🔴LIVE :RIPOTI YA LEO [LEAH SEHEMU 07] - DEC 10 , 2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 62

  • @magdalenashayo1256
    @magdalenashayo1256 4 дня назад +12

    Umependeza Vero na hiyo miwani❤

  • @DeruDeru-p4t
    @DeruDeru-p4t 3 дня назад +2

    Umependeza sana kwakweli ❤🎉🎉

  • @ElishamaMulokozi-pi8nm
    @ElishamaMulokozi-pi8nm 3 дня назад +1

    Habari njema.

  • @ZuleykhaIsmail-rc5ly
    @ZuleykhaIsmail-rc5ly 3 дня назад +3

    Yaani mama Leah anavyosema kuzaa kuzuri huku yy wa kwake anawauwa pumbaaaaavu

  • @NeemaKilawe-u4o
    @NeemaKilawe-u4o 3 дня назад

    Habar Dada vero. Nimejaribu kutafuta ripot ya tar 9 sioni kbs

  • @NeemaKilawe-u4o
    @NeemaKilawe-u4o 3 дня назад

    Habar dada Vero nimejaribu kutafuta ripot ya tar 9 sioni kbs kwenye radio unapatikana kwa shida sana

  • @LovenessAbel
    @LovenessAbel День назад

    Mama Leah ni mchawi , halafu Dada matangazo ni mengi sana yanakula mda mkubwa sana

  • @yohanatweve5721
    @yohanatweve5721 3 дня назад +3

    Mimpaka naogopa mengi yakujifunza

  • @abisaimuhanji3687
    @abisaimuhanji3687 3 дня назад +1

    Wadada wenye komwe wazuri, Dada Vero she is so 🔥🔥🔥

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 3 дня назад +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wewe

    • @abisaimuhanji3687
      @abisaimuhanji3687 3 дня назад

      @@NeemaSamson-ti8pc Fuatilia vyema , wadada ambao Nywele zimeanzia Kwa nyuma kidogo, warembo sana🙌

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 3 дня назад

      @@abisaimuhanji3687 haya ngoja nifuatilie ikiwa hivyo basi mi mbaya maana sina komwe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AflahKibona
    @AflahKibona 4 дня назад +1

    Da vero umependeza sana leo

  • @imranmaulid1858
    @imranmaulid1858 3 дня назад +3

    Maisha huwa yanatufunza mengi sana kama hayajakukuta unaweza sema ni story za kusadikika,

  • @VeronicaMbilinyi-t5j
    @VeronicaMbilinyi-t5j 4 дня назад +5

    Huyo mkaka atakuwa mchawi mwenzie huyo mama 3:19

    • @MaryMdoe-b5x
      @MaryMdoe-b5x 3 дня назад +1

      Huo ni mtego Leah ameletewa Ili wamteke 😂😂

  • @NasreenAbela-b2k
    @NasreenAbela-b2k 3 дня назад

    Umependeza da vero

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 3 дня назад +1

    Duu hatali sana ayomaisha tunayaishi tulio wengi aisee

  • @NeemaAsenga-j4q
    @NeemaAsenga-j4q 4 дня назад +1

    Jamani Vero kwenye redio hatuwapati

  • @isaya9613
    @isaya9613 4 дня назад +4

    Mchawi nimtu wahovyosana

  • @SaimonLukonde
    @SaimonLukonde 4 дня назад +1

    Dada Vero e.f.m iringa upande redio haipatikan maaadm

  • @RehemaMnyangida-yo6zj
    @RehemaMnyangida-yo6zj 3 дня назад

    Duuu jamani lea😢😢😢

  • @justineswai5885
    @justineswai5885 4 дня назад +2

    Da Vero Leo umetokelezea umefanana na wachina wa kariakoo

    • @VeledianaKalolo
      @VeledianaKalolo 4 дня назад

      Hahaha leo dada vero kaamua mpaka miwani😂😮😮😮

    • @ataamansi8941
      @ataamansi8941 3 дня назад +1

      🥽🕶️ yakuchomelea grill

  • @NasraMohammed-nm2tz
    @NasraMohammed-nm2tz 4 дня назад +1

    ❤❤

  • @emmydavison8736
    @emmydavison8736 3 дня назад

    Vero Leo usikanyage waya jamani please kuwa makini,yaan unatuacha njia panda

  • @lucasgasper2472
    @lucasgasper2472 4 дня назад +1

    Nimekuja kuskoliza huku maan radio ilofelo

  • @abdulabasi3333
    @abdulabasi3333 4 дня назад +1

    Da vero leo umevaa miwan

  • @ZainabSailo
    @ZainabSailo 4 дня назад +1

    Dada Vero, inaonekana ikifika kipindi chako unatufanyia figusu Ili tuangalie youtube

  • @hurumalupasa3844
    @hurumalupasa3844 4 дня назад +1

    MUNGU amtetee Lea

  • @khorima
    @khorima 3 дня назад +1

    Kumbe vero ana komwe?

  • @VelianDaniel
    @VelianDaniel День назад

    Huyo mkaka nae ni mchawi

  • @msuntimsunti4481
    @msuntimsunti4481 4 дня назад +2

    Mbona km nina wasiwasi na huyo kaka.

  • @SophiaIssa-n6t
    @SophiaIssa-n6t 4 дня назад

    Kweli rodio vpi chengu kibao

  • @MariamAbduly-g6v
    @MariamAbduly-g6v 3 дня назад

    Vero izo ni nywele zako kweli😅

  • @LinusMsimbano-uq1kg
    @LinusMsimbano-uq1kg 4 дня назад +2

    Jaman atuwapati kwenye radio fanyen mpango bas ili tuwapate radioni

  • @naomicharles5444
    @naomicharles5444 4 дня назад +1

    Uyo sio kaka uyo ni jini😂😂😂😂

  • @KidumetokaKyelauko
    @KidumetokaKyelauko 4 дня назад

    Mnatulia kweli kulisha watu matango poli

    • @lucasgasper2472
      @lucasgasper2472 4 дня назад

      Na ww ukiwemo

    • @Thisisgrace979
      @Thisisgrace979 4 дня назад

      Kabisa, sijui kafikaje hapa.​@@lucasgasper2472

    • @KidumetokaKyelauko
      @KidumetokaKyelauko 4 дня назад

      @lucasgasper2472 sifatiliag ushubwada uo

    • @naomicharles5444
      @naomicharles5444 4 дня назад +1

      Na umewek bando na umesikiliz na bado unasem matang poli ila alieloga watanzia aje atukomboe😅😅😅

    • @WilliamSumuni
      @WilliamSumuni 3 дня назад +1

      Matango poli ni matamu afu Yana afya mno😂😂