“Umuokoe Mtumishi wako anayekutumaini” Serious guys nabarikiwa sana nkisikiliza huu wimbo. Haki una maneno matamu ya kutia moyo. Mungu wangu wa mbinguni awabariki muendelee kutuinjilisha kwa maneno ya faraja na ya kutia moyo.
Ongereni watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Ila despina Dada angu una saut taamu sana yakumtukuza nataman niwe kama wew
Ee Bwana Utege sikio unijibu👂
Safi sana kwa Sauti nzuri..
Kwa maana wewe bwana wewe bwana uu mwema umekuaa tayarii kusamehe watu wote wakuitaoo♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Despina Despina Despina unajua kuusuuza moyo wangu
Ee Bwana utege sikio lako unijibu wewe uliye MUNGU wangu umwokoe mtumishi wako anayekutumaini. Mbarikiwe Sana sauti nzuriii
“Umuokoe Mtumishi wako anayekutumaini”
Serious guys nabarikiwa sana nkisikiliza huu wimbo.
Haki una maneno matamu ya kutia moyo.
Mungu wangu wa mbinguni awabariki muendelee kutuinjilisha kwa maneno ya faraja na ya kutia moyo.
muokoe mtumishi wako anaekutumaini 😊👏
Mungu na asikize sauti Hizi Tamu na azidi kuwapa baraka
hongereni sana kwa kazi nzuri
kazi nzuri wateule wa Bwana
Ongereni watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Sauti tamu sana. Ninabarikiwa sana.
Ni wimbo wenye maneno ya yaliyo jaa maombi na sauti nyoroooro zenye upako wa kuelekeza yale maombi Amen 👋👋👋
Hongeren waimbaji kaz nzuri
Nawapenda mnanibariki Sana, Mungu awazidishie utume zaidi.Despina bigup
hongereni sana mungu awepamoja nanyi
Hongereni kwa kazi yauinjilishaji,Hiyo saut ya solo naipenda sana Bwana akubariki dada mzuri
Hongera sana Dada kwa uinjirishaji
Hongereni Sana wapendwa kwa uimbaji wenu mzuri
Mungu awainue daima katika kumtumikia nawapenda sana
Unajuaaa despinaaa
Ee BWANA unifadhili xaf xana nyimbo nzuli
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
Mnañikosha asanteeen saaana
Catholic melody ni tamu nyieee
Sina mashaka na patio kazi imetulia hingereni sana
Safi sana
What a catholic master piece, kongole waimbaji
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu
Mgandu alikuwa fundi sana
Thanks, God bless you,wimbo mazuri wa kubariki
Super
Ee bwana utege sikio lako unijibu🤲🏼🤲🏼
Hongera!
honegereni sana kwa uinjilishaji kupitia sauti nzuri za nyimbo
Wimbo huu unagusa miyoyo yetu
the lady in spects....
Well done
Halleluya
Worship and meditation occurs when listening to the song
Lovely.
♥️♥️♥️♥️♥️
💞🙏🙏
👏👏👏
Safi sana