I'm Zambian By Citizenship & Birth But My Soul Belongs To The Land Of Swahili Nation...I'm Just Here To Show Love & Support To Dayo..Top Fan From Zambia 🔥🔥 Show Me Some Dope Love
@dayoo ata wakati mwengine ufanye Kaa ambae ujui kuimba dam yangu watakuloga hawa😢😂unaachia hit Kila wakati mangii 🎉hii Ngoma unatosha limenitoa machozi sana Paka naisikilizq Kwa mara ya kumi na sita sai ndo Ngoma yangu pendwa ya mwaka bro mungu akubariki❤
Hi Mambo Vipi Asante Kwa Support Na Endelea Ku Enjoy Mziki Mzuri Asante❤️🙏
Fundiiii
Track ya kwenda hongera san my g
Daayooo√√√
Broo naje mdundo Mkali Tisha Sana Nakubali
Kubwa sana hii Kaka Alooh Hilo Voice Sasa Utawamaliza Wadada Town😂🙌👏🔥🥰
🔥🔥🔥🔥 hujawah kosea mzee
Dayoo ujawai kuniangusha respect kubwa kaka 🔥🔥
Chuma mangi wewe noma 🔥💪 mimi ni shabiki Yako kutoka DRC Congo 🇨🇩
Nipewe like zangu❤wa kwanza kutoka 254 🇰🇪... Keep it up Dayoo.... 🔥🔥🔥🔥
Nice
Wimbo mzuri sna🔥🔥🔥dayoo ume uwaaah nakubali 🙌🙌🙌
Hujawahiiii kutuangushaaa mangi keep going bro jah have bless u more appreciate
Wimbo mzur 🌹🌹sana mtamu najikuta nasikiliza kila saa🙏
I'm Zambian By Citizenship & Birth But My Soul Belongs To The Land Of Swahili Nation...I'm Just Here To Show Love & Support To Dayo..Top Fan From Zambia 🔥🔥 Show Me Some Dope Love
❤❤❤
❤️🙏
❤❤❤
Hii ngoma kali sana kaka 💪💪
Oe broo unichoshi kuku sikiliza Kila wimbo unauwa👍💯
Yan mchagaaa tenaa🎶🎶
It's my 1st time listening to you Dayoo and I love your song..u so talented 🎉
Nzuri dayooo
KAMA UMAKUBALI DAYOO GONGA LIKE HAPA.
THE BEST MELODIC YOUNG SINGER..
Haipingiwi💪
Loving songs good job mungu akutangulie love you song so much dayoo no one nomber
Nice song dayoo
Mungu simamia kazi ya kijana huyu loving song dayoo one nomber
Kali sana
💜🤎💚🖤🤍❤️
Kikubwa Duwa bro 💛
POPOTE TUNAISHI
Umeua Sanaa Kaka mkubwa sio poa imepoa alafu Kama usiku usingz unakuja ponooooo kabisa team dayo gonga like zangu apaaaaa weweeeeeeeeeeeeee
A nice song,🥰I love it,,,keep it up Dayoo
Chagua moja Kati ya mil 1 ye ndo namba moja🙌🙌🙌🙌🙌
Nice song chaliii keep it up🔥🔥🔥🔥🔥
Kaka nakukubali Sana ngoma zako zipo fire .nipo pande fulan za Tarakea karibu najua unapajua.tunasubir performance yako huku
The best and what we need 👌👌🔥🔥
Ankoo kichupaa kimepoaa sanaaa mzee unastaili maua yako kwenye hii new generation💐💐💐💐💐🌺🌺🌺🌺🌸
Mangii never dissapoint👏👏
@dayoo ata wakati mwengine ufanye Kaa ambae ujui kuimba dam yangu watakuloga hawa😢😂unaachia hit Kila wakati mangii 🎉hii Ngoma unatosha limenitoa machozi sana Paka naisikilizq Kwa mara ya kumi na sita sai ndo Ngoma yangu pendwa ya mwaka bro mungu akubariki❤
🔥🔥🔥 unyama sana dayoo
i wish jeshi atie verses kwenye hii ngoma...kama naona vile itakuwa more than hot 🔥🔥...yao yao
BEST UPCOMING NI DAYOO
No drugs,no alcohol,no nakedness great piece,more love from Uganda 🇺🇬
NGOMA LETU JMN WAPENZI ❤❤❤❤❤
Mangi 🤞🤞🤞 wanyooshe baba 🙌🙌
❤️🥰nice song dayoo 🔥🔥🔥
Unanitosha☝🏽❤❤❤
Sitaki kusonywa😜
Voice on top song 🔥🔥🔥
Meneja jitubaya hitsong 🔥🔥🔥 dayo unatosha hit Tanzania hiiii ni kubwa sanaaa
Nimekubali brooo.More respect from Kenya ❤❤
Nakubali saana iyi ngoma kalii sana Unatosha ningoma yakopekey saana bongo kwawa saani chipukizi dayoo wew ninoma saana
Great job🔥🔥🔥🔥
Dah hiii nyimbo ukiwa kwenye hisia kali lazima ulie, Dayoo ni Fundi
Best melodies👏👏
HIVI BONGO MTU ANAJUA KUIMBA KAMA HIVI HAPEWI SANA SIKIO, WATU WANAWAPA SIKIO MIAMAPIANO DAAH. MY COUNTRY PEOPLEEEE
New vibe in town🔥🔥
Bongo imejaliwa utajili wa vijana wenye vipaji kama Hawa MANGIII PULL UP Dayoo
Never stop what you're doing, you are truly talented dayoo🔥🔥
Good,job brother sema ,siku mungu amebless ,nikatoboa muziki ,tutapiga kolabo mana,mziki wako ndo ,ambao unakoelekea unakubalika,uongo mbaya 🙏🙏
The best artist dayoo
JAMAA ANAFANYA MZIKI WA FUTURE SANA
Big Tune❤🔥
MANGII🤴
So talented 😍😍keep it up ☺️☺️
Nakutambua kwa uandishi mangi🐒🔥🔥🔥🔥
Dayoooooooo!!! Never disappoint us men, 😅😅😅😅💖💖💖💖💖💖💖💕💕💕💕
Nakutambua sana Dayoo,
Wewe unatosha brother#
Wimbo huu Ni mzurii sanaaa aiseeee Daaaah 💥 more respect Brooh 💯📌
Oyaa sio poa kaka chinaa
Balaa chinaboe🔥🔥
Nomaaaaaaaaa
Hata wakisema ngoja chagua mmoja kwenye milioni moja we ndio namba moja,dah I like is line ❤❤ you killing dayooo 🙌🙌🙌🎉
Dude lakwenda hili Kama unampenda dayoo like hapa
Kenya ulishakubalika bro panga ukuje show Nairobi Kenya nitakuhost 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
never disappoint 📌✊✊
Kazi inajieleZa umetisha ,✍️
U kill it dady🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nimependa sana vile hili beat limeendana na vocals, this song is just on repeat mode
U never disappoint 💕💕💕
Dayoo unabalaaaa🔥🔥🔥🔥🔥
Lets make it no 1 in trending 🔥🔥
Dayoo mangiii umetisha san my blood✊
Keep it lit up broh 🔥
❤❤❤❤ unyama Sana dayo unajua unajua Tena
DAYOO NDO THE BEST UPCOMING OYAAAA
Awotee
Tunakubali sana. Dayoo
HONGERA DAYOO UNAENDELEAJE KUONYESHA KUWA INAWEZEKANA.
27 ON TRENDING IN JUST 15 HOURS.
SIO POA
POWER OF GOOD MUSIC.
kila siku nawaambia huyu mwamba star💥,,love you king of melody,,from Kenya
Kama umeona ukubwa wa Hili Goma Like zote ni Hapa guys❤❤❤
Trending mpyaaa hii🔥🔥🔥💯
Received my warm greetings from Kenya
This is dope ,pure talent,,, you are my favourite ❤
Ngoma iko 🔝
Huyu mangi huyu❤️💯hatari
SUPPORT GOOD MUSIC ALIVE
Nyie hii nyimbo kali sanaa🙌🙌
🔥🔥🙌
Itasumbua sanaaaa mjini ⛽💥✈
Naqubar mang
umeua kinoma sana kaka dayoo..
YOU DESERVE A MILLION VIEWS FOR THIS MASTERPIECE
Itasumbua sanaaaa mjini ⛽💥✈
Mello
Unajua sana mbona aiseee hit song after big hit bado unaudai mziki
🔥
Hii nyimbo nashindw kusikiza mara moja 🥰🥰 sweet melody 🎧
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Goma kali sana
Salut ndug
chaga'$ presenter 🙌🇹🇿🇹🇿🔥💥
Chiiiiii ...wakenya mpeni likes zake hapa🎉❤❤
Ni wewe UNANITOSHA🔥🔥👌🏿
KWA MZIKI HUU DAYOO ALIBIDI AWE MBALI SANAA
mangi🔥🔥
Mimi ndo mkaguzi mkuu wa NYIMBO KALI Tz..... Nasema hivi HII NI YENYEWE kbs 🤝
Good song brother umekuwa WA moto sana
Omg 😮😮 one of the underated song wallai moto kama pasi 💥💥💥 am going to make it trend on TikTok
Nyimbo inapoanza badilisha iyo naitwa mangi kila nyimbo babu weka atamwishoni
Hata wakisena ee chagua moja❤❤❤❤ I love this song
Congratulations Mr Dayoo Kwa Mziki mtaaaamu Kaza Mwanangu Tupo nyuma Yako Sisi Wakenya🇰🇪🇹🇿
Ngoma kubwa hii tuipandishe trending za juu zaidii
Huu wimbo umenikumbusha kile kitabu cha takadini
big talent mze
Uyu jamaaa anajua sanaa 👍👍👍 ilaa nashangaaa viewers ni kidogo why🤔🤔🤔
Much love from Mombasa City Kenya 🇰🇪