reference ya iyo gar jamaa kaeleza kiufundi sana
Eti ninunue ist kwa vile inakula mafuta kidogo, harrier sio nzuri kwako wewe wenye pesa sio tatizo, jamaa dharau huyu wenye harrier wamenunuliwa duh! Dharau hizi
2400CC Engine 2AZ-FE kweli ni Takataka, same as Vanguard. Zinakula Oil utadhani ni Petrol😂
I still wonder why people still buy the normal petrol harriets. Kama umeamini chenye amesema kuhusu harrier kumeza mafuta, strictly buy the hybrid harrier. The electric CVT will throw out those useless traditional four gear ratios.
Jamaa ni mpumbavu sana aidha hazifahamu gari kabisa, gia za automatiki hazibadiliki/hazihami kutokana na wingi wa gia bali kwa ni kwa kasi au ukanyayagaji wa mafuta. Muundo/shepu ya Harrier ni mzr kwa kukata upepo pia huwezi kulinganisha Rav 4 na Harrier kwenye kasi na ulaji wa mafuta kutokana na ukubwa (body mass) wa Harrier; nadhani huyu jamaa ni shoga!
Kama 2UZ inakula kawaida leo harrier
Huenda hana,pia aseme yeye hana pesa.na wenye cruiser je?
Vipi kuhusu old model??
Hivi huyo mwamba anamiliki gari gani?😃
Hana gari huyo
Mnatupotezea mb, mnatafakari muda mrefu wakati mlishaandaa content tokea muda mrefu.
Wew unayo sema huna pesa ya kuinunua
Shiida sio kuinunua, yeye kaongea kitaalamu sio huyu tu hata Wazungu wenyewe wapo wanaozichambua hizi gari ya aina mbalimbali na kuwashauri watu gari gani ni nzuri na gari ipi usinunue .
Utaalamu gani huo ww kilaza harrier zipo za aina nyingi na swala la mafuta huendana na gari unataka harrier ile kama IST au kuifananisha harrier na mwanamke anataka kuvuka maji ndio utaalamu au kukosa akili kabisa tatizo letu wabongo tunapenda ujinga na majungu tu ndio maana hatuendelei lake lipi kachomelea ata bodi tu kilaza mkubwa
Hayo ni mawazo yako, jiulize kwanini zinanunuliwa zaidi.
Na waliozinunua wanaziuza sana tena kwa bei ya kutupa😅
@@lusupi Labda namba C
Ivi producer wa iyo gar hawawez washtak kwel mna waharibia soko
Harrier sishauri mtu aiseee nimekuwa nalo mimi limenikanda nikauza
Kwanini mkuu mi nataka nichukue harrier najifunza vitu kabla ya kuchukua
@@lusupi ukitaka harrier chukua kuanzia mwaka 2007+, pia chukua engine kubwa 1MZ engine au 2gr engine
I don’t like this at all 😕😕😒 , still honest review _ I mean why did this make me feel bad about my cat
Jamaa maskin huyo na hajui magari,,,harrie zipo za aina nying,,,na hatuangalii ulaji wa mafuta bali tunaangalia mapenz ya mtuu na gari husika...kibuyu wewe
Kibuyu kabisa hyu
Ulaji mafuta cokitu wakati unafikilia namna ya kupata pesa kumbuka kuna watu wanafikilia namna ya kutumia pesa walizonazo pesa ambazo kila dakika akaunti inasoma pesa inaingia pia kaka hata cc binadamu tunatofautiana kula ugali wapo ambaowanakula sahani iliyojaa ugali nyamachoma wapo wanakulakitimoto kilo2mtummoja pia wapowanaokula kaugali ka1000 na maisha yanaendelea kaka
Wivu utakuua, unachokipenda wewe sio lazima nikipende mimi, tengeneza gar lako
Wanachuki hawa jamaa, siwaamini tena kila gari kwao baya
Mimi natumia harrier ila ukweli ni kwamba harrier ulaji wa mafuta unategemea service yako mfano mimi nimetoka mwanza to arusha nimetumia jumla litre 59.9, kutoka arusha to moshi nimetumia litre 6
Uongo uongo
4months ago umeliuza😂😂😂
@@CharuwaCo sawa
@@lusupi yes
Yani uyu mngese anavyoongea unaweza sema anamilki ma B kum e kapuku alafu ulaji wa mafuta siyo shida zetu
Vp kuhusu Toyota Raum?
Naomba review ya Mitsubishi Outlander model tofauti tofauti
Kwenye makala yako weka picha za magari unayaongelea, aslimia 90% onyesheni magari mnayo yafanyia review na muonyeshe badhi ya parts of the cars na asilimia 10% iliyobaki mjioneshe nyie mkifanya car review👽it will have sense and it will help people who doest know those cars to know them by appearance .👽
Huyujamaa fala kweli anazarau harya duu corola itakuaje xx
Hajadharau ujamuelewa
Jamaa akiipinga Corolla sitoangalia videos zake tena zitakuwa za uwongo sababu Toyota Corolla ndo gari zinazodumu imara mafuta inakula vzr yani kila kitu kuhusu Corolla ni Bora sana
Lakini alichosema hapa ni sawa gari kama harrier kuwa na gear 4 ni jau sana Toyota wanafanya makusudi
Very poor quality interior; dashboard, seat covers, etc
I bet u can't afford even a used bettle.
Wemqsepetu
Ni gari gani aina ya Toyota iliyo na gearbox kubwa kulingana na engine yake
Lkn pia tofauti ya gari inayopima speed 180km na zaidi ya hapo
Muongo ina cc23602AZ 4s
Wewe mbona unalalamika ? Kwanini unajipa pressure
Huyu bwege anataka gari iwe inakula chips Kama anavyokula yeye.