MAJESTIC SINGERS USO KWA USO NA YESU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 24

  • @devpthamakombe682
    @devpthamakombe682 4 года назад +1

    Mungu awabariki kwa huduma nzuri nabarikiwa sana na nyimbo hii

  • @tunsumembesso4255
    @tunsumembesso4255 7 лет назад +2

    Kazi yenu ni njema Mungu azidi kuwatumia na kuwainua zaidi na zaidi. Mungu awabariki !!!!!!!!!

  • @victoriakimolo9768
    @victoriakimolo9768 3 года назад

    Nimebarikiwa Sana mungu awabariki

  • @happynesssolomon4404
    @happynesssolomon4404 5 лет назад

    Hakika nawapenda sana nimewamic majestic singers

  • @patrickdebe458
    @patrickdebe458 4 года назад

    Haleluya!!. Mungu aendelee kuachilia karama za uimbaji zaidi ndani yenu hakika munanibariki sana. Heshima pia kwa pastor frolian j.katunzi kama kiongozi mkuu.

  • @ejayojames3734
    @ejayojames3734 3 года назад

    Mungu awabarki Sana

  • @sifakiteve5927
    @sifakiteve5927 7 лет назад +1

    I like this song , nawapenda sana Majestic Singers wananibariki sana

  • @johngerrald4453
    @johngerrald4453 Год назад

    Jeshi jina lake aliitwa jeshi

  • @JacklineEKessy
    @JacklineEKessy 7 лет назад +2

    Waaooooh!!!!! Moja ya wimbo UNAONIBARIKI SAANA. Hii Album itakuwa KUBWA SAANA. Yaan sichoki kuuangalia.

  • @amedeusmodestikimey9888
    @amedeusmodestikimey9888 4 года назад

    Ameni Mtumishi wa Mungu 🤝

  • @edithafelix8265
    @edithafelix8265 6 лет назад

    Nawapenda Sana vijana wa by power by force MUNGU awabariki

  • @paulmalemi8409
    @paulmalemi8409 2 года назад

    Aminaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @rehemajoseph8402
    @rehemajoseph8402 3 года назад

    Christina weeee

  • @isaacmh3902
    @isaacmh3902 5 лет назад +1

    I'm very interested by the songs

  • @danielbeaty6511
    @danielbeaty6511 3 года назад

    Mbona nyimbo zenu zingine hazipo humu. zinapatikana wapi

  • @anjiwikestanley958
    @anjiwikestanley958 4 года назад

    Inapendeza nakuona Tina unaongoza jahazi

  • @Hmichael
    @Hmichael 7 лет назад +2

    Hawa jamaa wamenibamba sana yaani inagusa mtima.

  • @mercykihahi7836
    @mercykihahi7836 3 года назад

    Jamani nyimbo za album ya mifupa mikavu, mbona mumeziondoa you tube? Tutazipata wapi? Tuwwkeeni jamani.

  • @florencetimon7425
    @florencetimon7425 6 лет назад +1

    Aaah kaka mbona INA mawimbi hii video jamani

  • @maryoswald6192
    @maryoswald6192 6 лет назад +1

    Good

  • @amashamwaipopo9170
    @amashamwaipopo9170 4 года назад

    Hii kwaya ya wapi

    • @fridakomba4133
      @fridakomba4133 4 года назад

      Kwaya ya majestic kutoka mtoni mtongani kwa mchungaji fj katunzi