Dayoo Ft Kusah - Nikuone Remix (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 май 2022
  • Dayoo Nikuone Rmx official Music Video
    Written by Dayoo
    Director by Majag
    Produced by O.right & Cukiedady
    waweza kunifuatilia katika Kurasa zangu mbalimbali kama:
    Instagram Dayoo_tz
    Audiomack Dayoo
    boomplay Dayoo
    Tiktok dayootz #Dayoo #Nikuoneremix #kusah #dayoo #mangi #fireboy #waitandsee #cover #Dayo
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 1,3 тыс.

  • @dayoo_
    @dayoo_  2 года назад +327

    Hi😊....Karibu Kuenjoy Mziki Mzurii,,Comment,,,Like,,Subscribe & Share,,, Asante🙏♥️Karibu Sana🙏♥️

    • @officialbadru5531
      @officialbadru5531 2 года назад +3

      Unyama mwingi 🐒🔥🔥

    • @middypiccolo
      @middypiccolo 2 года назад +4

      Tupo pamoja Kaka since day one

    • @salad5567
      @salad5567 2 года назад +2

      Oyoo Dayoo usijali pamoja mimi niko Kenya lakini jicho langu liko kwako..##Nigotee lony music pia

    • @officialmariamdaudi401
      @officialmariamdaudi401 2 года назад +2

      I wish uje kuimba na my husband ngoma itakuwa kali hata

    • @salad5567
      @salad5567 2 года назад +2

      @@officialmariamdaudi401 Amin

  • @T-shirtmamba
    @T-shirtmamba 2 года назад +84

    navokupenda na kukufatilia utadhani sisi washikaji ama tunatoka eneo Moja au ndugu. ila Mimi mkenya🇰🇪 nashukuru Kwa nyimbo nzuri Dayoo

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +6

    Mpaka sasa Dayoo ana hitsong mbili kati ya ngoma zake tatu sio mchezoo

  • @m___ck799
    @m___ck799 2 года назад +14

    Tanzania kuna music mitamu jamanii😍😍What a collabo 🔥

  • @victoriousveronicah
    @victoriousveronicah Год назад +5

    Who's here again2023😊can't get enough of this lyrics❤...

    • @sopy3055
      @sopy3055 Год назад

      Me ndo nmeijua siku hizi et😭😭🙈. Nimeisikia crouds FM nikawa nmeipenda, nkaamua kuicheck.

    • @victoriousveronicah
      @victoriousveronicah Год назад

      ​@@sopy3055wa mwaka jana ety dear

  • @allybrayn2892
    @allybrayn2892 2 года назад +4

    Wew ninoma saaana kaka mangi ft kaka kusah

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +7

    Na kama hujutii kuwa shabiki wa dayoo gonga like

  • @officialagastin8337
    @officialagastin8337 2 года назад +22

    Uvumilivu subira ndo kila kitu wakati wa Mungu akiamua ameamua huu ndo wakati wetu kutamba on trending let's go dayoo💥

  • @King_Adrizza
    @King_Adrizza 2 года назад +38

    My bro you killed this one. Kusah pia amechafua sio mchezo ✨✨✨✨✨ 11/10

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 2 года назад +35

    HAHAHAHA! NYIE WABONGO BALAAAAAA!!! TZ ITS NOW HOLYWOOD OF MUSIC, GOOD VIBES GUYS 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼🔥🔥🔥🔥🔥

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +9

    Dayoo anafanya mziki mzuri ila hapewi heshima anayo stahili.

    • @majaoneone9624
      @majaoneone9624 2 года назад

      Kweli inatakiwa ape heshima kubwa san

    • @majaoneone9624
      @majaoneone9624 2 года назад

      Kweli inatakiwa ape heshima kubwa san

  • @officialagastin8337
    @officialagastin8337 2 года назад +2

    Nasemaje hatuna muda wa kulala Ni kushare kazi tu🔥

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +4

    Oyaaaa hapa ndo naona mziki sasa

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +15

    Kama unamkubali Dayoo gonga like hapa

  • @annamariabernard5413
    @annamariabernard5413 Год назад +7

    Dayoo & Kusah congratulation mmeupiga mwingi vijana wetu.. Mungu abariki vipaji vyenu🙏🏻

  • @ibrahimabass6075
    @ibrahimabass6075 2 года назад +4

    Mdogo angu unajua ila nakushauri2 kila mtu anajua kama wew ni mchaga

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +7

    Duuh ngoma ndani ya masaa matano ishafika trend 27 bongo
    Hakika mziki mzuri haujifichi
    Safiii

  • @eltonjoachim2932
    @eltonjoachim2932 2 года назад +3

    Safii upo trend 27 unafanya kazi nzuri

  • @eltonjoachim2932
    @eltonjoachim2932 2 года назад +10

    19 ON TRENDING NDANI YA MASAA 19.
    KUBWAA SANAA HII KWA UPCOMING

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +2

    Mie niliipendea hii ngoma niliisikia kwenye daladala za kwenda Msamvu stand morogoro hiyoo aisee
    Ni nomaa

  • @skanedollar4046
    @skanedollar4046 2 года назад +65

    This guy has hot lyrics he deserve respect💯

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +6

    Lazima tuingie 10 on trending

  • @officialagastin8337
    @officialagastin8337 2 года назад +2

    Nidhamu, kujituma, doing good music, ndo kila kitu Mangii✈️

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +3

    Buza wanapenda kuipiga hii ngoma kwenye sehemu za kitimoto
    Hataariii

  • @omoremuziq6638
    @omoremuziq6638 2 года назад +29

    From Kenya , journalist.. I love this song 🎵 the melody u bring to this song is lit 🔥 👌 video quality and audio is next level

  • @Tanzania_habari1
    @Tanzania_habari1 2 года назад +9

    Kumamae Ili Ni Movie 🍿 Sio Wimbo Aisee🤭 Mwisho Limeisha Vizuri Dem Anasema Huwezi Niona Da! Sio Poa Mtoto Sijui Ni Malaika 🙊🙊🙊

  • @samwelenjuma3312
    @samwelenjuma3312 Год назад +8

    Inspiring much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @officialagastin8337
    @officialagastin8337 2 года назад +2

    Dunia imeshatambua🔥🔥

  • @achokinzoh
    @achokinzoh 2 года назад +10

    Siku zote mnatisha sana,big up on this.

  • @eltonjoachim2932
    @eltonjoachim2932 2 года назад +5

    ONE OF THE BEST VIDEOS EVER

  • @user-fv6on3sy7r
    @user-fv6on3sy7r 4 месяца назад +1

    Ngoma kali sana pambana mangi mwamba toka mbeya hapa

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 2 года назад +1

    Mangiiii mtto noma kazaaa kipindi chenu ichiii lody ..dayoo platform

  • @officialagastin8337
    @officialagastin8337 2 года назад +4

    Mwanza wataelewa the real meaning of hit nikuone remix✊

  • @dottolyimo3353
    @dottolyimo3353 2 года назад +10

    This song is a best in East Africa 💥🔥🔥🔥 good music

  • @coilakiumbe4661
    @coilakiumbe4661 2 года назад +1

    Nakubl xn dayoo xin kipingamiz na wew 💯💯

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +6

    Kama hujutii kuja hapa gonga like

  • @weezyproofficial
    @weezyproofficial 2 года назад +5

    My favourite Artist 🙌🏽🙌🏽Dayootz

  • @lbmaasai929
    @lbmaasai929 Год назад +5

    Dayo to the world 💯💯One love from kenya maasai land 💞💞💯

  • @bestbeatstoreacid
    @bestbeatstoreacid 2 года назад +6

    Wooooooow !🎶🎶🎶💣💣💣
    This on repeat 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @rizlambajuni
    @rizlambajuni 2 года назад +4

    💯💯💯my ninja I remember telling you , the steps you taking a big and you never took it for granted 💯💯💯🤞🏽🙌🙌🙌wewe ni mkali

  • @eddovanny2553
    @eddovanny2553 2 года назад +6

    Sema hii generation Iko na talent Kweli Kusah 🙌Dayoo🙌♥️

  • @maryannkariuki1795
    @maryannkariuki1795 2 года назад +19

    Ave subscribed becouse of this song waaaoh very sweet song wish you well in everything you am from abroad but am here to represent my fellow Kenyans 🇰🇪 much love keep flying up high

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +19

    17 on trending within 22 hours.
    Noomaaa Dayooo

  • @officialagastin8337
    @officialagastin8337 2 года назад +12

    Dunia imeshatambua wakati wako huu🙏🏼

  • @jumamikidadi5134
    @jumamikidadi5134 2 года назад +5

    Dope🔥🔥

  • @justnchars2859
    @justnchars2859 2 года назад +3

    Oyaaa Bonge moja la video ilike it broo mmeuaa unyama mwingi sana one love 💕

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +2

    Goma hili la kutongozea kabsa.

  • @evansshayo6006
    @evansshayo6006 2 года назад +1

    bonge la song kutoka kwa mangii nikuonee much love broo

  • @officialphyna1067
    @officialphyna1067 2 года назад +6

    Bonge la ngomaaaaa❤️

  • @CP-TECH.
    @CP-TECH. 2 года назад +9

    Real talent 👏💯🥰

  • @user-ox7ol8tu6e
    @user-ox7ol8tu6e Месяц назад +1

    Humuu kwelii wamekutanaa wanaumeee

  • @manyaramanyara8872
    @manyaramanyara8872 2 года назад +8

    Fantastic music💪🤞🔥🔥🇰🇪🇰🇪Keep up.

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +6

    Asante Dayoo kwa kutuletea video tuliyokuwa tunaisubiria kwa hamu.

  • @saliaissa7036
    @saliaissa7036 Год назад +4

    My favorite song
    I can’t stop listening it’s 🔥 ❤️❤️❤️❤️

  • @skyscapeinternational9658
    @skyscapeinternational9658 Год назад +2

    dayooooo iii ngoma yako ni kubwa mno hongera sana sasa achia kazi kubwa zaid ya iii

  • @zuleikhaahmed7220
    @zuleikhaahmed7220 2 года назад +6

    Nice one keep up the good work ❤🔥❤🔥

  • @rambomacode5690
    @rambomacode5690 2 года назад +7

    New king👑🔥🔥🔥🗣🗣

  • @conganyoyo3195
    @conganyoyo3195 Год назад

    🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
    Unajua kinoma #Dayoo nakuomba ktkt ya mastaaa 🌟🌟 wangu wanguvu Tz had DUNIAN,ongeza nguvu na ufansi

  • @eltonjoachim2932
    @eltonjoachim2932 2 года назад +2

    Hata hatumii nguvu huyo dayoo

  • @weezyproofficial
    @weezyproofficial 2 года назад +8

    East Africa New King👑 @Dayootz 🔥🔥

  • @bzosfitness.7710
    @bzosfitness.7710 2 года назад +10

    Nikuone...fan from united States. 🔥🔥⚒ keep grinding my brother.

  • @eltonjoachim2932
    @eltonjoachim2932 2 года назад +2

    Nakuru wanaipenda saanaa hii ngoma

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +2

    Asikuambie mtu goma sio la kitoto🔥👐🔥

  • @blackg5255
    @blackg5255 2 года назад +17

    Take that music to next level brother here with u always

  • @patrickgumbo9730
    @patrickgumbo9730 2 года назад +5

    WORLDWIDE MUSIC.

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +2

    Melodies kalii na uandishi ni nomaa

  • @laizeryvalentine2464
    @laizeryvalentine2464 Год назад

    Dayoo, umetuwakilisha vyema pand za kaskzn, nice song mziki mtamuu, pamban utafika mbali mangi

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +3

    Nimekuja apa baada ya kuiona ngoma wasafi Tv leo jioni

  • @offset_mabede2660
    @offset_mabede2660 2 года назад +3

    Bangaaa💥💣

  • @officialagastin8337
    @officialagastin8337 2 года назад +1

    Mangii anaupiga mwingi Sana anakila sifa za kuwa on trend👐

  • @pendoslove
    @pendoslove 2 года назад +1

    Wow bonge la muziki nomaa sana 💯❤️❤️ tumekubali huku Nairobi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @muejnr3152
    @muejnr3152 2 года назад +3

    From Kenya with love.
    Hii ni hit

  • @mohammedmafita3161
    @mohammedmafita3161 2 года назад +5

    Dayoooo🔥🔥🙌🏾

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +1

    Upcoming wengi wana hitsong 1 ila Dayoo ana mbili mpaka sasa sio poa

  • @LurbyChuxKE001KE
    @LurbyChuxKE001KE 2 года назад +2

    Mnyama hatari Dayo kama Dayo asili mia kaka

  • @officialagastin8337
    @officialagastin8337 2 года назад +7

    Pure music💥💥👏

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +6

    HILI GOMA LA MOOTOO MUUNOOOO🔥🔥🔥🔥

  • @dannywika
    @dannywika 2 года назад +1

    Dayoo bro you are going far and far i love your art,, tupatane ukiwa nyota nami mwezi naja

  • @eltonjoachim2932
    @eltonjoachim2932 2 года назад +1

    Juzi nilikua kenya hii ngoma inapendwa sana mitaa ya nakuru

  • @esalaandayi1749
    @esalaandayi1749 2 года назад +34

    When I see Kusah I add the song to my playlist even before listing to it.

  • @mohdrashid1728
    @mohdrashid1728 2 года назад +1

    Dah dayooo kipaji sana akili nyingi 💯💯💯💯 nakukubali sana damu yetu tz tunajivunia uwepo wako Big up

  • @preciouslymo8376
    @preciouslymo8376 2 года назад +2

    Dayoo go go you are a star may god bless your work 2022 biggest hit 🙌

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +3

    Nikiwaelezea namna naipenda hii ngoma nitaishiwa maneno

  • @mackdonaldalex7162
    @mackdonaldalex7162 2 года назад +5

    Kusah doesnt need backup vocal he is vocalist

  • @Lexerjoh
    @Lexerjoh 2 года назад +2

    Tunaenda vizuri😍😍😍Team Dayoo!

  • @flomenastephen2226
    @flomenastephen2226 Год назад

    Daaaaah watu wa bad. Duuuh sichoki sikiliza limx taaaaam baraa apa Chaga uku shombe kusah nomaaaaa fireeeeeee

  • @moseshandsam1865
    @moseshandsam1865 Год назад +5

    The next generation of talented such a good music big up at dayoo and kusah this was lit 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇧🇭🇧🇭🙌🙌🙌

  • @officialagastin8337
    @officialagastin8337 2 года назад +6

    You killed this one my bro dayoo✈️

  • @fareed_09
    @fareed_09 2 года назад +2

    Kusah kachafua sana verse yake mwish mwish damn

  • @TheNewKid_TV
    @TheNewKid_TV Год назад +2

    🔥🔥 nakubali sana kazi zako

  • @BlackWolf-ek5tq
    @BlackWolf-ek5tq 2 года назад +4

    Men this Song Mad Mad🇰🇪♥️

  • @__MYRA
    @__MYRA 2 года назад +5

    I can't stop listening to this song

  • @davidsalikoki6319
    @davidsalikoki6319 2 года назад

    Motooooooo dayooo can't wait collaboration na mariooo

  • @tabithajohn8254
    @tabithajohn8254 2 года назад +2

    I came because of kusa. But I’ve subscribed because of first singer dayoo 😩❤️❤️❤️

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +7

    DAYOO IS THE BEST UPCOMING

  • @ericjamesdete1894
    @ericjamesdete1894 2 года назад +4

    Cant get enough of this jam..Dayoo keep it up ...Kusah you are just but a legend..

  • @officialagastin8337
    @officialagastin8337 2 года назад +1

    Wimbo mkali Sana wenye kuteka hisia za watu kwenye mioyo

  • @allybrayn2892
    @allybrayn2892 2 года назад +1

    Naenjoy saana kaka dayoo tz

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 года назад +10

    MY TWO FAVOURITE YOUNG KINGS

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 Год назад +5

    This song can’t stop playing 🔥