Kweli Mungu ni mwema kila wakati. Sifa na utukufu vimrudie yeye aliyeamuru yafanyike haya. Hongereni sana wana Mwecau kwa kazi yenu nzuri ya uinjilishaji kwa njia ya kuimba 👏👏
Ilivyo kweli na haki nayo yaliyo sahihi na kama ulivyo wajibu nao wapaswao kuwajibika wakawajibika kama ilivyo stahiki dhidi Yao MWENYEZI MUNGU AENDELEE KUDUMISHA UTUMISHI WENU KWAKE DAIMA Kwa kazi nzuriiii mnayoendelea kuifanya kwaajili ya sifa na utukufu wa aliye juu🙏🙏🙏🙏 NAWAPENDA SAANA PAMOJA NA KAZI ST. JOSEPH CHOIR cholines ZENU ZOTEEE❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Mliyotumwa na mungu vijana mmeyafikisha Kwa walengwa
Mungu atubariki sote 🎉🎉🎉
Hongereni sana Wana mwecau kazi nzuri ya uinjilishaji kwa njia ya nyimbo
Hongereni sana sana wana MWECAU kwa kazi nzuri,, Bwana azidi kuwabariki
kazi nzuri ndugu mko vzuri sanaaaaa
Woooow barikiwa sana kazi nzuri🥰
Hongereni sana kwa kazi nzuri iliyotukuka ❤❤❤❤❤❤ Mungu awabariki sana
hongereeeni sana vijana wa mwecau baada ya Kumtafuta Bwana akawaongoza sasa mnasimama tenaa
Kazi nzuri 🙏
Mungu awabari zaidiiiii🎉❤
Wimbo mzuri sana na umebeba maudhui mazito nawapongeza sana ongezeni sana bidii katika utume wa kanisa msikate tamaa mana Mungu ni mwaminifu
Kazi nzuri 😍
Kazi nzuri Mungu awabariki sanaa 🎉🎉🎉🎉
Hongereni sana Mungu azidi kuwainua katika kipaji chenu
Hongereni sana
Hongeren sana kwa kazi Nzuri!!Mwenyezi Mungu azidi kusimama nanyi katika utumishi huu….am so proud of you🔥🔥🔥🙏🏻🙏🏻
Jina la Bwana Lihimidiwe🙏
That is great 🔥
One of the best song the hit one thank God I am proud to be Christian also to be in this family God bless you my family ❤
Mbarikiwe Saana Kwa Utume Wa UIMBAJI Hakika Tunamtukuza MUNGU Kupitia ninyii❤❤❤❤🎉
Sifa na utukufu kwa Mungu...kazi nzr sana Mungu awabariki
Amina tubarikiwe sote
❤❤❤❤very sweet song
Mwecau inasonga mbele Mola awe nanyi katika Kazi ya utume
Mungu awabariki sanaa wapendwa kazi nzuri 🎉🎉❤❤
Wimbo mzuri sana
Nawapenda sana hakika ni kazi nzuri
As usual hamjawahi kosea Hongereni sana @st Joseph mwecau❤🎉🎉
Atukuzwe Mungu katika patakatifu pake
Nitasimama imara hakika St Joseph lux mundi
Kazi nzuri sana kweli nimeamini kuwa kuimba ni kusali mara mbili na kumbe tunaweza tukiamua Mungu ibariki MWECAU Mungu ibariki St Joseph Mwecau choir.
Kazi nzuri sana haichoshi kusikiliza mda wote🎉
Hongera sana st Joseph choir MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY
Mungu awabariki sanaa wapendwa Kwa kazi nzuri Mungu atukuzwe Kwa nyimbo 🎉🎉🎉
Great and cool melody
Mungu ni mwema kwa kweli jina lake litukuzwe. Kibao hiki huwa kinanibariki mno. Hongereni sana wana MWECAU
Welcome again brother!
We miss you Brother
kudos ❤
Kitu bomba sana not boring kusikiliza na kutazama pia motooooop
Wimbo mzuri sana 💖💖
BEST OF THE BEST CATHOLIC MELODIES❤
Kweli Mungu ni mwema kila wakati. Sifa na utukufu vimrudie yeye aliyeamuru yafanyike haya. Hongereni sana wana Mwecau kwa kazi yenu nzuri ya uinjilishaji kwa njia ya kuimba 👏👏
Hongera nawe kwa kuweza kuratibisha yote be blessed
Mungu ni mwema tuendelee kumtukuza mungu Kwa njia ya nyimbo
Mungu azidi kuwatia nguvu katika utume wenu ❤❤
Nyimbo inanitafakarisha kwakweli Mungu azid kutubariki sote
Nice song may God bless you all 💕💕💕💕
Hongereni Sana kwa Kazi nzuri,nimefurahi kumuonaa ment Wangu Madame Zainabu Makoye
Asee hii kazi nzuri sana kwakwel
Wimbo mzurii sana hongereni wapendwa
Ohhhh waooo hongereni sanaass jamani
Ilivyo kweli na haki nayo yaliyo sahihi na kama ulivyo wajibu nao wapaswao kuwajibika wakawajibika kama ilivyo stahiki dhidi Yao
MWENYEZI MUNGU AENDELEE KUDUMISHA UTUMISHI WENU KWAKE DAIMA Kwa kazi nzuriiii mnayoendelea kuifanya kwaajili ya sifa na utukufu wa aliye juu🙏🙏🙏🙏
NAWAPENDA SAANA PAMOJA NA KAZI ST. JOSEPH CHOIR cholines ZENU ZOTEEE❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Hongerani sana kwaya yetu na niwatakieni utume mwema katika uenjilishaji wetu kupitia nyimbo
Wimbo mzuri sana sana .
Wimbo mzuri sana hongereni wan mwecau mmetisha na mmeupiga mwingi mbalikiwe na Bwana ili kazi ya Mungu iwe njema siku zote
Hongereni kwa Utume wimbo mzuri unatafari Nzuri sana mbalikiwe nyote TUMWIMBIE BWANA KATIKA ROHO NA KWELI 🙏
Mungu awabariki mzidi kuifany kaz yake
Nitasimama imaraa milele🤲🤲
so nice
I like the song God bless you St Joseph choir Mwecau❤❤❤❤
Wimbo mzuri sana asee
Mkinipenda nami nitawapenda ninyi . Haika MUNGU awapende na kuwaongoza mdumu katika kumtumikia milele yote
Hongereniii sana Mungu awajalie mwanga wa roho mtakatifu katika utume wenu siku zote 🎉🎉🎉
Wimbo mzuri na wenye ujumbe mzuri mungu awatangulie wanakwaya wa mwecau
Mungu awape nguvu siku zote mzidi kusimama imara na kulitangaza jina lake
Hii kali
Hongereni nyimbo nzuri jina labwana lihimidiwe
Amina
Atukuzwe Mungu
So sweet song❤🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉 so nice 👍 hongereni sana
Nice MWECAU. Congratulations 🎊
Thank you brother 🎉🎉
Fireeeeee
Hongereni sana vijana kutoka mwecau mmejaliwa kipaji cha hali ya juu sana endeleeni hivyo hivyo
Congratulations 👍👍 kwenu kwa kazi nzuriiii
I really appreciate my choir ,songs are encouraging and giving us a good way to live, loard is to our side forever
Very nice song, God be with you all
Bonge la wimbo , nawapongeza achaneni na masebene , hizi ndio nyimbo
Bwana awaongoze mzidi kufanya vizr katika uimbaji daima na milele
Hongereni nyote mlioshiriki na ku supoti hii kaz Mung atubariki sote🔥🔥🙏
Waaaaoh, be blessed mwecau choir!❤
Hongereni sana kwa kazi nzuri sana. Nami nitasimama imara katika imani.
nabalikiwa sana na wimboo huu mzur sana hongeraaaa sana St. Joseph CHOIR MWECAU
Ni wimbo mzuri sanaa kwatafakari hongereni sanaaa kwa uinjilishaji mzuri
Saut tamu 💯💯
Hongereni saaana Mungu Awabariki kwa kazi nzur ya kulitukuza jina lake kwa utume wa Uimbaji. Nimebarikiwa pia
Hongereni sana Wana MWECAU Mungu awabariki sana
Kazi nzuri mungu awabariki❤❤❤
Kazi nzuri sana na ujumbe mzuri pia
Wimbo mzuri sana, wenye utulivu na kuwavutia watu wasikilize ujumbe
Hongeren jamn wimbo n mzr xan
Congratulations 👏
Kaz nzur Sana isee❤❤❤
Kazi nzuri 🎉🎉
Mungu atukuzwe daima
Fantastic one it's favorite congratulations 👏👏to all prayer be blessed
Waaaaao hongereni sanaaa wimbo unatubariki sana
Kaz nzuli Sana hogelen sana
Kuimba ni kusali mara mbili,,, Mbarikiwe Sanaa.
Tutoe wimbo mwingine mzuri sana
Kwaya nzuri sana naipenda
Kazi tamu sana hiii. Hongera sana wanakwaya
Hongereni sana wanakwaya, very amazing
Jina la bwana lihimidiwe
Nice song
Hongereni sana
Nzuri Sana mbarikiwe wote
Hongereni sana mwecau choir
Aiseeeee! It is a beautiful song, congratulations to you!
Hongeren sana kwa kazi njema
Mungu awabariki sana 👏🏼👏🏼👏🏼
❤
Mungu awabariki wimbo mzur Sana
Hongereni sana kwa utume wa uimbaji