HECHE AFUNGUKA KUMUUNGA MKONO LISSU, “MDOGO WANGU ALIUAWA KWENYE MAPAMBANO YA CHAMA”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 22

  • @mangenyanyondo8691
    @mangenyanyondo8691 17 дней назад +6

    Heche❤❤ bendera chuma mlingoti chuma

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 17 дней назад +4

    Miamba imeingia siyo tena Chama cha Familia Chadema Saccoss Mbowe awe Mshauri tu

  • @GafferMathiacy
    @GafferMathiacy 17 дней назад +4

    Sàaafi kbsa

  • @wilbroadsiyonga5889
    @wilbroadsiyonga5889 17 дней назад +1

    Vive Heche

  • @salehemustapha9969
    @salehemustapha9969 14 дней назад

    Ushauri wangu natamani mungemaliza izi harakati za kugombea nafasi ya umwenyekiti haraka sana iwezekanavyo ili kurudi kwa wamanchi na kuwajenga kifikra kuhusu uchaguzi mkuu kwani ni muhimu sana kwa masrahi yetu kama vijana wa kitanzania

  • @Immanueljames-qk5dn
    @Immanueljames-qk5dn 17 дней назад +2

    Ipo siku tunakuombea mkuu 2025

  • @fazeemwelanian34
    @fazeemwelanian34 17 дней назад +1

    And therefore

  • @ptheboss2272
    @ptheboss2272 17 дней назад +3

    Mbowe achia ngazi baki kuwa mshaul wa chama ili chama kibaki salama

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 17 дней назад +3

    Na muda wa Ubunge iwe miaka kumi tu kwani wengine hakuna

    • @T_Darius
      @T_Darius 16 дней назад

      Ingekuwa vizuri lakin hamna watu wengi kiasi hicho

  • @AhmedYusuph-g3f
    @AhmedYusuph-g3f 14 дней назад

    Acha uongo

  • @awazmudricbatamwak119
    @awazmudricbatamwak119 17 дней назад

    💪💪

  • @melkizedeckmathew5908
    @melkizedeckmathew5908 16 дней назад

    Heche

  • @AhmedYusuph-g3f
    @AhmedYusuph-g3f 14 дней назад

    Heche zungumzia chadema achana na taifa

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 17 дней назад +1

    Mara hii mzee wasacos hana pakutokea nakishinda ufisad cdm haush

  • @thebabilon7
    @thebabilon7 17 дней назад +2

    Mbona huwa inaonekana kama huyu mbowe huwa anakula rushwa kutoka CCM vipindi vya uchaguzi 😂😂😂

  • @thebabilon7
    @thebabilon7 17 дней назад +1

    Nandomana hua hawashindi uchaguzi kisa mbowe kuongwa inasemekana ivyo 😂

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 17 дней назад

    Tunachotaka wazee wote waondoke kwenye Ubunge Ccm Vijans wapo kinachotakiwa wawe Washauri tu

  • @aidankakulu398
    @aidankakulu398 17 дней назад

    Ushauri wangu wakati mkiendelea na kampeni andaeni jina la chama mtakachoanzisha au chama m5akachohamia, maana ichaguzi una matokeo mengi kuna kushindwa na kushindwa mjue hiloo

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 17 дней назад

      Aidan Siasa mchezo ogopa sanaaaa wapiga kuwa wanakuja badilikia ukumbini mmmmmmm kazi nzito

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 16 дней назад

    wachaga wasipokuwa makini wana nyanganywa chama😂