MAGRETH AMERUDI TENA KWENYE STAGE YA MR.RIGHT / KAJA NA MR RIGHT WAKE / AWAPA USHAURI HUU WAREMBO.
HTML-код
- Опубликовано: 15 сен 2024
- Kwa story zaidi za maisha, burudani, vipindi na za kila siku tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii :
►JOIN OUR WhatsApp Group chat.whatsapp....
►SUBSCRIBE / @stbongotv
►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder
RATIBA ZA VIPINDI VYETU
THE BANTU JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 10 JIONI
SPOTLIGHT JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 12 JIONI
TWENDE JIKONI KILA IJUMAA KUANZIA SAA 1:30 JIONI
FASHIONISTA KILA JUMAPILI SAA 1 USIKU
MR RIGHT SHOW KILA JUMAMOSI SAA 4 USIKU
KIU SERIES JUMATATU HADI IJUMAA SAA2:30 USIKU
THE SPIRIT NA IBADA LIVE KILA JUMAPILI KUANZIA SAA 4 ASUBUHI
MOVIE NIGHT NI KUANZIA JUMATANO MPAKA IJUMAA KUANZIA SAA NNE USIKU NA MARUDIO MCHANA KILA SIKU
Ila aka katoto kazuri jomon❤❤❤😍😍😍😍
Nimeipenda hiyo couple
Hiyo couple naipa Tena miez miwili ya mwisho, DIVA anajua🤣🤣
Sijui saiv uchawi wangu hauna nguvu mbn nikisema wataachan kunasaut inaniambia ushindwe😊
😂😂😂
🤣🤣🙌
🤣🤣🤣🤣🤣
Vp umeolewa dada?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kweli kupendwa rahaa moka amenenpa mage jmn
Magreth jamani anajuwa kudeka!!! Kwelikweli piya kapendeza inyama!!😅
Ila dressing code ya magreth sio poa
Kibukta
Na uyo lulu diva na yy anavyo vaa
Sure
I wish them goodluck❤❤❤
Namkumbuka pro edward said na kitabu chake . Culture and imperialism' ndicho nionacho hapa sasa ' uzinzi tu😢
Amina sana recho
Hongela jamaagu
Nimeipenda hiyi
Ady raha jaman🎉🎉🎉
Xhida uyo dada yupo kama anajiuza jaman ivyo vipensi duuuuu😢
Aky wanapendeze
Wow nice couple i wish one day and me to get my perfect husband🎉❤❤❤❤❤
Niko hapaa 😄
Ahuzubillah minashahitwanirajimu
hiyo ndio sawa wakichukuana ni warudi waseme wadeleaje
😂😂😂😂😂😂
Congratulations
Mmmmmmm makubwa
ila jamani unafki mbaya mdada Mwembamba akideka anapendeza ila sisi vibonge sasa vituko😂
😂😂
Nimecheka Kwa nguvu🤣🤣
Nimecheka jmn
😅😅😅😅
Nimechela km chizi, kibonge unaanzaje kudeka kwanza.
Etii miezi miwil wametoboa 😂😂😂
Sasa huyo kumnyali mwenzie ndio nn uyo letisha wacha wivu
Mdada alivovaa sasa😢
Mmependezan jamn
Umalaya tu
Wanaendana atar😊
Sasa nguo hana zakubadirisha au
Hii ni kweli ama ni drama tu
Kwel
Alichosem magret ni kwel wenyw wachagueeee wataondok 2099 wazee
🤣🤣🤣🤣
Mbona hayo ma mtu yako uchi ??au ni danguro la machangu?
Congratulations 🎊 👏 💐 🥳 🎊
😂😂😂 eti miezi miwili wametoboa😂😂😂
Heheeeeee
napo mtaachana tu.!!
Shindweeee katika jina la yesu 😂😂😂
Malizeni umalaya na ukahaba wenu, lakini msipotubu, KUZIMU kunawangoja kwa hamu sana.
Acha kuwa judge kwa maisha ya watu hakikisha maisha yako ni masafi
@@sarahjames5493 Mimi sio tu jaji wa maisha yao hata mwisho wao naweza hukumu.
Make kwanza ncheke
Saw Mungu😂😂😂
Huyu dada kapat mume aiseeee
Nikujiuza huku
Sema aka katoto kanajua kudeka bwan kaa
walete wamiezi 12 tuone wamemudu muda huo
jamani natak nije nitafute mchumba na mimi
nko mpenzi
@@albashir6085 😂😂😂wap
Mimi hapa 😂
😂😂😂😂😂😂😂
Kwanza wewe nitakuleta kenya 😂