S03E01: Historia ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 | Sheria Poa Podcast
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- Katika kipindi cha leo, tupo na Mwenyekiti na Muanzilishi wa Jukwaa la Katiba Tanzania Mwl. Deus Kibamba akitupitisha katika historia ya Katiba Ya Mwaka 1977, kutoka kupata uhuru wa Tanganyika mpaka leo.
Kama unapenda tunachokifanya, tuwezeshe kupitia Lipa Namba TigoPesa - 8212862
Subscribe kwenye chaneli yetu: / @sheriapoa
Sikiliza Podcast yetu kupitia:
Apple Podcast link: apple.co/3ZwLmSA
Spotify: bit.ly/40v0UYd
Google Podcast Link: bit.ly/3zm0irZ
Audiomack Link: audiomack.com/...
RUclips Link: / @sheriapoa
#SheriaPoa #SheriaPoaPodcast #katiba #katibampya