🔴LIVE :RIPOTI YA LEO [LEAH SEHEMU 4] - DEC 5, 2024-

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии •

  • @annakutingala5704
    @annakutingala5704 9 дней назад +5

    Dada Veronica una sauti mzuri sana... Hawajakosea kukuchangua utosomehe hizi simulizi. Sauti yako haichoshi 🥰🥰🥰

  • @DeruDeru-p4t
    @DeruDeru-p4t 9 дней назад +2

    Umependeza dada pokea maua 🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @yohanatweve5721
    @yohanatweve5721 9 дней назад +2

    Kwakweli nikilio😢😢

  • @نجاةالعبري
    @نجاةالعبري 8 дней назад

    Mnh stor mpk ina sisimua nywele 😢

  • @JoyceMetsoni
    @JoyceMetsoni 9 дней назад +3

    Huyu mama leah kiboko kuua watoto wako😢

    • @ScholarPeter
      @ScholarPeter 8 дней назад

      Wachawi wengi wanauwa watoto wao

  • @angeljacobo6330
    @angeljacobo6330 8 дней назад +1

    Jamn binadamu 😢

  • @yovithakijuu6852
    @yovithakijuu6852 8 дней назад

    dada vero mi niko dodoma ckupat kabisaaaaa

  • @Mwanuniabdallah
    @Mwanuniabdallah 9 дней назад +3

    Yaan vero story za wanaume zinakuwa za upambanaji ila za wanawake zinakuaga ni za uchawi. Hhhhhhhhhhhhh kweli kazi kazi

  • @irenealfan
    @irenealfan 9 дней назад +5

    Muogope mchawi kuliko nyoka na simba

  • @cate606
    @cate606 8 дней назад

    Sio kwamba Leah haamini. Ni kwamba anaogopa ukweli. Anaogopa kuface ukweli. Msichana yuko chuo kwa hizi taarifa teyar keshapata mashaka na mamaake

  • @WilliamSumuni
    @WilliamSumuni 9 дней назад +2

    Mmmh

  • @msuntimsunti4481
    @msuntimsunti4481 9 дней назад +2

    Lea jamani cjui kwanini alikuwa hakumbuki kusali pamoja na wadogo zake, nimeumia😭

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 9 дней назад +4

    We keya ww mchawi uwezi kumjuwa bika jufaya utafiti wa matukio kwn anaonaonesha upendo ujawai ona

    • @ScholarPeter
      @ScholarPeter 8 дней назад

      Wakarimu sana wastarabu sana huwezi amini

  • @BintHassan-o1y
    @BintHassan-o1y 9 дней назад +2

    Wa kwanza...hii cmulizi ya tisha kwa kweli....unamaliza watoto wako jmaniii😢😢😢uchawi upoo