Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Hongereni wana jimbo kuu
Hongera Padre Paul sabuni kwa majukum mapya.
Mwana darasa wako! Hongera kwake
Karibu sana Baba Paul Sabuni, Mungu ataongoza kazi zako
Hongera sana padre Hamilton Kikoti na Mapadre wote kwa majukumu mapya
Hongereni nyote kwa utume
Baba Fanya KAZI ya mungu,,usisiskulize maneno ya watuu
Piga kazi baba askofu tunajua utendaji wako wa kazi ni mzuri
Amani ya Mungu itawale. ROMAN CATHOLIC kweli hakuna Ukabila Wala ukanda , nimefurahi sana nikiwa Songea.
Acha majungu acha askofu apige kazi anajua acha ukabila roman hatuna ukabila
AMINA
Tumsifu Yesu Kristu. Nendeni kufanya kazi ya Bwana.Utumee popote
Utume mwema
Kila la kher utume mwema!
Nani paroko wa Makuburi
Hongereni Sana
Huyu ataweka wachaga alikuwa mwanza alikuwa anatoa wasukuma na kuweka wachaga hadi bugando hosp alileta mtafaruku aliweka wachaga kaondoka mwanza walifanya sherehe
Waaahhh, you mean in TZ you're affected/infected by this BUG!?
Duu jamani mbona unaleta ukabila, wapi kafanya kichaga!?
Ndugu ayo mambo ya ukabila yanahusikaje ....?
@@stemarcely7493 hayo ni maoni yangu alifanya hivyo mwanza sihitaji kubishana na mtu nasema nilichona uhakika nacho nimsingizie itanisaidia nini
Hao wachaga aliwaweka parokia zipi?
Hongereni wana jimbo kuu
Hongera Padre Paul sabuni kwa majukum mapya.
Mwana darasa wako! Hongera kwake
Karibu sana Baba Paul Sabuni, Mungu ataongoza kazi zako
Hongera sana padre Hamilton Kikoti na Mapadre wote kwa majukumu mapya
Hongereni nyote kwa utume
Baba Fanya KAZI ya mungu,,usisiskulize maneno ya watuu
Piga kazi baba askofu tunajua utendaji wako wa kazi ni mzuri
Amani ya Mungu itawale. ROMAN CATHOLIC kweli hakuna Ukabila Wala ukanda , nimefurahi sana nikiwa Songea.
Acha majungu acha askofu apige kazi anajua acha ukabila roman hatuna ukabila
AMINA
Tumsifu Yesu Kristu. Nendeni kufanya kazi ya Bwana.
Utumee popote