NITAKAA MIGUUNI PAKO F E Nyanza

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 65

  • @erastosahani6180
    @erastosahani6180 5 месяцев назад +4

    Mungu azidi kuwabariki sana katika utume huu na jina lake litukuke kupitia utume wenu 🪘🎤🎧🥁🎺

  • @YudaRamale
    @YudaRamale 5 месяцев назад +2

    Kuimba ni kusali mara mbali alisema mtakatifu Agustino. Hongereni Kwa utume wa uimbaji mungu awabariki🎉

  • @magnusa.kadete3767
    @magnusa.kadete3767 4 месяца назад +1

    Ni raha iliyoje kukaa miguuni pake Mungu kama Maria Magdalena dada ya Martha🎉🎉🎉

  • @dottombibi
    @dottombibi 4 месяца назад +1

    Nyimbo ya tafakari Mungu ni mwema sana kazi ya mungu isonge mbele daima

  • @AugustineLomolen
    @AugustineLomolen 5 месяцев назад +1

    Hongereni Sana Saidi ya Sana 🎉🎉🎉 Mungu Hawabariki Kwa uibaji murua kabisa ❤❤❤

  • @YudaRamale
    @YudaRamale 5 месяцев назад +1

    Kuimba ni kusali mara mbali alisema mtakatifu Agustino. Hongereni Kwa utume wa uimbaji mungu awabariki

  • @RoseAnatory
    @RoseAnatory 4 месяца назад +1

    Hongeren saaana neema ya MUNGU iwe nanyi Ili iwatie nguvu

  • @YohanaDeogratius-o2e
    @YohanaDeogratius-o2e 5 месяцев назад +1

    Wimbo mzuri sana hongereni Wana mwecau

  • @Donartificialintelligent
    @Donartificialintelligent 5 месяцев назад +4

    Kazi nzurii.... Tuendelee kutumika kwa njia ya uimbaji

  • @ROZALIANADA
    @ROZALIANADA 4 месяца назад +1

    Hongereni sanaa Mungu azidi kuwatia nguvu katika utume wenu wa uimbaji 🎉

  • @AgnessMartin-e4z
    @AgnessMartin-e4z 4 месяца назад +1

    Kwaya pendwa sana,Mungu awabariki pamoja sana na utume mwema 🙏

  • @emanuelsingamb2856
    @emanuelsingamb2856 5 месяцев назад +1

    Very good song May God bless you who serve the Lord. Catholic forever

  • @GastoKavishe-ux6ho
    @GastoKavishe-ux6ho 5 месяцев назад +1

    God bless us 🙏🙏

  • @kwayabikiramariamamawashau2448
    @kwayabikiramariamamawashau2448 5 месяцев назад +4

    Wimbo mzuri Sana Wana Utume🎉🎉🎉❤ Hongereni

  • @FaksonChilumba
    @FaksonChilumba 4 месяца назад

    Kazi mzuri munaifanya mungu azidi kuwapa moyo wa kujitoa ✝️✝️

  • @carmelacaroli-sg2wl
    @carmelacaroli-sg2wl 26 дней назад

    Tumwimbie bwana katika roho na kweli kazi nzuri sanaaa Wana MWECAU

  • @deodathandunguru1084
    @deodathandunguru1084 5 месяцев назад +1

    Kazi nzuri sana hongereni sana

  • @ElectinMalala
    @ElectinMalala 5 месяцев назад +1

    Hongereni kazi ya Mungu iendelee mbele

  • @albanTz001
    @albanTz001 5 месяцев назад +2

    Magnificient❤

  • @AgapitiPeter
    @AgapitiPeter 5 месяцев назад +4

    Hongereni sana kazi nzuri tuendelee kufanya kazi ya Mungu

  • @andreabatholomeo6965
    @andreabatholomeo6965 5 месяцев назад +3

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @naftarymkiwa8912
    @naftarymkiwa8912 5 месяцев назад +1

    Kazi nzuri sana

  • @NiwamanyaGabriel
    @NiwamanyaGabriel 4 месяца назад +1

    Mungu aidumishe kwaya hii milele

  • @EmanuelMargwe-fd3nj
    @EmanuelMargwe-fd3nj 5 месяцев назад +2

    Amani na maelewano kati ya watu ujumbe mzito ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MkindaDamas
    @MkindaDamas 4 месяца назад +1

    Ewaaaaaaaaaaaaaaaaa hapo hapo shikilia kwenye upendo na maelewano

  • @BonifasRichard
    @BonifasRichard 4 месяца назад

    Wimbo mzurii sana ahsantenii Kwa kutuinjilishaaa

  • @Arati3
    @Arati3 5 месяцев назад +3

    Nzuri ❤🎉

  • @dativamtaresi1973
    @dativamtaresi1973 5 месяцев назад +1

    ❤❤🎉🎉

  • @MariaLucas-h9h
    @MariaLucas-h9h 4 месяца назад

    Wimbo mzuri sana ❤❤❤

  • @Adelitusjoseph-qp9ew
    @Adelitusjoseph-qp9ew 5 месяцев назад +2

    Wimbo mzur sana na umetendewa haki ,hongera sana kwa utume uliotukukaa

  • @PaulinaOctavian-i8z
    @PaulinaOctavian-i8z 5 месяцев назад

    Hongereni sana mwecau choir kwa kazi nzuri

  • @cleopatrakunguru
    @cleopatrakunguru 5 месяцев назад +1

    Great,take your blossom...❤❤❤

  • @faustinombay5277
    @faustinombay5277 5 месяцев назад

    Hongereni sn wapendwa. Mwl. Balta upo vzr kaza buti mwanangu.

  • @thomasmakweta3860
    @thomasmakweta3860 5 месяцев назад

    Hongereni kwa utumee kazi nzurii sanaa mbarikiwe

  • @mich_komba
    @mich_komba 5 месяцев назад +1

    Hongera kwa ya mt. Yosefu🙏

  • @EMILIANUSMWEBESA-hv4np
    @EMILIANUSMWEBESA-hv4np 5 месяцев назад

    Kazi nzurii🙏🙏🙏

  • @JoyceMichael-uv5ms
    @JoyceMichael-uv5ms 5 месяцев назад

    ❤❤❤ congratulations St Joseph choir

  • @martinsarwatt7466
    @martinsarwatt7466 5 месяцев назад

    Hongeren San kwa utumee mwl Balthazar big up kwako

  • @innocentmapunga2927
    @innocentmapunga2927 4 месяца назад

    "Amani na Maelewano kati ya watu" 🎶 🎉

  • @Suora-2FSBV
    @Suora-2FSBV 5 месяцев назад

    Hongereni waimbaji 🎉🎉ujumbe mwema kabisa 👌

  • @linahurassa7750
    @linahurassa7750 5 месяцев назад +2

    Mama tazama wanao

  • @johnvianenyikizeha6785
    @johnvianenyikizeha6785 5 месяцев назад

    Kazi nzuri wapendwa

  • @kabulanzagamba-vp5ue
    @kabulanzagamba-vp5ue 5 месяцев назад +2

    Hongereni sana wana St Joseph MWECAU,

  • @marymfoy8511
    @marymfoy8511 5 месяцев назад +2

    Congratulations st.joseph choir MWECAU👏

  • @PakomiVicent
    @PakomiVicent 5 месяцев назад

    Kazi njema

  • @erastosahani6180
    @erastosahani6180 5 месяцев назад +1

    Glory be to God 🙏🙏🙏

  • @Joseph.Manyama
    @Joseph.Manyama 5 месяцев назад +1

    Mwenyezi Mungu awape nguvu katika utume wenu mpo vizur St Joseph

  • @Tumaini-mj4fs
    @Tumaini-mj4fs 5 месяцев назад

    congratulations for evangelization.

  • @victustarimo9392
    @victustarimo9392 5 месяцев назад

    Utunzi mzm

  • @JacklineBenjaminNyanza
    @JacklineBenjaminNyanza 5 месяцев назад +2

    Nawapenda sana familia yang

  • @veronicamakena555
    @veronicamakena555 5 месяцев назад

    Mbarikiwe sana

  • @BEATRISIAMANIMO-vi6rp
    @BEATRISIAMANIMO-vi6rp 5 месяцев назад

    Very nice work

  • @badigito2884
    @badigito2884 5 месяцев назад +1

  • @NiwamanyaGabriel
    @NiwamanyaGabriel 4 месяца назад

    Good❤

  • @novatusdonald7406
    @novatusdonald7406 5 месяцев назад

    Utulivu wa kina

  • @paskaliakonaay01
    @paskaliakonaay01 5 месяцев назад

    🎉🔥🔥

  • @martinsiay970
    @martinsiay970 5 месяцев назад +1

    🔥🔥

  • @laurentlugema593
    @laurentlugema593 5 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @EmmyAntony-bx4sh
    @EmmyAntony-bx4sh 5 месяцев назад

    ❤❤❤❤

  • @MartinaHhale
    @MartinaHhale 5 месяцев назад

    ❤ ❤

  • @rachelmvomella2708
    @rachelmvomella2708 5 месяцев назад

    😘😘

  • @YohanaDeogratius-o2e
    @YohanaDeogratius-o2e 5 месяцев назад

    🙏🙏

  • @Pritex_Santos11
    @Pritex_Santos11 3 месяца назад

    Copy

  • @YudaRamale
    @YudaRamale 5 месяцев назад +1

    Kuimba ni kusali mara mbali alisema mtakatifu Agustino. Hongereni Kwa utume wa uimbaji mungu awabariki🎉

  • @stephensiki5136
    @stephensiki5136 4 месяца назад