NDOA YA ISHA MASHAUZI YAINGIA KIDUDU MTU/ MUME WAKE AFUNGUKA MAZITO/ "ISHA MASHAUZI AMENIACHA KISA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 197

  • @EmmaKirua
    @EmmaKirua 2 месяца назад +7

    Isha nakupenda sana sana ila kwa hili mbona umeniudhi mdogoangu

  • @OmanOman-t5p
    @OmanOman-t5p 3 месяца назад +17

    Dadayangu isha msamehe shemeji nimeumiya sana anakumbuka fadhira naanakiri alikukosea msamehe kipenz changu

    • @Husnasalim-f2g
      @Husnasalim-f2g 3 месяца назад +4

      Yan km mm huy kak anampend Aisha basi 2 ni vile sisi wanawake tunamitihan yet wenda yuko period sijui au nihasira 2 amsubili akiw saw amfat yan nimeumia km namjua vile na kingin dad Aish asiwasikiliz watu

  • @vailethpauloPaulo
    @vailethpauloPaulo 2 месяца назад +2

    Kaka mpole,,,sana dada isha msamehe bure mkaaa vizur na mungu awasimamie ,,,pia watu wa mara wanajuwa kupenda dada angu isha wewe mara moja mpnd sana

  • @SaudaOmary-pi9si
    @SaudaOmary-pi9si 2 месяца назад +3

    Dada Aisha nakuomba msamehe shemeji kwanza umepata mwanaume Ambaye anajielewa anakuomba mpaka msamaha wachache sana wanaume kama Hawa wengine ni wajeuri hawawezi kumuomba msamaha mwanamke jitahidi sana dada usamehe shemeji anakupenda bado

  • @AbdulhaamidSoud
    @AbdulhaamidSoud 2 месяца назад +5

    Isha ni mtu wa mambo mengi naww umeingia kwa Nia saf mung atawakutanisha

  • @mwalagomwanaisha
    @mwalagomwanaisha 2 месяца назад +6

    Mabango ni mzuri 💕💕😋

  • @alsam4881
    @alsam4881 2 месяца назад +4

    Na kwanini hamukuweza kuowana na kuhalalisha mahusiano yenu kuliko kufanya Zinaa wakati nyinyi wote mlikuwa dini moja ya kiislamu??? Pumzi isiwadanganye kwasababu hapa duniani tunapita tu, Na je kama umauti ukiwakuta na mko kwenye Zinaa mtajibu nini kwa Mnyeezi Mungu???

  • @khadijahanzuruni4377
    @khadijahanzuruni4377 2 месяца назад +1

    Pole bro ukiachw achika inshaallah utapata mbora zaidi uzuri unakazi yako basi Hakuna kitakachoshindkn mwanaume anasifiwa kazi na pesa (huna kosa ila mwanamke bdo ujapata kosa dogo kakimbilia kuachana using'ang'anie yatakukuta makubw km msamah ushaomb san

  • @HalimaHusseni-h1p
    @HalimaHusseni-h1p 3 месяца назад +5

    Da Aisha msamehe Tu huyu bwana hakuna mwanaume mzuri lkn ukipata mwanaume anayejua kosa lake na akaomba msamaha bas huyo anaafadhali kwako

  • @hindumagige4575
    @hindumagige4575 2 месяца назад

    Bwana shemeji najua Isha anakupenda sana watu wa mara tukipenda tunapenda sana hila wivu Sasa ndio usipime najua atakusamee tu niwivu anakupenda sana mwite atakuja mbona Yana zungumzika alafu na ww Isha mdogo wangu msamee shemeji hebu zoeya wanaume Wana Mambo mengi dada yako nasema hivi msamee shemeji bwana

  • @neemajames5137
    @neemajames5137 3 месяца назад +7

    DADA ESHA MSAMEHE HUYU KIJANA ANAJIELEWA USIBADILISHE MWANAUME

  • @DianaMacha-jf8gw
    @DianaMacha-jf8gw 2 месяца назад +3

    Kaka mke wako yupo mungu anakuandalia tena mzury kuliko yeye tena mwenye hekima na busara

  • @halimasaid-fr2sp
    @halimasaid-fr2sp 2 месяца назад +1

    Pole sana mdogo wangu kiukweli isha hana huruma mkweli sana

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 2 месяца назад +1

    Aisha ndugu yangu msamehe tu.bw huyu. Wanaume wanamadhaifu mengi

  • @AmaniOmari-ev2gu
    @AmaniOmari-ev2gu 3 месяца назад +13

    Nani kagundua kua jamaa anafanana na chief god love

  • @Zainabsaid-ob2lk
    @Zainabsaid-ob2lk 2 месяца назад +1

    Unajuwa binaadamu huwa hawapendi kuona mwenzie wanapata huwa hawapendi my mswaheme kiukweli mungu atakubariki

  • @ewichachaula3485
    @ewichachaula3485 3 месяца назад +3

    Msamehee ndg yangu kijana amekkosea, msamehe kijana anajutia yalotokea

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 2 месяца назад +1

    Huyu jamaa kweli anamoenda Isha . Msamehe tu muendelee na maisha yenu. Kashajifuza

  • @SamsunGalaxy-e5k
    @SamsunGalaxy-e5k 3 месяца назад +4

    Huyu mwanaume mstarabu sana hasata yake aish hapat.mume km huyu

  • @MajidAlrawahi-p3k
    @MajidAlrawahi-p3k 2 месяца назад

    Jmn emb dada aishaa jarib kufkiraa na utoee msamahaa htoptaa mwanaume kamaa hyo wakukibali kosa na kuomba msamahaa hayaa ni maishaa tu ndg yang

  • @josephbureta5952
    @josephbureta5952 2 месяца назад +1

    Huyo aisha tayar kashapata mtu kk mabango shukuru Mmungu kk acha kuomba msamaha ni kaz

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 3 месяца назад +3

    Umemuonyesha mjini dada esha atakusumbua

  • @RukiaMiraji-y7x
    @RukiaMiraji-y7x 3 месяца назад +1

    Mungu atakusaidia yataisha dad isha msamehe yaishe

  • @HajiAbdalla-vm2jr
    @HajiAbdalla-vm2jr 2 месяца назад

    Msamehe anaweza kupotez a maisha hakuna asiyekosa ila Allah TU

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 3 месяца назад +6

    Kijana anaonekana Mustaraabu

  • @نجمةكينيا
    @نجمةكينيا 3 месяца назад +3

    mapenz ya mitadaoni yakaz gani basi amuwezi dumu kwasababu binadamu

  • @rosemtwaki
    @rosemtwaki 3 месяца назад +2

    Polee kaka angu hyo nimaishaa tu. MUNGU atakusimamia saanaaa

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 3 месяца назад +2

    Mtihani hawa mashangaz mtihani mkubwa,Mkipata wanaume mnawaanika kama Uwele, Sasa kipo wapi Kaka wewe mdogo Hawa wamama wa mjini ni shidah na Ni nyonya Damu, Wewe mwenyewe umekaukaa , ukiendekeza mashangaz utakuwa kama minyoo

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 2 месяца назад

    Wewe kaka simu za wanawake wa nje walikuwa wa Nini . Yaan wanaume mkipata wanawake wenye ela ni shida.Pole sana kaka. Aisha msamehe huyu kaka.

  • @RehemaSimba-w4c
    @RehemaSimba-w4c 2 месяца назад

    Pole shemej yangu handsome

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 3 месяца назад +8

    Huyu mwanaume amekomaa lakin hata maongezi yake yamenyooka😊😢

    • @HayronSalmin
      @HayronSalmin 2 месяца назад

      Muwongo alikuwa na fulani mbona hasemi

    • @HayronSalmin
      @HayronSalmin 2 месяца назад

      20:10

    • @HayronSalmin
      @HayronSalmin 2 месяца назад

      Kila mara anaachwa na wamama

    • @kherichapa7324
      @kherichapa7324 2 месяца назад

      Khaaah 😂 na furani tena​@@HayronSalmin

  • @maimunaahmed3477
    @maimunaahmed3477 2 месяца назад +2

    Atatafuta mwanaume wa pekee yake atachoka sana atawabadilisha sana yeye kaolewa na wangapi

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 2 месяца назад +2

    Yan mtu hataki ndoa anataman kuzini apate mtoto.amakweli zinaaa imeshka bendera😢

  • @fatuma46ramadhan18
    @fatuma46ramadhan18 3 месяца назад +3

    Jamani mbona mapenzi ya wasanii hayadumugi sijui kwann jamani but poleni

  • @HusnaMuhammed-yx8nl
    @HusnaMuhammed-yx8nl 2 месяца назад

    Dada Isha msamehe kijana

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 2 месяца назад +1

    Isha Msamwhe Shemeji mbona Mapema mno ushauri wangu atumie Cm kiswaswadu mambo yatanyooka Au Vip

  • @sinanisinani3389
    @sinanisinani3389 2 месяца назад

    Achana nae mbona hata wewe ni staa tayali .mungu kakuepusha na mabaya huko mbele wewe mshukuru mungu .na kutabili utajiri ndani ya mwaka mmoja

  • @MisMona-oo6zk
    @MisMona-oo6zk 3 месяца назад +3

    Pole kaka

  • @maryamhannif897
    @maryamhannif897 3 месяца назад +4

    Sasa ukasirikenhivo umemfumaniaaa??au ulikuwa unamtafutia sababu

  • @maryamhannif897
    @maryamhannif897 3 месяца назад +1

    Huyu jamaaaa anaongeaa pointi.sana sana

  • @MagrethFrancis-uq4eg
    @MagrethFrancis-uq4eg 3 месяца назад +4

    Nimecheka mno Ataki kuombewa heri, kingine Hana atakachokumbuka labda kupikiwa tu analudi kwenye wali wa bukubuku.

  • @scollantandu2350
    @scollantandu2350 2 месяца назад

    Ila unaakili sana jamani

  • @MwanamisoAbdallah
    @MwanamisoAbdallah 3 месяца назад +2

    isha isha isha nimekuita mara ngapi 3 nakuomba tafadhali msamehe jamani mume pendezana jamani mpe nafasi ya mwisho sawa

  • @Zainabsaid-ob2lk
    @Zainabsaid-ob2lk 2 месяца назад

    Asalamu aleykumu my dada Aisha nikuombe kitu ktk dunia kubawatu hawapendi kuona mafanikio yawatu mie mwanamke mwenzio nakuomba usiwape fursat mahasidi nakuomba mswamehe huwezi juwa kwanini mungu alikukutanisha nae

  • @TatoOman-s5t
    @TatoOman-s5t 2 месяца назад

    Nikweli kabisa wanawake tupo kimaslah zaid kumbe Allah kila Mtu humpa kwa wakat wake nisubra

  • @Shara-f9l
    @Shara-f9l 2 месяца назад

    Nimechekaaa eti atarudi kwenye buku jero

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas 2 месяца назад

    Sema alishakuchoka sema alikuwa anakutafutia njia ya kukuondoa.

  • @mamaali8015
    @mamaali8015 3 месяца назад

    Pole sana kakaangu mutayamaliza tu

  • @LeilaSadik-o1w
    @LeilaSadik-o1w 3 месяца назад +3

    Aisha alikurupuka alikua akujui vzr

    • @BerthaModest
      @BerthaModest 3 месяца назад

      Wewe unamjua😂😂noma

    • @nadianyamuraka
      @nadianyamuraka 3 месяца назад

      Wew una mjuwa vizuri? Haya twambie

  • @Ruu974
    @Ruu974 3 месяца назад

    This man he is smart esha emu kua bwana acha utoto

  • @zamalisaide3209
    @zamalisaide3209 2 месяца назад

    Mashallah kijana upo vizuli khekmaa busala yan nakusikitikia kujiingiza kwa makahaba yalio shindikana pole San😭😭

  • @tunuyussuf2410
    @tunuyussuf2410 3 месяца назад +3

    Hii ni faida ya kulea vibenten kwanini hamchukui watu wazima au wanaume waliokuzidi kidogo au wanaume wenye heshima za ebu punguzeni kulea vitoto mtafuninuliwa na vitoto vyote vya bongo mnajizalilisha tu bado nahuyo mama mpishi wa makaranga shilole😂😂😂

    • @JamalKivambe
      @JamalKivambe 3 месяца назад

      Ata awo wenye umri wetu ni shida tupu na Hawa zee ndy kabisa

    • @rahema1992
      @rahema1992 3 месяца назад +1

      Wanasema wazee wanakufa hrk hawataki kukaa eda

    • @Mtana-d2x
      @Mtana-d2x 3 месяца назад +1

      😂😂😂 etii mpishi wa makaranga

    • @MYME-u5d
      @MYME-u5d 3 месяца назад +2

      😂😂😂😂😂😂😂uwiiiiiiiiii mashangaz wapewe mauwa yaooo

    • @AmaniOmari-ev2gu
      @AmaniOmari-ev2gu 3 месяца назад

      Haaaaahaaaa ​@@rahema1992

  • @NamJanina-n2d
    @NamJanina-n2d 26 дней назад

    😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 3 месяца назад +1

    Mlijisifia sana ukipa ta mwanamke au m ume uombe mtege mee mungu usitege mee nafsi yako mw enyewe yani wewe n a isha mlijisifia san a sana muwe makini sana

  • @tamimakhalfanikhani8403
    @tamimakhalfanikhani8403 2 месяца назад

    Watu maarufu kuishi nao ni kazi sana hamjui tuu

  • @AgnesJohn-f1r
    @AgnesJohn-f1r 2 месяца назад

    Huyu si ndo alitaka kung'oa ndevu ya Isha imekuwaje tena

  • @monicamaganga8681
    @monicamaganga8681 3 месяца назад

    Isha mashauzi mdogo wangu msamehe huyo kijana ni binadamu halafu tamba nae kumbe watu wanamtaka washindweee msamehe mdogo wangu huyo ni binadamu isha bwana usisuse msamehe hata mie namuombea msamaha

  • @JamilhaSelemani
    @JamilhaSelemani 3 месяца назад +1

    Dada isha msamehe shemeji yetu uyu anajielew kajua kosa lake napenda sana camp yenu

    • @AaaAaa-it5xy
      @AaaAaa-it5xy 3 месяца назад

      lbesti.masamehe.mumeo.mwenyezi.mungu.humsamehe.anae.msamehe.mwezii.changa.moto.zipo.ok

  • @mrsferuzi7443
    @mrsferuzi7443 2 месяца назад

    Aisha msamehe mkwe wangu jamani

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 3 месяца назад

    Isha usimsamehe atakusubua huyu kaka. Anaonekana macho take ya juu hakufai

  • @ndolepeter2770
    @ndolepeter2770 3 месяца назад

    yatakwisha tu, ila sehemu nzuri inavikwazo kama Mungu kapanga hakuna wakupangua.

  • @MwanaAbdi-o9i
    @MwanaAbdi-o9i 3 месяца назад +1

    Wifi msamehe kakaangu mtanga mwenzangu maisha yaendelee tanga tumejaaliwa upendo anakupenda ndio mana anakumbuka fadhila

  • @dullah-f7p
    @dullah-f7p 2 месяца назад

    maisha ya wasanii eti jamaa anapigwa picha kila anapoenda du

  • @MwanjiNzala-mo5ni
    @MwanjiNzala-mo5ni 2 месяца назад

    Alafu.usifatilie.hao wanaokutumia picha ni wachonganishi wanapenda kuwaona wasanii.mnahangaika kwa mapenz hawataki mtulie.kwa.masirah.yao

  • @peteragustino3450
    @peteragustino3450 2 месяца назад

    Isha msamehe huyu jamaa acha wivu sana

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 2 месяца назад

    Isha mwanang msameh huyo ,kosa lakwanza nionyo kwake atajirekebisha ,namuona nimkweli , hakuna mkamilifu ,nahatatokea ,please

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 2 месяца назад

    Njoo kwangu jamani mi nakupenda 🥰🤣

  • @youthchanel8612
    @youthchanel8612 2 месяца назад +1

    Ila mstaarabu lkn

  • @Zainabsaid-ob2lk
    @Zainabsaid-ob2lk 2 месяца назад

    Mahasidi kzyao kufarakanisha mahusiano yawatu

  • @kashindesalha8107
    @kashindesalha8107 2 месяца назад

    Nikweli kisha jua kosalake msamee

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 3 месяца назад

    dada wivu dadaaaaaa ,,,,dada wivuuuuu,,,,,, ila wivu nyie acheni tyuuuu wivu mmbaya sanaaaa mimi najuwa hiii hali ila naamini yataisha,,,ila dada wivu achana nao ibilisi ananguvu sanaaa

  • @AminaDudu
    @AminaDudu 3 месяца назад

    Jamn kaka pole San omba Mungu tu yataisha tu

    • @fatmafaki6163
      @fatmafaki6163 2 месяца назад

      Hao wanaume wapole wasikie tu 😢 usiombe kukutana nao

  • @rahmashomari1048
    @rahmashomari1048 3 месяца назад

    Da Isha msamehe nimmepend bure

  • @khamisqassim5332
    @khamisqassim5332 2 месяца назад

    Jike la Simba msamehe kaka amekiri kakosea plz msameh

  • @PiliNampokela
    @PiliNampokela 2 месяца назад

    Dada isha mabango anajielewa anajua wapi amekosea ebu msamehe.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 2 месяца назад

    TATZO YA WANAWAKE KUTAKA KUJIFANANISHA KAMA WANAUME KUJIFANYA WANAWEZA N.K
    HALAFU HUYU Sİ ALİYETAMGAZA MASHİNDANO YA QUR'AN AU SIO YY!!!!??
    hii is the big problem

  • @Husnasalim-f2g
    @Husnasalim-f2g 3 месяца назад

    Km yup period msubili amaliz kisha muombe msamaha yataiya km yup ivo au hat km ayup iv mvumilie hizo ni hasira

  • @halimasaid-fr2sp
    @halimasaid-fr2sp 2 месяца назад

    Dada isha msamehe wanaume ndo hawa hawa kasha tambua kosa lake liko wapi

  • @FeisalKhatija
    @FeisalKhatija 3 месяца назад +1

    Oya Isha mrudie tevez

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 3 месяца назад

    Masamee shemeji Isha amejifunza masamee kipenz

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 3 месяца назад

    Ukhuty aysha huyu kaka anajitambuwa sana mapungufu binadamu tumeumbiwa samekhe maisha yaendelee

  • @ewichachaula3485
    @ewichachaula3485 3 месяца назад

    Tafazari ndg yetu msamehe kijana anajielewa na wanadamu wamemsingizia msamehee bure

  • @PrettyprettyNanah-mq4ij
    @PrettyprettyNanah-mq4ij 2 месяца назад

    Dada isha niko chini yamiguu yako msamehe shemeji

  • @MartinaMsimbe-qk8ug
    @MartinaMsimbe-qk8ug 3 месяца назад

    Kijana anajielewa nimempenda

  • @HadijaKiwambu
    @HadijaKiwambu 3 месяца назад +3

    Toka rini mishangazi ikadumu kwenye mausiano Hao ndo akina shirore Kira siku kutangaza vibetena nvao poreni

  • @DavidDavid-wf5ug
    @DavidDavid-wf5ug 2 месяца назад

    Katika maelezo ya Mabango bado anamtaka Aisha.ile mimi nasema huyo ni EX Achana nae.

  • @DianaMacha-jf8gw
    @DianaMacha-jf8gw 2 месяца назад

    Iv wanaume kama hawa bdo wapo jamani mwanaume gani wakujishusha hiv

  • @HayronSalmin
    @HayronSalmin 2 месяца назад

    Huyo bhana hana lolote ndio kazi yake anataka wenye fedha wakati wote anapenda dezo dezo aibu kwa uhuni kila mara anaachwa na wanawake

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 3 месяца назад

    Pole sameheaneni muishi

  • @elianaarsen9942
    @elianaarsen9942 2 месяца назад

    Mkome kuhangaika na mishangazi

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 3 месяца назад

    pole sana

  • @SamsunGalaxy-e5k
    @SamsunGalaxy-e5k 3 месяца назад

    Amexoeea kudanga aisha amajiona bado mtoto kumbe umri go tulip aisha hakuna waume sasa

  • @Atb300
    @Atb300 3 месяца назад +2

    😂😂😂😂acha kubembeleza mwanamke asie na matako

    • @sharifamohammed6317
      @sharifamohammed6317 3 месяца назад

      Dharau izo😂

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 3 месяца назад

      😂😂shenz ww

    • @fatmafaki6163
      @fatmafaki6163 2 месяца назад

      Ndio mana mnafirwa ovyo

    • @RoseKaiza-g2j
      @RoseKaiza-g2j 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂we nyoko sana 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @JudithAdonis
      @JudithAdonis 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
      Mweeeee nimecheka hadi nimelia jamaaaniii

  • @khadijabakari2932
    @khadijabakari2932 3 месяца назад

    Pole shemeji

  • @BashirYusufu-yr1or
    @BashirYusufu-yr1or 2 месяца назад

    😂😂daaah mshangazi bwana hadi anasusa kula hiyo ninoma eroo

  • @Hidaya-os1pg
    @Hidaya-os1pg 2 месяца назад

    Msamehe dada yetu

  • @youthchanel8612
    @youthchanel8612 2 месяца назад

    Maskini gar nane za msamaha lkn wp

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 3 месяца назад +1

    Ao Kiki maana wabongo nyie kwa mikiki haaa

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 2 месяца назад

    Isha mimi ni shabiki wako naomba umsamehe shemeji yetu.

  • @SabraDivele
    @SabraDivele 3 месяца назад

    Yamalizeni jaman mbona mimi nliwapenda sana jamaniiiii