Yaweza kuwa mnausema ukweli. Ila hicho mnachokifanya siyo jukumu la msingi la Mkriasto. Mnaweza kushangaa kuwa ninyi wenyewe mnampinga Kristo bila kujua.
Ujumbe mzuri sana.Tatizo lenu ni kuwa Mumemwacha Yesu kwa kuliacha kanisa na kuanziasha la kwenu.Hamuoni kama ninyi ni waasi? Mmeamua kulishambulia kanisa la Mungu kama Mbwa mwitu,mnajitaidi kulikosoa mkisahau kuwa Mungu analiangalia sana kanisa kama mboni ya jicho lake.Rudini nyumbani Bwana anawangoja.Acheni kupotosha watu kwa kuuacha ukweli.
Nikweli usemayo toka utoto wngu adi ukubwa huu sijawai muona anahubiri kamsome kwenye kitabu Cha ufunuo waabudu shetani Wana Jua Hilo ila Wana wa Mungu hamjui usimtete kimwili omba Mungu akufunulie tulikuwa huko wenzio tumetoka
Kanisa la wasabato ilivyo sasa imeiga katoliki karibu kila kitu imesalia tu wahudhurie ibaada jumapili.Kwa mfano utatu mtakatifu miungu watatu,densi watu wanapoimba utupiliwaji mbali mafundisho ya roho ya unabii na kudai yanakera watu.
Mungu akusaidie ujue ukweli,mimi nilisikiza Ganoun Diop hapa Nairobi akisema waziwazi kuwa yeye haubiri kamwe ujumbe wa malaika watatu,eti anahubiri Yesu.Waadventista tusiwe vipofu,yapaswa turudi kwenye msingi halisi ya imani.
Amina watumishi wa MUNGU ukweli tuzidi kuusema
Ukweli utafichwa mpaka lini,semeni hivy hivy Ukweli tumalize kazi mapema
Semeni..tumechoka na uongo kanisani..semeni ukweli..
Ukweli ni kweli na hakuna kuuogopa kusema barikiwa sana
Dear brethren blessed be thee, you're very courageous... Nawauga mkono...
Habr mnapatikana wapi mm Niko mkoa waluvuma wilaya yasongea nimewapenda
Amina! Ukweli usemwe hadharani
And the truth shall set you free🙏
Amina mbarikiwe maana jumbe kama izi ni kujitoa nafsi
Ujumbe mzur sana
Yaweza kuwa mnausema ukweli. Ila hicho mnachokifanya siyo jukumu la msingi la Mkriasto. Mnaweza kushangaa kuwa ninyi wenyewe mnampinga Kristo bila kujua.
Kanisa la roma isingekuwepo wasabato waaacha injili hivyo ujumbe wao uko roma zaidi hata uislam
Amen mbarikiwe sana
Barikiwa
Amen
Ujumbe mzuri sana.Tatizo lenu ni kuwa Mumemwacha Yesu kwa kuliacha kanisa na kuanziasha la kwenu.Hamuoni kama ninyi ni waasi? Mmeamua kulishambulia kanisa la Mungu kama Mbwa mwitu,mnajitaidi kulikosoa mkisahau kuwa Mungu analiangalia sana kanisa kama mboni ya jicho lake.Rudini nyumbani Bwana anawangoja.Acheni kupotosha watu kwa kuuacha ukweli.
Nikweli usemayo toka utoto wngu adi ukubwa huu sijawai muona anahubiri kamsome kwenye kitabu Cha ufunuo waabudu shetani Wana Jua Hilo ila Wana wa Mungu hamjui usimtete kimwili omba Mungu akufunulie tulikuwa huko wenzio tumetoka
Ukweli usemwe mbarikiwe waimbaji wengi wanaishia jehnm kisa Imani hiyo
Pole ndugu wewe nikipofu
Binafsi nipo sda ya general conference lakini kiukweli hili kanisa limeanguka soon natoka huko
@sindabahabwoyaanacret660 upo sahihi
Ninyi na huyo papa kitu kimoja tu alie wambia mtoke mlikokua ninani kama sio shetan
Kanisa la wasabato ilivyo sasa imeiga katoliki karibu kila kitu imesalia tu wahudhurie ibaada jumapili.Kwa mfano utatu mtakatifu miungu watatu,densi watu wanapoimba utupiliwaji mbali mafundisho ya roho ya unabii na kudai yanakera watu.
Kwanza nyie ndio waasi