Jionee Jengo refu kuliko yote ARUSHA na la kwanza TANZANIA la utalii

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 апр 2018
  • JENGO la Kitega Uchumi la Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro lililopo jijini Arusha ambalo ujenzi wake unatarajiwa kukamilika mwezi June mwaka huu litakuwa kivutio cha kihistoria cha utoaji wa huduma za utalii hapa nchini.
    Hayo yameelezwa jana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla muda mfupi baada ya kukagua jengo hilo ambalo linasemekana kuwa refu kuliko majengo yote jijini humo likiwa na jumla ya ghorofa 18.

Комментарии • 54

  • @heraldloshi1864
    @heraldloshi1864 6 лет назад +2

    Very good.Arusha ina zidi kunawiri.Kazi nzuri,ubunifu mzuri,maono ya mbali katika kuboresha soko la utalii.

  • @isaac8224
    @isaac8224 3 года назад +2

    Jengo la posta (PAPU house) likikamilika ndo litakua refu zaidi arusha... Saivi lipo hatua ya msingi..

  • @mosesallanadam1955
    @mosesallanadam1955 6 лет назад +3

    Hii iko poa sana, Arusha yetu inasonga mbele zaidi kama kitovu cha utalii nchini!

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 6 лет назад +4

    Safi sana maendeleo sindo hayo tunayoyataka wa tz

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 Год назад

    Masha allah 🔥🔥👏👏👏

  • @songo4real224
    @songo4real224 6 лет назад +5

    safi sana millad ayo kwa taarifa ila acha ubnafsi bifu la mondi alikuhusu tetea tz isonge mbele

  • @fathermore9772
    @fathermore9772 6 лет назад +3

    safi sana.... Aa city is ma hood....

  • @fantsonmpango7742
    @fantsonmpango7742 6 лет назад +2

    Huu ni ubunifu wa waziri maghembe, safi sana

  • @salamia__mwangu599
    @salamia__mwangu599 6 лет назад +4

    namna hii safi sana

  • @user-zc2ms4wl6r
    @user-zc2ms4wl6r 2 месяца назад

    Ushamba mkubwa bado tunashaa ngaa majengo ukolonkweli

  • @esterkimath1214
    @esterkimath1214 4 года назад +1

    Well done👏👏

  • @suniljoe2906
    @suniljoe2906 4 года назад

    Urefu kwa majengo ya kitalli Tanzania

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 4 года назад +1

    Well done

  • @graysonpastory1918
    @graysonpastory1918 6 лет назад +4

    Refu arusha sio la kwanza Tanzania, hilo kwa dar la kawaida kwa sasa hatuwezi ona la ajabu tena..

    • @makisjeremiah288
      @makisjeremiah288 6 лет назад +2

      Pastory ni jengo la kwanza refu la utalii tanzania na si la kwanza kwa urefu ,elewa nini milard amesema.

    • @Mhandisi2008
      @Mhandisi2008 5 лет назад

      grayson pastory jengo refu Tanzania la utalii

    • @ericnnko8270
      @ericnnko8270 4 года назад

      Watu wa dar huwa wanajiona wamefika sana

  • @ombennassary7438
    @ombennassary7438 4 года назад

    Bado siyo ubunifu kwa kuwa,magorofa mengi Arusha hayana wapangaji,mwisho wa siku yanaanza kuchakaa huku yakiwa na wapangaji kwa asilimia 10 hadi 20 tu,arusha kuna tatizo la parking na msongamano wa machinga, itokee watu wabuni jengo la machinga na wengine parking hata gorofa za kutosha

  • @ARMANIDIORFILMDIRECTOR
    @ARMANIDIORFILMDIRECTOR 6 лет назад +3

    hiyo imetisha

  • @visentjosephbuhalwejoseph5865
    @visentjosephbuhalwejoseph5865 4 года назад

    Pongez kwako mheshimiea wazir

  • @saeedzahor
    @saeedzahor 2 года назад

    Mbona la kawaida tu

  • @goodluckkilala813
    @goodluckkilala813 6 лет назад

    Ujenz wa ili jengo lilianza kipindi jk yuko madarakan Sion jipya hapa

  • @Veritasmediagroup
    @Veritasmediagroup 4 года назад +1

    Lipi likubwa Tanzania??

  • @jastinkatwazkatwaz4533
    @jastinkatwazkatwaz4533 4 года назад

    Halifikii lile la mawasiliano kule dar

  • @justinecleophas6299
    @justinecleophas6299 6 лет назад +1

    lv chugaaaaaa

  • @mremmrem6754
    @mremmrem6754 6 лет назад +1

    Wawo

  • @kilimochakisasa7085
    @kilimochakisasa7085 5 лет назад

    Siyo la kwanza Tanzania(Fanya Tafiti) Pspf Tower ndo refu likiwa na gorofa 35

    • @abasilihundu200
      @abasilihundu200 4 года назад

      Mangi Moshi we nawe ndio huelewi kabisaa, umeambiwa refu kuliko yote Arusha we unasema Tanzania. Unajifanya huelew

  • @erastobartalome2709
    @erastobartalome2709 2 года назад

    Rip magufuli na mfugale

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 6 лет назад +1

    Waziri umezuka na style yako yakutembea na kifimbo unakusudia nini naona kama unajitwisha mzigo usiokuwa na faida

    • @eliudymhapu1750
      @eliudymhapu1750 4 года назад

      Alisema anatokea kwenye ukoo WA chifu lbd ndio amesha kabidhiwa

  • @ladsonmshana9920
    @ladsonmshana9920 6 лет назад +1

    Huu uongo kabisa jengo refu ARUSHA ni parrot hotel

    • @hudsson75
      @hudsson75 6 лет назад +2

      LADSON MSHANA ina mana haitawezekana kujengwa jengo lingine refu kuliko iyo Parrot Hotel?hao wanaozungumza si watu wa kijiweni, ni watu wa mamlaka, wana takwimu sahihi za urefu wa majengo kwa vipimo vyake, sio takwimu zako za kuliangalia tu kwa macho

    • @harryporter2578
      @harryporter2578 6 лет назад +1

      LADSON MSHANA
      Mkubwa parot lina floor 14 hilo langorongoro lina floor 16
      Fanya kufika uhakiki tena

  • @bintalhwamer5291
    @bintalhwamer5291 6 лет назад

    mambo ni 🔥 🔥

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 года назад

    hi style ya vifimbo ndo nini jamani sku hizi,Sabaya,Msiba, huyu...atawachapa navyo JMP,subirini...it looks silly tbh

  • @eliastawete6020
    @eliastawete6020 6 лет назад +1

    tunaomba habari za mondi na wasafi kwa ujumla..huyo anaejifanya mungu mtu asiwapelekeshe na nyie millard, mbona mnakua hivyo nyie aa

    • @salummuhija4435
      @salummuhija4435 6 лет назад

      tawete elias unampangia mtu cha kufanya, hiyo ndio shida yenu wabongo mnapenda umbea kuliko maendeleo, anatuonyesha maendeleo ya jiji la arusha wewe unataka amuonyeshe diamond unamahaba nae au,

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 6 лет назад +2

    Chapakazi JPM

    • @jenifahamisi5566
      @jenifahamisi5566 6 лет назад

      bradock shomary shodri mmmmh JPM hauhusuki hapo,bali kikwete

  • @pwalter335tv5
    @pwalter335tv5 6 лет назад +1

    mmmh eti I'll ndorefu hahahaha fupi kabisa ilo

  • @christmasmachele5589
    @christmasmachele5589 6 лет назад +2

    Jengo refu arusha ni parrot hotel

    • @fitinaelias421
      @fitinaelias421 6 лет назад

      Mhhh! Parrot so refu kuxidi jengo hili

    • @lidyaedward876
      @lidyaedward876 6 лет назад

      ilo n jipya

    • @reginaldtsaqwa2339
      @reginaldtsaqwa2339 6 лет назад

      christmas machele Hapo kasema ni Jengo refu kwa upande wa Utalii na sio kwa majengo yote.

  • @seifmassoud2686
    @seifmassoud2686 6 лет назад

    Kwani zanzibar hakuna majengo ya kutangazia mambo ya zanzibar? msijifanye wajanja, lakunufaika nyinyi hata kama kidogo linatosha, lakunufaika wazanzibar hata liwe vp wazanzibar wenyewe haliwatoshi, nyinyi vp mbona kama kupe..basi na hayo majengo ya kutangazia utalii na biashara zetu tunayo huku msitukaribishe tutakujatangaza magendo, isiwe sukari na mafuta tu..

    • @renathamaurus7436
      @renathamaurus7436 6 лет назад +1

      Seif Massoud hivi nini maana ya Jina Tanzania....mm sio mwanasiasa lakini huu Ni mda wa kufanya kazi pamoja kama watanzania na sio watanganyika embu angalia nchi kama marekani ile nchi Ni umoja wa states ndogondogo ila huoni wakicomment hivi

    • @renathamaurus7436
      @renathamaurus7436 6 лет назад

      Seif Massoud natumaini umeelewa

    • @seifmassoud2686
      @seifmassoud2686 6 лет назад

      renatha maurus, ebu fuatilia viongozi wetu( wabunge na mawaziri) wamesemaje kuhusu kufanya kazi pamoja hasa upande wa biashara? Unafatilia au unajaribu kuongea tu kama wazanzibar inatuuma kuona kiongozi analeta dharau kwa wazanzibar kisa biashara ya pamoja, how? Mimi pia sio mwanasiasa nahic you have catch me!

    • @salummuhija4435
      @salummuhija4435 6 лет назад +1

      Seif Massoud kwanini mnapenda sana kuzungumzia mambo ya ubaguzi ubaguzi tu kila wakati, kila mkikaa mnahisi mnaonewa tu vp nyinyi ebu kunjueni mioyo yenu acheni kujikondesha kwa fikra potofu. Njoo bara ununue ardhi ulime acha ubaguzi hautakusaidia ukizoea hivyo utakuja kuwabagua hata wazazi wako.

    • @justinecleophas6299
      @justinecleophas6299 6 лет назад

      Seif Massoud mbn povuuuu linakutok kwan amesem kibay nn ....povuu km lote...weka jingin utatoa mwakan