Kama alikuprove kufeli, hata hili nalo utafeli. Viongozi wa Yanga lazima wana mpango kazi kwa wachezaji walio nao! Yanga walishamtoa Msuva, Nondo shabani Mayele n.k. Huhitajiki kuwashinikiza Yanga! Wao ndiyo waliomlea na wanajua namn na muda wa kunufaika naye! Tunahitaji kufikia mafanikio ya juu kupitia Mzize. Acha kutaka kumwondoa kabla timu haijanufaika naye!
Wewe ni mwana harAhakatff kisiasa KIJAMII MPIRA NA WEWE NI TOFAUTI.KIWANNGO akiwa Yanga kinakua hakifi warrabu wanaua vipaji kama mifano miquison na chama
Hiv mnaona Al ahl anaachia wachezaji wazur hovyo? Huwez kuw na ndoto ya kutwaa ubingwa wa Afrika ikiwa unaanzisha project ya wachezaj wadogo ikianza kuzaa marunda ukauza hapo hmna kitu ndo maan huon club kubwa zikiuza hovyo rasilimali watu wake muhimu baada ya tp mazembe kuyumb kiuchumi walivyo ruhusu wachezaji wake kuondoka nini kimetokea? Hao azam hatua gani ya maana wamefika kweny mech za CAF? Muwe mnatumia akili unapo andaa project ili ilete matunda ni lazima uwahodhi wachezaji wako mahiri
Wawape kipao mbele
Hayakuhusu
Acheni matusi jamani
We mzee ujielewag na hizi media zngne zinatoa nafas kw wehu we Kuma xna
Jamaa siasa zimemshimda kageukia huku ya football! Utajua Kila kitu?
Tena upoteee
Kama alikuprove kufeli, hata hili nalo utafeli.
Viongozi wa Yanga lazima wana mpango kazi kwa wachezaji walio nao! Yanga walishamtoa Msuva, Nondo shabani Mayele n.k.
Huhitajiki kuwashinikiza Yanga!
Wao ndiyo waliomlea na wanajua namn na muda wa kunufaika naye!
Tunahitaji kufikia mafanikio ya juu kupitia Mzize. Acha kutaka kumwondoa kabla timu haijanufaika naye!
Wewe ni mwana harAhakatff kisiasa KIJAMII MPIRA NA WEWE NI TOFAUTI.KIWANNGO akiwa Yanga kinakua hakifi warrabu wanaua vipaji kama mifano miquison na chama
Aimalike kwanza anaweza kwenda
Kwa mihemko akenda kulikalia bench mwaka na mpira wenyewe ukaishia hapo hayo sio mambo yakurupuka
SIMBA AZAM HAWANA MUDA WAKUWAZUIA WACHEZAJI KUONDOKA NA KUUZWA MBALI. YANGA NI WAGUMU KUWAACHIA WACHEZAJI.
Hiv mnaona Al ahl anaachia wachezaji wazur hovyo? Huwez kuw na ndoto ya kutwaa ubingwa wa Afrika ikiwa unaanzisha project ya wachezaj wadogo ikianza kuzaa marunda ukauza hapo hmna kitu ndo maan huon club kubwa zikiuza hovyo rasilimali watu wake muhimu baada ya tp mazembe kuyumb kiuchumi walivyo ruhusu wachezaji wake kuondoka nini kimetokea? Hao azam hatua gani ya maana wamefika kweny mech za CAF? Muwe mnatumia akili unapo andaa project ili ilete matunda ni lazima uwahodhi wachezaji wako mahiri
Kuropoka umezidi nakujifanya mnafahamu yote
Wewe unajulikana Tangu Zamani ukweli hajielewi. Ni mchonganishi
Umeanza na ujinga wako wakati yanga inastruggle nae mbona mlikaa kimya au mnajua alipotoka mfyuuuu
Wewe ni mtu unayejitambua sana
Huyu jamaa ni mkundu kweli kweli arudi kwenye siasa mjinga ww nyambafu sana mkury amabae hajielewi fara ww
Uyu jama ni kolo ndie aliyo mchafuwa hersi kwanini gamondi aondoke sasa kwangu mimi nimnafki
Uongo wako hatuutaki ongelea yanayo kuhusu mnafiki ww hueleweki
Kwani huna kazi ya kufanya wewe mkundu mweusi 😮