AMETEREMKA by Emil Shayo:-The MAVOS ((Official video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Baada ya ulimwengu kuanguka katika dhambi na uovu, Mungu nafsi ya pili aliamua kushuka Duniani kwa ajili ya kutukomboa kutoka katika utumwa wa dhambi. Tunakukaribishwa kutafakari fumbo hili ya umwilisho kupitia kazi hii.
    Wimbo huu ni utunzi wa Ndg. Emil Shayo umeimbwa na THE MAVOS na kurekodiwa katika studio za Nyumbani Media Pro.
    Karibu kuutazama wimbo huu mzuri ili kukaribisha sikukuu hii kubwa.
    Mawasiliano
    0625907549
    0735046393
    nyumbanimediapro7@gmail.com

Комментарии • 121