Masauti - Kesho FT Nadia Mukami (Official Lyric Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 май 2024
  • Watch the Lyric Video for Kesho by Masauti featuring Nadia Mukami.
    Stream on all Digital platforms:
    masauti.ffm.to/kesho-wayoo
    Connect With Masauti
    / officialmasauti
    / officialmasauti_
    / masauti
    Lyrics
    (Nadia :)
    Ninachojua Uzee upo
    Usichana unakwenda
    Ule urembo haupo miaka zikienda
    Je utanipenda nikipata michirizi
    Utanipenda kikija nacho kitambi
    Nauliza utanipenda yangu maziwa yakilala
    Uzeeni Utanipenda ama utaoa tena ?
    (Masauti:)
    Oh My baby usiwe shaka
    mi mwenzako Nakupenda
    Ule urembo upo ata miaka ikienda
    Kwanza ndo utanoga ukipata michirizi
    Sio lazima flati tummy nitacheza na kitambi
    Hivyo hivyo nitakupenda hata kifuani pakilala
    Nami uzeeni utanipenda nikipata kiahara
    Chorus:
    Nadia:
    Keshoo
    I hope utanipenda my baby
    Mpaka Kesho
    kufa kuzikana mi nawe baby
    Masauti:
    Mpaka kesho
    Niamini ntakupenda baby
    Mpaka kesho
    Tuzeeke na wewe my baby
    Mpaka kesho mpka kesho mpka keshoo
    Verse 2
    Masauti:
    Shahidi yetu Mola
    Ile Siku mioyo iliposhikana
    Ukanipend nami nkakupenda
    Ndo nilijuwa milele hatutoachana mi nawe
    Nadia :
    Ujana ni moshi
    uko sure na mimi
    Tukose udosi
    je utakuwa na mimi
    For better for worse
    Iwe better for us
    Masauti:
    Hata tukiyumba mama
    Tuwe pamoja
    Nadia:
    Mi bado nitakupenda
    Kama kipato umekosa
    Kesho nitakupenda
    hata mgongo ukikunja
    Masauti:
    Hivi utanipenda kama mziki ukibuma
    Kweli uzeeni utanipenda nikipata kiharaa
    Chorus:
    Nadia:
    Keshoo
    I hope utanipenda my baby
    Mpaka Kesho
    kufa kuzikana mi nawe baby
    Masauti:
    Mpaka kesho
    Niamini ntakupenda baby
    Mpaka kesho
    Tuzeeke na wewe my baby
    Mpaka kesho mpka kesho mpka keshoo
    #Masauti #kesho #lyricvideo
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 1,3 тыс.

  • @Kemush189
    @Kemush189 Месяц назад +927

    Kama whitney na warren wamekuleta uku pita na like

  • @Sheetracey
    @Sheetracey Месяц назад +210

    From warren and Witney ndo wamenifikisha hapa❤❤❤

  • @polliequeen
    @polliequeen Месяц назад +215

    Whitney and warren wamenifanya nirundi hapa tena nisikize poa 🤭, much love guys ❤...

  • @Kemmy28
    @Kemmy28 Месяц назад +108

    The tune has a deeper meaning. For those who understand this. Love is beyond the physical looks. Mbaka kesho.

  • @bronzehke
    @bronzehke Месяц назад +136

    Achilia hii video , big tune , kama unakubali gonga likes .

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад +4

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

    • @bronzehke
      @bronzehke Месяц назад +1

      @@OfficialMasauti this is One of the Great Ideas East Africa have never had and well executed..Kenya to the World.

    • @korirnich8571
      @korirnich8571 28 дней назад +1

      It is high time you react and release the video,am sure itafika 1Million views in a day.​@@OfficialMasauti

  • @em_vee_josh
    @em_vee_josh Месяц назад +31

    Nadia the best female we have wapi likes

  • @user-fd4yt3nb8j
    @user-fd4yt3nb8j Месяц назад +72

    All the way from TikTok Whitney and warren ❤

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

  • @priscusaudifas9936
    @priscusaudifas9936 18 дней назад +17

    Kama na wew hujachoka kuuskiliza huu wimbo tujuane hapa, huu wimbo unafaa uwe wimbo wa mapenzi wa mwaka 2024, from Tz one love😁🙌

  • @marynjoki6919
    @marynjoki6919 Месяц назад +148

    I swear nothing beats love.Kumpata mnayependana nyote kiukweli is the real jackpot win.Cheers to love.Such a dope love song❤

  • @user-ge1ef1ib3y
    @user-ge1ef1ib3y Месяц назад +56

    Whitney and Warren brought me here,May God keep them together forever.

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

  • @user-ih8ie7yf6n
    @user-ih8ie7yf6n Месяц назад +33

    WW family ime nifanya nicome uku❤

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

  • @greatfilmsproduction2548
    @greatfilmsproduction2548 Месяц назад +228

    Nitaacha hii comment hapa ilimradi mtu akilike narudi kuskiza tena ..acha tuone nitaskiza mara ngapi🎉

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад +4

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

    • @user-fv1rj3ju3v
      @user-fv1rj3ju3v 14 дней назад +1

      Bro your super talented,dnt pause keep pushing on that path

  • @expedithongendwa5409
    @expedithongendwa5409 Месяц назад +11

    Masauti on fireeeee🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @fathihiyayusuf3197
    @fathihiyayusuf3197 Месяц назад +24

    Hii Kenya we have good musicians aki.. sijui kwanini hutujivunii muziki wetu.. aki mko mjuu wasanii wetu congratulations sana❤❤❤❤ love so much

  • @mercychepkirui6620
    @mercychepkirui6620 23 дня назад +5

    WW family got me here ...much love to the young couples❤

  • @shiko.17
    @shiko.17 Месяц назад +21

    Masauti is baaaaaaaack wapi likes zake.. alafu kindly wekeni Whitney na warren kwa official video pliiiiiiiiiiiz💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад +2

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

  • @1Blurise
    @1Blurise 19 дней назад +4

    Am from tanzania🇹🇿and this is my favourite song❤

  • @susankimani4531
    @susankimani4531 Месяц назад +13

    Warren na whiteny ndio wamefanya nifike hapa from TikTok we should we proud of our own musician

  • @martinkinn_
    @martinkinn_ 29 дней назад +17

    Warren and Whitney ndio wame reflect hii ngoma mbaya sana....... It will be good kama watakua featured in this

  • @ngaruiyablessings7784
    @ngaruiyablessings7784 Месяц назад +74

    Who else thinks Warren and Whitney should be featured in this video?

  • @keltamuta7966
    @keltamuta7966 28 дней назад +8

    Kesho tunaamka #1 trending for music

  • @user-qv5zw4lu2j
    @user-qv5zw4lu2j 19 дней назад +18

    Kama umeupenda huu wimbo chapeni likes hapa

  • @saidmambo2721
    @saidmambo2721 21 день назад +2

    Masauti to the world🙏🙏

  • @quingurl1864
    @quingurl1864 28 дней назад +2

    This song should be number 1 in trending 💕,Masuti Kenyan boy your voice is always on 🔥

  • @dullymelody7192
    @dullymelody7192 Месяц назад +19

    Kazi kubwa...alafu huge appreciation kwa maisha ya baadae ya uzeeni kali sana

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

  • @DJGolden016_theKambaprince
    @DJGolden016_theKambaprince 29 дней назад +6

    Nahisi arrow agejibu vizuri maswali yako nandia 🔥🔥🔥

  • @mohammedmamo6177
    @mohammedmamo6177 16 дней назад +2

    Sauti ya masauti❤❤❤❤

  • @OfficialChicco
    @OfficialChicco 19 дней назад +1

    Hap fiti masauti na Nadia mukami

  • @maggymaggie3190
    @maggymaggie3190 Месяц назад +410

    Anyone from TikTok 😅

  • @tolekabizneztv
    @tolekabizneztv Месяц назад +12

    Mwanagu umeuwa kazi safiii ❤

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад +1

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

  • @esthermwakubia2306
    @esthermwakubia2306 21 день назад +1

    Hongera wimbo iko point

  • @marya50
    @marya50 Месяц назад +16

    From Whitney and warren ❤❤❤

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

  • @Echo254_
    @Echo254_ Месяц назад +39

    Imeweza kakangu🔥🔥

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад +3

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

    • @mwanakebilang
      @mwanakebilang Месяц назад

      @@OfficialMasauti piga moja na echo254

    • @hamadmohammed9928
      @hamadmohammed9928 Месяц назад +1

      Echo kitu chako na ko lini bro nakisubria sanaaa biroo

    • @hamadmohammed9928
      @hamadmohammed9928 Месяц назад +1

      Uko juu Ali masauti uko vzri huna baya bro wakilisha 001

  • @user-ej8tz2om6f
    @user-ej8tz2om6f 24 дня назад +5

    Im wondering the same 😢😢 nany atanipenda hadi maziwa ikilala 🤭🥰🥰

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481 14 дней назад +1

    ❤❤❤❤ mimi Akuna kitu kimenileta uku sauti ya masauti tu inaweza ikanitoa dar ikanipeleka kenya ❤❤❤

  • @patrickkomu7346
    @patrickkomu7346 19 часов назад

    This song is wow 👌. Congratulations guys. Nadiaaaaa

  • @JeniferMligo
    @JeniferMligo 20 дней назад +4

    From Tz nimesikiliza nyimbo zaidi ya mara moja jamn nitamu mnooo

  • @brendankatha8038
    @brendankatha8038 19 дней назад +3

    Oh my lord!🙀 my kenyan artist are the best always.🤣😂💯😹🇰🇪💪 more love from Messi kadenge 254.👏🇰🇪🇰🇪

    • @user-xy2tv4fq1t
      @user-xy2tv4fq1t 13 дней назад +1

      Twende nalo Messi kadenge🇰🇪💪🙏🥀

  • @DuncanOdina
    @DuncanOdina 27 дней назад +1

    Ngoma imeweza mbaya sana

  • @allanogol5008
    @allanogol5008 Месяц назад +9

    Masauti marketing ilikushinda with all the talent

  • @scolamaina1277
    @scolamaina1277 21 день назад +6

    The Peekay's brought me here 😊

  • @darshlley
    @darshlley 23 дня назад +2

    Masauti u have a beautiful voice bro and it's a banger with nadia mukami ❤

  • @margretwamuta3508
    @margretwamuta3508 Месяц назад +1

    Wimbo mkalii mno🔥

  • @eyan3340
    @eyan3340 Месяц назад +13

    Where there is Masauti and Nadia , We definitely call that a hit 🔥🔥,Good job

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

  • @kithometv4473
    @kithometv4473 Месяц назад +9

    Walitubwaga kwa corus pekee aky

  • @kariithijosephat
    @kariithijosephat 28 дней назад +2

    ❤❤❤❤❤❤. Indeed a big. Nadia on it again.. masauti is back like he never left

  • @victoriamatei7757
    @victoriamatei7757 27 дней назад +1

    Sauti ya Masauti wueeh

  • @blessed_easyphella1
    @blessed_easyphella1 Месяц назад +8

    Kenyan boy kenyan boy.......masauti 001

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад +2

      Thank you so much let keep pushing Good music to the world 🌍

  • @asumwagracemuthoni5189
    @asumwagracemuthoni5189 Месяц назад +45

    Wow... Hata sijui nimejipataje hapa... Someone cheer my comment... ❤

  • @wilfystax9754
    @wilfystax9754 22 дня назад +1

    Ngoma kali sana my brother, big up yourself. Dancehall MSA representing

  • @aumajacklyne4611
    @aumajacklyne4611 23 дня назад +1

    Masauti is a gem 💎

  • @MATEOJOSEPH-nc8gf
    @MATEOJOSEPH-nc8gf Месяц назад +241

    Kama umekubali hii wimbo tujuane Kwa Like

  • @sultan_official875
    @sultan_official875 Месяц назад +15

    Kenyansconfirmed that this is a hit song

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

  • @user-gd6uw1nn5o
    @user-gd6uw1nn5o 28 дней назад +1

    Motoooo 🇰🇪 boy

  • @lynnelucky4
    @lynnelucky4 15 дней назад +1

    Tuzeeke na wewe mpaka kesho amazing song Nadia

  • @alexmuli1681
    @alexmuli1681 Месяц назад +7

    Ivi vichwa viwili vikikaa pamoja ngoma kali inatoka wallahi ❤❤❤

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад +1

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

  • @user-kr8pr2xz9g
    @user-kr8pr2xz9g 29 дней назад +3

    Warren en Whitney ndo wamenileta huku❤They won the challenge,,,,the song hits different

  • @FridahMakena-qz6uf
    @FridahMakena-qz6uf Месяц назад +1

    Nadia to the world ❤❤❤

  • @user-nz7ix7jt8w
    @user-nz7ix7jt8w 24 дня назад +1

    Masauti 001 kazi safi bro

  • @gfsmarttv9248
    @gfsmarttv9248 Месяц назад +12

    Jalang'o was never wrong Masauti is a real talent@Kenyanboy🇰🇪🔥🔥🔥

  • @TalentedBoy254
    @TalentedBoy254 Месяц назад +4

    Kali sana ❤ 💯💥

  • @rahmaak7737
    @rahmaak7737 17 дней назад

    Wallah W.W utadhani wao ndio waloimba ❤❤❤😊😊

  • @Daphney_Amisi
    @Daphney_Amisi 28 дней назад +1

    Fireeeee baby 🔥🔥

  • @SJ_Musiq254
    @SJ_Musiq254 Месяц назад +5

    This song is so grateful ❤❤❤ nimerudi tena kuskizaa❤❤

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад +1

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

  • @jkhid217
    @jkhid217 Месяц назад +4

    Nomaaa🔥🔥🔥vibe on vibe ..Big up Kong

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

  • @jackysiyo3135
    @jackysiyo3135 19 дней назад +1

    Thank you Masauti.

  • @kevinkimoi3221
    @kevinkimoi3221 28 дней назад +2

    Nakubalii kazi nzur mwanangu,,,❤❤

  • @morrismuinde5884
    @morrismuinde5884 Месяц назад +3

    Whitney and warren are doing it in their perfection 🥰

  • @jackiemukai7213
    @jackiemukai7213 22 дня назад +4

    Kufa kuzikana .... someone like my comment

  • @brianmuheria3182
    @brianmuheria3182 18 дней назад +1

    ❤❤this song is so nice....kudos Masauti and Nadia we need a video aki...

  • @silatravis4065
    @silatravis4065 29 дней назад +1

    Wazimu🔥🔥🔥

  • @noreyjess5906
    @noreyjess5906 Месяц назад +17

    Whitney n warren ate this challenge ❤️🔥

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

  • @neliusmwangi7475
    @neliusmwangi7475 Месяц назад +7

    Wow this is a hit🔥🔥 so far this song is my best.This deserves a hit of 1M views

  • @LazarusMgaza-us2sm
    @LazarusMgaza-us2sm 21 день назад +1

    Huu wimbo mkali bro, big up🎉🎉

  • @tinamusyimi2813
    @tinamusyimi2813 24 дня назад +1

    Masauti...you give the best

  • @hannahnjuguna5537
    @hannahnjuguna5537 Месяц назад +32

    Whitney and warren piga likes 😊

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

  • @LILFELLY
    @LILFELLY 27 дней назад +3

    Nadia & Masauti collabo is never a miss 🔥🔥

  • @i.amyoungog
    @i.amyoungog 29 дней назад +1

    Kali sanaaa 🔥🔥🔥

  • @theceej4812
    @theceej4812 14 дней назад

    ❤❤hope sijachelewa❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @brendaengefu6809
    @brendaengefu6809 Месяц назад +9

    I have arrived from TikTok nipeni kiti nkae, this songs is vibe❤

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

  • @enosraji8531
    @enosraji8531 Месяц назад +5

    Kesho on another level i love it

  • @chelahkenyah3596
    @chelahkenyah3596 27 дней назад

    Waaooh masauti no 2 trending

  • @florencemwangi6520
    @florencemwangi6520 15 дней назад +1

    This hit is a,bagger 🔥🔥🔥@official masauti

  • @erickomwocha596
    @erickomwocha596 27 дней назад +1

    Kubwa 🔥🔥🔥

  • @mikemelo254
    @mikemelo254 Месяц назад +3

    Kali sana Masauti Mike Melo was here

  • @koechgideon4681
    @koechgideon4681 Месяц назад +5

    anyone in Nairobi give a like❤

  • @joshprince4091
    @joshprince4091 22 дня назад +1

    Nadia and masauti never disappoints such a gud song❤❤

  • @winniekarimi254
    @winniekarimi254 21 день назад +1

    Nadia mukami the best female artists

  • @Marklikaka
    @Marklikaka Месяц назад +11

    Tafadhali ukiwatch hii ngoma kumbuka kulike...share watu wajue kuna a new hit in town.

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад

      Thank you so much let keep pushing Good music to the world 🌍

  • @JaytouchFlavourke6273-sp7pc
    @JaytouchFlavourke6273-sp7pc Месяц назад +2

    Kwli uzeeni utanipenda nikipata kihara big 🔥🔥🔥

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

  • @ruthmomanyi6549
    @ruthmomanyi6549 29 дней назад +1

    hii nayo ni 🔥 🔥 💝💝💝💝💝💝❣️

  • @WALELOBEATS
    @WALELOBEATS 14 дней назад +2

    ❤❤🎶🎶👌👌 beautiful music

  • @Eagle_flicks
    @Eagle_flicks Месяц назад +3

    Good music alive,,,K Bram approved

  • @user-qo9qe7ey8f
    @user-qo9qe7ey8f Месяц назад +3

    Hiii ni kalii nayo you're doing a great job masautiii

  • @officialcantai5361
    @officialcantai5361 Месяц назад +2

    👑👑🔥🔥🔥🔥

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

  • @kengeoffrey870
    @kengeoffrey870 23 дня назад +1

    masauti has always been good in vocals

  • @kishie5416
    @kishie5416 20 дней назад +6

    The peekays brought me here
    This is a big tune with internal meaning of love language 😂

  • @lucydavie72
    @lucydavie72 Месяц назад +27

    Anyone from whitney❤❤❤

    • @OfficialMasauti
      @OfficialMasauti  Месяц назад

      Thank you so much lets keep sharing to the world 🌍

  • @DjVillar
    @DjVillar 23 дня назад

    Wazidi kukua mkali buda Big Tune

  • @edithkamathi3768
    @edithkamathi3768 26 дней назад

    Tupatie vida..the best.. talking on behalf of many❤❤❤