Jamani musa ni dragon kaabza kutisha hata musa kaogopa na kwa vile hakuna lugodisha waa muda wake umefika alichokisema kimeaza kutimia movie ibapamba kwa kweli
Mwasit mwasit ww kiboko sio Kwa kuzimia uko wallah mapesa lete vitu mwasit je utaendea na umbea au razk maisha kayapatia kweli wallah Musa Musa pole San mwamba mapesa kafikaaa
Chonde chonde nawaomba mnaoendelea kutazaman moves hiii gonga like hapa kama unaamini tutafika mwaka 2025❤❤❤❤❤❤
Titafika kiongoz asante sna
Amen mungu mkubwa tutafika
Amina❤
Tutafika inshallah
nabar stella
Muda ukifika utajua Nin namanisha Mapesa weeeh nakubali❤❤❤❤Nawapenda nyote kwakazi nzuri❤❤😂😂
Asante sana sna
Kazi nzuri sana nimefuria mumetoa hongera
Asante San
Hii ni uigizaji wa hali ya juu sana. Asante sana kwa wahusika wote na heko kwa mhusika mkuu bwana Lugodisha
Asante sna sna
Papaa mapesa the don 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hatal sna
Kazi zako ni nzur sana kak mungu akubali uendelee kutuleteaa kaazi nzur zaidi tupo pamoja
Asante sna sna 🙏🤝
Tupo pamoja ndugu za🎉❤🎉❤ Ashantee kwa burudan yenu mr Iyagamba🎉
Asante sna sna karibu
Wa tatu kutoka kenya naombeni like zenu
Karibu sna
Mapesa leo kainogesha move tumejua maan yake ya mda ukifika utaelewa tu❤❤
Asante sna sna
Tatizo mnaichelewesha sana kuitoa
Tuvumiliane tu sasa hv Huku mvua inanyesha sna so tunashindwa kushut kwa.wakat
Ndio kudunda,, charlie wa mwasiti,, wapi likes za dem yangu, mwasiti
Karibu sna
Mnipee mwasiti yani Huyu mdada nampenda sana
Asante sna nakupenda pia
@@africansinema7420 na mubarikiwe kikundi kizima Kwa kazi nzuri wakenya twawapenda kijumla
Kazi nzuli sana lugodisha na timu yako nzima kwakweli inamafunzo mengi sana tuko pamoja from dubai 🇰🇼🇰🇼❤️❤️ nawapenda sana
Asante sna sna tunakupenda pia
Kazi nzuri lugodisha with your team🎉🎉🎉
Aweeeee mapesa tena 😂😂😂 leo siyo tuliemzoea
Hatar sna
Kumbe na mapesa anayaweza jmn duuuh hii movie kweli noma 🎉🎉🎉🎉
Hatar sna
@africansinema7420 nakupnda bule lugodisha bila kusahau johar na niliham
Kaz kaz ❤❤
Tunapambana sna
Mhuu mapesa mapesa🏃🏃🏃
Mapesa hatar sna
Kumbe mapesa ni dragon mwenye vichwa vitatu 😂😂😂😂😂😂😂
Hatar sna
😂😂😂😂😂 mwamini usishangae na usidondoke na unajiona we mbabe
Kweli kabisa
Hapan chezea mapesa 😅😅😅
Hatar na nusu
Wauuu very interesting series bring out another episode fast am eager to see what's happening Mapesa a big snake🤔🤔🤪🤪🙉
Asante sna jamn .. muda sio mrefu naachia 50
❤❤❤❤❤ go forward my people I love you to much this move
Thanks so more much
Habari zenu huko Tanzania wana movie wote kidogo nimechanganyikwa nahitaji akili ya ziada ili muda ukifika nielewe
Huku kwema kabisa. Hapana shaka utaelewa Wala hakuna shida kabisa
❤❤.., hugs 🤗 musa pokea salamu zangu uku Kenya 🇰🇪
Asante sna sna 🙏
Pia mm nampenda sanaa Musa ❤❤🎉 lugodisha mpee Salam zetu toka Kenya
❤❤❤ unatoa vichache jamani mbona mambo Yana noga jamani nimekupeda blue lugadisha
Asante sna sana
😂😂😂😂 sasa mda wa mapesa umefika
Na ndio anatamba vibaya
😂😂😂at mjumbe hauawi mapesa. Ni dragoni wa vichwa vi3 ndio kanasikia umbeya kakiwa mbali
Asante sna sna 🙏
Nikweli usimdharau mtu kabla akujanyesha mapesa ety kwa sasa uwezi nielewa namaanisha nn lakini mda ukifika mtaelewa tu I salute you bwana mapesa🤛🤛💪💪
Hatar sna
Hatar sna San
Razack kimekukuta kitu bola kule ulipokuwa mwanzo😂😂😂
Kabisa bola alikokuwa kwa.mbwa mwitu
Leo mapesa nguvu hizo kazipata wapi hatsri kweli mmmm.nimecheka mwenyewe😅😅
Karibu sna
Kutoka Kenya,,,nimewai
Karibu sna.
Kweli Leo nimefulahia kumuona chawa ananguvu Asante Sana lugodisha mungu akubariki
Asante sna
Patam hapo 🎉🎉🎉❤❤❤
Noma sna
Wah mapesa jamani 😂😂😂😂
Noma sna
Muda ukifika utajua Nini namanisha mapesa waaaah
Muda wake umeshafika
Kabisa
Haaaa mapesa tena
Noma sna
@africansinema7420 imeanza kua tamu nataka mshindi kazi nzuri sana
Waaa hapa kazi ipo hadi mapesa ni dracon makumbwa dungu lungodisha kazi kwako🎉🎉🎉🎉❤❤❤🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mapesa good job umbea itakua moto moto sasa
Sana
Aki Leo situmeyakanyaga mapesaa tna bt nawaombea tuu I love nirham so much she is a good girl chukua hiyo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🙏🙏🙏🙏🙏
Mzuri Sana but mnachelewesha sana
Huku mvua ndio inatuchelewesha
@africansinema7420 poleni Sana but mnafanya Kazi nzuri Sana hongera
Hii ya leo ya 🔥 san ❤
Ni noma San
😂😂😂 mapesa amegeuka kuwa mabilionea sasa yy ndio kusema tena???,,Lugoo utaona motoo ila usiogopee!
Wala simuogop wakat wake bado
Mambo ndio inakuwa mbaya san
Hatar sna sna
Eti mapesa amekua mkuu😂😂😂😂
Hatar sna
Kazi safi
Asante
Mapesa oyeeeeeeee Leo mapesa Leo kanza kuchangamka razaki utajua ujui kiji Cha kina raham ngoja tuone mwisho wake
Anakiwasha sna Mzee mapesa
San ten
Wana kijiji wanapambana kumng'oa rahma katokea mapesa kazi imeanza upyaaaaa
Hatar sana
Leo mapesa si ule wa kila siku 😂😂
Ametufungua macho, lugodisha kipenzi hongera sana 🎉
Asante sana
Mapesa weeeeee unatisha sana 😮 lugodisha jikaze ulete ushindi maana uyu ata maliza watu wako
Kabisa anauchu sna na WANAHIMAYA
safi sana naona wakat wa mapesa umefika
Ndio wakat wake huu
Jamani musa ni dragon kaabza kutisha hata musa kaogopa na kwa vile hakuna lugodisha waa muda wake umefika alichokisema kimeaza kutimia movie ibapamba kwa kweli
Hatar sna sna
Nakubaliiiiii
Asante snaa
Kazi nzuri sana kaka nilikuwa na isubiri kwa hamu sna
@NestoryPrimus-i4e asante sna sna
@africansinema7420 sw kaka pamoja sn
@africansinema7420 pw kaka pamoja 💪👈 sana
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤Vita nikali kwakweli utuwez elewa Kwa sasa lkn muda ukifika utaelewa huu msemo nimesema ili ile kitu initoke😂😂😂😂
Asnate sna sna
Pole mwasiti kipenzi
Asante
Lugodisha Sasa haya nimakibwa Hadi mapesa uwii🥱🥱🥱🥱
Noma sna sna
Mwasit mwasit ww kiboko sio Kwa kuzimia uko wallah mapesa lete vitu mwasit je utaendea na umbea au razk maisha kayapatia kweli wallah Musa Musa pole San mwamba mapesa kafikaaa
😂😂😂😂asante sna sna
Poa tup na ww
Nyie noma kweli Vijana
Asante sna
Jmn mapesa ndy anatsha hvyo mpk kumiza mwasit wang kwel
Htr sna sna
Leo mambo ni moto mapesa 😅😅😅...Lugadisha leo sijaouna uko wapi leo?
Nipo kiuzimu mamtafuta. Rhma
Nakuaminiya sana mapesa
Je nani atatawala kijiji cha iruruma kati ya mapema na rugodisha
Hapo Kazi ipo
Hapo Kazi ipo
hatiame maana ya mapesa leo imejulikana
Kabisa Leo imejulikana
Kazi inakuwa ngumu
Inakuwa ngumu balaa
Mwasiti I hope hajaolewa nampenda ❤️
Ameolewa asante sna
Nafikiria inaisha kumbe ndio mwanzo😮
Inaisha kuwa amani kabisa
Ila mapesa walikuwa wanamdunda mala kwa mala .mala wamchape 😂😂mala wamkate mitama
Kumbe ni hatar
Mapesa 😂😂😂 utakuja ngatwa na nyoka ww Musa mkate hyooo. 😂😂😂 Mapesa wa 🔥🔥🔥 kumbeeee
😂
Move ni nzuri ila mnachelewa sana tunaomba MWe mnaitoa mapema ili ikuwe na ladha Ila mapesa we rahma kayatimba
Sawa asante sna .. mvua ndio inatuchelewesha
Uwiiii Mapesa tenaaa wana iluluma poleni sana
Mme muona beby wangu mapesa😋😋😋 Kwan amuogopi😅
Hahahaha
❤❤
Jmn mwasiti ndo kuzimia gani uko
Hahahahhaa😂😂😂😂
Bora lahila Aongoze kulik mwapesa daah
Mnachelewa saana bana 🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢
Mapesa Ni bala
Noma sna sna
Aisee iko bomba sana
Asante sna sna
Mapesa mtumbaya
Mt mbadi sna
Hatar sna
❤hii movie imeanza kuwa tamu sasa❤❤
Leo nimewahi kutoka rusaka
Karibu sna
Alaa mapesa😂😂 🔥 🔥 📛 🔥
Mapesa ndio shida tupu ilopo kwa hii movie du😂😂
Hatar
Hello hujambo
Tuko poa kabisa
Rugodisha uko wapi
Nipo kaka nawazoom tu
Zenu hamutupi xx
Karibu
Leo nimefurahia Mapesa Ila mda ukifika mtanielewa weee🙉🙉
Asante sna sna
Nimeifata 1mpaka50 lakini muangalie ile muko munaichanga kwa uwingi aitoke vizuri samahanini angalieni ili muitengeneze
Sawa asante sna
𝑴𝒎𝒎𝒎𝒎𝒉 𝒎𝒃𝒏𝒂 𝒕𝒖𝒕𝒂𝒌𝒐𝒎𝒂 𝒔𝒂𝒊𝒗 𝒋𝒎𝒏 𝒎𝒂𝒑𝒆𝒎𝒂 𝒂𝒎𝒆𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒎𝒐𝒕𝒐 haswaa
Hatar sana
𝑆𝑒𝑚𝑎 𝑢𝑛𝑦𝑎𝑚𝑎, 𝑤𝑒𝑢ℎ 𝑙𝑒𝑜 𝑚𝑜𝑣𝑒 𝑖𝑚𝑒𝑘𝑢𝑎 𝑡𝑎𝑚𝑢 𝑠𝑎𝑛𝑎𝑎,, 👏👏👏
Asante sana
Nilijua tu
😂😂😂😂
Mapesa kapanda cheo sasa 😂😂
Yaan watakoma
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mapesqa tsaniuaaa
Lugodisha tuletee next episode haraka jamani tuone mapema akipambana na Rahma
Mda sio mrefu inakijia
nawanazingua sana
Soon final
Yani hapa sasa moto unawaka sasa😂
Yaan ni balaa
Hii movie ni tamu sana wadau tuchangamke 😅tusiwe wachoyo share it with our friends wa enjoy it pia🎉🎉 🥳👏
Kweli kabisa asante sna sna
leo mapesa leo ana waongea washenzi nyie had mseme
Mimi natamani mapesa azibe macho
😂😂😂😂😂
Hee mapesa
Ndio
Hongera hebu toeni episode 50
❤❤ wapi episode 5o
Waiting for Ep 50 mbona mnakawia sana
kwel hap nikuham mumuombee lugodisha afanikiw
Ataolewa nana
😂😂😂😂