Zelensky afunguka kuhusu vifo vya wanajeshi wa KoreaKaskazini waliopelekwa Urusi kupigana na Ukraine

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 27

  • @zakariaabdalla-uo3nk
    @zakariaabdalla-uo3nk 57 минут назад +1

    Mbn hataji wake

  • @StrongbowArrow2004
    @StrongbowArrow2004 2 часа назад +3

    Huyu nae yeye akubali tu watoto wa Kim Jong Un wanampelekea moto🔥🤣🤣🤣🤣

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 Час назад

    Na bado kitamramba 😂
    Good work mr Putin ❤🌹
    🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪

  • @harounkiyungi7288
    @harounkiyungi7288 Час назад

    Choko huyu

  • @suleimanmohd.7197
    @suleimanmohd.7197 Минуту назад

    Mbona ww unachukua wanajeshi na vifaa vya Ulaya na Nato?

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 часа назад

    moto wa KIm-mhhh😀😀😀

  • @rickyphilemon2623
    @rickyphilemon2623 3 часа назад

    😊😊😊😊😊😊

  • @rashidikhassim8125
    @rashidikhassim8125 3 часа назад +1

    Kwenye kichwa cha habari mmekosea mmeandika Korea ya kusini badala Korea kaskazini

  • @DINASSOUR
    @DINASSOUR 2 часа назад

    Amekua msemaj wa urusi

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 Час назад +1

    Shida sio wanajeshi wakorea kupigana Vita...shida ni vile unavyo wasadaka wa Ukraine, ukiamini utashinda Vita ,ila jipe moyo wenda ukashinda mbona hata Uganda ilijipima nguvu na Israel, zilipigwa israel ikashinda😂ila ilichezea kidogo

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 Час назад

    Analeta comedy huyu

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 2 часа назад

    Utakufa wewe

  • @ShedrackShedrack-c2b
    @ShedrackShedrack-c2b 2 часа назад

    Urusi hanasaidiwa namataifa mengi kijeshi chechinia Belarus Kazakhstan Afghanistan zidiya mwanaume mmoja zelensk bado urusi hanataka kujfananisha na marekan

    • @bladetvke
      @bladetvke 2 часа назад +1

      Umesahau NATO ndio wanapigana Ukraine

    • @lourykibudu
      @lourykibudu 2 часа назад +1

      Mhhhh kumbe Bado kweli tuna mentality ya utumwa kama Bado akili zetu ni mgando kama zako

    • @avivtelcomms
      @avivtelcomms 2 часа назад

      Ukweli mchungu mkuu

    • @yohanakananika3586
      @yohanakananika3586 2 часа назад

      Andika vizuri tukuelewe basi

    • @StrongbowArrow2004
      @StrongbowArrow2004 Час назад

      @@ShedrackShedrack-c2b Zero brain 🤗 watu kama hawa nikikamata NAUA 😏😏😏😏🧐☹️🤔

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ Час назад

    𝐊𝐚𝐨𝐧𝐠𝐨 𝐡𝐚𝐤𝐚 𝐰𝐚𝐦𝐞𝐤𝐮𝐟𝐚 𝐚𝐭𝐨𝐞 𝐮𝐬𝐡𝐚𝐡𝐢𝐝𝐢. 𝐀𝐬𝐞𝐦𝐞 𝐓𝐮 𝐰𝐚𝐬𝐡𝐚𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐮𝐣𝐮𝐳𝐢 𝐰𝐚𝐦𝐞𝐫𝐮𝐝𝐢 𝐤𝐰𝐚𝐨 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐤𝐮𝐣𝐚 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐬𝐢𝐨 𝐰𝐚𝐦𝐞𝐤𝐮𝐟𝐚 𝐲𝐞𝐲𝐞 𝐚𝐡𝐞𝐬𝐚𝐛𝐮 𝐣𝐞𝐬𝐡𝐢 𝐥𝐚𝐤𝐞 𝐥𝐚 𝐊𝐨𝐫𝐞𝐚 𝐡𝐚𝐥𝐢𝐦𝐮𝐡𝐮𝐬𝐮 😂😂😂