MTOTO NYOKA FINAL EPISODE (50)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 406

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD 19 дней назад +12

    Tuliokua tangue mwanzo hadi mwisho tujuane hapa tafadhali kazi safi sanaa mungu awabariki nyote lugodisha finally umetoka kuzimu ukiwa salama mungu n mwaminifu 🙏🙏🙏🥰🥰

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  18 дней назад

      Asante sna sna 🙏

    • @LewisHamiltonGLD
      @LewisHamiltonGLD 18 дней назад

      @africansinema7420 Sasa tuletee kitu kipya tuendelee kuenjoy tu pamoja kaka

  • @REHEMAOSCAR
    @REHEMAOSCAR 18 дней назад +6

    hongereni kumbe mmbeya wenu ndo mwenye nguvu sana chumvi ya penzi c ulimpiga ukakimbia?? ni mm masai gilr love to another❤❤❤

  • @SadaDjuma-e9b
    @SadaDjuma-e9b 19 дней назад +6

    Ila Rahma na Nirhamu wameniliza kiukweli Mungu awabariki saaan watoto wazuri Ninawapenda saan 😘 😘 😘, ila Lugadishu tulete season 2

  • @MamuissumailinassoroNassoronas
    @MamuissumailinassoroNassoronas 19 дней назад +8

    Aaaaaa mmweza sana IPO vizuri hongrreni sanaaaa nawapenda tuletee nyingine

  • @AraBia-u6e
    @AraBia-u6e 19 дней назад +3

    Woow❤❤❤ hongereni sana kazi nzuri nawapenda sana 🎉🎉🎉 mmetupa burudani sana

  • @MaddybeatekJabil
    @MaddybeatekJabil 18 дней назад +6

    Nilianza na nyinyi na malizia na nyiny❤❤ na wapend sana❤

  • @CatherineSyombua-c1z
    @CatherineSyombua-c1z 19 дней назад +5

    Hongera sana lugodishu🙏🙏🙏 tunagojea ingine mpya sasa

  • @AliceKarembo
    @AliceKarembo 18 дней назад +3

    Nimeanza nanyi had ssa mwisho thamthilia nzuri sana naipenda ❤❤❤

  • @HalimaMkupi
    @HalimaMkupi 19 дней назад +3

    Ongeleni wausika wote move ipo vizur ongera lugodisha kwa kumpambania rahama kaweza kujitambua na kukomboa Kijiji ukwer mumeicheza vizur sana mungu awatangulie mutoe kazi nyingine mzur zaid

  • @eunicekemunto9635
    @eunicekemunto9635 18 дней назад +1

    Hongereni sana lugondisha kwa hii filamu nzuri sana🎉🎉 na tuletee ingine nzuri kama hii.thanks.

  • @wamboiwamboh
    @wamboiwamboh 18 дней назад +2

    Rahma,Nilham na watoto wote walioigiza na Lugodisha Hongerani watoto wazuri❤❤❤❤❤❤❤❤ Kenyans we love you may your dreams come to pass in Jesus name amen 🙏🙏🙏

  • @BarakaStationary
    @BarakaStationary 19 дней назад +5

    Hizo nyungo zingekuwa kama usafir na mapesa na rahma wawe maadui pia 🙏🙏🥰♥️

  • @HusnakkussahHusna
    @HusnakkussahHusna 18 дней назад +1

    Kaz nzuri kaka umeijua kuimalzq vzr na kutukonga nyoy ze2❤❤

  • @lovemwantiti8130
    @lovemwantiti8130 19 дней назад +5

    Nimelia nyinyi acheni tu.kama na wewe umetoa machozi gonga like

  • @PendoCharles-c7j
    @PendoCharles-c7j 18 дней назад +1

    Jamani kazi nzuri kaka mungu aendelee kukupua maalifa ya utunzi umetisha sanaaa kwa kweli chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @romanabarua9545
    @romanabarua9545 18 дней назад +1

    Hongereni sanaaaa kwa kazi nzuri naamini mtaendelea kutuletea mambo mazuri zaid ❤❤❤❤

  • @princessjoe4068
    @princessjoe4068 19 дней назад +1

    Nilham amempasha mapesa vilivyo hongera katoto...nawe mwasiti mbeya Kuliko mapesa huwezi funga mdomo...kazi njema na mlete ingine kama hio❤

  • @hildahaule
    @hildahaule 15 дней назад +1

    Wooow Congratulations Sana Lugodisha Pamoja Na Timu Yko Yote Kwa Season Nzuri Iyo Kwa Kweli Mtuletee Nyingine Nzuri Na Kari Kama Iyo Much Love All K❤❤ Kila La Kheri Mwnyezi MUNGU Awatangulie

  • @Mwanahawa-jn2zf
    @Mwanahawa-jn2zf 17 дней назад +1

    Hongereni mko vizuri mungu awape hai kwa kipindi kijacho

  • @JumaSheeh
    @JumaSheeh 18 дней назад +1

    Asante sana lugodisha vizuri sana %👏👏👏😘😘😍

  • @MamaDan-pw4fi
    @MamaDan-pw4fi 19 дней назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤hii n kwa ajili ya team lugodisha, kazi nzuri na mmemaliza vizuri, barikiweni na mlete season 2,.

  • @noorischmutisch5321
    @noorischmutisch5321 18 дней назад +1

    Very nice,,congratulations to all of you who participated in this movie..nawapenda nyoteee..leteni movie nyingine InshaAllah.

  • @Mary-q5d5c
    @Mary-q5d5c 19 дней назад +2

    Marshallah nilianza na nyinyi nikamaliza na nyinyi 🎉🎉naomba mlete ingine kama hii 💖 hongera sana ❤❤❤

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  19 дней назад

      Asante sna .. muda sio mrefu tunawaletea

    • @Mary-q5d5c
      @Mary-q5d5c 19 дней назад

      @africansinema7420 inshallah 🙏 ❤️

  • @NestoryPrimus-i4e
    @NestoryPrimus-i4e 16 дней назад +1

    Nakubaliiiiii good job lugodisha una jua sana

  • @JobMbanga
    @JobMbanga 18 дней назад +1

    Tunashkuru sana lugodisha mungu awe nanyi siku zote mlete mambo mapya sass❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Mtotowainter
    @Mtotowainter 18 дней назад +1

    Hongera sana nyote kaz nzur sna 🎉🎉🎉❤❤🎉🎉

  • @monicamutheu
    @monicamutheu 15 дней назад +1

    Hongera kwa kazi zuri kwanza Neliham na Raima pamoja na Lugodisha

  • @IbrahimMjeda
    @IbrahimMjeda 19 дней назад +1

    Lugodisha kaz nzur mungu awape afya njem mtuletee nyengn karbun zanzibar

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  12 дней назад

      Ooooh asante sna nmekalibia hapo sipand meli napaa tu natua Zanzibar..

  • @devothaChristian
    @devothaChristian 10 дней назад +1

    Mturetee nyingine maana ilikuwa ya moto pokea mauwa yenu❤❤❤❤❤❤❤

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 14 дней назад +1

    Mapesa pesa wa 🔥🔥🔥🔥🔥sasa raham.kishwa habari yako razaki upo

  • @JustineMusungu
    @JustineMusungu 19 дней назад +1

    Hongera sanaaaa lukodisha n kikundi chake lakini sijamuona johali , thanks for your winning twawapenda sana❤❤

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  19 дней назад

      Johar alikuwa mgonjwa Ila season two tuko pamoja

    • @jumachumuru4783
      @jumachumuru4783 19 дней назад

      Pole yake jamani na kipindi hiki cha likizo utawapata na Mungu @wape elimu​@@africansinema7420

  • @glorytwanga1611
    @glorytwanga1611 17 дней назад +1

    wooow hongera sana nzur mno😊

  • @AmosMurimi-k5b
    @AmosMurimi-k5b 19 дней назад +1

    Asante sana kakangu.Nimefurahia kupelekana nawe mpaka mwisho. Kutoka Kenya asante

  • @BarakaStationary
    @BarakaStationary 19 дней назад +2

    Aaha sijapenda kabisa ingeendelea season 2 rahma na mapesa wapambane Sanaa n nyungi hizo za nilhamu zije 😂😂😂❤❤ 🙏🙏🙏 kazi mzr hongereni nyote jamn

  • @NancyUrassa-y6v
    @NancyUrassa-y6v 19 дней назад +1

    Aisee lugodisha hongera sana sana kwa kaz nzuri na pia wasalime rahima na nilham waambie tunawapenda sana

  • @FelisterNdanu-i7y
    @FelisterNdanu-i7y 19 дней назад +1

    Wah kazi zuri sana ebu leteni ingine tamu kama hiyo na msiache mapesa jamani Nawapenda sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦😂😂😂

  • @SadaDjuma-e9b
    @SadaDjuma-e9b 19 дней назад +1

    LUGODISHA ckua 🎉🎉🎉yako, kazi nzuri saan, sikutamani movies hii imalizike, yni ninzuri mno, kiukweli unastahili tuzo, ila tulete nyingine nzuri km hii tunakupenda saan, umeweza saan 😘😘😘😘

  • @noreennafula-zj8zp
    @noreennafula-zj8zp 19 дней назад +1

    Hadi nmelia lahima akiongea... hongera sana lugodisha 🎉🎉🎉

  • @wamboiwamboh
    @wamboiwamboh 18 дней назад +2

    Wenye tumefwatilia Toka mwanzo Hadi apa Leo tuko mwisho gonga like❤❤❤❤❤Kisha niwatakie krismasy njema na mwaka mpya mwenye mafanikio kwa kila mmoja❤❤❤❤❤homgera sanaaa lugodisha🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mariasimonmuhando-m8x
    @mariasimonmuhando-m8x 19 дней назад +1

    Ni nzuri sana 👌 hongeleni kwa kazi nzuri

  • @DegraciasIgunzichang
    @DegraciasIgunzichang 18 дней назад +1

    Asante sana lugodisha, iyi series imetufunza bitu mingi sana ila kwa kifupi nimepata funzo mbili ya kwanza : adui wa mutu ni wakaribu yake, na y'a pili usidharau mutu kwasababu haujuwi ninani.
    Hongereni sana 🙏

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  18 дней назад

      Asante sana sana .. naamin tutakuwa pamoja tamthilia ijayo

  • @SalomeMideva
    @SalomeMideva 19 дней назад

    Wauu ❤❤mtoto Nilhamu ako fty Sana n nyote mliochangia hongera sana

  • @LizzyBeb-m6s
    @LizzyBeb-m6s 19 дней назад +2

    Kazi nzuri sanaaaaaa 🎉🎉🎉❤❤

  • @Professor.Irene95
    @Professor.Irene95 19 дней назад +1

    Naomba lugodisha ulete mwendelezo wa hii movie hii adithi ni nzuli sana haijastahili kuishia apa nazani utaleta mwendelezo wake 💕💕🇦🇪🇦🇪❤️❤️ maisha melefu kwenu wote nawapenda sana mungu awaweke salama ❤️❤️🇦🇪🇦🇪❤️❤️

  • @BothainaBothaina-k6c
    @BothainaBothaina-k6c 19 дней назад +1

    Kazi nzuri sana lughodisa tukeleteeni movie nzuri kama hii jamani imetamba sana🎉🎉❤

  • @sharonnanjalashaz910
    @sharonnanjalashaz910 18 дней назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉 nimelia sana but nimejifunza kitu

  • @AnnSindoi
    @AnnSindoi 19 дней назад +1

    Wow kazi nzuri sana adimaye mumemaliza vizuri nimeipenda sana,,,

  • @BaxterJere-d4u
    @BaxterJere-d4u 17 дней назад +1

    Kazi nzuri Iyagamba big up

  • @HappinessJoseph-o7h
    @HappinessJoseph-o7h 18 дней назад +1

    Asante kazi nzuri hongereni sana

  • @teddysananga
    @teddysananga 18 дней назад +1

    👏👏👏 Nawapenda ❤❤

  • @magg_iemwangi
    @magg_iemwangi 18 дней назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉hongere hukuaibisa kijiji ❤❤❤❤❤

  • @Professor.Irene95
    @Professor.Irene95 19 дней назад +1

    Hongereni sana hongera sana kaka rugodisha umepambana sana kazi nzuli sana na funzo Kwa jamii kaka tunakuombea utoe Kali zaidi ya hii ❤️❤️❤️much love from Dubai 🇦🇪💕💕

  • @neemabaraka3800
    @neemabaraka3800 14 дней назад +1

    Hongera sana Lugodisha,Rahima, Miriam na watoto wengineo

  • @harrynamungu632
    @harrynamungu632 19 дней назад +1

    Kazi nzuri Sana tumekuwa pamoja na tutabaki Kuwa pamoja sinema nzuri pia mwasiti ni mzuri pia

  • @noreennafula-zj8zp
    @noreennafula-zj8zp 19 дней назад +1

    Hadi nmelia lahima akiongea...hongereni sana🎉🎉

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  18 дней назад

      Asante pia pole.. hata Mimi nmelia japo kuwa nilikuwa nategeneza mwenyewe

  • @sarahkararinyakinyua3618
    @sarahkararinyakinyua3618 19 дней назад +1

    Best movie and best ending nimeipenda Sana mmeimaliza poa though sijamuona johari na mwajiwa mwisho wao ilikuwa aje

  • @KanyerereThomass
    @KanyerereThomass 17 дней назад +1

    mapesa kasha yakanyaga filam nzur sana jimeifatilia tangu mwanz nimeikubar sana

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث 19 дней назад +2

    Imeniuma sana nimelia kwa kkweli ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote 😢😢😢😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤❤

  • @maurine3503
    @maurine3503 19 дней назад +1

    Mapesa sijapendo 😂😂😂😂 Logodishia twasubiri ulete nyingine❤❤

  • @مستورهالعنزي-ي6ه
    @مستورهالعنزي-ي6ه 19 дней назад +1

    Raha juu ya raha mashaallah imeisha poa xna❤❤❤❤🎉

  • @CarolineOside-s5q
    @CarolineOside-s5q 19 дней назад +2

    Nawapenda sana mwasiti nitakumiss

  • @EkureFlo
    @EkureFlo 17 дней назад +1

    Hongera sana 👏👏👏👏 Logodisha na team yako..,kazi nzuri sana tangu nianze kutazama ep 1 to 50..,be blessed all of you guys..,pass my greetings to Musa,mwasiti.,nilham.,much love ♥️♥️ from this side 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya🇰🇪🇰🇪.., you have gained a new subscriber here,this Dec.

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  14 дней назад

      Asante sna pia nashukuru sna kwa sapot Yako kuwanzia mwanzo had mwisho.. tuko pamoja

  • @RebekaDindi-so6ev
    @RebekaDindi-so6ev 19 дней назад +1

    Jamn jamn wamehitimisha vyema Sana iendelezwe Hy na nimefurah kwa sabab lugodisha amerudi Salam kutoka kuzim mapesa amefeli lakin kwakwel Kila mtu ameplay party yake well guys pongezi kubwa Sana

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  18 дней назад

      Asante sana .. pia nashukuru kwa sapot Yako.. muda sio mrefu naleta nyingne

  • @NdanuMukula
    @NdanuMukula 19 дней назад +1

    Asante Sana lugodisha Kwa kazi zuri ❤❤❤❤❤

  • @janephaphaatemba4917
    @janephaphaatemba4917 19 дней назад +1

    Wow kuanzia 1 paka 50 imekua tamu sana Asante kwa kutufutahisha hapo kwa mapesa kuongoza Kijiji no ingekua Kijiji Cha umbea 😂

  • @JosephDiwani
    @JosephDiwani 19 дней назад +1

    Kazi nzuri iunganisheni iwe movie Moja

  • @Eunicemakokha-gc9ss
    @Eunicemakokha-gc9ss 18 дней назад +1

    Movie nzuri kama hii sisi kama mashabiki wenu tunawaomba season two please ndio movie inaanza kukolea kwa utamu na inaisha hapana jamani lugodisha na wahusika wote nawapenda sana❤❤❤❤from kenya happy chrismass to all hope next year season 2 tuungane nyote

  • @ZulphaMsangi-s9g
    @ZulphaMsangi-s9g 19 дней назад +1

    Waoooooh kazi nzuri

  • @ZumratHaji
    @ZumratHaji 11 дней назад

    Tunashukuru sana kazi zurii🎉🎉❤

  • @Christine-ho5us
    @Christine-ho5us 19 дней назад

    Woow miriam nimependa msimamo wako kutoka mwanzo hadi mwisho maua yenu team mtoto nyoka wote kwakweli mmefanya kazi nzuri sana hop kuna kazi nyingine iko jikoni 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  19 дней назад

      Asante sna . Kazi Iko jikon soon itakuwa hewan

    • @Christine-ho5us
      @Christine-ho5us 19 дней назад

      @africansinema7420 tunaisubiri kwa ham sana brother

  • @gracemuli5141
    @gracemuli5141 19 дней назад +1

    Kazi safi sana lugodisha tutawamiss sana tafadhali twangoja season 2 nitaambia nn mtoto wangu twangoja season 2😢😢😢😢😢

  • @HusnaTanzania
    @HusnaTanzania 19 дней назад +1

    Niliham nimekupenda wewe mtoto ❤❤❤

  • @madymag6926
    @madymag6926 19 дней назад +1

    Nawapenda bure nyote kwakazi nzuri sana ❤❤❤❤

  • @AbibaChindigwa
    @AbibaChindigwa 19 дней назад +2

    Leo nimewahi kweli hila lugodisha hongera sana

  • @SheeBee-z9m
    @SheeBee-z9m 19 дней назад +2

    Wooow wonderful you have gain another subscriber 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉l have watched from epsd 1 upto 50 you people you're going far Continue like that ❤️❤️❤️❤️❤️🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤️❤️❤️❤️❤️

  • @CollinsOjiambo-t2i
    @CollinsOjiambo-t2i 6 дней назад +2

    kwa wale wtamiss my wife (mwasiti,,) wapi likes kwake

  • @paulotemba8881
    @paulotemba8881 19 дней назад +1

    Asanteni kwa kazi nzuri yenye kutuelimisha

  • @DusabeNtamunti-sn6om
    @DusabeNtamunti-sn6om 19 дней назад +1

    Munamalizamuzuri sasna nawapenda❤

  • @CatherineBrigitte
    @CatherineBrigitte 19 дней назад +2

    Burundi 🇧🇮 nipeni like zangu🎉

  • @MwanadiaMkufi
    @MwanadiaMkufi 19 дней назад +2

    Mmejua kuniliza hapa mwishoni😢😢😢

  • @olivierhemed3590
    @olivierhemed3590 19 дней назад +2

    kiukweli mmeua nawapenda sana, Mungu awatunze❤

  • @SultanAlshekaili-q8f
    @SultanAlshekaili-q8f 19 дней назад +1

    Safi lugodisa kwa kazi nzuri

  • @mwelukioko7982
    @mwelukioko7982 19 дней назад +1

    Congratulations 🎊 👏 💐 🥳 alot Lugodisha na family yako kazi nzurisana❤..Next ni Episode gapi plz 🙏? Tumewazoea.

  • @rizikicharles2030
    @rizikicharles2030 19 дней назад +2

    Wanaoamini baada ya hii kazi kuisha kinakuja kichupa kizuli zaidi ya hiki gonga like apa. ❤❤

  • @AbibaChindigwa
    @AbibaChindigwa 19 дней назад +3

    Hila lugodisha tuletehe nyigine nzuri kama hii

  • @RoseErnest-s8i
    @RoseErnest-s8i 19 дней назад +1

    Hiii imeenda kabisa imeishavizuli kingine namimi nahitaji Ingo huo

  • @Judithopondo-fn9dr
    @Judithopondo-fn9dr 18 дней назад +1

    Hongera .lugodisia

  • @LorineAbuko
    @LorineAbuko 19 дней назад +1

    ❤❤❤amen mwisho wetu .la heri

  • @fartunyussuf5947
    @fartunyussuf5947 19 дней назад +1

    Mwasiti ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @REHEMAOSCAR
    @REHEMAOSCAR 18 дней назад +2

    waooh, jamani

  • @EmilyAndeyo
    @EmilyAndeyo 19 дней назад

    Imeisha vizuri iasey hongereni sana team Lugodisha🌹

  • @RusiaBayron
    @RusiaBayron 19 дней назад +1

    Nimeliaa sana kama naww umelia kama mm like tafadhali😭😭😭😭😭. Hongeleni sana

  • @Rachel-q9m
    @Rachel-q9m 19 дней назад +1

    Nimeifatilia Ngoma hii mwanzo mwisho,,na kiukweli nikitu kimepangika sana..japo ndo mwisho ila kwa maono yangu kama tungepata episode 2 basi mambo yangekaa sawa sana..tunatamani kujua hatma ya mapesa na ukurasa mpya wa Kijiji Cha Wana iruruma..kazi imefanyika vyema na sote tumefurahia sana..pongezi za dhati naheko sana kwa kazi nzuri 🎉🎉naomba msikimywe sana maana tunatamani uwepo wenu tena natena.. shukrani 🙏

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  12 дней назад

      Sawa asante sana.. tupo tunapika jambo jingne linakuja muda sio mrefu...

    • @Rachel-q9m
      @Rachel-q9m 11 дней назад

      Amina kila lakheri nawatakieni 🙏🙏🙏

  • @Kahogoasili2024
    @Kahogoasili2024 19 дней назад +4

    Wa kwanza naombeni like zang

  • @lucywangeci2952
    @lucywangeci2952 19 дней назад +1

    yani ni kali mungu awabaki na azidii

  • @KagendoPionah
    @KagendoPionah 19 дней назад +1

    Hongera sana rugodisha❤na team yako actually I will miss you 😢

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  19 дней назад +1

      Asante sna... Mda sio mrefu tutakuwa pamoja

    • @KagendoPionah
      @KagendoPionah 19 дней назад

      @africansinema7420 kutakuwa vizuri sana

  • @collinsouma-u5b
    @collinsouma-u5b 15 дней назад +1

    Wahenga awakukosea walipo Nena ya kwamba kilicho na mwanzo lazima iwe na mwisho ilikuwa amaizing ila Mungu azidishe kuwalinda

  • @PiliismailPili
    @PiliismailPili 19 дней назад +1

    Nzuri❤❤

  • @machozimukucha
    @machozimukucha 18 дней назад +2

    🎉🎉❤❤🔥🔥🔥

  • @TWITEBULABULAPITIÉ
    @TWITEBULABULAPITIÉ 16 дней назад +1

    Napendasa imuvie