🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 23

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 День назад

    Kweli

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki День назад

    Hakika mzee unaongea vizuri sana viongozi wetu woote wa yanga na simba wajaribu kila wakati kufanya hivyo watafanikiwa kuwapata wachezaji wengi wazuri zaidi

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 День назад

    Wapeleke kwa Heris , anajua wachezaji

  • @abubakarsaid7303
    @abubakarsaid7303 2 часа назад

    Soka limevamiwa huku😂😂😂😂😂

  • @EvaNdayishimiye-n5o
    @EvaNdayishimiye-n5o День назад +1

    Wewe ni simba kama unasema kibwana hajuwi hujuwi mpira mwenda atacheza acheni hersi afanye kazi

  • @GasperMwaisa-rb1lf
    @GasperMwaisa-rb1lf День назад

    Fara kweli ww

  • @BupeAbsalom
    @BupeAbsalom День назад

    Wambie wakusikie, 🤣🤣🤣

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 День назад

    Angalia kombe la mapindizu tuko wapi

  • @japhetjaphet5996
    @japhetjaphet5996 День назад

    wa zamani wamepita angalia zenji mapinduzi cup wanachokifanya ni utopolo mtupu

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 День назад

    Ili tufungwe

  • @dominickazmili8032
    @dominickazmili8032 День назад

    Broo watoto wako wanacheza wapi unaongea mambo hayaeleweki

  • @ManjaHisani
    @ManjaHisani 4 часа назад

    Inamaana umekaa hapo kuwaponda wachezaji wakigeni tu unda tim yako ya wazawa tuiyone

  • @longinomartin6062
    @longinomartin6062 17 часов назад

    Kaka mawazo yako ni mazuri lakini Angalia kwanza Huoni kwamba magolikipa wa nje wamewapa vijana wetu wamejituma kupitia hao - kwanini usiazishe academy yako kuendeleza vipaji hivyo - Kwanza pesa unayo Elimu unayo pia sauti yako inakubalika Dunia . Tusaidie sana kaka kufufua mpira wetu.

  • @jumanneshego3308
    @jumanneshego3308 14 часов назад

    uyo rawi kamsajiri wewe acheze kwenye tim yako

  • @Johnsonchristopher-uc5er
    @Johnsonchristopher-uc5er 13 часов назад

    😂😂😂😂😂😂 nyie nyie hatukufika peke yetu ninhao hao wageni wametufikisha hapa , mfano real Madrid kuna wazawa wangapi

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 День назад

    Miaka Yote ulikuwa wapi. Ulizuka tu wakati wa Mwenda zake sasa umeanza kujitokeza kwenye Soka
    YANGA bado Wachezaji walio wasajili kuthibitishwa wa dirisha Dogo.
    Je uharakati wa siasa umeacha?

  • @ndayundi200
    @ndayundi200 17 часов назад

    Anzisha timu yako itakayokuwa na makipa wazawa.

  • @DanielBenard-c5m
    @DanielBenard-c5m День назад

    Wewe hujui mpira mjinga wewe

  • @eliasbadyana
    @eliasbadyana День назад

    Tatzo rushwa.Ndomana hatuwez kuendelea kisoka,unakuta vijana wenyesifa hawachukuliw halaf wanachukuliwa vijana wasio nasifa

  • @TaimourAlly
    @TaimourAlly День назад

    Ww km hunastor usiuze sura kwenye media km bich boy niwachezaj wazur mbele ya aucho na yao bc pambania taifa lako taifa stars fala ww Tena usenge huo ufanyie uko uko Simba ww jike ww

  • @jumamakame3978
    @jumamakame3978 День назад

    Fata uomgozi unavo taka wewe usipwayuke tu apo

  • @TaimourAlly
    @TaimourAlly День назад

    Uyu mzee anafirwa siuanzishe yako timu ukachukue hao wacheza mchangani ungie ligikuu tukutane ww mchezaji mkubwa usifananishe na bich boy falaww

    • @batashqiraa9936
      @batashqiraa9936 День назад +1

      Eh! Eh! Eh! Ndugu unamtukana mtu matusi ya waziwazi, si lugha nzuri hata kidogo, sio uungwana hata kidogo, wewe mjibu tu kwa hoja sio matusi hapo umefeli huna coment, matusi sio coment