Kigamboni Matengenezo Choir Sda
Kigamboni Matengenezo Choir Sda
  • Видео 16
  • Просмотров 47 386

Видео

+255692534716 SABATO -KIGAMBONI MATENGEZO SDA CHOIR 4K +254692534716+255692534716 SABATO -KIGAMBONI MATENGEZO SDA CHOIR 4K +254692534716
+255692534716 SABATO -KIGAMBONI MATENGEZO SDA CHOIR 4K +254692534716
Просмотров 24515 дней назад
+255692534716 MASHAKA KIGAMBONI MATENGEZO SDA CHOIR 4K +254692534716+255692534716 MASHAKA KIGAMBONI MATENGEZO SDA CHOIR 4K +254692534716
+255692534716 MASHAKA KIGAMBONI MATENGEZO SDA CHOIR 4K +254692534716
Просмотров 39915 дней назад
Kigamboni matengenezo sda choirKigamboni matengenezo sda choir
Kigamboni matengenezo sda choir
Просмотров 69218 дней назад
0692534716  Mjue wakala wa shetani by Morogoro Matengenezo choir0692534716  Mjue wakala wa shetani by Morogoro Matengenezo choir
0692534716 Mjue wakala wa shetani by Morogoro Matengenezo choir
Просмотров 4,3 тыс.Год назад
Enyi wasabato SDA by Morogoro Matengenezo choir 0692534716Enyi wasabato SDA by Morogoro Matengenezo choir 0692534716
Enyi wasabato SDA by Morogoro Matengenezo choir 0692534716
Просмотров 9 тыс.Год назад
Kuishi kwetu Sda Choir 0692534716Kuishi kwetu Sda Choir 0692534716
Kuishi kwetu Sda Choir 0692534716
Просмотров 4,5 тыс.2 года назад
Kigamboni Sda Choir Waimbaji wa nyimbo za injili kutoka kanisa la waadventista wa siku ya saba.
0692534716 Sikia Ee Israel matengenezo Kigamboni SDA Choir0692534716 Sikia Ee Israel matengenezo Kigamboni SDA Choir
0692534716 Sikia Ee Israel matengenezo Kigamboni SDA Choir
Просмотров 8 тыс.2 года назад
Kwaya Nyimbo Mtengenezo sda Kigamboni
0692534716 Kostantino by kigamboni matengenezo choir0692534716 Kostantino by kigamboni matengenezo choir
0692534716 Kostantino by kigamboni matengenezo choir
Просмотров 7 тыс.2 года назад
Kwaya hii ya kigamboni sda ina kuletea nyimbo Kwanjia ya Video
Kifo by kigamboni Matengenezo choir 0692534716Kifo by kigamboni Matengenezo choir 0692534716
Kifo by kigamboni Matengenezo choir 0692534716
Просмотров 1,4 тыс.2 года назад
KWAYA YA WANAMATENGENEZO KIGAMBONI SDA Wimbo KIFO kinatisha wapendwa

Комментарии

  • @brightonjonas69
    @brightonjonas69 12 дней назад

    Kwani jumbe zimeisha kwa bible

  • @emmanuelmogunde1917
    @emmanuelmogunde1917 14 дней назад

    Tufanye matengenezo ❤

  • @Badakao-vi9wo
    @Badakao-vi9wo 14 дней назад

    Ufunuo 14:6-12. Watakao shinda hilo pambano wameahidiwa hivi:- Ufunuo 15:2..... Mbarikiwe sana

  • @bensonlangat5473
    @bensonlangat5473 14 дней назад

    Learning from your songs

  • @WariobaMagigi-rw6xo
    @WariobaMagigi-rw6xo 17 дней назад

    Be blessed dear. Big message.

  • @bensonlangat5473
    @bensonlangat5473 17 дней назад

    Nice song

  • @delickmarco3945
    @delickmarco3945 Месяц назад

    Ninyi na huyo papa kitu kimoja tu alie wambia mtoke mlikokua ninani kama sio shetan

    • @harrisonodiwa7248
      @harrisonodiwa7248 11 дней назад

      Kanisa la wasabato ilivyo sasa imeiga katoliki karibu kila kitu imesalia tu wahudhurie ibaada jumapili.Kwa mfano utatu mtakatifu miungu watatu,densi watu wanapoimba utupiliwaji mbali mafundisho ya roho ya unabii na kudai yanakera watu.

  • @CharlesKanyasa
    @CharlesKanyasa Месяц назад

    Mubarikiwe ila wekeni na mkalimani wa lugha ya alama na viziwi wapate ujumbe huu mzuri.

  • @estermahimbo634
    @estermahimbo634 Месяц назад

    Fundisheni habari za Yesu watu wamjue na kumtii Yesu sio kuhesabu makosa na kukosoa watu pengine hawajui usihukumu usije ukahukumiwa

  • @ZabronMagufwa
    @ZabronMagufwa 4 месяца назад

    Wako sahihi

  • @ZabronMagufwa
    @ZabronMagufwa 4 месяца назад

    Mko sahihi kabisa

  • @bensonlangat5473
    @bensonlangat5473 5 месяцев назад

    Mungu awe nanyi siku zote

  • @YusuphHombo
    @YusuphHombo 5 месяцев назад

    Amina watumishi wa MUNGU ukweli tuzidi kuusema

  • @nyandanaftali8014
    @nyandanaftali8014 6 месяцев назад

    Kutoka Mbeya, hongereni kwa wimbo, ila siku ya mwisho Mungu ndo atatenga magugu na ngano.

  • @OraionSabibi
    @OraionSabibi 7 месяцев назад

    Ukweli unachukiwa ongezeni nyimbo zingine zaidi ya hizi Aminaaaa kabisa

  • @TulaWay
    @TulaWay 8 месяцев назад

    Ujumbe mzur sana

  • @rogersnyambane3067
    @rogersnyambane3067 9 месяцев назад

    God bless you guys. This truth is too much Bring it on✍

  • @rogersnyambane3067
    @rogersnyambane3067 9 месяцев назад

    And the truth shall set you free🙏

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 9 месяцев назад

    Mnaimba vizuri ila mmepotea

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 9 месяцев назад

    watu wa shetni nyie masalio

    • @dasilvajr9647
      @dasilvajr9647 3 месяца назад

      Hivi sio wewe ndo shetani kuruhusi watu kusuka, kuja kanisani wamevaa vimini

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 9 месяцев назад

    Yaweza kuwa mnausema ukweli. Ila hicho mnachokifanya siyo jukumu la msingi la Mkriasto. Mnaweza kushangaa kuwa ninyi wenyewe mnampinga Kristo bila kujua.

    • @GwandajaGidamejod-w6f
      @GwandajaGidamejod-w6f 2 месяца назад

      Kanisa la roma isingekuwepo wasabato waaacha injili hivyo ujumbe wao uko roma zaidi hata uislam

  • @AffectionateFlowers-sz5ep
    @AffectionateFlowers-sz5ep 9 месяцев назад

    Nimebarikiwa jaman

  • @JaffOburu
    @JaffOburu 9 месяцев назад

    Amen

  • @STEPHANOKAPENULO
    @STEPHANOKAPENULO 9 месяцев назад

    Hawa Wana matatizo ya kiroho sana

  • @STEPHANOKAPENULO
    @STEPHANOKAPENULO 9 месяцев назад

    Hata hamvutii hata kidogo sda nikanisa la mungu msipambane nalo hata kwa nyimbo zenu hizo ambazo hazina uvuvio wotewote ule

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 9 месяцев назад

      Kwani wanapambana uo ndio wito wao swala ni moja tu kufika mbinguni ,muonekano wao tu ni kumtafuta Mungu kiundani

    • @veronicanestory1662
      @veronicanestory1662 8 месяцев назад

      @@janethmwihumbo1289ubarikiwe kwa ufunuo uliyo ndani yako

    • @Witness-nu2yd
      @Witness-nu2yd 7 месяцев назад

      Wanaotetea wanawake watamwabu Malia

    • @veronicanestory1662
      @veronicanestory1662 4 месяца назад

      @@janethmwihumbo1289 mpendwa usiteseke na kumjibu wakala wa shetani, Neno la Mungu linasema watu wataijua kwel nayo kwel wataikataa, tuna kwa hizi siku za mwisho ukijiweka kiungu unaonekana mshamba, Dunia imefunikwa ba giza maandiko yanatimia

  • @STEPHANOKAPENULO
    @STEPHANOKAPENULO 9 месяцев назад

    MUNGU awasaidie maana mmepotoka sana huwezi pambana na kanisa la mungu SDA ninyi mrudien mungu rudin nyumban

    • @DenisOmar-ni7lm
      @DenisOmar-ni7lm 9 месяцев назад

      Biblia imeandika wapi kuwa kanisa la Mungu ni SDA

  • @KaserekaKagheni
    @KaserekaKagheni 9 месяцев назад

    Aksante sana kwa hio nyimbo from DRC

  • @OduorTony
    @OduorTony 10 месяцев назад

    Pure truth..amen

  • @OduorTony
    @OduorTony 10 месяцев назад

    Semeni..tumechoka na uongo kanisani..semeni ukweli..

  • @OduorTony
    @OduorTony 10 месяцев назад

    Mungo awabariki..huu Wimbo ni unwell mtupu..tufungueni macho jameni..Yesu wabariki hawa..watumishi..watuwamekwisha imba lakini dhambi kuu kama hizi wameyaficha juu ya upupa wa pesa..mbarikiwe

  • @joshuajames5076
    @joshuajames5076 10 месяцев назад

    Ukweli utafichwa mpaka lini,semeni hivy hivy Ukweli tumalize kazi mapema

  • @joshuajames5076
    @joshuajames5076 10 месяцев назад

    Nimependa sana hii kwaya jmn mungu awatie nguvu zisemeni dhambi wazi wazi, kuna watu tunaelewa msikate tamaa, muda umeisha watu hawataki kusikia ukweli

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 10 месяцев назад

    Mmexhanganyikiwa nyie aiseeee

    • @petermuganda7322
      @petermuganda7322 10 месяцев назад

      Mungu awasaidie sana muijue kweli

    • @harrisonodiwa7248
      @harrisonodiwa7248 11 дней назад

      Wewe ndiye umechanganyikiwa,mimi ni msabato lakini ninapoyaona matukio kwenye ibaada,hakika roho wa Mungu haimo tena miongoni mwa kikao linalofaa kuwa takatifu. Ripoti ya pesa inashinda huduma na vitabu vya roho ya unabii huwezipata mtu akiwa nayo hata pastors wenyewe.Matengenezo inahitajika.

  • @SaitotiHinyura
    @SaitotiHinyura 10 месяцев назад

    Ninyi mwapotea kwa kuwa hamuyajui maandiko wala uweza wa Mungu.Karibuni mrudi kanisani ,mjifunze kwenye Darasa la Ubatizo mfundishwe vizuri maana huu ni uchanga wa kuyajua maandiko.

    • @veronicanestory1662
      @veronicanestory1662 4 месяца назад

      Pole Bwana Yesu akuokoe na muovu shetani wewe ndo ipo gizani kabisa, km ujaelewa huu mwimbo bas tena giza liko juu yako nakuombea

  • @SaitotiHinyura
    @SaitotiHinyura 10 месяцев назад

    Ujumbe mzuri sana.Tatizo lenu ni kuwa Mumemwacha Yesu kwa kuliacha kanisa na kuanziasha la kwenu.Hamuoni kama ninyi ni waasi? Mmeamua kulishambulia kanisa la Mungu kama Mbwa mwitu,mnajitaidi kulikosoa mkisahau kuwa Mungu analiangalia sana kanisa kama mboni ya jicho lake.Rudini nyumbani Bwana anawangoja.Acheni kupotosha watu kwa kuuacha ukweli.

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 10 месяцев назад

      Nikweli usemayo toka utoto wngu adi ukubwa huu sijawai muona anahubiri kamsome kwenye kitabu Cha ufunuo waabudu shetani Wana Jua Hilo ila Wana wa Mungu hamjui usimtete kimwili omba Mungu akufunulie tulikuwa huko wenzio tumetoka

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 10 месяцев назад

      Ukweli usemwe mbarikiwe waimbaji wengi wanaishia jehnm kisa Imani hiyo

    • @NasibuPonela
      @NasibuPonela 8 месяцев назад

      Pole ndugu wewe nikipofu

    • @sindabahabwoyaanacret660
      @sindabahabwoyaanacret660 8 месяцев назад

      Binafsi nipo sda ya general conference lakini kiukweli hili kanisa limeanguka soon natoka huko

    • @claudarajabu
      @claudarajabu 5 месяцев назад

      ​@sindabahabwoyaanacret660 upo sahihi

  • @SaitotiHinyura
    @SaitotiHinyura 10 месяцев назад

    Huu wimbo ni Uongo mtupu.Hakuna ukweli ndani yake.Mmelishwa matango poli.

  • @NasibuPonela
    @NasibuPonela 11 месяцев назад

    Habr mnapatikana wapi mm Niko mkoa waluvuma wilaya yasongea nimewapenda

  • @APPLE-tk8zb
    @APPLE-tk8zb 11 месяцев назад

    Hata tabia ya kukosoa ni ya Mafarisayo Ingependeza kama huu wimbo mngemtangaza kristo badala kutangaza makosa Mama white anasema ni kumwaibisha kristo kutangaza dhambi ya mkristo

  • @CaxstoneNyawa
    @CaxstoneNyawa 11 месяцев назад

    Nyinyi njooni Kwa wasabato mfunzwe kwaya na ujumbe mpewe

  • @SittaSitta-i1x
    @SittaSitta-i1x 11 месяцев назад

    Asee mungu awarehem Mana mnacho kiimba hakina hata mantiki

  • @erick-bahati-edwin-Masumbwe
    @erick-bahati-edwin-Masumbwe 11 месяцев назад

    Jaman, kumbe dunia ina mzigo ais ,ndo ma nino haya?? Kama mmechoka kusali kanisani, au fanyeni biashara ningine hii imewashinda! Tufanyapo matengenezo tuyafanye ndani ya kanisa la Mungu si kuchomoa na kuliacha mtaangamia bure tu!

  • @Veronica.Fransisco
    @Veronica.Fransisco 11 месяцев назад

    Mbarikiwe sana watu wa baba kwa kuweka wazi dhambi za baber

    • @STEPHANOKAPENULO
      @STEPHANOKAPENULO 9 месяцев назад

      Hawa majamaa hawana ujuzi na maandiko na biblia Wana nukuu vibaya Roho ya unabii

  • @NCB-qy8sl
    @NCB-qy8sl 11 месяцев назад

    Kaka umesolo vzri kumbe roho mtakatifu unamjua alf huyo mkaka aliekaa kwny ngazi kavaa modoooo..😢

  • @MaikoJosia
    @MaikoJosia 11 месяцев назад

    Poleni San mnapaswa kusoma tena

  • @MaikoJosia
    @MaikoJosia 11 месяцев назад

    Mkajifunze tena wapendwa

  • @Veronica.Fransisco
    @Veronica.Fransisco 11 месяцев назад

    Amina

  • @SindaKadebuye-zn1wp
    @SindaKadebuye-zn1wp Год назад

    ❤amina@aaaaaa kubwa barikiweni, na muende mbali, na Mungu awasaidie mbunge nyimbo zenye ujumbe mkali zaidi

  • @SindaKadebuye-zn1wp
    @SindaKadebuye-zn1wp Год назад

    Mbarikiwa sana watu wa Mungu, kwa kusimama na kuzitaja dhambi za baberi

  • @CharlesWamburaWambura-ls8vb
    @CharlesWamburaWambura-ls8vb Год назад

    Amna

  • @EvgLeonidas
    @EvgLeonidas Год назад

    Nyie hamna ujumbe