Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Kuwa mkatoliki raha sana.tunamshukuru Mungu kwa Baraka
Nimebarikiwa sana
Mubarikiwe saana nafurahi saana nikiona masifu ya jion
So wooow! Baraka kama zote,I'm blessed for watching this jamani,napenda masifu sana
Uko kama mimi huwa naona kama Mungu atatokeza. Najivunia dini yangu Katoliki
Naomben mnisaidie jina la wimbo wa Mt. YOSEFU walio utumia kama utenzi🙏🙏
Jamaniiiiii nisaidieniiiii jina la wimbooo nimeinjoiii san
Hongera Bishop Ludovic Minde
Amina
Hongera baba askofu
Benjamin Kundy hongera
Jamamaniii huuu unaitwaje????
🙏🙏🙏
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Msaada Huu wimbo walioutmia kama Utenzi unaitwaje...??
Masifu
Nashangaa kweli...una dislike hii post...kwa nini????
Hao wanao dislike wamekasirika maana kila wakijaribu kushawishi wakatoliki wajiunge makanisa yao wanagonga mwamba. Ndio maana wamebaki na chuki hawataki kuona mambo mazuri ya kanisa katoliki.
Hata mm nastaajabu Sana'a duh
Hilo ni kweli kabisa hawataweza Kwakuwa Bwana yu upande wetu..!
Kwa kweli najivunia kuwa mkristu ninaeamini na kusadiki katika kanisa takatifu Katoliki la mitume.