Leo Wana sns mumenifurahisha sana yaani baada ya vurugu la sisi baadhi ya wakenya wenye roho za korosho, naona mumemuchambua diamond kwa mapana na marefu😂
Willy Takataka yupo anaisoma hii taarifa akiwa chooni anakunya kwa uchungu kama anazaa. Endeleeni kubaki na kenyan for kenyans wakati sisi tukifanya miamala ya kidunia muendelee kujifungia kwenye kiijiji chenu huko uchawini mkisikiliza nyimbo zisizoeleweka kama ngoma za kuitisha mizimu 😂😂😂
Kwenye hiyo orodha yote hakuna mkenya🇰🇪 a.k.a wachawi🇰🇪 kwasababu hamjulikani na hata mkijulikana hawawataki maana mtaenda kuwaharibia shughuli yani nyie kila muda mna catch feeling kama madem, hamfocus na kufanya vitu vizuri vikubalike bila kutafuta huruma, mnataka huruma nyingi kazi kidogo. Msipoangalia mtaanza kuingia period 2025 na umama wenu
Will pozee nyota ako chafu san..tafuta maji ya bahar ukaoge na siyo kutaka kumchafulia msanii wetu Tunu yetu ya Africa..Mondi bin laden..😂..Ww endlea kuwekeza buku jelo kweny muzik wako utopata show hata ndondo Cup..😂..#Kamdomoo #kamdomooo
😂 Wapi Pozze.. 🦁Simba Bado niwa Moto 🔥🔥 Anatuwakilisha vyema Kabisa..
❤❤🎉🇹🇿🇰🇪👍🤜🏾
Huyu jamaaaaaaaa❤❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😂😂 NI Nomaaaaa
Weweeeeee Simba wetu weeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪
Aisee daimondi msanii mkubwa wa africa
Willy paul nikupe pole sana simba sio level yako😂😂😂
Kweliiii kabisa atafute level zake
Mungu washangaze wajue kwamba mondi ni noma 😂😂😂❤
Thank you good comment
Wa kwanza 🇧🇪🇧🇪💪💪💪
Asante kaka kwa tarifa hii njema
Mwanangu POZEE tukalete vurugu tena huko moroco
POZZEE WEWE UTAPERFORM KOMBE LA DUNIA YOU KILLED IT POZZEE MANINA ULITAKA WAKENYA TUMCHUKIE MONDI SABABU YAKO BINAFSI
Poze aendelee kulia atafute kuhurumiwa badala ya kufanya kazi...
Unaongeya point
❤❤❤❤
Hii show za mipira zinakuwaga na mtonyo mrefu kuliko ordinary shows
Acha uongo mmbwa wewe
Sana ...yaan show za mpira ndo balaaaa❤❤❤❤
Sahihi kabisa
@@Peterchila-un2lx show iliyo pita allipwa billion 1 na nusu apo CAF unabishana nn
Leo Wana sns mumenifurahisha sana yaani baada ya vurugu la sisi baadhi ya wakenya wenye roho za korosho, naona mumemuchambua diamond kwa mapana na marefu😂
Willy Paul atatumbuiza worldcup
Asipopanda tena atajua hajui😂😂😂 0:34
Wakenya wajifunze kumweshimu Diamond
😂😂
Kenya atumtaki 💯❌
Jaman atakaeshikilia camera hiyo siku aishike kwa makini sana ili video tuipate wote kwa usahihi😅🤣🤣. Waooo Simbaaaaaaaa🚀🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wasee wkinisuport naezafika hko juu walai 😢
@@sulleymernmannarah7930 hawezi ,,huyo labda abaki kuwa msanii wa Kenya tu,,
Na Erik aendelee kumpa kichwa
😂😂😂 we jamaa
Na hawajaona Pozze ama ni gan 😅😅😅
Willy Pozeee tukaiharibu show 😅😅
Wakenya mtumeni pozee wenu ssa 😁😁😁
Amchukue willy pozze MSAFI 😂😂😂
Halafu anakuja willy paul anataka ashindane na hiki chuma 😂😂😂
huyo anae jiita poze mavi wa Kenya Simba sio levo zako
Simba kawakirishe vyema....ipige double hadi ya kenya...
Diamond hooye🔥🔥🔥🔥
Willy Paul atakuwepo?
😂
Willy Paul hakiwii kufnya fujo na uko...
achana na huo ubwa hata rwanda nigeria dubai hajawahi kanyaga atakanyaga uko
Na Kenya je Nanni anawakilisha
Simba
Willy Takataka yupo anaisoma hii taarifa akiwa chooni anakunya kwa uchungu kama anazaa. Endeleeni kubaki na kenyan for kenyans wakati sisi tukifanya miamala ya kidunia muendelee kujifungia kwenye kiijiji chenu huko uchawini mkisikiliza nyimbo zisizoeleweka kama ngoma za kuitisha mizimu 😂😂😂
Ndio mjuwe mondi sio mtu wakufananishwa na izo pumba zenu mziki ni akili tu ukiwa unaakili utaishia apa tz tu
Mbona naskia yule Mong'oo wa kenya ndio atakuja funga show usiku wa CAF na mbogi ya Kisumu😂😂😂
Mzee babaaaaa ukubwaaa huoooo
ए😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉
pozze 😂😂😂😂
Sasa kwnn hawakumuita pozee
Willy paul anaona lkn
Mwendo ule ule tunasusa show tunarudi hotelini kulala 😄
Pozee nae atakuwepo?
Kwenye hiyo orodha yote hakuna mkenya🇰🇪 a.k.a wachawi🇰🇪 kwasababu hamjulikani na hata mkijulikana hawawataki maana mtaenda kuwaharibia shughuli yani nyie kila muda mna catch feeling kama madem, hamfocus na kufanya vitu vizuri vikubalike bila kutafuta huruma, mnataka huruma nyingi kazi kidogo. Msipoangalia mtaanza kuingia period 2025 na umama wenu
Wakajitafute kwenye orodha za Marathon sio mziki😂😂
Wengine wako kuhangaika na akina bibi Kajala😂😂😂juz Kenya kaweka kibindon 400 milion..kesho anaweka kibindon tena mipunga
Ata MAMAAKO Alikuwaga Busy na BABAAKO ND Ujaptijana wew😂
@rajabukipara3008 mjusi kwel wewe😂
Sky sky sky... diamond ana album nne.... jman ila
Unaonekana kabisa kua una kichwa kigumu. Yeye anasoma taarifa iliyoandikwa. Yeye anasoma tu. Yani huo unaitwa usemi wa taarifa
Will pozee nyota ako chafu san..tafuta maji ya bahar ukaoge na siyo kutaka kumchafulia msanii wetu Tunu yetu ya Africa..Mondi bin laden..😂..Ww endlea kuwekeza buku jelo kweny muzik wako utopata show hata ndondo Cup..😂..#Kamdomoo #kamdomooo
Pozze
Najua ataogopa tna kupiga chow 😂