Padre Mungu anakupenda na kukuongezea imani kwake kwa kukuvusha hatari zote hizo. Shuhuda zako zimenipa matumaini zaidi na imani kwa Mungu katika majaribu nipatayo. Mungu akubariki. Amina.
Mungu anakupitisha ktk majaribu makubwa daima ana lengo na ww baba daima anakupigania ktk kila hatua ya maisha yako, Mungu anakupenda daima katika yote
Paroko wangu mpendwa wa enzi za nyuma Pd Steven Mungu akubariki daima baba ktk safari yako ya kichungaji daima
Padre Mungu anakupenda na kukuongezea imani kwake kwa kukuvusha hatari zote hizo.
Shuhuda zako zimenipa matumaini zaidi na imani kwa Mungu katika majaribu nipatayo. Mungu akubariki. Amina.
Mungu anakupitisha ktk majaribu makubwa daima ana lengo na ww baba daima anakupigania ktk kila hatua ya maisha yako, Mungu anakupenda daima katika yote
Uwe na moyo mkuu Padre....Mungu akubariki mno
Mungu anakupenda padre uskate tamaa
Baba katka utumishi nakukumbuka sana asa hapa vikindu ulinifundisha meng❤
Mungu yupo nami kila mda
Padre mungu awe pamoja na wewe katika utume wako natamani urudi vikindu tunakutakia utume mwema
Thus God!!glory to God
Ameen
Padre mungu akusaidie upone
Tumekukumbuka sana baba njoo kugoma utuone
Amina.
Je padre hiyo tumsifu Yesu Kristo yako kwenye mahubiri ni sala au ni kikolezo? Punguza padre.
We kama huelewi siyo lazima uelewe
Hapo anatoa ushuhuda wake kunachakujifunza hapo mkuu